السلام عليكم ورحمه بالحقيقة هذه الاغانى والفيديو حلوة وجميل جداً جداً وانا فى مدينة بيراو بمحافظة فاكاقا بجمهورية أفريقيا الوسطى I'm from BIRAO in Central African Republic
Every time I have a wonderful day love meet up with you both sexy and beautiful@songs system work well for messaging app and share it with them throughtout for a good luck.
السلام عليكم ورحمه بالحقيقة هذه الاغانى والفيديو حلوة وجميل جداً جداً وانا فى مدينة بيراو بمحافظة فاكاقا بجمهورية أفريقيا الوسطى I'm from BIRAO in Central African Republic
huuu wimbo kisima kila nikiusikiliza huwaga natamani kulia wimbo mkali Sana huuu real
Npo udom naqbal xn fundixho toxha kw vijana ever forward, never backward kisima nyanda majabala✊✊💪💪💯💯
Napenda nyimbo zako kaka nipo hapa mbeya nyumban kakola lunguya ❤
Tout la music est très Bonne super aussi les vidéo très jolie et du courrage
Ndugu yako ni chooo itakusaidia hata kama unahalisha😅😅😅😅😅
Nikombea nakubali sana unajua
Hongera sana kazi nzuriiii, inaelimisha jamii na kuburudisha piaaa
Mimi ni mkenya mkamba ata kaa sisikiangi iyo lugha napenda nyimbo zako sana broo tia bidii kabisaaa
Kisma tumkukumbuka katolo
Nakukubal sana kaka
Kiukweli Mr kisima me Kila siku lazima nisikilize nyimbo zako japo Moja,Arusha hapa,,,,,nzenga kwetu.
Yakubhutale kaji
Nyimbo yangu ya mda wote 🎉🎉🎉 kisima sukuma seke
kISIMA
Nyimbo zako zimekamilika Kila idala haubahatishi kaza Buti mzee safali iendelee
Nakuelewa bro uko vinzuri Sana
Kamongo
Pongezi kwako kisim mm nakukubali San ningepend Ck Moja uje upge shoo kwet
Piga kazi brother nakukubal San
Saf kaka me kija hapa kutoka simiyu meatu
Wimbo mzuri, mazingira mazuri na ubunifu ni mwingi sana piah uvaaji upo poa sana nimependa Brother piga kazi ..✊✊
Wimbo wangu pendwa
Kilasiku lazima ni u play
Inaumiza sana inanikumbusha mbali sana
Watoto wa MTC🎉
Mim kwasasa nipo dar lakin nyimb zako zinanikumbusha nyumbn pia wimbo huu ulipanga mashairi vizur San 👌👌👌💪💪💪💪
Kwanza uchezaji2 utawavutia San njoon muonyeshe music wa kisukuma na watambue kuwa sukuma is number one🏆🏆🏆
Ujumbe mzuri bro🔥🔥🔥🔥
Hakika nakuelewa sana 🤴🤴
Nipo morogoro niliposikia wimbo wako wanzuki niliupenda mnoo nataman iipate alubam yako sijui naipataje sasa
😊
Kisima big up sana br unawin sana ety mm shabiku ako nko segese kahama ety
yes proud for good song
السلام عليكم ورحمه بالحقيقة هذه الاغانى والفيديو حلوة وجميل جداً جداً وانا فى مدينة بيراو بمحافظة فاكاقا بجمهورية أفريقيا الوسطى I'm from BIRAO in Central African Republic
Nakubali saruti kwako
Kisima again jah
Kaka upo vzr lin nyamalimbe gold maine tumemid sho zako
Kisima wew ni king nakuamini bro wolcam igunga upige show
Huu wimbo nisipo usikiliza sjisikii vzr
Jombo pande za chuga st ngelela akasome nyimbo zenye hakili jarib kuimba kiswahili ili wafaidi wengi wajue wasukuma sio mazuzu
Nimekuelewa Sana brother kisima kutoka geita
Nakuelewaga Sana bro
Although i don't understand it but i can't stop listening to it God bless you 😍🥰❤️❤️
Eminza nkoi natogwa sana 💓 usukuma Raha
kisima wasukuma tunakupenda sana dogo chapa kazi
Mimi hatakama sijuwi language yako lakini kutoka hapa marekani nakupata vizuri umefanya kazi nzuri sana endelea
Aki unaandika fire 🔥🔥🔥
Tuko pamoja sana mimi shabiki yako Deus kamuli kutoka BUGOMBA A
Mimi ni mshabiki wa kisima napatikana majimoto mpanda
Wakimbize wajuwe maana ya sanaa tungo zako Ni nzuri vina Kama vyote
God bless you.
naenjy nyimbo zako kaka
Kisima uko juu we mkali ,njoo sumbawanga kuna ukumbi babu kubwa Amazing jego
Nipo moro napenda Sana kidoma the greatest singer one.pg kaz inatosha bro .
Nan kama kisima
Wakimbize
Badugula abasukuma ahamabujumbe gako nkoii
Kaz nzur bro mbona nkololo hujafika imeishia nkindwabiye
Sawa mzee wa ujumbe
Uko sawa
Wimbo mkubwa sana huu umeandikwa sana ukaimbwa sana na unagusa jamii ya leo sana....big up Bro
Real
Asante
Majabala nakupenda unavo imba
Nyimbo za kisima kisukuma
Nyanda john
Namkubali kwamba 1:21
Kisima nyanda majabala
Nyimbo zako zinafundisha mungu aendelee kukutunza
saf kisima👏👏👏👏👏👏👏
pamoja sana kisima upovozur kak
Vizr xn dogo
uko very nice
Kisima nipe no 2:27
Inapendeza xana
Hamonize
Nakuona uko vizuli
Wabeja namala
Fanyen mkuze nyimb zenu kwann hamji dar kufanya show ninaiman watafurahia vingi
Music is not a crime sing dance
Kisima katoro tumekumiss sana bwana mkubwa
Pamoja Sana
Kisima majambala
Nini maana ya MTC kaka maana unaniacha mdomo wazi tu kaka
❤❤❤❤❤❤
Umefanya poa Sana kutumia channel yako broo
💯
We together 🏅🏅🏅🏅
Lova
Mzee vina za kisukuma🔩
,o
C'est merveilleux
Hogela washe
Mes excuses
Mes excuses
Command wa music jambo
Naomb namba zako
Kazi'nizuri 1:22
No longer needed
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🫂
Every time I have a wonderful day love meet up with you both sexy and beautiful@songs system work well for messaging app and share it with them throughtout for a good luck.
السلام عليكم ورحمه بالحقيقة هذه الاغانى والفيديو حلوة وجميل جداً جداً وانا فى مدينة بيراو بمحافظة فاكاقا بجمهورية أفريقيا الوسطى I'm from BIRAO in Central African Republic