NI KWELI!!!!BABALEVO AFUNGUKA KUVUNJIKA KWA NDOA YA SHILOLE/ ANA MPENZI MPYA / TALAKA MBILI TU!BADO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 51

  • @Ms_iptyy_makeup_artist
    @Ms_iptyy_makeup_artist 6 месяцев назад +3

    Talaka sio kitu cha masihara mwanamme akikutamkia tu nmekuacha tayar talaka

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 6 месяцев назад +11

    Wasanii wetu ni ATM machine kila card inaingia 😂

    • @cutehappy3984
      @cutehappy3984 6 месяцев назад +2

      Hapana kwasababu wao ni vioo vya jamii ndo maana unaiona ivyo pengine pia wewe umeshakuwa na mahusiano mengi kuliko hata hao wasanii unaowaongelea sema tuu haujulikani ndo maana

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 6 месяцев назад

      ​@@cutehappy3984unajua maana ya kioo cha Jamii?

  • @rajabkhamis2303
    @rajabkhamis2303 6 месяцев назад +2

    Jamani eeeeh hebu tusomeni kwanza ndio tutoe fatua,hiyo talaka inaswihi

  • @vero57
    @vero57 6 месяцев назад +2

    Wanawake mara nyingi wakiwa wanapesa kuliko mwanaume ndiyo inavyo kua , pole sana kaka ,

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 6 месяцев назад

      Nikweli sii jui ni kwa nin nikutokujielew am duuh wameachan leo kesho ana mahusiano mengine duuh zinaa zimetawala san

    • @MsNajma-e6e
      @MsNajma-e6e 6 месяцев назад

      Kabsaa ssi wanawake tukiwa na pesa majeuri na hatodumu na Kila Haina ya wanaume ujeuri unakuwa mwingi taraka inaswii mtu yupo marekani na kamuacha mkewe

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 6 месяцев назад

      @@MsNajma-e6e tunazitafuta kwa shida san pesa ndo maan yunakuw hiv lakin siyo wote baadhi yetu

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 6 месяцев назад +1

    Pesa inaongea KWA SHISHI.. ,😂😂🤣🤣📌📌

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 6 месяцев назад

    Ammy sura imezeeka daah

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 6 месяцев назад +2

    Midhali aliyeandika ni mume talaka itakuwa imetoka.
    Atakachofanya ni kuleta tu huo uthibitisho na kumkabidhi mbele ya shahidi

  • @harunazari5026
    @harunazari5026 6 месяцев назад

    Uyo baba levo ajui talaka ya kweny cm inaswihii vizur km ajui aulize vizur

  • @mbanga6759
    @mbanga6759 6 месяцев назад

    Jamani acheni mzaha toka lini jakhiri aongee Mambo ya dini kiislamu

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 6 месяцев назад +1

    Siku zote mwanamke akiwa na pesa kuliko mwanaume its big problem hata biblia imesema

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 6 месяцев назад +2

    Inaswhi

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 6 месяцев назад +1

    We baba levo wasema talaka ya kwenye cm haishwii nani kakwambia ? Hiyo imeshwii

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 6 месяцев назад +2

    Ninaswii

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 6 месяцев назад +1

    Wapumbavu ninyi wasafi wote kama talaka ya kutamka tu inaswihi vipi talaka ya kuandika kwenyesimu na akatumiwa mlengwa isiswihi?Msiwe mnaongea vitu msivyo vijuwa.hiyo talaka aliyoandikiwa kwenye simu ni talaka sahihi kabisa na inaswihi

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 6 месяцев назад

    Kidini hiyo talaka inasihi coz mwanamme akitamka tu iyo ndo tayari si mkeo

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 6 месяцев назад

    Uyu dada mtangazanji namsahau jina nina mpendaka saaana kbsa❤

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 6 месяцев назад

    Talaka inaswihi hata kwenye simu

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 6 месяцев назад

      Talaka inaswihi hata kwa kimemo wachilia mbali kwenye simu ikiwa mwanaume atathibitisha kimemo kimetoka kwake

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 6 месяцев назад

    ahaaa kile kibwana mdog kimeachwa hahaaaaa tafuta pesa mzeee acha kupenda kitonga

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 6 месяцев назад +1

    Aliyepeleka nje ni shishi na picha yake na kijana mwingine,yule kakoment kufatana na picha

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 6 месяцев назад

    Talaka ni talaka iwe kwenye simu au karatasi

  • @Ummuilltham
    @Ummuilltham 6 месяцев назад

    Ata ukiandika ubaon tayali ni talakaa

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 6 месяцев назад

    Inaswihi bhna kwann isiswihi

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 6 месяцев назад

    Shishi anashida

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 6 месяцев назад

    Baba levo anamtetea Shishi kwa manufaa ya tumbo lake.Shishi kaanza kupeleka picha alikuwa na maana gani?

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 6 месяцев назад

    Hahaha taften walimu talaka Haina mzaha ishatoka hyo Ina swiii

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 месяцев назад

    Baba levo mkiristo ajuwe wap inaswii hiyo imeisha

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 6 месяцев назад +3

    Shishi vivulana sasa achana navyo hivyo ni saiz ya watt wako wavulana wa sasa hv hawana adabu wanaweza kulala ww na mtt wako tafuta jibabu bilingita nalo

  • @teddymanswety9198
    @teddymanswety9198 6 месяцев назад

    Inaswihi baba levo acha uongo

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 6 месяцев назад

    Wavulana wa Dar wanapenda kulelewa sana na ndo tatizo kumbwa hiyo.😂😂😂😂

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 6 месяцев назад

    Walio anza kusema kwamba wame achana ni juma lokole

  • @joycethomas3183
    @joycethomas3183 6 месяцев назад

    Shilole naye kazidi kuolewa

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 6 месяцев назад

    Kwaio na mimi sijaachika?mn pia nimepewa talaka kwenye simu?

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 6 месяцев назад +1

      Umeachika mmy hata kwa kutamkiwa tuu inakubalika

    • @NaifinMohamed
      @NaifinMohamed 6 месяцев назад

      Kumbe tupo wengi

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 6 месяцев назад

      Talaka mwanamme hata akitamka talaka si mke wangu kashakueacha kuna mtu akimwambia mkewe ukitoka si mke wangu kila kitu akitumia hivo mwishowe mwanamke akahisabiwa kaashaambiwa mara 3 kaachika na kashaolewa na mume mwengine

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 месяцев назад

    Imekwisha hiyo et haiswi et ziwe tatu kuropokwa tuy hiyo moja inatosha hiyo ni talak hata zikngekuw 10 ni bure tuy huyo kaachwa kwa din yetu halas aolew tuy

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 6 месяцев назад

    Ww baba Levi ayo mmbo wa hue waislam ok talaka kwenye sim haisih kakwambia Nani

  • @Dealson-w5l
    @Dealson-w5l 6 месяцев назад

    Ahaha

  • @Shufaa-nf3sj
    @Shufaa-nf3sj 6 месяцев назад

    😂😂😂

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 6 месяцев назад

    Kachapwa talaka 2 mbwa huyu