Kisima_Nzuki_Official Video_2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • #Kisima_Nzuki#Dir_Migera#MTC_TANZANIA

Комментарии • 787

  • @luhendesoloshija9502
    @luhendesoloshija9502 2 года назад +22

    Great song, and creative, hello sukuma Land mwanza, shinyanga simiyu geita na tabora mikono juu tuko vizuri sana

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 10 месяцев назад +9

    Mie sio msukuma ila nyimbo za asili nazipenda sana japo sizielewi ila zinanikosha kwakweli love much from Singida 💯 ❤❤❤❤

  • @NussulupilyaMabilika
    @NussulupilyaMabilika 16 дней назад +2

    Kwenye huu wimbo, kuna yule mdada mweupe, mwambieni siwezi kuishi bila yeye aiseee 🙌🏾

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 5 месяцев назад +3

    Baba mwana nkanda bagohayaga bogota boteho 😂😂😂😂umetishaaa sanaaaa💯💯

  • @neemajumapili
    @neemajumapili 10 месяцев назад +7

    Kisima napenda nyimbo zako bigup

  • @DeusdeditMorgan
    @DeusdeditMorgan 18 дней назад +1

    Viva wasanii WA kisukuma viva nawapenda sana ndg zangu mko vizuri mnooooooooo 🎉🎉🎉

  • @kipsampato9478
    @kipsampato9478 20 дней назад +1

    Ni moto saaana. Waaaaaaaaaaaaaah 💕

  • @peterpetter1311
    @peterpetter1311 2 года назад +5

    Nice nice kisima from kampala

  • @JohnSitta-x4t
    @JohnSitta-x4t 4 месяца назад +4

    Mungu akifanyie wepesi ktk kazi zako.pesa sina ningekuita hapa dar uje utoe show mlimani city

  • @DeoHabi-bi8ch
    @DeoHabi-bi8ch Год назад +3

    Kijana big up sana msalimie juma kasuka hapo mwendakulima budushi

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 года назад +15

    Wimbo mzuri sana.Wasukuma mko vizuri.👏👏👏

  • @AgnessJoseph-yw4tx
    @AgnessJoseph-yw4tx Год назад +4

    mapenda sana nyimbo za huyu kaka anajua na anajua tena mungu ampe maisha mrefuu❤

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt Год назад +3

    Njoo na mkoa wa kigoma wilayani kasulu hakika huta jutia hayo maokoto itakayo pata 👏👏😃😀

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Месяц назад +1

    Well done.The performance is entertaining and we'll conducted.Makumbusho ya utamaduni wetu mazuri.

  • @gideonkiprotich8029
    @gideonkiprotich8029 2 года назад +6

    Mimi ni kalenjin lkni wimbo imwesa good work Boss,high level of dancing,

  • @Zengo_Tv
    @Zengo_Tv 11 дней назад +1

    Huyu mwamba ni fundi sana aseee natamani siku nikija mwanza nionane nae

  • @sondabuzukankindo655
    @sondabuzukankindo655 2 года назад +11

    yaani ngoma Hii imebamba sana hapa Mbarali mkoani Mbeya.kwakwel hongera sana bro pamoja sana

    • @paschalsaid-tn3sg
      @paschalsaid-tn3sg Год назад +1

      Huku kwetu SIMIYU meatu mbunge wa ccm nimwanamke jusi walikua na chaguzi akapigwa chini. matokeo yalipo toka meshindwa DJ aliachia hiyo ngoma. nayeye huyo mama yuto. Yani mkutano ulipoisha tu. DJ tukaskia yupo sero aisee tulishangaa Sana 🤣🤣🤣

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 6 месяцев назад +4

    jikotale e nzoke, sema wew kisima unajuaa sana unapangliia vina na mizan🌎🇹🇿🔥🔥🔥

  • @isabujoisabujo1214
    @isabujoisabujo1214 Год назад +5

    Hapa ulipiga jamaa. Biti tyu yenyewe ni shidaa brother. Najivunia kuwa msukuma

  • @AYUBUCHIHANGU
    @AYUBUCHIHANGU Месяц назад +1

    Longer sana huyu jamaa anatisha ngoma kali Niko tandahimba ila nainjoi na hii ngoma duuuu.

  • @KulwaSakila
    @KulwaSakila 6 часов назад +1

    Nyimbo za kisukuma nazipenda Sanaa

  • @neemaebeneza7494
    @neemaebeneza7494 10 месяцев назад +16

    Kaka nimetoka Dar sijawahi kanyaga Mwanza Ila toka nimekuja huku huyu jamaa anabalaa sielewi kinachoimbwa ila ngoma zina mzuka sana hizi 😅😅😂

    • @rahmarahmaramadhani
      @rahmarahmaramadhani 6 месяцев назад +1

      🤣🤣🤣

    • @ShavuDodo
      @ShavuDodo 4 месяца назад +1

      Anakwambia nyuki waporini ukimchokoza lazma akutafune sawasa na ww umetulia mtu anakuzingua

  • @kenethtirop1323
    @kenethtirop1323 8 месяцев назад +4

    Give credit where it belongs....from Kenya only from our on soil our motherland Africa big salute friend..

  • @makandagregory5977
    @makandagregory5977 8 дней назад +1

    Nyimbo angu pendwa🔥🔥🔥🔥

  • @HamisiShekhematipu
    @HamisiShekhematipu 3 месяца назад +4

    Mm cyo msukuma Ila nakupenda kisukuma na nimejitahid nikijuwe mpaka nimekijua namshukulu Sana mashimba Jeremiah bundara kwakunifuza kisukuma fanta apa

  • @HamisiShekhematipu
    @HamisiShekhematipu 3 месяца назад +2

    Napenda Sana kisukuma nanyimbo zake ingawa mm c msukuma

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 6 месяцев назад +13

    Kisima majabala, mm nipo dar es salaam nazisikilza nyimbo zako ,wazalamo wananiuliza maan ya huu wimbo nawaelewesha ,piga Kaz msanii unaejua kupangilia mistar saf San 👍👍👍
    Hakuna wimbo wa asili uliofika views 3.9M hii imevunja recod mm nitaendelea kuiangalia kila siku ili ifike 4M views nitafurahi sana kisima

  • @FaustineSylivester
    @FaustineSylivester 22 дня назад +1

    kisima namkubali kinomah yani mjombaaaa huna baya

  • @kautharkayu6326
    @kautharkayu6326 2 года назад +2

    Hongela sana Kaka angu kwazi nzuli mwenyezi mungu akupe umlimrefu yenye furaha ❤️💪💪najivua Kuwa msukuma jmn

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +3

    Hongera Sana nzuki jitahidi kabisaa kutembea mikoani kufanya show maana umejua kutuvuruga haswa haswa 👏👏👏👏👏💪💪💪💪😄

  • @michaellutobeka912
    @michaellutobeka912 2 года назад +2

    Fantastic Sukuma tribe song Hongera Saana unavyopambna Kisima

  • @Wakaso2024
    @Wakaso2024 2 года назад +2

    Uyu mudada wa brown namupenda sana she look like angel ,munisaidiye jina lake

  • @ZachariaKilunguja
    @ZachariaKilunguja Месяц назад +1

    Kweli man wimbo mtam saana zuke

  • @STAN_MACOMPUTER
    @STAN_MACOMPUTER 2 года назад +4

    Big up bro unatuwakilisha vyema Sana kwenye asili mungu akutunze

  • @deusdedithkanonosha9205
    @deusdedithkanonosha9205 2 года назад +5

    Tunaomba uongezee bidii,kwa kweli unatufurahi kwa nyimbo zako na ujumbe mzuri unaota kwa jamii

  • @GoodluckKijumbe-hy8ml
    @GoodluckKijumbe-hy8ml Год назад +2

    Kaka big up Sana,Mungu akusaidie Sana by Mongo toka Kinamweli Ngudu Mwanza TZ.

  • @ibrahimlucas96
    @ibrahimlucas96 2 года назад +2

    Wimbo mzuri uliotulia sana "nzuki" hongera sana unajua kufikisha ujumbe kaka

  • @GeorgeJuma-o4k
    @GeorgeJuma-o4k 2 месяца назад +1

    kisim na❤ kukubar san pamban

  • @joshuamelle660
    @joshuamelle660 2 года назад +1

    Hapo kaka umetisha ilembaya leka shikutwange nzuki ngwana bhunala 👏👏👏

  • @neemamasalu9344
    @neemamasalu9344 2 года назад +4

    Yaan hadi laha kwa kwr m mwenye natamn niwe nacheza hongela sana mungu kakupa kipaji so wale wanao imba matuc wale wanajiita nyanda masome

  • @ShavuDodo
    @ShavuDodo 4 месяца назад +1

    Naipenda kabila langù❤❤❤ asante kisim

  • @MariaRobert-e1l
    @MariaRobert-e1l Месяц назад +2

    Mimi ni msukuma napenda sana nyimbo za kaka yangu kisima

  • @HalimaZawadi-l2y
    @HalimaZawadi-l2y Год назад +1

    Kisima majabala hiingoma inanikumbusha mbali hongera kwa u unifu👏👏👏

  • @EnockAmos-p8s
    @EnockAmos-p8s Год назад +1

    Wimbo mzri Sana ujumbe Bora hakika unaweza home boy

  • @faustinecharles8871
    @faustinecharles8871 Год назад +2

    Fureeeeeeeeshi Sana'a ngomahiyo

  • @masomesayi5446
    @masomesayi5446 Год назад +1

    Yabatale nzuki yene ihambage ubhone kisimaaaaaaaa!!!

  • @anoldluleka4113
    @anoldluleka4113 2 месяца назад +3

    Huyu mwamba anajua mpaka anakera

  • @CharlesChangwe-uf8rz
    @CharlesChangwe-uf8rz Год назад +1

    Auna mpinzani kamanda uko vyema kabisa mpaka mda mwingine huwa nataman nami niungane nawe kweny kuonesha style maan napenda San nyimbo zako kaka one love

  • @fellisianholle9431
    @fellisianholle9431 2 месяца назад

    Kwa kweli huu wimbo naupenda sana japokuwa unamlenga mshindani wake lakini unaujumbe mzuri sana
    Hongera sana Kisima hakika unaweza

  • @jescakasiano7523
    @jescakasiano7523 2 года назад +2

    Awuuuuuu hongera sanaa kaka wimbo mzuri

  • @justinmndagele
    @justinmndagele 9 месяцев назад +1

    Pamoja sana bwana mdogo vitu vyako viko Safi nipo ngelengele Moro nasikiliza

  • @SamsonSally-l9x
    @SamsonSally-l9x Год назад +1

    Honger kijan wetu unatuletea ngoma za kuelimisha jamii

  • @zachariahmajora
    @zachariahmajora Год назад +1

    safi sana kisima nakupata vyema nikiwa bukoba umeshoot vizur

  • @bonephacebarnaba1422
    @bonephacebarnaba1422 2 года назад +2

    Uko vizuri ndugu, Mungu azidi kkuinua zaidi

  • @piliezekiel7892
    @piliezekiel7892 Год назад +3

    it is a nice song from my tribal kisima big up brother

  • @charleskaponya6063
    @charleskaponya6063 Год назад +1

    Nyimbo zake ujumbe, zina vina, yaani mashairi anafuata vina.

  • @mikailmasham2602
    @mikailmasham2602 2 года назад +2

    Hii hatali nzuki umetisha hongera maixha malefu mwana MTC

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 2 года назад +2

    Nyimbo nzur sana hongera kisima

  • @emmanuelmkinakashele3884
    @emmanuelmkinakashele3884 2 года назад +1

    Hongera sana kwa ngoma hii shushu nipo morogoro ila nimeipata vyema pamoja sana enz hzo kabila magu kama unakumbka

  • @neemamashauri1043
    @neemamashauri1043 2 года назад +2

    Nipo hapa mwenz wa kumi 2022 video ya kwanza ya nyimbo za kisukuma kufikiaha watazamaji million Moja na lak Tano,, waooooo Wasukuma oyeeeeeee

  • @ntjindebele2328
    @ntjindebele2328 2 года назад +8

    Short of words indeed empressive video from eastern Africa

  • @ZachariaKilunguja
    @ZachariaKilunguja Месяц назад +1

    Hata namm nimusukuma nainjoy

  • @japhethlyamba232
    @japhethlyamba232 Год назад +2

    Nyimbo nzur nyanda majabala ..nani uyo osambije enzuki maana kalugano akene 😊

  • @elizabethkapina6616
    @elizabethkapina6616 2 года назад +1

    Wow jamon nmesikiliza ad machoz ya furaha

  • @mawazokazungu8619
    @mawazokazungu8619 2 года назад +2

    Hongera sana kwa wimbo wa mafundisho big up

  • @yackobokiswaga280
    @yackobokiswaga280 2 года назад +1

    Juuuu mkito wa koras mheshimiwa utabomoa sipika za watu. Imekaa kiasiri Zaid af Tam. Hongera san

  • @Yusudav
    @Yusudav 3 месяца назад +1

    Nipo Congo Lubumbashi kikazi, natokea Kakola kahama, Leo 27/10/2024 nimekuja kusikiliza tena🙌🙌

  • @jilamamaduka267
    @jilamamaduka267 2 года назад +1

    Proudly sukuma.....leka jigutale nzuki ulijisambya ng'wenekhele....

  • @nevermgawe2802
    @nevermgawe2802 2 года назад +7

    Safi Sana hii nyimbo Kila siku naisikiliza jaman 🍷

  • @andrealoveness2875
    @andrealoveness2875 Год назад +4

    Nimetokea kupenda nyimbo zako kisima endelea kututolea zaidi

  • @gumadambiti4071
    @gumadambiti4071 2 года назад +1

    Uko vzr sana brother yang heko kwako

  • @odettechuna7602
    @odettechuna7602 5 месяцев назад +3

    Mimi niko kigali rwanda nazisikilizaga sana nyimbo zako kisima

  • @JaneAuma-m5f
    @JaneAuma-m5f Год назад +7

    Am from Kenya and i I really love the song

  • @JaneAuma-m5f
    @JaneAuma-m5f Год назад +9

    Am from Kenya and i really love this song

  • @Yohanalugwisha
    @Yohanalugwisha 3 месяца назад +1

    Heshima sana kwa kisima sjaona msanii wa kisukuma mwenye kipaji hiki

  • @BoscalVunda-er5vg
    @BoscalVunda-er5vg Год назад +1

    What a good music young man keep on and take Africa higher not music playing and making ladies feel nice all the time never this music of yours is good congratulations.

  • @silasyshopinvestment4252
    @silasyshopinvestment4252 Год назад +3

    An ducatate one than all traditional singer this made him to trend any where much love from mwanza my close bro

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 2 года назад +2

    really good work, congratulations Kisima nimekuelewa kutoka moshi

  • @NyamiNyanjwa
    @NyamiNyanjwa 8 месяцев назад +1

    Kisima ongeza new song Kama ya nyuki keep it up brooo❤🎉

  • @nsikamwita5194
    @nsikamwita5194 2 года назад +1

    Congrats 👏 kinehe lolo, mwangaloka.👍

  • @DionizMachele-hk1tr
    @DionizMachele-hk1tr Год назад +1

    Hongera kaka chapa kazi

  • @Magreth-u1y
    @Magreth-u1y 11 месяцев назад +2

    naitwa magiret fulaha nipo kagongwa hapakahama kisma nazielrewa sana nyimbo zako kazabuti kijana

  • @rosemarydonald9271
    @rosemarydonald9271 2 года назад +1

    Kwahuu mwimbo nimekupenda Bure 😘😘😘 boss

  • @labanpeter1165
    @labanpeter1165 2 года назад +2

    Great of Africa! Kisima ameupiga mwingi

  • @mathekasanda2458
    @mathekasanda2458 Год назад +1

    Nyimbo nzuri mno ,🌷🌷🌷🌷🌸

  • @wilsonmakoe2523
    @wilsonmakoe2523 2 года назад +1

    Nice song ,,,,, karibu tena lule aka masasi kama dar

  • @wilfredsanya7791
    @wilfredsanya7791 Год назад +4

    True African beat fully of joy and the African heritage.A ugandan and i have indeed enjoyed videos packaging despite not knowing the language.

  • @shijanestory1912
    @shijanestory1912 2 года назад +1

    Kazi nzuri kijana. Songa mbele

  • @AlexMakunga-r2b
    @AlexMakunga-r2b 3 месяца назад +1

    Me soon msukuma lakin nakubali sana broo,

  • @dismaskabalo5675
    @dismaskabalo5675 Год назад +1

    Fundi wa music ✋ kwangu we ni no1

  • @olupotraymond1066
    @olupotraymond1066 Год назад +3

    Love from uganda Hey great music brother

  • @bwanaselle6094
    @bwanaselle6094 2 года назад +1

    Hongera sana Kwa ubunifu wa hari ya ju sna

  • @ramaastar7493
    @ramaastar7493 2 года назад +2

    Hahaha khuchaganya na khugunilwa nimeipenda Sana Hii nzuki

  • @yohanapendo9566
    @yohanapendo9566 Год назад +1

    Kisima your talent proves beyond no doubt that you are capable,my God uplift you to the height that you never dreamed.

  • @jacobomakoye1101
    @jacobomakoye1101 5 месяцев назад +5

    Leo tarehe 06 - 09 - 2024 nasikiliza Nzuki nipo Geita, namkubali sana KISIMA ni mbunifu sana anawazidi wasanii wenzake wa kisukuma... Content inaendana na matukio na setting ❤🫶

  • @JoyceLaurent-m6m
    @JoyceLaurent-m6m 2 месяца назад +1

    Wap wasukuma👊👊👊

  • @HappyCheyo
    @HappyCheyo 8 месяцев назад +1

    Had mda huu nasikiliza nyimbo zetu wasukuma oyeee❤❤❤

  • @gasparykabobo1515
    @gasparykabobo1515 2 года назад +1

    Dilagawiza ba baba na ba mayu. Nwanitogisha gete gete.

  • @kubaebo6930
    @kubaebo6930 2 года назад +3

    Concord of sweet music.
    Excellent 👌

  • @michaelshija3601
    @michaelshija3601 2 года назад +5

    Mbasha Record is a best 🎙 for the heavy entertainment industry. Big up.