Rev. Dr. Faustin Kamugisha SOMO: HALAFU? Sehemu ya Kwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 13

  • @ElishaKasambo-yu5jt
    @ElishaKasambo-yu5jt 2 дня назад

    Mungu akubariki sanaa Padre Dr kamugisha

  • @IsabelaMwanjale
    @IsabelaMwanjale Месяц назад

    Ashukuriwe mungu kwa kile alichokiweka kwa kupitia kwa father kamugisha naomba mungu aendelee kukutumia

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe Месяц назад

    Kutoka Zambia.Asante padiri.

  • @utotomtakatifuvingungutiparish
    @utotomtakatifuvingungutiparish Месяц назад

    Hayo yalikuwa Mazungumzo kati ya Mt. Filipo Neri na mwanafunzi wake Mmoja! Asante Fr. Kwa kutukumbusha! 😊

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika Месяц назад +1

    Mungu akubariki father kamugisha kwa kunifundisha neno la mungu

  • @edsonmrope2780
    @edsonmrope2780 Месяц назад +1

    Tunabarikiwa sana na mafundisho yako father mungu akutunze

  • @LucresiaMsale
    @LucresiaMsale 26 дней назад

    Naomba mniadd kwenye group lenu

  • @dorinitemba8074
    @dorinitemba8074 Месяц назад

    Asante Fr kwa mafundisho

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o Месяц назад

    Yaani. Sichoki kusikiliza mahubiri yako. Ubarikiwe Sana.

  • @primitivagratian3436
    @primitivagratian3436 Месяц назад

    Asante Baba kutulisha neno la Mungu.

  • @renathaburchard5554
    @renathaburchard5554 Месяц назад

    Mhmm hayawi hayawi yatakuwa tu Asante kwa neno

  • @Jonathan95311
    @Jonathan95311 Месяц назад

    Amen 🙏🙏.....

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Месяц назад +1

    Ukimaliza chuo kikuu unakuwa kama Mimi unemployed na CV kubwa