Padre Dkt Faustine Kamugisha : Unatazamaje.?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 5

  • @mgangajonas152
    @mgangajonas152 29 дней назад

    Nashukuru father kwa mafundisho yako. kila siku ninaposikiliza na kutafakari mafundisho yako najawa na matumaini na nafalijika sana. Nipo morogoro natamani nipate vitabu vyako napataje kwa morogoro?

  • @josiastephano701
    @josiastephano701 29 дней назад

    Una mafundisho mazuri Sana padre,nakufuatilia Sana umebadili mtazamo wangu padre natamani nipate vitabi vyako

    • @faustinkamugisha8747
      @faustinkamugisha8747  29 дней назад +1

      Ahsante sana, naomba tembelea Bookshop ya St Joseph Cathedral utavipata au Msimbazi Centre kwa Dsm. Karibu sana

  • @godfreymuganda11
    @godfreymuganda11 11 дней назад

    Pongezi padri Kwa mahubiri mema,,, barikiwa zaidi,, Niko Kenya padri natamani kupata nakala ya vitabu zako ,, neza Fanya aje ama ata kama ni app nezapata vipi