NAJIVUNIA Nimezaliwa kwenye Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume - MKATOLIKI SIMAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии •

  • @tariqabby5055
    @tariqabby5055 20 дней назад +4

    Wimbo mzuri sana Hongereni sana Kwaya ya Mr Secilia Makuburi

  • @EmmahMukora
    @EmmahMukora 8 дней назад +2

    Wimbo mzuri kabisa uliojaa mafunzo mengi ya kanisa Katoliki.Hongera.

  • @InocentMwaisaka
    @InocentMwaisaka 11 дней назад +3

    Mm mkatoliki
    Hongera sana

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 8 дней назад +3

    Najivunia kuzaliwa kwenye kanisa moja Takatifu Catholic ❤❤❤❤

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 Месяц назад +5

    Tunamshukuru mungu kwa zawadi ya mtunzi na waimbaji wote, Bwana awabaki nyote🙏

  • @DonasiaAssenga
    @DonasiaAssenga 6 дней назад +1

    Huu niliusikia juzi ndugu zao wakiumba yahani kizito bonge la wimbo,hongera kwa mtunzi

  • @salalagonzales5203
    @salalagonzales5203 2 месяца назад +5

    ❤❤❤🎉🎉🎉Najivunia kuwa kwenye Kanisa la ukweli

  • @elizabethkweka4180
    @elizabethkweka4180 2 месяца назад +5

    Najivunia kuwa mkatoliki ❤❤❤

  • @luciaadventures3290
    @luciaadventures3290 Месяц назад +5

    Am proud to be Christian ❤❤❤❤

  • @BarakaOswadi
    @BarakaOswadi Месяц назад +2

    Imani moja kuwa mkatoriki raha❤❤❤❤

  • @maryimani7752
    @maryimani7752 2 дня назад

    Najivunia kuwa mkatoliki, kanisa ambalo popote utakapoenda maadhimisho ni moja kwa siku. Hongerani sana wanakwaya

  • @nelsonmethod1671
    @nelsonmethod1671 Месяц назад +5

    Hivi unaujua Yesu ni mwema wew😅😅 waliokuwa wanaendaga beach mass nadhan wananielewa.. Hasa kipind kile inafanyika mbezi beach... Aaah... Bila kupigwa hiyo nyimbo beach mass ilikuwa haijafaana

  • @PiusNyanda-g1z
    @PiusNyanda-g1z 2 месяца назад +3

    Wimbo Bora kweli was mwaka

  • @osvardmnyanyi7809
    @osvardmnyanyi7809 10 дней назад

    🎉wow God bless you all

  • @magdalenebundi2581
    @magdalenebundi2581 Месяц назад +2

    Najivunia kua mkatoliko

  • @DeogratiasKapama-h3g
    @DeogratiasKapama-h3g 2 месяца назад +4

    Mm nahc huu ndyo wimbo Bora wa mwaka wa kanisa katoliki

  • @ceciliakipkurgat5113
    @ceciliakipkurgat5113 Месяц назад +1

    proud to be a catholic

  • @VelmaBarsza
    @VelmaBarsza 3 месяца назад +2

    Very nice

  • @clentinangollo7859
    @clentinangollo7859 Месяц назад +1

    mimi mkatoliki❤

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 13 дней назад +1

    Mimi mkatoliki nimebatizwa kwenye moja

  • @victezkolma4588
    @victezkolma4588 Месяц назад

    from tiktok directly hear❤❤❤

  • @lucylameck8580
    @lucylameck8580 2 месяца назад +1

    Safi sana

  • @DeboraIlomo
    @DeboraIlomo 2 месяца назад +2

    Najivunia haswa kuwa mkatorik

  • @EdithaFratern
    @EdithaFratern Месяц назад +1

    Hakika huu wimbo ni mzuri mnoo sifa na utukufu ni kwamungu pekee

  • @HappyTedy
    @HappyTedy Месяц назад +1

    Waooooh😢😢🎉🎉🎉

  • @HappyTedy
    @HappyTedy Месяц назад +1

    ❤❤❤ vizuri 3:13 3:15

  • @SERAHWANJIKUWANYOIKE
    @SERAHWANJIKUWANYOIKE 24 дня назад

    NAJIVUNIA KUWA MKATOLIKI🙏

  • @donatamarandu3937
    @donatamarandu3937 3 месяца назад +2

  • @HappyTedy
    @HappyTedy Месяц назад +1

    Kwei raha najivuni kuwa mkatoliki

  • @martinkioko2651
    @martinkioko2651 3 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @beatricenziranziza426
    @beatricenziranziza426 Месяц назад