Jamaa anajuwa sana! Ujumbe umetulia sana. Kiufupi jamaa aliumiza kichwa kwenye kutunga hadi video yake👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏. Niko India kimasomo jimbo la Punjabi hsipiti siku sijaucheza huu wimbo
Nimemaliza kuangalia asa ndio nicoment Ili KAZI ionekane kazi lazima uifanye kama KAZI kwelii na uipe heshima zote ili iheshimike na Kwa watu wengine Aliyeelewa ameelewa bravoo sniper Migera Bravo nyingi Sana Mtc Na kongole Kwa Sukuma song writer KISIMA you deserve the best 🔥🔥🔥🔥🔥video Ina hadhi ya nyota Tano kabisa🌟🌟🌟🌟🌟
Mimi nishabiki saaaana wa hizi nyimbo za asili bana unanikosha sana kisima mungu akupe maisha marefu,,, maana nyimbo za asili zimegeuka kuwa bibulia,,zinafundisha sana jamani pigeni kazi sisi tupo nyuma yenu kuwaunga mkono,, pia kazi na maombi,, ACHIA TENA SHILATU ,,,, Emmanueli, kusekwa, kutoka mwime ya ilindi kahama.
Kisima bhana mungu akubariki utufuraishe miaka mingi mi nakukubali kinoma yaaan nikisikia nyimbo yako nahisi furaha muda wote Asante kazi nzuri kaka yangu ogukaya ontuzu💙🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏🙏🤝🤝🤝🤝🧎🌹🍜
Sina neno uongeze chuma t nilijua tangu zamani kuwa kunasiku utatufikisha mbali wasukuma toka kwenye ngoma kama mbina,simiyu kisabho,hadika bigup sana🎉🎉🎉
Nipo nimetulia nikiendelea kunufaika na tungo tata ambazo kwako ni kukua kwa kipawa chako ! Hongera mwaka umeend poa , tungojee albamu mpya 2024 God bless you. Narudi zangu Uyumbu wilaya ya kaliua.
kwa hapa ulipofikia wasukuma tumekubal kuwa your the greatest singer in sukuma land tribe sasa inatakiwa dunia ijue tutafutie kolabo moja kali na wasanii wa bongo fleva hafu iwe traditionally aiseee taifa litasimama kwa mda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ndo shikome niliokuwa naisubria jaman da raha ilioje kisima mungu akurinde akuongoze vyema♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Mimi nmshabiki wa gude gude Ila Leo nmehamia kwa KISIMA *** kisima was a pure talent from god love this song from Rwanda**kisma god bless you forever 🎣🎿🛷🎮🎲♥️🀄🎣🛷🎿🎰🛷🎰🎰🎿🀄🎲🎲🎲😎⛸️⛸️♠️♠️🎽🎱🔮🎿🀄🎱♥️🎮🛷🀄🎣🎰🀄
Kwenye huu wimbo kisima umenikumbusha mbali sana kwenye kukusanya samadi za ng'ombe kuchoma viazi na mbute Dah Nina miaka sijaona mbute Jaman nimezimiss sana siku nikirudi nyumbani kwetu kijijini nikale mbute na nisisitize shikome kiendelee
mimi siwezi kumaliza masaa kumi na mbili sijaangalia video ya kisima na nipo katikati ya dar!! big up sana kisima na nikikumbuka ulikotoka duu tunakupeleka kwa mkuu wa skauti mayunga kwenye zoezi nasi tunakimbilia daladala ya baiskeli!! kila kitu ni kujituma tu
Umengusa sana nilifanya kazi na mtu mmoja alikuwa anajisifu sana eti yeye ni mwanamke mwenye pesa hii dunia siyo ya kujisifu ukibarikiwa mshukuru mungu.
wa hapa ulipofikia wasukuma tumekubal kuwa your the greatest singer in sukuma land tribe sasa inatakiwa dunia ijue tutafutie kolabo moja kali na wasanii wa bongo fleva hafu iwe traditionally aiseee taifa litasimama kwa mda
Mungu akipanga ufanukiwe utafanikiwa,umeanza nikiwa nasoma shule ya misingi,,leo hii umetoboa ata mm ninaimani nitatoka mana si kwa jusimuliwa bali kipindi unaletwa na mayunga kidoyayi kijijini kwetu kuwasapot vijawana wake wengine kwenye goma yao,hadi mkesha,Mungu anaweza
kazi ni kazi nyanda nolo bochingaaaaaa, Eshikolo oleopandekaa kumbukaga oko we ngaaaaaa, mleyolagolwaa makala nyanda mwandya kwi tongaaaaa, Amafumu galenamasalaaa gakandyaga tamu lyokotegaaaaaa, hongera sanaa kisimaa mziki mzuri vina na mizanii🇹🇿
Africans, gather here and lets enjoy 15mins long song. So good that you dont notice it. I love what you do, the energy and the choreography is just damn good. Blessings to you from Mozambique.
Nyimbo bora ya kisukuma kwa 2024 pendwa kwa wasukuma na kwamakabila mengine wanaenjoy tuuuh japokua hawaelewii ila wanatikisa vichwa""" kwenye mtandao wa Tik tok ni hit song wacha tuendelee kufurahia fahali yetu ya kisukuma"'
Hongera sana kisima the greatest Singer in trend sukuma tribe unawakilisha zaidi ugika wako bro ukienda family ya mgika asilia harafu hakuna shikome huyo siyo mgika anaigiza ila kisima ugika unakufaa sana maana hata tungo zako zote ni ugika tosha bila ya kujitambulisha wewe kuwa ni mgika
Kama ulikuwa unaisubir hii ngome kwa ham.. Ngonge like yako hapa.. #kisima-the-greatest-singer-in-sukuma-land.. ## Bravo kaka..🙏🙏
❤
Nahuu ndo wimbo bora wamwaka kwanyimbo zaasiri wacha wasukuma tuinjoy mziki mzur tena mtam sana kama unamkubali kisima gonga like zako apo❤❤❤❤❤❤❤
aposwa🎉
Nimzuri sana nakukubali
Haswaa ni nzur mnooo naunafu ndisha
😊😊😅
❤❤😊
Kisima dar asee maneno ya kukwambia sina kikubwa hongera usishie tu hapa endelea tena zaidi na zaidi pamoja sana kk🙏🙏
Jamkaya❤😂😂😂😊
Kwa sasa itabidi wakubali kuwa wewe ndo greatest singer in sukuma land tribe🔥🔥🔥🔥💪
Kisima mi Kama ndugu au washe wako naishi ndan ya tasinia Ila mda unaniambia mda ni wako unaimba paka unakela nanyosha 🙌🏼🙌🏼 juu we ni 💥 haipingwi
Ukopi vitu apo uache ule utumbo wako Mzee tunaitaji vitu kama iviiiiiii
Hata wewe Mimi Huwa nakuelewa Ngoma zako kama Ile Ngoma ya wamlogile nani itolee video basi 🫡 kwako
Mjikuu ata wew tunakukubali sema acha mashindano na watu Fanya kazi yako kama wew
Kazi ni nzur msanii kisima ,wanaona gere kaza kabisa wasikuzoee wanadamu Wakera ,wanafik,majungu,wivu,kaza nati.
Kisama unaweza kaka hongera sana Ila nina Ombo langu nipatiye dada Moja wakisukuma
Daah mwang hapo naku sapoti hawa wadada wako poa sana aise akikupa nishitue namimi nisikose😅
Hahaha😅
Sitaili yao ya kucheza hamna anayekosea hata mmoja
Niko dar es salaam nimeipiga watu wameangalia as video wameipenda Saana 🎉🎉 mpaka wanajadili.
Kisima ni chuma.
Jamaa anajuwa sana! Ujumbe umetulia sana. Kiufupi jamaa aliumiza kichwa kwenye kutunga hadi video yake👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏.
Niko India kimasomo jimbo la Punjabi hsipiti siku sijaucheza huu wimbo
NAMi Niko nchini Rwanda napenda nyimbo hi mzuri hongela mola awabariki
Nimemaliza kuangalia asa ndio nicoment
Ili KAZI ionekane kazi lazima uifanye kama KAZI kwelii na uipe heshima zote ili iheshimike na Kwa watu wengine
Aliyeelewa ameelewa bravoo sniper Migera
Bravo nyingi Sana Mtc
Na kongole Kwa Sukuma song writer KISIMA you deserve the best 🔥🔥🔥🔥🔥video Ina hadhi ya nyota Tano kabisa🌟🌟🌟🌟🌟
Asante boss wangu
@@MigeraStudio keep it up lazima watu wajifunze tyu kwako watake wasitake huo ndo ukweli
@@mrishobulabo8014ndugu yangu mbona kawaida sana
Kaka unaimba nyimbo za uhalisia na maisha ya Leo endelea kutukumbusha tuweze kurudi nyuma tukumbuke Mila zetu za kiafrika hongera sana❤❤❤❤❤
Kutoka USA 🇺🇸 bhabha KISIMA hiii nyimbo naplay kwenye gari muda wote…. Bhabhaa bhelelo agwambeleje umanile bhagesi 📌📌📌😋😋😋 AFRICA SONG 🔥
Hey upo usa?
@@Genius_creature45 Ndio kaka mkubwa 📌📌
@@Makolo_Rob sehemu gani ndg
Nebraska 📌
Dwimane abantuzu ngw'andulu🎉🎉🎉❤
Usemi Sina hongera kwa Kaz nzuri
Tulikuwa tunasubiri hiii Kwa hamu gonga like apa🔥🔥
Mimi nishabiki saaaana wa hizi nyimbo za asili bana unanikosha sana kisima mungu akupe maisha marefu,,, maana nyimbo za asili zimegeuka kuwa bibulia,,zinafundisha sana jamani pigeni kazi sisi tupo nyuma yenu kuwaunga mkono,, pia kazi na maombi,, ACHIA TENA SHILATU ,,,, Emmanueli, kusekwa, kutoka mwime ya ilindi kahama.
Iko vizuriblkn ilevyakwanza iko vzr zaidi ndg yangu me nishabiki yako sana sana mzaliwa wa bariadi banemhi lakin niko tabora sikonge kikazi
Npo Congo nyimbo Kali yenye ujumbe mkubwa mnoo nmeipiga Hadi watu wamenipenda saiz wananijadiri
Kisima bhana mungu akubariki utufuraishe miaka mingi mi nakukubali kinoma yaaan nikisikia nyimbo yako nahisi furaha muda wote Asante kazi nzuri kaka yangu ogukaya ontuzu💙🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏🙏🤝🤝🤝🤝🧎🌹🍜
HUYU KISIMA NI NEXT LEVEL KABISA ANA SIKILIZWA NA WATU WOTE AISEE😃🙌🙌
Kama wewe sio Msukuma na upo hapa gonga like 😅
Shikome!!!!,kweli kanda ya ziwa wanaume tulifundishwa kwenye moto nje.Niko Moshi nacheki SHIKOME ❤
nipo songwe
Sina neno uongeze chuma t nilijua tangu zamani kuwa kunasiku utatufikisha mbali wasukuma toka kwenye ngoma kama mbina,simiyu kisabho,hadika bigup sana🎉🎉🎉
Wasukuma ni baraka nchi hii MUNGU awatunze kisima unachapa kazi songa mbele ❤😂
Waliorudia malambilimbili kuisikiliza tujuane
Your so talented my brother ni zaidi ya kipaji hakuna msukuma mwenye kipaji kama wewe
Hongera kisima kweli riziki Haina mgang nimeikubali hyo ngoma ubarikiwe
Asante kaka angu kisima kwakuitoa video ya shikome maana tumeisubili kwa hamu sana 🙏
Nipo nimetulia nikiendelea kunufaika na tungo tata ambazo kwako ni kukua kwa kipawa chako !
Hongera mwaka umeend poa , tungojee albamu mpya 2024
God bless you.
Narudi zangu Uyumbu wilaya ya kaliua.
Kisima Yuko vzr 🎉❤anatixha xan kutoka bariadi ndani
Kazi nzuri sana mdogo wangu. Saizi ndio muda wako,usitoke kwenye reli. Wekeza upatapo pesa kwani mziki unamuda tu.
kwa hapa ulipofikia wasukuma tumekubal kuwa your the greatest singer in sukuma land tribe sasa inatakiwa dunia ijue tutafutie kolabo moja kali na wasanii wa bongo fleva hafu iwe traditionally aiseee taifa litasimama kwa mda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ndo shikome niliokuwa naisubria jaman da raha ilioje kisima mungu akurinde akuongoze vyema♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
waooooo majabala kisimaaaaaaa waonyeshe hao wakubwatuka mimi shabiki wako Pastory william(Ng’wana ndemela kwenga ushirombo mjini
Kisima ,elimu uliyonayo kwenye tasinia ya nyimboo za asili kubwa sana ,,hakuna anaefkia uwezoo wako ,,kwa wasanii wa kisukum 👏👏👏👏
Mimi naipa hii kuwa namba moja❤❤❤
Leo ndo nimeamini wewe unakipaj cha kutok kwa mungu na sio ndagu kazi nzuri sana🔥🔥🔥
Kisima nakukubali san Bunala ajipange sana sukuma oyeeee kama we n msukuma gonga like hapo👇
Jamani huyu kisima ni hatari sana big up brother keep up
Hakika kisima nifundi tu umeiongezea ufundi hii ngoma salut sana kaka imenoga ngoma kali
Nilikuwa nausubilia kisima ulingosha sana Zaid ya sana unazawadi yako kwangu onitogisha sana 🥰🥰 limbo lawizaaa shikomeee
Neno moja tu hongera kwa Kaz nzuri
Nyimbo Kali yenye ujumbe mkubwa mnoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Japo mm sio msukuma napenda sana kisukuma jmn maua yenu nawapenda sanaaaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Good.music...shikome katika ladha tofauti . Asante kutuburudisha
Sipendagi kukometi japo sielewi broo umeuwa apo dakk ya 8 na sekunde 55 uwi ningekuwa sijaolewa ningetafuta mume msukuma jaman❤❤❤❤
Mimi nmshabiki wa gude gude Ila Leo nmehamia kwa KISIMA *** kisima was a pure talent from god love this song from Rwanda**kisma god bless you forever 🎣🎿🛷🎮🎲♥️🀄🎣🛷🎿🎰🛷🎰🎰🎿🀄🎲🎲🎲😎⛸️⛸️♠️♠️🎽🎱🔮🎿🀄🎱♥️🎮🛷🀄🎣🎰🀄
Mimi ni mjita hila huyu mwamba ni fireeee aiseee anajua
Mmh most valuable &important sukuma words " myanga" viaz vya kuchomea kwenye myanga ni vitamuuuu cio cir!!!
Pongez kwako kaka nyimbo zako zinatoa fundisho zuri sana, big up sana❤❤❤
Kwenye huu wimbo kisima umenikumbusha mbali sana kwenye kukusanya samadi za ng'ombe kuchoma viazi na mbute Dah Nina miaka sijaona mbute Jaman nimezimiss sana siku nikirudi nyumbani kwetu kijijini nikale mbute na nisisitize shikome kiendelee
NIMEIONA brother umetisha Sana Kwa Sasa wew ni king Wa game
Kisima hongera sana uko vzr unatuwakilisha Wasukuma
Mimi nilianza kuwa shabiki yako kwenye nzuki ukweli sijutii kukufuata Kisima hii nyingine kali 2023 tunamaliza vzr😊
Brother,,asee mungu kuongenzee nguvu na afya make we shima yako,,,❤❤❤❤ tunakupa vizur sana mkoa wa iriga ,,, mafinga ety
kaz nzuri kisima wewe ndie king of sukuma songs kaz nzuri pamoja na producer of mt tanzania
yes
Nzuki.... Na hii song n nyimbo bora sana hiz
Kisima a great, bro twende kazi your melody sounds nice indeed, uko na tamaaa takatifu kabisa kaka plz ispungue ww jikaze zaidi.
mimi siwezi kumaliza masaa kumi na mbili sijaangalia video ya kisima na nipo katikati ya dar!! big up sana kisima na nikikumbuka ulikotoka duu tunakupeleka kwa mkuu wa skauti mayunga kwenye zoezi nasi tunakimbilia daladala ya baiskeli!! kila kitu ni kujituma tu
Yan wewe na mwanakang'wa nawapenda bure!! Mnajua kuimba adi rahaa❤🙏
Umengusa sana nilifanya kazi na mtu mmoja alikuwa anajisifu sana eti yeye ni mwanamke mwenye pesa hii dunia siyo ya kujisifu ukibarikiwa mshukuru mungu.
Good song Kaka endelea kuwapeleka jap sijawai kukukuona hongera San unajitaid your the best artist❤
ok nakubar sn kisim mung azid kukupa kipaji ilii uendelee kutuletea vitu vyenye kujenga jamii kam hii ngoma
Ongeraa sana kaka ngoma tumeipokea hatuna cha kukudai zaidi ya kutupa furaha unaweza sana❤❤❤
Ni ujumbe uliobeba maana kubwa sana kwa kabila la kisuma Mungu akubariki
Hongera sana kaka,
Unatumia mtandao Ya kijamii natamani nipate mawasiliano yako
wa hapa ulipofikia wasukuma tumekubal kuwa your the greatest singer in sukuma land tribe sasa inatakiwa dunia ijue tutafutie kolabo moja kali na wasanii wa bongo fleva hafu iwe traditionally aiseee taifa litasimama kwa mda
Ongela sana kisima kwawimbo muzuli sana tunausubilia nachilato
Ngoma kali sana hii tulisubir kwa ham big up sana bro umetukumbusha kuenzi enzi za wazee wetu ❤
Uhakika
Ongera kisima
Mungu akipanga ufanukiwe utafanikiwa,umeanza nikiwa nasoma shule ya misingi,,leo hii umetoboa ata mm ninaimani nitatoka mana si kwa jusimuliwa bali kipindi unaletwa na mayunga kidoyayi kijijini kwetu kuwasapot vijawana wake wengine kwenye goma yao,hadi mkesha,Mungu anaweza
kazi ni kazi nyanda nolo bochingaaaaaa,
Eshikolo oleopandekaa kumbukaga oko we ngaaaaaa,
mleyolagolwaa makala nyanda mwandya kwi tongaaaaa,
Amafumu galenamasalaaa gakandyaga tamu lyokotegaaaaaa,
hongera sanaa kisimaa mziki mzuri vina na mizanii🇹🇿
One of greatest hit song in sukuma tribe,kisima unajua
Africans, gather here and lets enjoy 15mins long song. So good that you dont notice it. I love what you do, the energy and the choreography is just damn good. Blessings to you from Mozambique.
Ongereni sana nyimbo nzuri sana minipomosha napenda sana kuzisikiliza nyimbo zenu.munguawainue zaidi na zaidi mufike mbali
Hongera kaka kwa kaz nzur wasukuma tunaweza
Wa kwanza by kadege Asili Tv
Asante kwakua wa kwanza
Nyimbo zako dah ,,,had wahehe vizur sana brother
Naombe maoni yenu kwa kazi zetu mashabiki zetu
We migera kazi zako nzuri sana sema tu mnazichelewesha kuzitoa mashabiki tuna kiu lakini ndio hivyo
@@SIDEBOYTV2024 tutarifanyia kazi
Kaz zipo vizur ila mnachelewesha sana
Kazi nzuri but ongeza quality ya picture ikiwezekana uwe unazoom watu wanaonekana freshi
Video low quality
Kazi yangu pendwa kabisaaa❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Napenda sana hozi nyimbo sema siielewi maana
Napenda sana nyimbo zake na nikisikia nyimbo za nyumbani najisikia kama niko nyumbani❤❤❤❤
Kisima umeupiga mwingi nyimbo nimeipende inafundisha 7je ui badili uiimbe kiswahili uuze zaidi
Walahi niupenda saana huu wimbo, na kila kitu kuanzia muimbaji ❤❤❤😊😊😊
Mwamba na kuku bari sana
Nyimbo bora ya kisukuma kwa 2024 pendwa kwa wasukuma na kwamakabila mengine wanaenjoy tuuuh japokua hawaelewii ila wanatikisa vichwa""" kwenye mtandao wa Tik tok ni hit song wacha tuendelee kufurahia fahali yetu ya kisukuma"'
Ujumbe mzuri sana mwanzo mwisho. Hongera sana Kisima👏👏👏👏
Iko good bheng'weeee Raha mpaka kumoyo magoma mwanzo mwisho 😂😂😂
Ubarikiwe sana fhanyakaz uliyo pewa na mungu
Kisima namba moja kwa nyimbo za asili
Kisima hongera kwa kazi nzuri aise nyimbo zako zina fundisho ,mvuto.pongezi kwako kaka mimi kama shasbiki ❤❤❤
Highest level Broo no doubt
Kazi nzuri brothe hongela cn
Mm nipo nyehunge naipenda kuisikia hii nyimbo nakutakia KAZI nzuri kisima
King majabala never disappointed
Tumengoja hii coming soon hapa narok Kenya but finally it's here
Nigependa kusikia budagala ametangaza kustafu Kwa hatua aliyofikia kisima
Kisima big up Sana br tunausubr pia kwa Sana wimbo"" shilatu''
Kisima majabala huna mpinzani hakika unaweza mungu akubariki sana kaka kazi njema
Nakubali kaka çhapa kazi bilà kusahau Màishà ñi dàrasà,
Hizi ndo nyimbo za asili kabisa ❤
Hongera sana kisima the greatest Singer in trend sukuma tribe unawakilisha zaidi ugika wako bro ukienda family ya mgika asilia harafu hakuna shikome huyo siyo mgika anaigiza ila kisima ugika unakufaa sana maana hata tungo zako zote ni ugika tosha bila ya kujitambulisha wewe kuwa ni mgika
Kisima upo vizuri unaerimisha sana kisukuma mimi mwenyewe kusukuma mecktrida nipo katari