Faustin Kamugisha
Faustin Kamugisha
  • Видео 361
  • Просмотров 1 861 063

Видео

Rev. Dr. Faustin Kamugisha: JE, UNA FURAHA?
Просмотров 9189 часов назад
Leo ni Jumapili ya kufurahi. Tunatumaini Yesu atazaliwa mioyoni mwetu. Mungu ni shujaa wa furaha. Tuombe atuinulie nuru ya uso ambayo ni tabasamu. Mtume Paulo alikuwa na furaha ingawa alikuwa gerezani.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MATATIZO NI ALAMA YA MKATO SIO NUKTA
Просмотров 87316 часов назад
Matatizo si tatizo ni alama ya mkato. Kwanza ni vipingamizi vya muda. Pili, ni usumbufu wa muda. Tatu, ni maumivu ya muda. Usikate tamaa.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: FAIDA KWAKE, FAIDA KWETU
Просмотров 1,8 тыс.19 часов назад
Kuombea marehemu ni faida kwake na faida kwetu.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: KWA NINI BIKIRA MARIA ALIKINGIWA DHAMBI YA ASILI
Просмотров 904День назад
Sherehe ya Kukingiwa dhambi ya asili ni sherehe ya majilio. Bikira Maria alikingiwa dhambi ya asili kwa sababu ya majilio ya Yesu Kristo.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: ALICHOKUPA MUNGU NI MTEGO
Просмотров 1,1 тыс.День назад
Tumezungukwa na mitego. Mungu anachokupa kitumie. Mungu anachokupa kiendeleze. Mungu anachokupa kizalishe. Mungu anachokupa kishirikishe.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: LEO VIGELEGELE KESHO ISIWE KELELE ( Audio)
Просмотров 33214 дней назад
Wakati wa harusi ni wakati wa vigelegele. Tunategemea maisha hayo yawe mwendelezo. Kuna maisha baada ya harusi, pasiwepo kelele.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: USIACHE KUTUMIA NENO ASANTE
Просмотров 1,6 тыс.14 дней назад
Kusema asante kunabainisha mtazamo chanya, kunabainisha furaha, kunabainisha kuomba tena, na kunabainisha kuthamini.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: AINA NNE ZA SUBIRA
Просмотров 1,5 тыс.14 дней назад
Subira yavuta heri. Kuwa na subira na Mungu. Kuwa na subira na jirani. Kuwa na subira na nafsi yako. Kuwa na hali, vitu na mazingira.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: LEO VIGELELE, KESHO ISIWE KELELE, mafundisho ya ndoa
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
Wakati wa harusi, ni vigelegele. Kelele si nzuri kwa ndoa. Fuatilia mafundisho haya.
Padre Dkt Faustine Kamugisha : Unatazamaje.?
Просмотров 1,4 тыс.14 дней назад
Padre Dkt Faustine Kamugisha : Unatazamaje.?
Rev.Dr. Faustin Kamugisha: SIFA NNE ZA WATAMBULISHAJI WAZURI
Просмотров 1,5 тыс.14 дней назад
Kumtambulisha mtu ni jambo muhimu. Kumtambulisha mtu ni ufundi. Watu watambulishe vizuri. Muige Mt. Andrea.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: KATAA KUKATA TAMAA
Просмотров 3,9 тыс.21 день назад
Mtu ambaye hakati tamaa ana mkao wa ushindi, anavaa furaha na anasoma alama za matumaini katika shida.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha SALI MPAKA UNASALI (SEHEMU YA TATU -MWISHO)
Просмотров 1,4 тыс.21 день назад
Sali mpaka unasali kwa kushiriki majibu ya sala.
REV. DR. FAUSTIN KAMUGISHA SALI MPAKA UNASALI ( SEHEMU YA PILI)
Просмотров 1 тыс.28 дней назад
Muomba Mungu hachoki. Sali kwa uvumilivu.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha SALI MPAKA UNASALI ( Sehemu ya Kwanza)
Просмотров 99628 дней назад
Rev. Dr. Faustin Kamugisha SALI MPAKA UNASALI ( Sehemu ya Kwanza)
Rev. Dr. Faustin Kamugisha HALAFU ( Sehemu ya nne - mwisho)
Просмотров 51628 дней назад
Rev. Dr. Faustin Kamugisha HALAFU ( Sehemu ya nne - mwisho)
Rev. Dr. Faustin Kamugisha HALAFU? ( SEHEMU YA TATU)
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
Rev. Dr. Faustin Kamugisha HALAFU? ( SEHEMU YA TATU)
Rev. Dr. Faustin Kamugisha HALAFU? ( SEHEMU YA PILI)
Просмотров 890Месяц назад
Rev. Dr. Faustin Kamugisha HALAFU? ( SEHEMU YA PILI)
Rev. Dr. Faustin Kamugisha SOMO: HALAFU? Sehemu ya Kwanza
Просмотров 4,2 тыс.Месяц назад
Rev. Dr. Faustin Kamugisha SOMO: HALAFU? Sehemu ya Kwanza
JUKUMU LA WANAWAKE WAZEE KWA WANAWAKE VIJANA
Просмотров 2,1 тыс.Месяц назад
JUKUMU LA WANAWAKE WAZEE KWA WANAWAKE VIJANA
Padre Mutalemwa: Watu wengi wanasema Fr Kamugisha anawabariki/ "Tuache Unafiki"
Просмотров 1,8 тыс.2 месяца назад
Padre Mutalemwa: Watu wengi wanasema Fr Kamugisha anawabariki/ "Tuache Unafiki"
Misa ya Jubilei miaka 25 ya Upadre wa Padre Dkt Faustine Kamugisha.
Просмотров 6662 месяца назад
Misa ya Jubilei miaka 25 ya Upadre wa Padre Dkt Faustine Kamugisha.
Padre Dkt Faustine Kamugisha anakukaribisha kwenye Jubilei ya fedha.
Просмотров 3,6 тыс.2 месяца назад
Padre Dkt Faustine Kamugisha anakukaribisha kwenye Jubilei ya fedha.
Padre Dkt Kamugisha : Msalaba wako Utukufu wako.
Просмотров 8854 месяца назад
Padre Dkt Kamugisha : Msalaba wako Utukufu wako.
LISILOWEZEKANA LINAWEZEKANA
Просмотров 2,1 тыс.4 месяца назад
LISILOWEZEKANA LINAWEZEKANA
KATAA KUJIKATAA
Просмотров 6054 месяца назад
KATAA KUJIKATAA
MATESO YA MAWAZO
Просмотров 1,5 тыс.5 месяцев назад
MATESO YA MAWAZO
NGUVU YA MWANAMKE
Просмотров 1,5 тыс.5 месяцев назад
NGUVU YA MWANAMKE
UONGO UMEVAA NGUO ZA UKWELI
Просмотров 7435 месяцев назад
UONGO UMEVAA NGUO ZA UKWELI