SARAH WA DIAMOND AMCHANA DOTTO MAGARI HAJIELEWI ALIKUWA MWIZI ANAMATUSI/UMUHIMU WA DIAMOND

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 49

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 21 день назад +8

    Alafu nimegundua Sara unajuwa Sana kujielezea na umekuwa Sana kiakili..safi Kila la heri

  • @tshibangumunyenza7383
    @tshibangumunyenza7383 21 день назад +1

    Sarah karibu canada 🇨🇦 your are so lovely one love 💗 watching you live from Toronto

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 18 дней назад +1

    Nlisema sarah kutajwa tu diamond kawa star watu wakanitukana saiv wanaona hongera diamond kumkumbka sarah na kumleta sarah awe star chujua maua yako🎉🎉🎉

  • @user-dl5ye2gg3i
    @user-dl5ye2gg3i 16 дней назад

    Sarah jina la mdogo wangu na pia mjukuu wangu Ni jina kubwa lenye bahati ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ou8sp5bb7n
    @user-ou8sp5bb7n 21 день назад +4

    Sarah una busara sana, achana na wanaokusema wivu unawasumbua, huyo Dotto ni debe tupu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 21 день назад +2

    Sara mim jamila wa marehem mama Sele manzese kigorofani jilani yako manzese..l hope umenikumbuka...ipo ivi achana na doto magari na hao mahetas ..jua kwamba daimond kashakupa upepo tembea nao..na ujuwe umaarufu unakuja na faida na hasara kwaiyo..achana na awo mahetas..Kila la her Sara sudirino wng

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed 16 дней назад +1

    Dotoo hamna kitu kichwani anatembea na neema za mungu tu

  • @mrsab303
    @mrsab303 21 день назад

    You are lovely women ❤❤❤

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 21 день назад +1

    Hahahahaha Sarah Asanteee kwa majibu mazuri sanaaa🎉❤😂Et akiniona popote aniamkie shikamoo bibi uenda nimemzalia baba'ake😂au b Mama yake😂😂😂

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 19 дней назад +2

    Kama diamond angejaliwa kuushi na huyu adi sasa angekuwa na mke bora sana maana nimwanamke mwenye busara sana

  • @princessannabelle4786
    @princessannabelle4786 19 дней назад

    Canada we love you sara ❤

  • @emmyjames4146
    @emmyjames4146 20 дней назад

    Nakupenda sana❤

  • @fauziaabdillahi376
    @fauziaabdillahi376 21 день назад +2

    Ana akili sana huyu sara

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 21 день назад

    Sarah nakupenda sana❤❤❤❤❤

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 21 день назад

    Nimeona sura ya Sarah nikashtuka jinsi ninavyompenda❤🎉

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 20 дней назад

    Sara wee wanakuonea wivu.achana nao.nakupenda .Kutoka South Africa.

  • @chany9950
    @chany9950 21 день назад

    👍🏾😘

  • @boniphacemagese1033
    @boniphacemagese1033 21 день назад +1

    Carry mastery nipe michongo ❤

    • @shabanshabani8453
      @shabanshabani8453 21 день назад

      Good sanaaa napenda mwanamke alivyo na hakili ya kijua yaliyopita ktk mapenzi Kama sara❤

  • @gmwaura1
    @gmwaura1 8 дней назад

    She looks like mama dangote

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 14 дней назад

    Ingekua anataka umaarufu mngemuon kajizalilisha kitambo

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 21 день назад

    Bila kusemwa mjini wee bado ni mshamba fanya maisha waache waseme

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 21 день назад

    Kichwa kimetulia❤❤

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 20 дней назад

    Bado akirud Ufaransa kachukue mtaji bwana 😮

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 14 дней назад

    Ata akijificha sara si mshamba

  • @user-yd9ph7bl3o
    @user-yd9ph7bl3o 21 день назад

    Fanya yako sara achana nawajinga wasikusumbue😂

  • @Last-ig5vw
    @Last-ig5vw 20 дней назад

    🇰🇪

  • @user-pt4ft7ow1s
    @user-pt4ft7ow1s 20 дней назад +1

    Sarah ni kibaya

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 21 день назад +2

    Nimegunduwa huyu demu puwa lake pana.

  • @maribasellemani-xm6gt
    @maribasellemani-xm6gt 21 день назад +2

    We bibi usitemee mic mate bhana we ukifuka kwenye s inakuwa th

    • @Official83640
      @Official83640 21 день назад

      Muombe sana Mungu asikupe kilema

    • @amisafaraji5796
      @amisafaraji5796 21 день назад +1

      Usitukane wakungwa na uzazi ukalipo nyoo roho zinawauma kisa kupata umaarufu mtoto wa mwenzenu

    • @DM.2200
      @DM.2200 21 день назад +1

      Makasiriko mabaya jaman 😅😅

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 20 дней назад

      Ukimuona mtu anamaneno kama yako basi ujue mwanga usiku anakwangwa nimchawi.nanihasidi

    • @RoseMbwana
      @RoseMbwana 19 дней назад

      Wenae vip? Uyo anakisembe kila mtu Mungu kamuumba apendavyo yeye Muumba

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 21 день назад

    Tha tha the the thi thi tho tho thu thu 😂😂

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 21 день назад

      Nimaumbile usimu kosoe Mungu!

    • @khamoshmikidadi618
      @khamoshmikidadi618 21 день назад

      @@BarbaraPatience-qt9cc hujui tu jinsi ninavyopend kumuona mt anae ongea mathee Kuna mda adi na mimi naiga

    • @thuwaybarajab6099
      @thuwaybarajab6099 21 день назад

      😅😂😂😂😂

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 18 дней назад +1

      Jamani mwenyewe imempendeza hiyo Tha anavyotamka 💕👌