Rev. Dr. Faustin Kamugisha: ISIWE KAMA KAWAIDA TENA - Ujumbe wa Krismasi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 14

  • @paulnalami6
    @paulnalami6 6 дней назад +2

    Isiwe kama kawaida tena 🙏 🙏 🙏. Mungu azidi kuabudiwa na kukupa maisha marefu baba Padre. Mkatholiki daima kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @MethodAron-r3k
    @MethodAron-r3k 5 дней назад

    Ahsantee sana baba Padre kwa ujumbe mzuri ya Christmas, Mungu aibariki kazi ya mdomo wako

  • @CELINAMUSHUMBUSI
    @CELINAMUSHUMBUSI 6 дней назад

    Asante baba,Mungu akubariki Kwa Utume uliotukuka.

  • @theresiamutila
    @theresiamutila 5 дней назад

    Asante sana Fr. Mungu akubariki sana...

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 дней назад

    Km kawaida lazima tule chakula chako kizuri.Ubarikiwe sana baba🎉

  • @celisurio3206
    @celisurio3206 4 дня назад

    Barikiwa Baba nimepata kitu

  • @PaulinKalekezi
    @PaulinKalekezi 6 дней назад

    Mungu akupe maisha marefu sijawai choka kusikiliza maubili yako.

  • @fredrickgitari8818
    @fredrickgitari8818 5 дней назад

    Thanks Fr

  • @marykimani9643
    @marykimani9643 6 дней назад

    Isiwe kama kawaida tena, 🎉🎉🎉from🇰🇪

  • @abbyabrahams7975
    @abbyabrahams7975 5 дней назад

    Ujumbe mwafaka sana. Mkatholic Asli

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 6 дней назад

    Asante padre

  • @cosmaskamugisha5918
    @cosmaskamugisha5918 2 дня назад

    Fr.umeandika vitabu 47,tunavipataje?

  • @frolencejovenary667
    @frolencejovenary667 6 дней назад

    Me kama kawaida lazima nikusikilize, wewe ni nabii uliyetumwa kwetu tena kiwango chako ni kikubwa sanaa cha unabii.

  • @emmanuelyakani4368
    @emmanuelyakani4368 6 дней назад

    Asante Padre