Kanisa LA kweli tutalikuta mbingun dunian tutabaki kuzozana2 sisi sote tunamuabudu Mungu mmoja hafai kugombana. Imani pekee yatosha.from Roman Catholic
sioni tofauti kubwa sana kwakuwa zote zinahubiri habari za yesu. uwe orthodox au roman Catholic wote ni wa yesu. hivyo yesu ndiye mkombozi wa ulimwengu. I am proud of being a Christian. Thanks God
Karibuni wakirsto wote duniani hawajuwi nini maana ya bibilia. Maana ya bibilia ni kitabu sio jina. Nyinyi wakilirsto eleweni bibilia ni kigiriki sio kiswahili wala sio kizungu
Leo ndo nimejua orthodox ni kanisa la kweli mwanzo tulikua tunaambiwa wanasali freemason Duh tena nilisafr kwenda mkoan kwetu nkakutana na kituo kiaitwa hivyo nkauliza wakasema hilo ni kanisa la Mafreemason na wanagawa pesa🤭🙌Ahsante Justin Shedy
Wachangiaji karibu wote hawajui maana ya kanisa wanashindwa kutofautisha dhehebu na kanisa. Kwa mujibu wa biblia kanisa ni mtu aliye amini kisha akampokea Yesu moyoni mwake kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake. Dhehebu halina sehemu katika ufalme wa Mungu linatumika kama usafiri wa kukupeleka katika ufalme. Na siyo kila gari itakufikisha mengine yameshajichokea, mengine hata safari ya mbinguni yalishabadili route. Msafiri ndiye anawajibika kuchunguza gari sahihi kumfikisha aendako
BADO HAWAKO KWENYE MSINGI WA KWELI.📢🤝 ISAYA 8:20 Na waende kwa sheria na ushuhuda ; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili , bila shaka kwa hao hapana asubuhi .🤝 YOHANA 14:15 Mkinipenda , mtazishika amri zangu .🤝 1YOHANA 2:4 Yeye asemaye , Nimemjua , wala hazishiki amri zake , ni mwongo wala kweli haimo ndani yake .
Umejitahidi kueleza vizuri lakini kuna vitu umepotosha. Hakuna kitu kinachosema Papa hakosei kitu. Soma kuhusu Pope Infallability pengine ndio ulichotaka kueleza
Hiii media ina tabia za uwongo sana..kihistoria ni ni kwamba kanisa katoliki la mashariki ni muungano wa makanisa 23 ya kiothodox yaliyoungana na kanisa katoliki la magharibi baada ya mafarakano yaliyotokea mwaka 1054..tofauti iliyopo kati ya kanisa katoliki la magharibi na kanisa katoliki la mashariki ni ya kiutamaduni na mavazi ya kikuhani ..lakini kanisa ni moja lenye umoja na baba mtakatifu wa Roma kama mkuu wa kanisa katoliki duniani...hivyo patriarika wa kanisa katoliki la mashariki ni askofu kama askofu wengine akimwakilisha baba mtakatifu katika Eneo lake la kichungaji.....kwa taarifa hizi fupi nawasihi viongozi wa media hii waache mara moja tabia za uwongo na uchochezi na unafiki unaolenga kwa makusudi kupotosha ukweli kuwa uwongo.....( Nawashauri wakristo wakatoliki kuwa makini na media hii yenye tabia ya kueleza uwongo na kuinyonga historia ya kweli)...Amina.
Acha uongo, kama hujui usidanganye watu, papa wa roma sio mkuu wa kanisa la orthodox, mkuu wa orthodox Tunamuita ikumeniko patriach ambaye akao yake makuu yapo Constantinopoli, hatuna uhusiano na roma kabisa kutoka tulipo achana mwaka 1054 , tumebaki kama ndugu ila kila kanisa linautawala wake
Asiyeijua historia ya Kanisa na apige kelele maana hajaelewa kitu. Ukweli ni huu; Orthodox ni Katoliki kabisa. Tofauti ni uongozi. Kiongogi wa Kanisa Katoliki ni Roho Mtakatifu na Orthodox vilevile
Hapo kwenye Papa hakosei, rudi ukasome vizuri. Hakuna fundisho la hivyo. Kuna maneno muhimu umeyaacha na umepotosha fundisho hilo. Seems like source ya habari hii umeitoa kwa wa orthodox
Orthodox na Christian tunajuwa haya madhehebu yote yaliletwa na wazungu wa ulaya magaribi yaan ukristo na ulaya mashariki bara la Asia ambayo ndio hiyo orthodox mimi naona hii dini niyakweli.
Ni kanisa katoliki la mitume yaani Orthodox katoliki, hata hvyo inaruhusiwa kusali kikubwa tuu ni imani ya kikristo tena ya mitume,mm ni Roman catholic lakini nawakubali sana hawa ndugu zetu pia kwa sababu sehemu ninapoishi hakuna kanisa la Orthodox lakini kuna la RC ko nasali huko pia, ila kwa mengine yaliyobaki hasa ambayo imani zao si za mitume sitawahi, proudly Apostolic faith ☦️✝️
hakuna kanisa linaloitwa roman catholic church, back kwenye source zako dig deeper kanisa katoliki halijawahi kuitwa roman catholic. unaongea vitu kama mlevi
Yaani hapa serious kachemka leo kanisani Padri kasema "msisiseme mbn padri anafanya hivi basi na mm nifanye , sisi ni magarasha tuu,mtazameni Yesu Kristo, tena huenda hata Padri akawa mdhambi kuliko hata muumini,ko tumtazame Yesu na sio viongozi wa dini " asome kuhusu Pope infallibility ataelewa
Roman Catholic sio kanisa la Kwanza Sio kanisa la kritu( Christian Church) Roman Catholic church is devilish church ( yaani Kanisa la kishetani) Roman Catholic ndio wauwaji wakubwa wa wakrisrtu
Usihukumu kwa kuliita devil church broo ,kumbuka kanisa lako halikufikishi mbinguni ,mchungaj wako hakufkishi popote ...keep on moving forward ,all the best
Mi na FUNGULIWA ha Siri za Mungu Baba Mimi Ni Njo Mara y’a Kuanza Ku sikiya Maana y’a Ndefu murefu WOWWW ? Thanks Shalom
🙊Najivunia allahmdulillah
Kanisa LA kweli tutalikuta mbingun dunian tutabaki kuzozana2 sisi sote tunamuabudu Mungu mmoja hafai kugombana. Imani pekee yatosha.from Roman Catholic
Si kila kanisa linakupeleka Mbinguni. Ujue tu hivo.
@@MichaelMathew-j3f imani yako tuuu
Nimeipenda hilo kanisa la Orthodox🙏
sioni tofauti kubwa sana kwakuwa zote zinahubiri habari za yesu. uwe orthodox au roman Catholic wote ni wa yesu. hivyo yesu ndiye mkombozi wa ulimwengu. I am proud of being a Christian. Thanks God
Mungu atusaidie maana wakati tulionao ni mgumu sana Bwana awabariki, (mathayo 1-28) imeeleza namna ya kutuongoza katik hata tulionao
Karibuni wakirsto wote duniani hawajuwi nini maana ya bibilia. Maana ya bibilia ni kitabu sio jina. Nyinyi wakilirsto eleweni bibilia ni kigiriki sio kiswahili wala sio kizungu
na wewe unaelewa nini juu ya kiarabu na kuruani,
Wako vizuri
Acsenti ndimi mpu pendwa 👍🙏
All are welcome to the Orthodox church we are many we have the Russian, creek and more others
Safi Sana, watu wajue kuwa ukatoliki siyo dini ya mitume Bali Ni dini ya makaisari
Acha Upumbavu
@@Pozy49tz1 wewe mbona hujaacha upumbavu?
Huna hakiri kabisa msemaji mwenyewe in muongo.
@@sarafinafranci8481 wewe mwenyewe mbona huna akili kwanini unanilaumu Mimi tu
Kaisar si ndo wewe
Tofauti yao ni maisha ya useja , mbaya zaidi watu wengi hawajui Nini maana ya maisha useja.
😂😂😂😂😂😂🎉🎉
Asante sana basi naomba historia ya kardinali wa kwanza mwafrika
kumbe orthodox ni kanisa zuri la kusali sheria zake ni nzuri sana
Ukristo ndo Ukristo halisi kabisa
Amina ☦️
Ethiopia ndo tupo wengi orthodox
Leo ndo nimejua orthodox ni kanisa la kweli mwanzo tulikua tunaambiwa wanasali freemason Duh tena nilisafr kwenda mkoan kwetu nkakutana na kituo kiaitwa hivyo nkauliza wakasema hilo ni kanisa la Mafreemason na wanagawa pesa🤭🙌Ahsante Justin Shedy
Endelea kubaini ukweli
Amna kitu yotee yaleyale kasolo jina 2
Kanisa ni Moja katoliki la mitume, mengine ni madhehebu
@@paulrwechungura4284 subiri Yesu arudi ndio utajuwa kama ahujuwi,soma andiko ilo,Isaya 8:20,ufunuo 14:12!
@@jeanmuzaliwa9023 kanisa ni moja katoliki la mitume
Wakatoliki ndo waliandika biblia
Ata soma Korani aya 99 utaelewa
I love Orthodox Church
Orthodox ni waaminifu sanaa
Uaminifu ni wa mtu mmoja mmoja si wa jumla
Uaminifu ni wa mtu mmoja mmoja si wa jumla
Uaminifu ni wako wewe au mtu binafsi
Asante ila ila kanisa la masharik na la magharibi, ni moja isipokuwa uongoz.kila kitu ni sawa.
Tunaoielewa Orthodox ndo tunaombaga Russia ishinde vita ileeeeeeeeeeeee
Wakatoliki wapo juu hapo.
Ishinde au iache vita, ndo nasema mpo tu madhebu ayo, hayana muelekeo wa imani
Orthodox ipo Ukraine, Russia, Greek na maeneo mengi. Unataka ishinde Vita, kwani hiyo ni Vita iliyoitishwa na Mungu???
Eeeeeh mm binafsi nilikuwa nawaza kuomba video ya namna hii shida yangu nilitaka kujua utafauti wa izi dini..... kazi nzuri sana brother Justin...🇲🇿😃😃
Sio dini ni dhehebu😇😇😇
@@marrypius576 lakini mm sio mtanzania kiswahili chenyewe napapasa tu kwaiyo kukosea ni kawaida kwa kila binadamu my sister 😃😃
Wachangiaji karibu wote hawajui maana ya kanisa wanashindwa kutofautisha dhehebu na kanisa. Kwa mujibu wa biblia kanisa ni mtu aliye amini kisha akampokea Yesu moyoni mwake kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake. Dhehebu halina sehemu katika ufalme wa Mungu linatumika kama usafiri wa kukupeleka katika ufalme. Na siyo kila gari itakufikisha mengine yameshajichokea, mengine hata safari ya mbinguni yalishabadili route. Msafiri ndiye anawajibika kuchunguza gari sahihi kumfikisha aendako
Frome Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Big up
Orthodox ni Waroman pure😅😅😅
We ni muoethodox acha usee
iko vizuri
Mimi ni muOrthodox, ni kanisa halisi na lakweli kabisa. Hakuna uhuni uhuni wala usanii.. nalipenda sana kanisa langu, japo tuna itwa mafreemason
Pole
Kwani huwa wana amini Nene orthodox
Kwa Dar kanisa liko wapi
@@paul1985ization iringa ndo yamejaa saana na njombe huku
Kanisa ni moja tu, catholic, mengine ni madhehebu
Mimi naitwa Justine shed sasa twende kazi
Hivi nikweli Roma no mafreeemason au
Nilichogundua tofauti Ni uongozi tu dhehebu Ni moja hilo hilo
Kwanini umeweka green na red kwenye cover pitcher
Historia hiyo umeitoa wapi wewe mwongo sana acha kuwapotesha watu kwa usilolijua
Hebu leta ya kwako ya ukweli
Roman is the best
Broo fanya video kuhusu legend of the seeker tujue kiundani
aaaaaaaaa acha ncheke kwanza izi dini zakutengenezwa kazikweri kweri
BADO HAWAKO KWENYE MSINGI WA KWELI.📢🤝 ISAYA 8:20 Na waende kwa sheria na ushuhuda ; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili , bila shaka kwa hao hapana asubuhi .🤝 YOHANA 14:15 Mkinipenda , mtazishika amri zangu .🤝 1YOHANA 2:4 Yeye asemaye , Nimemjua , wala hazishiki amri zake , ni mwongo wala kweli haimo ndani yake .
Kweli kabisa
Sijaelewa
Nime elewa sasa twende kazi
Imani inatosha
Umejitahidi kueleza vizuri lakini kuna vitu umepotosha. Hakuna kitu kinachosema Papa hakosei kitu. Soma kuhusu Pope Infallability pengine ndio ulichotaka kueleza
Kabxa yaani 😂😂 pia kuhusu kiongozi wa RC ni Papa afu Orthodox ni Yesu kristo hapa sijamuelewa kbx , Jesus Christ is the head of the church
Kumbe orthodox ni yamaana kweli kweli,, hii katoliki ni halamu.
Hiii media ina tabia za uwongo sana..kihistoria ni ni kwamba kanisa katoliki la mashariki ni muungano wa makanisa 23 ya kiothodox yaliyoungana na kanisa katoliki la magharibi baada ya mafarakano yaliyotokea mwaka 1054..tofauti iliyopo kati ya kanisa katoliki la magharibi na kanisa katoliki la mashariki ni ya kiutamaduni na mavazi ya kikuhani ..lakini kanisa ni moja lenye umoja na baba mtakatifu wa Roma kama mkuu wa kanisa katoliki duniani...hivyo patriarika wa kanisa katoliki la mashariki ni askofu kama askofu wengine akimwakilisha baba mtakatifu katika Eneo lake la kichungaji.....kwa taarifa hizi fupi nawasihi viongozi wa media hii waache mara moja tabia za uwongo na uchochezi na unafiki unaolenga kwa makusudi kupotosha ukweli kuwa uwongo.....( Nawashauri wakristo wakatoliki kuwa makini na media hii yenye tabia ya kueleza uwongo na kuinyonga historia ya kweli)...Amina.
Amina mpendwa ubarikiwe sana
Kanisa LA orthodox lipo Babati Manyara?
Acha uongo, kama hujui usidanganye watu, papa wa roma sio mkuu wa kanisa la orthodox, mkuu wa orthodox Tunamuita ikumeniko patriach ambaye akao yake makuu yapo Constantinopoli, hatuna uhusiano na roma kabisa kutoka tulipo achana mwaka 1054 , tumebaki kama ndugu ila kila kanisa linautawala wake
@@faustinombay5277arusha lipo
Tupia mambo cz tuna mb zakutosha na hatunabpa kuzipeleka
wa kwanz
Justin video unazosema tuendelee kuangalia hapa bongofasta uwe unazilink tuendelee kuzifuatilia
Nataka tafsiri ya kiswahili kuhuusu papa akiongelea sabato
Story about why waisraeli hawaamini ukiristo na bibilia inaongea Sana kuhusu Israel naitwa Titus toka kenya
Ukristo, Uyahudi na Uislam n dini zilizotoka katika Shina la Abraham.
bro una nichangny ck hiz imekuw hat pumzik kwa ck una achia hat 5 punguz kas mzee had nyngne zna tupit
Na sio hivyo tu eti mkuu wa kanisa katoliki ni Papa afu Orthodox ni Yesu Kristo, duuuuuh hapa napo ni shida
Aha kumbe
Good
👏👏👏
Dini ya kweli ni Islam zilizobaki bisnes na miyeyusho
No.
Safi sana endeleeni na ugaidi na mauaji tu
This is the church
Yote hakuna dalili ya kumuamini Yesu maana Imani ndio kila kitu sio sanamu ya msalaba wala ya mariam
Mwongo sana wewe, hata hujui chochote, umewakamata ambao hawajui. Rudi darasani tena usipotoshe watu.
Soma historia vizuri ama uliza makasisi kuhusu Orthodox na watakwambia hivi hivi
Papa ni mkuu wa maaskofu lkini kusema akosei ni uongo ajasemwa ivyo
Asiyeijua historia ya Kanisa na apige kelele maana hajaelewa kitu.
Ukweli ni huu; Orthodox ni Katoliki kabisa. Tofauti ni uongozi.
Kiongogi wa Kanisa Katoliki ni Roho Mtakatifu na Orthodox vilevile
Mbona tanzania akuna dini ya osodox
Lipo kabisa la ORTHODOS pale DAR
Walianziaha makanisa mengi tuu hasa mkoa WA iringa ila yamekufa kwakuwa hakuna waumi
😱😱😱fred
Hapo kwenye Papa hakosei, rudi ukasome vizuri. Hakuna fundisho la hivyo. Kuna maneno muhimu umeyaacha na umepotosha fundisho hilo. Seems like source ya habari hii umeitoa kwa wa orthodox
Hapo kwenye mamulaka ya papa umedaganya na hakuna sehemu yyote kanisa cathoric linasema papa hakosei
Waulize wanaojua maana ya INFALIABILITY of POPE.
Nahisi Orthodox wako Sahihi zaidi ya Wakatoliki juu ya Imani y Kiimani ya Kikristu.
Ndio, na ndo wenye kumiliki kaburi la yesu
Jamani eee kalibuni kanisani kama upo sehemu ambapo hamna kanisa la orthodox nitafte kupitia email yangu hapo tukuletee hutuma
Hujaandika email
Tanzania lipo sehemu gan maana huwa nalitafuta lakini sijawahi kuona
Sasa nisali kanisa gani broo kwasababu mnanichangsnya
nenda kasali msikitini hutochanganyikiwa
Hata huko misikitini napo ni shida tu. Kuna wasun na wale wengine na kila mmoja anaamini ktk maswaiba wake. Hivyo ni shagarabara.
Yaaani angalia palipo na amani ya moyo, mengine siasa tuu
Wote wahuni tu
Wewe mwenyewe muhuni.
Roman Catholic ikuja miaka 300 bada ya yesu kuondoka, othodox ndo kanisa ka mwanzo
Kanisa ni moja catholic la mitume
@@paulrwechungura4284 hujaujua ukatoliki ukijua huwendi tena kanisani
Orthodox na Christian tunajuwa haya madhehebu yote yaliletwa na wazungu wa ulaya magaribi yaan ukristo na ulaya mashariki bara la Asia ambayo ndio hiyo orthodox mimi naona hii dini niyakweli.
Orthodox ndo Ukristo halisi
Bado haja fafanua vyema kuhusu Orthodox
Orthodoxe ndio dini halisi nawaelewaga sana hawanaga mambo yajinga kama wengine kama ushoga nak...
Nimekuwa siwajuwi orthodox, nazani afrika apo Hawa jama
@@vanemmy6043 Ethiopia wapo njo kwawo Sana
Hata Tanzania mbona wapo Tu
@@vanemmy6043 wapo wengi sana na kiongoz wao alikuja mwezi wa nane kama sikosei
Hawa wamenyooka
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🙏
Kulikuwa na mpapa xio maskofu, luis 2 alikuwa ni papa
Othordox wote rudini roman Catholic
Othodox ni katoliki ile ile hamna utofauti wowote nyie ila tu utofauti wake mapadre waonwanaowa
🇰🇪✌️👍🙏
Nahamia orthodontist
Ni kanisa katoliki la mitume yaani Orthodox katoliki, hata hvyo inaruhusiwa kusali kikubwa tuu ni imani ya kikristo tena ya mitume,mm ni Roman catholic lakini nawakubali sana hawa ndugu zetu pia kwa sababu sehemu ninapoishi hakuna kanisa la Orthodox lakini kuna la RC ko nasali huko pia, ila kwa mengine yaliyobaki hasa ambayo imani zao si za mitume sitawahi, proudly Apostolic faith ☦️✝️
Hhhhhhhhh ila jmn hizi dini
hakuna kanisa linaloitwa roman catholic church, back kwenye source zako dig deeper kanisa katoliki halijawahi kuitwa roman catholic. unaongea vitu kama mlevi
Yeah naitwa Pascal toka Kenya
Leta video kwa nini waisraeli hawaamini ukristo na wao ndio wako kwa biblia
Ukristo sio dini bali maana yake ni Ufalme au Mpakwa mafuta
so we here just for luvule f goes to
JUSTIN NAITWA LAMECK SEBIGA, ILA MBONA NIMEKUOMBA MUDA TU UTUTENGENEEE VIDEO KUHUSU HISTORIA YA WATURUKI NA KABILA LA WA KAI MBONA HUJATUTENGENEZEA??
Punguza alam hyo kwenye clip jaman alam inasikika kuliko hata maongezi punguza uwe unaweka kidogo kwa mbali
NAOMBA UTULETEE VIDEO KUHUSU ANNUNAKI NA CHIMBUKO LAO NA UHUSIANO WAO NA ADAM
Nani kakwambia kuwa papa ndo kichwa cha kanisa? Unatumia hisia zako, nani kakwambia kuwa maaskofu na mapadre siyo wadhambi?
Yaani hapa serious kachemka leo kanisani Padri kasema "msisiseme mbn padri anafanya hivi basi na mm nifanye , sisi ni magarasha tuu,mtazameni Yesu Kristo, tena huenda hata Padri akawa mdhambi kuliko hata muumini,ko tumtazame Yesu na sio viongozi wa dini " asome kuhusu Pope infallibility ataelewa
Shedddddd
Roman Catholic sio kanisa la Kwanza
Sio kanisa la kritu( Christian Church)
Roman Catholic church is devilish church ( yaani Kanisa la kishetani)
Roman Catholic ndio wauwaji wakubwa wa wakrisrtu
Hujielewi pole yako?
Don't judge ...ulikuwepo ?
Usihukumu kwa kuliita devil church broo ,kumbuka kanisa lako halikufikishi mbinguni ,mchungaj wako hakufkishi popote ...keep on moving forward ,all the best
@@damasdaxzm1313 iman yako ndo itakupeleka mbingun
@@damasdaxzm1313 iman yako ndo itakupeleka mbingun
Sabato ndiyo kanisaa
Kila mwamba ngoma huvutia kwake
Orthrodox imee anzishwa na nan?
Yesu
Kwani hao wanao omba video awana midoma na akili ya kwenda kusoma au
👏👏
JUSTIN NAITWA LAMECK SEBIGA, ILA MBONA NIMEKUOMBA MUDA TU UTUTENGENEEE VIDEO KUHUSU HISTORIA YA WATURUKI NA KABILA LA WA KAI MBONA HUJATUTENGENEZEA??
Google kwenye mtandao utapata historia yake
Very nice
JUSTIN NAITWA LAMECK SEBIGA, ILA MBONA NIMEKUOMBA MUDA TU UTUTENGENEEE VIDEO KUHUSU HISTORIA YA WATURUKI NA KABILA LA WA KAI MBONA HUJATUTENGENEZEA??
JUSTIN NAITWA LAMECK SEBIGA, ILA MBONA NIMEKUOMBA MUDA TU UTUTENGENEEE VIDEO KUHUSU HISTORIA YA WATURUKI NA KABILA LA WA KAI MBONA HUJATUTENGENEZEA??
Watuluki ni waslam uyu jamaa
Hatoweza kuadithia ipasavyo