AINA TATU ZA WATU MUHIMU KWENYE MAISHA - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии •

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Год назад +3

    Nikweli mwalimu ilasisiwenghi hatupendi mentor, lakini nikweli lazima umutafute mwenye amekuzidi kiakili,nakimaarifa ndipouwenze kufaulu kimaisha.asante sana

  • @JafariSalum-ev3zv
    @JafariSalum-ev3zv Год назад +1

    Shukran kaka Joel kwa elimu

  • @teacherbosco5706
    @teacherbosco5706 Год назад +1

    Absolutely true kufukuzia ndoto za maisha yako pasipo watu hawa watatu ni sawa Na gari linaloendeshwa pasipo dereva kwani halitofika mbali litapoteza njia.....
    Kila mwenye ndoto kubwa ni muhimu kuweka mkakati wa kuwa Na watu hawa muhimu......
    Tunashukuru kaka Joel ,hakika unaendelea kutuvusha kuelekea kilele cha mafanikio

  • @MonicaManyanza-er7od
    @MonicaManyanza-er7od Год назад +1

    Asante sana kwa testimony katika maisha nikitaka kufika mbali lazima nikubali kuwa mwanafunzi kila cku so nijifunze kwa watu waliofanikiwa

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 Год назад

    Thanks brother, see you at the top. I feel something about you, I'm blessed

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 7 месяцев назад

    Asante sana nimejifunza

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 Год назад +1

    Shukrani 📚 Ndugu Nanauka

  • @sistermtambo938
    @sistermtambo938 Год назад

    Asante sanaa Mungu akubariki🎉🎉🎉

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    Ni kweli kabisa mi! mtu wangu. ni ww Joel 💕 wa kwanza na wamisho ni ww 🙌🏿🙏🏿

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 Год назад

    Asante sana Mungu akubriki❤

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Год назад

    Tunashukuru

  • @noahgeorge0174
    @noahgeorge0174 Год назад +2

    MUNGU Aendelee kukutunza Na kukubaliki

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Год назад

    Asante sana

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 Год назад

    Wewe ndio accountability partner wangu maana siku zote nikipitia page yako nakutana breakfast kubwa sana 🙏

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 Год назад

    💙🙏🙌

  • @WilliamJulius-p1q
    @WilliamJulius-p1q Год назад

    Na nikwel sina na kumupata hua n ngumu

  • @baboudeira9249
    @baboudeira9249 Год назад +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮