Rev. Dr. Faustin Kamugisha: GHARAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии •

  • @DafrosaNyamwiza
    @DafrosaNyamwiza 19 часов назад +1

    Hongera sana Fr. Ilove Romans one day nakuja kwenu ! Mnajua mnachokifanya no noises wala hamjifanyi watakatifu mnanyookaga tu❤

  • @AugustineLomolen
    @AugustineLomolen 2 дня назад

    Asante saana padre Kamugisha..mungu wetu akubariki na akuongezee maarifa tele tele hasua katika mwaka mpya 2025.Ni Augustino Lomulen nakupata vizuri sana kutoka kenya.Turkana county.

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 5 дней назад +3

    Eee Mungu mwema umubariki baba mtakatifu, askofu na mapadre, wakubwa, waalimu na jamii. Uwafadhili marafiki na adui zetu. Uwaongoze wale wasiokujua bado, au wasiotii injili. Uwarudishe wasefu. Uwafadhili masikini na wazee. Uwasadie wagonjwa na wanaozimia au wasiotii injili. Uwahurumie roho wanateswa tohorani. Uwape heri ya milele Amina!!

  • @brunopaul9661
    @brunopaul9661 4 дня назад

    Baba hongera kwa masomo mazuri uendelee kubarikiwa
    Karibu sana katoro - Geita katika parokia ya mt Paul vi utupatie ujumbe wa yesu kristo

  • @edithavalelian256
    @edithavalelian256 5 дней назад

    Asante Fr Kamugisha, hii tafakari imenifundisha mengi sana,,, Mungu aendelee kukutunza,,,🙏🙏

  • @bathshebanyaboke7192
    @bathshebanyaboke7192 4 дня назад

    Nitasikiliza hili somi zaidi ya mara tatu n tamu mno b blessed padre

  • @GodfreyKeraka
    @GodfreyKeraka 5 дней назад

    Father Kamugisha Mungu aliyekujalia kipaji hiki cha ufundishaji akujalie neema ya kuishi maisha marefu ili elimu yako iwafikie wengi.ubarikiwe

  • @RevinaBamwenzaki
    @RevinaBamwenzaki 5 дней назад

    Nakutakia mwaka mpya wa baraka father Kamugisha,Mungu azidi kukuangazia.

  • @rahabmacharia5020
    @rahabmacharia5020 5 дней назад

    Merry Christmas baba yetu. Mungu akuzidishie.

  • @peternjoroge2359
    @peternjoroge2359 5 дней назад

    Nashukuru Fr kwa somo hili mpya. Mungu akubariki

  • @AnastasiaMkwena
    @AnastasiaMkwena 5 дней назад

    Wewe father ni jembe tena ni sululu ya kuchimba yanayoshindikana mungu akuhifadhi ktk yote.

  • @kisidominic
    @kisidominic 5 дней назад

    Merry Christmas to you too father.
    Tulikuwa pamoja pale cuea kenya

  • @bimenyimanaclaude8297
    @bimenyimanaclaude8297 4 дня назад

    Merry Christmas Father kutoka Rwanda

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 дней назад

    Tusupo kuelewa basi tena asante sana ubarikiwe❤🎉

  • @ditrickmotto4617
    @ditrickmotto4617 День назад

    Aminaa Baba, Napataje Kitabu chako kimojawapo ??

  • @suzannebucyanayandi630
    @suzannebucyanayandi630 5 дней назад

    Merry Christmas Father kutoka USA-Utah 🖐🖐🖐

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 3 дня назад

    Amin saana

  • @michaelvincentmhagama337
    @michaelvincentmhagama337 5 дней назад

    Asante sana Padre

  • @kennedyowino6438
    @kennedyowino6438 5 дней назад

    Merry Christmas kutoka kenya

  • @IreneMashallo-un8zy
    @IreneMashallo-un8zy 5 дней назад

    🙏🙏🙏

  • @RenatusNyanda
    @RenatusNyanda 5 дней назад

    🙏👍

  • @getrudmajul5137
    @getrudmajul5137 5 дней назад

    😂😂😂😂asante Babà tunakupata vema

  • @magretmush7646
    @magretmush7646 5 дней назад

    Hero ya Xmas PDR tuko pamoja simanjiro Massimo tunafuatilia mafundisho

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 4 дня назад

    Unaonekana unaakili nyingi sana Padre but kwanini umeamua kujifungia JELA? Au na ww unaogopa KULIPA GHARAMA? Vipi kuhusu kuhubiri Mungu mwenye nafsi TATU hali ni uongo kabisa ? Hivi padri Kamugisha Mungu anawezaje kuwa na Mungu wake? (Yoh.20:17) Mtu akifa anakuwaje Peponi hali tunasubiri Ufufuo au mm sielewi maana ya neno UFUFUO? Kwann unasujudia SANAMU? Kwann unaombea wafu wakati kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe? Kwann unaomba WAFU wakuombee kwa Mungu badala ww uombe mwenyewe mfano akina Maria n.k ?

    • @AIKABAHATI
      @AIKABAHATI 2 дня назад

      Hiyo ni Iman yako..Baki.nayo.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 2 дня назад

      @AIKABAHATI sio kwamba nibaki na imani yangu tu iite "imani safi na ya kweli kwa kila anayeutaka ukweli" huwezi linganisha imani yangu safi na hayo masanamu yenu , mara kuomba msaada kwa watu waliokufa a.k.a WAFU mara muwaite watakatifu hali ni mifupa mitupu ha! ha 😂 Hakika mmepotelea kwenye giza nene.

    • @anastazimichaelmbua1559
      @anastazimichaelmbua1559 День назад

      mtu aliyesoma theology na phylosophy kwa miaka 15 ,unahisi hajui anacho kiamini?? kwa mtazamo wako unahisi ni hivyo lakini ,Imani ni bayana ya mambo yasiyo onekana . Hakuna miungu 3 ni MUNGU mmoja katika nafsi 3,na hakuna ibada ya sanamu hapo . Hakuna dini itakayo mfanya mtu fulani kuwa bora kupita mwingine bali Imani thabiti kuhusu uwepo wa MUNGU na matendo yako.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 20 часов назад

      @anastazimichaelmbua1559 Think big brother! Kusoma miaka 15 kitu gani kwani hata ingekuwa miaka 100 unaweza kuwa unajifunza upumbavu mtupu kwa muda mrefu! Theology ni elimu juu ya Mungu hivyo unaweza kusoma kuhusu Mungu kwa kubase katika imani fulani na huo ndo mwanzo wa kushika maujinga na maushenzi kama kuheshimu masanamu, kuomba wafu, kuvaa mahirizi kama Skapulari na marozari. Omba Yesu akujaze Roho Mtakatifu huyo ndo mwalimu wa kweli hayo mengine ni ziada tu.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 20 часов назад

      @@anastazimichaelmbua1559 Kusoma theology miaka 15 sio kigezo that is the weak FACT! Unawezaje kuwa msomi huku ukaheshimu na kusujudia Mawe yalichongwa na wamakonde na kupakwa rangi we utakuwa msomi au KIAZI?

  • @PatriciaEmanuel-i9s
    @PatriciaEmanuel-i9s 4 дня назад

    🙏🙏🙏