Gari ndogo ya umeme inayotumia umeme wa elfu 1 na kutembea km 100

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 47

  • @geofreymakwinja1727
    @geofreymakwinja1727 2 года назад +4

    Big up Freeman frank ndossi

  • @bintikigoma
    @bintikigoma 2 года назад +4

    Nipeni Namba yake huyu jamaa hiki kigari lazima nikipande nimekipenda nipeni Namba yake

  • @bejoytv2702
    @bejoytv2702 2 года назад +4

    Mapinduzi ya kitekinolojia,Mr.Masoud kipanya harakisha za kwako

  • @Boaz22
    @Boaz22 Год назад +2

    Million 12 ni bora niongeze 2 ninunue Subaru impreza, mi siwez fanya ujinga alofanya huyu jamaa😢

  • @paulkihwele8403
    @paulkihwele8403 2 года назад +2

    Safi sana naomba namba ya ya huyu jamaa

  • @PauloMkuyu
    @PauloMkuyu 5 месяцев назад

    Tunaomba mawasilianonyako utuagizie 6:48

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 года назад +1

    Yaani ukipitisha barabarani hiko kidude chako utakanyagwa na malori😁😁😁

  • @ibrahimlameck9479
    @ibrahimlameck9479 4 месяца назад

    Bei Gani naomba mawasiliano.

  • @magrethpaul5959
    @magrethpaul5959 10 месяцев назад

    😂looh haya bei nimeiskia

  • @ibrahimlameck9479
    @ibrahimlameck9479 4 месяца назад

    Bei Gani niuzie.

  • @EuniceLameck
    @EuniceLameck 4 месяца назад

    Naomba jamani bei gani

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 Год назад

    Dah bongo mmh

  • @jamespk1154
    @jamespk1154 2 месяца назад

    mkoani hutoboi

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 2 года назад +6

    Wewe utaendesha barabara ya wapi hapa tz kama hawajakuua na maroli

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 года назад

      😁😁😁😁💕

    • @magrethpaul5959
      @magrethpaul5959 10 месяцев назад

      Aisee hilo ndio lakwanza nililiwaza hivi ukila mzinga na wenye ndiga kubwa 😂unatoka salama kweli humo

    • @GodfreyNyanda-sz1gf
      @GodfreyNyanda-sz1gf Месяц назад

      Kwenye wenye bajaji za abiria wanaendeshea kwa barabara gani!!!

  • @Doremi_pro
    @Doremi_pro Год назад

    Hakapinduki ako😂😂😂

  • @neemakawonga9544
    @neemakawonga9544 2 года назад +3

    Kama ka handdrier

  • @salimkassim6020
    @salimkassim6020 Год назад

    Kipeni jina jengine Hamna gari apo

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl 9 месяцев назад

    Anae hoji nikilaza anaambiwa km 100 anauliza unatumia mda gani

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 2 года назад +3

    Kama hako sh ngap

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 Год назад

    Naomba kuuliza bei yake ni shngi ngapi

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 9 месяцев назад

    12ml apo amnipati unasukumwa naupepo wamaloli unajikuta uko mtoni

  • @EmmanuelJoseph-p3q
    @EmmanuelJoseph-p3q Год назад

    Hello

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl 9 месяцев назад

    Kununua hako kadudu kwa milion 12 niupuuzi

  • @oswardboniphace8371
    @oswardboniphace8371 9 месяцев назад

    KIROBOTO hicho kinamoendeza kasim juma sasa pic inakaa wap yan asee

  • @suleimanuledi7059
    @suleimanuledi7059 2 года назад +1

    Yani namiliki pexa alafu ninunue kigar Cha kitoto Cha nn

    • @samludo5435
      @samludo5435 2 года назад

      Haha haha mabshooo haooo

  • @magrethpaul5959
    @magrethpaul5959 10 месяцев назад

    Kinauzwaje hicho kigari cha jackchain😂

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 года назад +3

    Sh. Ngapi?

  • @birianination7097
    @birianination7097 2 года назад +4

    Hivi kuna utofauti gani katika kodi kati ya magari ya umeme na mafuta.
    Na nijuhudi gani serikali inafanya kwajili ya watu kumiliki hizi gari.

    • @ericevon6399
      @ericevon6399 2 года назад +2

      Mpaka sasa hmna kodi iliowazii kwa magari ya umeme. Hata kwenye system hayajawekwa. Lakini serikali ilipaswaaa kuyapitisha bila kodi kutokana na kwamba yanatunza mazingira(zero emission) serikali yetu ina mambo mengi ya kujifunzaa kwenye swala la magari ya umeme, umeme wa jua na upepo vitu vingi tuko nyuma.

  • @marwakisyeri5609
    @marwakisyeri5609 2 года назад +1

    Kakikutana na Bus kubwa ama Lori hapo mbezi si utapaa kwa upepo!!

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 10 месяцев назад

      😂😂😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 10 месяцев назад

      Hako kakujidai nako mtaani tu 😂

  • @saidimneka621
    @saidimneka621 Год назад

    KATUNI

  • @INFANI-SPORT-TV
    @INFANI-SPORT-TV 2 года назад

    🙏🙏🔥

  • @sudistambuli3005
    @sudistambuli3005 2 года назад

    Nipo kenya lakini naiihitaji hiki chombo vipi naweza agizia