PIKIPIKI YA UMEME, UKICHAJI INAKUTOA DAR HADI BAGAMOYO, INAUZWA MILIONI 6.4, FAIDA ZAIDI YA 40%

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии •

  • @mangoing32montana76
    @mangoing32montana76 3 года назад +2

    Mueleze huyo musika alete hizo honda kenya 🇰🇪mombasa001

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 3 года назад +4

    Millard nakukubali bro na hii channel yako mko very smart aiseee!! Sio kama ile Channel inaitwa Mbengo cjui!!

  • @shabanikamsawa181
    @shabanikamsawa181 3 года назад +10

    Ikopoa kwa shuguli za nyumbani na shuguli ndogo ndogo na cyo rafiki kwa maisha yetu ya Tanzania

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 3 года назад +6

    Hizi piki piki Zanzibar zimeingia mda tu mpaka tushazisahau...Nyie munawaza mahindi tu🙈🙈

    • @michaelsamson9663
      @michaelsamson9663 10 месяцев назад

      😂😂😂 beigan kwa Zanzibar Mana mil 6 nipalefu

    • @erickbabu4404
      @erickbabu4404 7 месяцев назад

      Izo n baiskel za Ku charge Zanzibar

  • @stevejeremiah4497
    @stevejeremiah4497 3 года назад +8

    Sisi tuko busy kupambana na ugaidi na magaidi.
    Yani tuko busy kupambana na Chadema kwanza wanaotaka kutunyanganya tonge mdomoni.
    Haki aliyeturoga Naye alirogwa

    • @isaacvtv547
      @isaacvtv547 3 года назад +1

      Ungelijuwa rwanda upinzani ukoje ndio ungelisema bro

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 года назад

      yan daaaaah had nalia jmn, cc tunafkuzwa na hatujui wap tufanye biashara , na kila ck et kisiwa cha aman, sasa aman cjui inatsaidia kubun nn jmn ila tuwe wakwel nchi yetu cjajua kwann

    • @demycratia2567
      @demycratia2567 3 года назад

      Umenichejeshaaaa na chadema na ccm

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 года назад +1

    Pkpki Kali Ila kwa umeme wa bongo utalla njaa utasubiri umeme urudi kwa siku tatu dadeck watu tumechanganywa na chadema yetu na ugaidi

  • @mambachagulaga7234
    @mambachagulaga7234 3 года назад +2

    Ziletwe Arusha, tumechoka na makelele ya toyo, zinapiga baruti.

    • @defxtro
      @defxtro 3 года назад

      Kabisa asee

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 3 года назад +2

    Waoooooh safi sana watapiga ela sana bodaboda

  • @MohamedChillo
    @MohamedChillo 9 дней назад

    Safi sana

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 года назад +1

    Nakukubali sana Ayo

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 3 года назад +1

    Kagame huyo ..MUNGU.IBALIKI AFRICA

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 3 года назад +2

    Tanzania ni Nchi ambayo haivutii Wawekezaji kwa Sera zetu mbovu yaani Rwanda tumewazidi kila kitu sisi tuna madini mbalimbali,Bandari na vingine vingi.Lakini kwa Uwekezaji Rwanda wako juu mno na wanafanya maajabu.Hongereni Rwanda

  • @richardchijana9665
    @richardchijana9665 3 года назад +28

    Wenzetu Wana mpaka kiwanda cha kutengeneza gari aina ya VW sisi tupotupo tu na ujinga wetu🙌

    • @no-reply31
      @no-reply31 3 года назад +1

      Sisi tuendelee kumsikiliza harmonize

    • @vincentvin211
      @vincentvin211 3 года назад +1

      Tunatengeneza Gari za NYUMBU

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 3 года назад

      Sema na ujinga wako sio ujinga wetu

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 3 года назад +1

      @@hisanmwakijungu10 😃😂kaziKujiua.nakuuana.kilasikuvilio.

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 3 года назад

      @@hamidaala2832 😂😂😂😂🤣🤣

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 3 года назад +4

    Hivi Tanzania tuna Nini? Mbna tuna watu wanauwezo wa kutengeneza magari na vitu aina mbali mbali, sijui wale watu wanawachukuliaje😠😠😠

  • @kadala06
    @kadala06 3 года назад +2

    Vip kuhusu ajari maana hizo mnaeza kutana bila kujua coz tushazoea miungurumo ya pikipiki

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 2 года назад

    Safi sana wizi wapikipiki utapungua hapo ziletwe nahuku tanzania nwanza

  • @mohdazad1696
    @mohdazad1696 3 года назад +1

    Milioni 6 mzee huku Zanzibar napata TOYOTA IST kali mze

  • @hassanamran3637
    @hassanamran3637 3 года назад

    Nyiee mtagombana na mabossi wanao miliki Sheri zaoo shaulieni

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 3 года назад

    Hizi sawa kabisa

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 года назад +1

    Hongera ruwanda siai Tanzania hats baskel hatutengezi

    • @gabrielmondu8957
      @gabrielmondu8957 3 года назад

      Una uhakika? Unazijua Linkall pikipiki? Wanaassemble dsm mzee

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 3 года назад +1

      Sija kuelewa bad

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 3 года назад +1

    Hiyo bei ni kwere

  • @johnmushi8739
    @johnmushi8739 3 года назад +1

    Wana kiwanda cha simu, gari pikipik, kwetu hata cha kuassemble baiskel cjui kama kipo

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 года назад +1

    Sio kwa umeme wa bongo

  • @lodrickemanuel2076
    @lodrickemanuel2076 3 года назад +1

    Hili waweze kufanya biashata vzr watengeneze pkpk yenye uwezo wa kukaa na chaji24hours hapo watanzania tutanunua sn

    • @Avith-lj2sp
      @Avith-lj2sp 7 месяцев назад

      Kwan mafuta yanakaa 24hours

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 года назад +2

    Ufike Baga, ukutane na umeme mgao ndio ushakolea, manake ushakwama.

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 3 года назад +15

    Kwanini wasiwekee mfumo wa kufua umeme wake wakati inatembea,ili kuepuka muda wa lisaa linalopotea wakati wa kuchaji.

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 года назад

    Wabongo wavuja jasho hazitufai

  • @babaluxe8626
    @babaluxe8626 3 года назад

    Nchi sawa na mkoa wa dodoma ila tz akina nape wanataka umeme usiendelee, u jinga wa tz ni hatari sana

  • @drlembele2552
    @drlembele2552 3 года назад +2

    Milard tuache kidogo tuna mgao sisi 😂😂

  • @jitukorofi9517
    @jitukorofi9517 10 месяцев назад

    Yaani kila kilometers 75 uchaji betri lisaa limoja na nusu ndo uendelee na safari hii haiwezi kuwa piki piki za biashara

  • @gerrymimi9387
    @gerrymimi9387 3 года назад +1

    Nyingi sana India na Vietnam hizi

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 3 года назад +3

    Sisi tunafukuzana na machinga n.a. kuvunja nyumba za watu.

  • @danieltungira3837
    @danieltungira3837 3 года назад +3

    Wakina nape ndo wanapinga vitu kama hydro solution power of energy ili tuwe na industry kama hiz Tz hasira sana

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 3 года назад +1

    Oyooo

  • @LevinaNyembe
    @LevinaNyembe 26 дней назад

    Ikiisha chaji utakokota Kama umeenda mbali iyo aifai kabisa

  • @jofreysinchenje1995
    @jofreysinchenje1995 3 года назад

    Great

  • @chalesichisanza1891
    @chalesichisanza1891 3 года назад

    Pikipiki nzur lkn kukulaza polini dakika sifuri maaana usafr wak hauna uhakika

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 3 года назад +1

    75km ikiwa na abiria au ikiwa na dereva? Charging hours ni nyingi sana kwa biashara ya bodaboda... Nataman kujua heat management/discharging rate ya hizi battery ipoje kwakua technology ya betri hapa ni ya muhimu.. pia mota inayotumika ku power matairi na ipoje? Power rating ya betri na mota ni kitu cha muhimu kuweza kujua ili kuweza kuoanisha muda betri itadumu na charge.

  • @saifabdullah3578
    @saifabdullah3578 3 года назад

    Mm Niko zanzibar nahitaji hiyo pikipiki naweza kupata

  • @gimarigijoshua7417
    @gimarigijoshua7417 3 года назад

    Je tutaipataje kwa bongo huku

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 3 года назад +2

    Sasa pikipiki haipigi kelele si ndio chanzo cha kugonga watu wengi barabarani, maana mlio wa chombo cha moto humsaidia mpita njia kuongeza umakini.

  • @martinabel3896
    @martinabel3896 3 года назад +1

    Akina nape wanapinga umeme wa rufiji sasa hz pkpk na mgao huu unaokuja si itakuwa shida!!

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 3 года назад

    Rwanda apana chezea kabisa, sisi Tz tumebaki na siasa na porojo tu, mmmmhh haya bhana

  • @donaldmwenera4852
    @donaldmwenera4852 3 года назад

    Tumevamiwa na kupigwa hela ya hatari kwa pikipiki moja m 6 tusubiri wachina kutakuwa na uafadhali wa bei mimi mpaka saa hii najiuliza sipati jibu bidhaa nyingi zikitengenezwa Africa bei mara mbili ya yule anae agiza nje

  • @jonaselisha1100
    @jonaselisha1100 3 года назад

    Mbona Arusha zipo nyingi sana

  • @hamadirashidi4969
    @hamadirashidi4969 7 месяцев назад

    Bei gan

  • @selemanihussein7873
    @selemanihussein7873 3 года назад +1

    Kampuni ya Tesla imeingia rwanda

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 6 месяцев назад

    Pikipiki za umeme hazina nguvu kwenye maji ndio haziwe zi kabsa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 года назад

    Watu wana tengeneza magari VW pikipiki lakini sisi tuna komaa na ujinga wa machinga, ugaidi 😂😂 na huku tuna shida ya maji/umeme

  • @renatustinsimile5410
    @renatustinsimile5410 3 года назад

    Yes

  • @josephatchande2471
    @josephatchande2471 3 года назад

    Wajanja nao ili ulete rejesho la mkopo lazma ukachaj kone vituo vyao iko pw sana

  • @djdbway604
    @djdbway604 3 года назад

    Mi naona wange weka na mota ikiwa inatembea iwe inaichaji hio betri Kama pik pik za mafuta Ina chaji betri wafanye Ivo ndo itkuwa poa San

  • @isacktemba289
    @isacktemba289 3 года назад

    Technology ni njema sana ila ufahamu wa wanaotuongoza sasa

  • @officialvoicediamoAlikibajoent
    @officialvoicediamoAlikibajoent 2 года назад

    Kwaiyo ikiishachaji inakuweje sasa

  • @williamemily9412
    @williamemily9412 11 месяцев назад

    Naipataje

  • @mudymudy3132
    @mudymudy3132 3 года назад +1

    Iyo tank ni ya nini?

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 10 месяцев назад

    Iyo pesa inatosha kununua gar

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 3 года назад +2

    Hawa majirani zetu wa Rwanda hadi magari wanatengeneza c tumebaki tunawasikiliza kina Mwijaku, Juma Lokole na kina Manalla kila siku wanaongea upumbavu tu!!

    • @eliaslazaro2809
      @eliaslazaro2809 3 года назад

      Pamoja naakina nape wakpnga mirad ya Jpm

    • @alexkalonga5323
      @alexkalonga5323 3 года назад

      @@eliaslazaro2809 hii nchi nzito sana

    • @tumaaclassic9035
      @tumaaclassic9035 3 года назад

      Sio Rwanda ni mwekezaji tuu

    • @mbogofrank1154
      @mbogofrank1154 3 года назад

      @@tumaaclassic9035 kwahiyo as tunafer wap kupata wawekezwj Kama hao??? Wawekezaj wqnaangalia siasa zilizo Bora sio watu kupewna makesi ya ugaid utafikir tupo jehanam mambo gan hayo

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 3 года назад +3

    kilometers ni chache sana

  • @LevinaNyembe
    @LevinaNyembe 26 дней назад

    Iyo ni triputauni

  • @tonnymichael9494
    @tonnymichael9494 3 года назад +2

    Kwa nn wasitengeneze pikipiki inayojichaji yenyewe najua inawezekana

  • @imanimfugale5270
    @imanimfugale5270 3 года назад +1

    Waje huku bongo

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 4 месяца назад

    Hizo alie zileta kama kaleta nyingi bc imekula kwake kwa milioni 6.4😅

  • @noelchiwangadirectormac6597
    @noelchiwangadirectormac6597 3 года назад

    Nilitaka kushangaa sana kwamba ni Tanzania 😃😃😃

  • @chibunews5642
    @chibunews5642 3 года назад

    Kwa wapora mikoba na cm fulsa hiyoo

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 3 года назад

    Gharama nikubwa sana

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 года назад +1

    Duh rwanda wametuacha mbali sie uku tz kazi tuna viwanda vya fitina na kulumbana na wanasiasa tu

  • @elite_nat8731
    @elite_nat8731 3 года назад

    Tz figisu nyingi

  • @ayoubpapiy4712
    @ayoubpapiy4712 3 года назад +1

    Jee? Itahitaji uwe na driving license kwa mtu atakae drive?

  • @khamiskhatib6113
    @khamiskhatib6113 2 года назад

    Nahitaji namba za mawasiliano niwatafute

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 3 года назад +2

    Unaonaje ikijichaji yenyewe wakati ikitembea

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 3 года назад

    Naichukua hii

  • @wemaselemani9140
    @wemaselemani9140 2 года назад

    Unachokiona MA kujifunza ndicho utacho kifafanya mauwaji ya kikatili ubakakaji na mengi mabaya

    • @wemaselemani9140
      @wemaselemani9140 2 года назад

      Najiuliza Hizo bet iri ,na mwendo wanaotembea wa netu wa kifo chair ikiisha gafra sipati picha

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 3 года назад

    Chaji yake ikoje wakati wa kuchaji au unatumia USB?

  • @omolomaxfitnessbodylifetim8252
    @omolomaxfitnessbodylifetim8252 3 года назад

    Siku nyingine ukirudi Kigali nisalimie basi Ayo

  • @khalidsoso898
    @khalidsoso898 3 года назад

    Sasa mzee mm mruguru wa matombo naipatajee

  • @DM_15
    @DM_15 3 года назад

    Tanzania tunakwama wapi

  • @itwaaky75
    @itwaaky75 3 года назад

    Sawa 👏

  • @getaride-tanzaniacarpoolin7508
    @getaride-tanzaniacarpoolin7508 3 года назад +1

    Tanzania hazipo kweli hizi? Hebu fanyeni utafiti hapo Dar au BBC Swahili

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 года назад

    Shi ngap bei yake

  • @appolonation
    @appolonation 3 года назад

    Mostly wlcm again kaka yeti!! Ayo

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 3 года назад

    Bei shs ngapi?

  • @amosdamian7308
    @amosdamian7308 3 года назад

    Sisi niwatali ndotunajua hiko kuliko kukaa tukajenga inchi

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 года назад

    Milard pasua.anga.baba

  • @hassanmohamedi7585
    @hassanmohamedi7585 3 года назад

    Tatzo Betri inachukua kilomita chache inakata chaji sasa mwendo wakutoka Dar mpaka Bagamoyo imeisha chaji alafu ukifka uichaji tena na inachukua muda kuchaji

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 3 года назад

      Wangetengeneza namna ya kuchaji apo apo kwa mfumo wa hyo hyo piki pik

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 3 года назад

    Sasa uku usa ata baskeri inatumia charger pikipiki ndio usiseme

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 года назад

    🤔 Nunuwa basi UJe kutupa ajira

  • @swahilibongomoviestz
    @swahilibongomoviestz 3 года назад

    Kuna tusi linasikika kwenye tangazo ,"Acha usenge " edit plz

  • @suzystive4288
    @suzystive4288 3 года назад

    sisi tutabaki kushuhudia kila siku kwa wenzetu na kuangalia nani kafanya nini na yupo wapi ni huzuni kwa kweli

  • @fintaniferx9535
    @fintaniferx9535 3 года назад

    Sisi tunakalia siasa tu

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 3 года назад

    Mpka zifke 🇹🇿izo pikpki ntakuwa nimejiwekeza ninunue namie InshaAllah 🙏🙏

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 3 года назад

    Duuh, mzigo mkubwa dolla 40 kwa week

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 года назад

    Walete Bongo Huku itawasaidia wengi sanaaaaa

  • @alisaidi9734
    @alisaidi9734 3 года назад

    Zinauzwa sh.ngapi?

  • @nazalenolupola1932
    @nazalenolupola1932 3 года назад

    Nipe mkono

  • @josephmunishi
    @josephmunishi 14 дней назад

    ntaipataje niko kilomber ifakara

  • @ndilanajunior
    @ndilanajunior 3 года назад +1

    I iko poa sana

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 3 года назад

    Saf

  • @emmanuelshilinde5869
    @emmanuelshilinde5869 3 года назад

    Inapatikana Bongo kwa sasa je na ni bei gan?

  • @abuumaisarah6595
    @abuumaisarah6595 3 года назад

    Duh!