Kisima_Selina-Officail Video 2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 211

  • @samwelfala8503
    @samwelfala8503 Год назад +6

    Maisha marefu kaka nazkumbal ngoma zkooo 100%

  • @HalimaZawadi-l2y
    @HalimaZawadi-l2y Год назад +3

    Kisima majabala hongera sana unaujumbe mzuri unatuwakilisha vyema sana wasukuma nakumbuka nilikuona ilolsnguru kwenye show nikachelewà kurudi nyumban me wang alinipiga nakunifukuza mpaka Leo sichoki kusikiliza nyimbo zako ww ni namba1 ❤❤❤ 10:23

  • @christieekumah7223
    @christieekumah7223 Год назад +9

    Sounds so romantic and I really like their moves. Africans really got talents

    • @PeterYohan
      @PeterYohan Год назад +1

      kisima by selinap3

    • @salummadebe
      @salummadebe Месяц назад

      All the best bro make wonders alwas

  • @JaphetSimon1
    @JaphetSimon1 Год назад +12

    Dah! Bro Kisima hii nyimbo imenitoa machozi kabisa umenikumbusha mbali sana, nilienda Machimboni Nyamishiga,Kakola na Mwime Kahama niliteseka sana 😢😢😢😢Asante Mungu kwa kuniokoa Kisima kwa nyimbo hii nathubutu kusema nakupenda.

    • @thomaslungu
      @thomaslungu 10 месяцев назад

      I love this song 🙏🙏🙏🙏

    • @JaphetSimon1
      @JaphetSimon1 10 месяцев назад +1

      @@thomaslungu 💪💪

    • @MichaelNkwabi-bn4lz
      @MichaelNkwabi-bn4lz 8 месяцев назад +1

      Diii Yan machimbon kunabalaa kunamateso duuu​@@thomaslungu

  • @gibasekimola9619
    @gibasekimola9619 Год назад +2

    Uliposoma primary ndipo niposoma mm,nashukru mungu Leo mi ni Mwl s/m nyandolwa so this is mwamond product,greet my brth in low justn chenha I lived to him since 2008 big up t u,keep up.

  • @JosephMme
    @JosephMme 2 месяца назад +2

    Tunakupenda Sana dar as salaam kaka yangu kisima tunaomba show dar kwenye tamasha la siku ya Yanga day mwakan 2025

  • @user-dm2lt3yn7l
    @user-dm2lt3yn7l Год назад +2

    I proud to have a relents artists from our sukuma tribe

  • @shabanlusan6890
    @shabanlusan6890 Год назад +2

    Unanikumbusha enzi za nyangarata daaah

  • @LeonardMugema
    @LeonardMugema Год назад +1

    UnaJitahid nyimbo nzurii.tulivuu..ujumbee maridhawa kabisaa..komaa utafika mbali sana

  • @MussaDotto-x9j
    @MussaDotto-x9j 2 месяца назад +1

    Nyimbo hiii naipenda sna bro aliiba vzr sna nyimbo wachimba inatukubusha sna

  • @sakijakhassim8818
    @sakijakhassim8818 Год назад +1

    Huyo ni Celina kweli kweli mtoto wa Kisukuma, Piga kaz bro unauweza mziki wetu Ngosha’s kingdom

  • @MussaDotto-x9j
    @MussaDotto-x9j 2 месяца назад +1

    Nyimbo hiii naipenda sna bro aliiba vzr sna nyimbo wachimba inatukubusha sna 4:40

  • @harunabel1930
    @harunabel1930 10 месяцев назад +1

    Vinzuri Sana wimbo mzuri endelea kuandaa nyimbo nzuri kama hizi

  • @MasungaMusingi-x5q
    @MasungaMusingi-x5q Год назад +1

    unafanya vizuri sana kaka piga kazi acha kusikiliza maneno ya watu kaka

  • @japhetkulwa5580
    @japhetkulwa5580 2 года назад +2

    Pambana bro uko vizuri sana Kwenye tathinia ya mziki wa asili mm n shabiki wako napatikana sengerema na ninajishugulisha na kazi ya mziki wa asili namanisha nina gari na mziki kwa ajili ya matangazo karibu sana na big up kwako

  • @JosephSalwa-vf7pm
    @JosephSalwa-vf7pm 7 месяцев назад +6

    Mimi mwenyewe naikubali sana

  • @mossespaul809
    @mossespaul809 Год назад +1

    aiseeeeee hakika bro man must struggle mhhhhhhh mpaga bhalekooo sio kutoka kwenye mchembe 2

  • @BarakaWhite-l3b
    @BarakaWhite-l3b 3 месяца назад +1

    ❤kaka kiukwil unanyimbo nzuri saan

  • @MahendaKaswalala
    @MahendaKaswalala Год назад +2

    Safi sanaaaaa❤

  • @mussaekichiba7126
    @mussaekichiba7126 2 года назад +3

    Bro mi shabiki yako blood kabisaaa nakupata vema nikiwa Visiwani Zanzibar Endelea kudondosha majabali makubwa kama hayooo tuwakilishe vema sisi watu wa mkoa wa simiyu na wasukuma woteee Big up sanaaa...!!

  • @charleskayange8266
    @charleskayange8266 2 года назад +1

    Umetisha kaka

  • @emmynyodi8006
    @emmynyodi8006 Год назад +1

    Hayupo wakukufananisha na wewe kisima big up bro

  • @MisalabasaidiSaidimisalaba
    @MisalabasaidiSaidimisalaba Год назад +1

    Huu mziki naukubali sana

  • @magambo-sp5ih
    @magambo-sp5ih Год назад +1

    Nakuelewa sana kisima kalibu kakola hatukuchoki mimi shabiki damu

  • @LeonardMugema
    @LeonardMugema Год назад +1

    UnaJitahid nyimbo nzurii.tulivuu..ujumbee 1:48 maridhawa kabisaa..komaa utafika mbali sana😅

  • @waidakivamba7179
    @waidakivamba7179 2 года назад +1

    Nakuelewaga Sana kaka kisima

  • @BarakaWhite-l3b
    @BarakaWhite-l3b 3 месяца назад +1

    Nakupenda sn kaka Ang kwa nyimbo zk nzur

  • @angelobundala3468
    @angelobundala3468 Год назад +1

    Keep it up kaka watajua hawajui

  • @BenjaminShilikale-i1h
    @BenjaminShilikale-i1h 5 месяцев назад +2

    kisima umeshindikana❤❤❤

  • @JeremiaMakyau
    @JeremiaMakyau 7 месяцев назад +1

    Kisima umenikumbusha mbari sana nymb yak Selina ambae alikuwa mke wang nilikuwa namupend San ila kisicho liziki hakiriki walianza kutoka na mdogo wang kimapenz

  • @genelnchera5607
    @genelnchera5607 2 года назад +2

    Kiukweli kaka yangu nyimbo zako sichoki kusikiliza zinanipa furaha sana hongera kaka tuwakilishe wasukuma

  • @PeterCharles-p2s
    @PeterCharles-p2s 23 дня назад +1

    Nimekubali kisima

  • @BonventureGeorge
    @BonventureGeorge 5 месяцев назад +1

    mwamba umetishaa saaaaaana kisima ''the great''

  • @njinulamponda-gh7nu
    @njinulamponda-gh7nu Год назад +1

    Kaka napenda sana nyimbo zako yaan zinafundisha

  • @Mkuya__23
    @Mkuya__23 6 месяцев назад +1

    kisima ni mmoja tz ✅🇹🇿

  • @mossespaul809
    @mossespaul809 Год назад +1

    mung akubaliki sana bro No sweat withouts sweet und the king msukumaaaaàa from nhobola kabila hukukayaaaaa

  • @SamweliHelege-hy6je
    @SamweliHelege-hy6je Год назад +1

    💪💪💪💪 ngoma imetulia Sana we noma bhna

  • @javankulwa140
    @javankulwa140 2 года назад

    Pepo kwako wikale shikuul nyinge nkuluwane kutoka Bariad mtaa wa salunda sito kaa nilsahau nyimbo yako ya bhabha ulinikumbusha mbali ulielezea kama maisha yangu
    2kopamoja bro
    Pepo kwako wikale shiku nyinge

  • @mossespaul809
    @mossespaul809 Год назад +1

    pamoja sana kisima majabala mungu akulinde na aibaliki kaz yako🙏

  • @LovelyBird-sf5fn
    @LovelyBird-sf5fn 4 месяца назад +1

    Nestory samson hii nyimbo naikubal sana maana nakumbuka shibalanga

  • @abelbufumbe790
    @abelbufumbe790 2 года назад +1

    Ngoma kali sana nakupata vzr sana nikiwa kisiwani comoros 🇰🇲 najivunia kuwa msukuma

  • @PaulBusiga
    @PaulBusiga Год назад +1

    Unanikumbusha ng'alota mzee

  • @sudymihambo5932
    @sudymihambo5932 2 года назад +1

    Ngoma kaliiii hongera bro kutangaza lugha safi sukuma

  • @EnokaFaustin-gl7wt
    @EnokaFaustin-gl7wt Год назад +1

    Unyama mwing broo unaweza

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 2 года назад

    we noma broo unatisha

  • @LeonardMugema
    @LeonardMugema Год назад +1

    😮😮😮unatisha sana.. unazd kuimarika mno wee n champio n

  • @shukuboy-oc3iu
    @shukuboy-oc3iu 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤ nakukuli kaka yangu mungu akuweke dunia

  • @dvjchriss1127
    @dvjchriss1127 Год назад +1

    Jamani hadi raha💚💚💚

  • @ras.gerzel
    @ras.gerzel 4 месяца назад +1

    Because i have no rights to return to my home land africa i wont worry feeling good still irie in sk the west indies❤

  • @ndacayisabajulesruzo2056
    @ndacayisabajulesruzo2056 2 года назад +1

    Kisima mi ni murundi nakupend sana san

  • @obadialibraly2587
    @obadialibraly2587 2 года назад +1

    Kisima noma sana nyimbo zako zinatamba Kila Kona migodini ndousiseme

  • @arrymagembe-lm1si
    @arrymagembe-lm1si Год назад +1

    Unafanya vyema sana kaka pongenzi kwako

  • @ramadhankabaju4040
    @ramadhankabaju4040 2 года назад +1

    Bonge moja la ngoma

  • @MichaelLameck-sq8el
    @MichaelLameck-sq8el Год назад +1

    Kisima kama kisima nakukubari sana unatisha sana pande za tabata dsm

  • @ednasamweli582
    @ednasamweli582 Год назад +1

    Music imetulia wasukuma juu ❤❤❤

  • @papaakanali5214
    @papaakanali5214 2 года назад +1

    Kisima hongera kwa kazi nzuri

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 2 года назад +3

    Huyu jamaa anajua sana mi sio msukuma ila naenjoy sana kama nakula ngoma za kongo 🤣🤣🤣🤣

  • @JidahayaLeonard-f5k
    @JidahayaLeonard-f5k Год назад +1

    Brather kisima kwa ss wachimbaji huo wimbo niatali sana najiktaga nalia bila kujua

  • @asiyechoka7646
    @asiyechoka7646 2 года назад

    hatali sana nyimbo za ujumbe mzto king of kisukuma

  • @NyigaD.Lushulope
    @NyigaD.Lushulope 7 месяцев назад +1

    Ni hatariiiiiiiiiiiiiiisana mwamba wetu

  • @Nyanda-gi3ud
    @Nyanda-gi3ud Год назад +1

    Yes yes Very Good Your Son Kisima

  • @m.h.d.m.s.r.5850
    @m.h.d.m.s.r.5850 2 года назад +1

    kisima mashailiyako tunayapata sana wengi yanawatokea kama,selina..dh

  • @emmanuelpius5479
    @emmanuelpius5479 2 года назад +2

    My currently great Sukuma artist in Tanzania and Africa.

  • @josephndekele3586
    @josephndekele3586 2 года назад +6

    Hakika wewe ni mfalme wa nyimbo zenye ujumbe nitaendelea kuwa shabiki wako wa nguvu kwa nyimbo zenye ujumbe.

  • @yusthamadundo3313
    @yusthamadundo3313 2 года назад

    Hongera sana kisima kutuwakilisha wasukuma natamani nikupe uko pande gani

  • @Candidathomas-hh6kz
    @Candidathomas-hh6kz Год назад +1

    uko vnzr kisma homgera

  • @ramadhanmabitii7254
    @ramadhanmabitii7254 2 года назад

    Nakubali sana kisima Kutoka misungwi Ngubalu mpaka katoro

  • @ramadhanimaganga8068
    @ramadhanimaganga8068 2 года назад +1

    Nyimbo Kari sana bro hongera sana

  • @jeremiahkaliwa741
    @jeremiahkaliwa741 2 года назад +1

    Tuko pamoja saana kisima bariadi ndan

  • @venerandamavanza8763
    @venerandamavanza8763 2 года назад +1

    Umenifurahisha sana kuijali asili yako katika wimbo huu

  • @danielbukundi8659
    @danielbukundi8659 2 года назад

    Nakubal Sana Kaz zako brother keep it up bro 💪💪💪💪

    • @mohamedslema5664
      @mohamedslema5664 2 года назад

      Huyu jjamaa ni hatari sana kwa sanaa yake, Yuko vizuri hongera zake.

  • @lightnessmussa5934
    @lightnessmussa5934 2 года назад +1

    Upo gud kwenye mashairi shabiki yako kutoka chuo Cha saut mwanza

  • @RamadhaniJuma-g6r
    @RamadhaniJuma-g6r 5 месяцев назад +1

    Inatupa moyo wa kutafuta Mali Iko vizuri

  • @gustinduralien3281
    @gustinduralien3281 Год назад +1

    Y Love You Selina !🇭🇹👍🇭🇹

  • @ElizabethIbogo
    @ElizabethIbogo 7 месяцев назад +1

    Mauwa yako kisima🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️

  • @emmynyodi8006
    @emmynyodi8006 Год назад +1

    Big up kisima

  • @Lambano
    @Lambano 2 года назад +2

    You guys are best. Your music is palatable.

  • @byaruhangajoseph335
    @byaruhangajoseph335 2 года назад +1

    kisima this is very hot, i wish you all the best.

  • @JasamaMwandu
    @JasamaMwandu Год назад +1

    Hakika we ni mwamba ndio maana ni shabiki wako namaba moja igunga

  • @lomamelau4765
    @lomamelau4765 2 года назад +1

    Uko visuri 💪

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s Год назад +1

    Hongelasana kabila letu limenikumbusha lgunga tabola omani hamna ngoma

  • @majabalugoko774
    @majabalugoko774 Год назад +1

    Majabala moja hiyo simiyu moja hiyo

  • @NtwimaShidubu
    @NtwimaShidubu 4 месяца назад +1

    Safi sana kisima

  • @amosndayumubu901
    @amosndayumubu901 2 года назад +3

    Very amazing 😻

  • @mossespaul809
    @mossespaul809 Год назад +1

    mwamba nakupatasanaaa

  • @makeresiapawa7947
    @makeresiapawa7947 2 года назад +1

    komangaga nyanda majabala.
    nalīho ndūhū nchonji

  • @sebewatsumo969
    @sebewatsumo969 2 года назад

    Kisama is my favourate keep on keeping on specificaly your women dancers would even wish to marry one of them

  • @mossespaul809
    @mossespaul809 Год назад +1

    achia nyingine kaka

  • @LivingstonLeonard-hf6qh
    @LivingstonLeonard-hf6qh Год назад +1

    Unaweza

  • @thobiasbarnaba
    @thobiasbarnaba 2 года назад +1

    Pamoja Sana mwamba

  • @santosfranco5324
    @santosfranco5324 Год назад +1

    Siii esa musica m gusta❤,franco

  • @youssoufadaoud4713
    @youssoufadaoud4713 Год назад +1

    Asalam maa shukraa .... Bels Rythmes shows...Y...

  • @ednasamweli582
    @ednasamweli582 Год назад +1

    @kisima majabala naomba hiii nyimbo please iweke audiomack ❤️❤️🙏🙏

  • @BoniSix
    @BoniSix Год назад +1

    Nimm nipo pamoja😊

  • @jescasimon7621
    @jescasimon7621 2 года назад

    Unaishi wapi Kaka kisima maana nyimbo zako zinafundisha sana

  • @BarakaWhite-l3b
    @BarakaWhite-l3b 3 месяца назад +1

    ❤nakupend sn

  • @sarahjonathan5604
    @sarahjonathan5604 2 года назад +1

    Hongera bhabha

  • @samuelssozi11
    @samuelssozi11 2 года назад

    Kisima niwa'jabu ulimwenguni!!!

  • @MussaDotto-x9j
    @MussaDotto-x9j 2 месяца назад +1

    Nyimbo hiii naipenda sna bro aliiba vzr sna nyimbo wachimba inatukubusha sna

  • @PatricPeter-q4e
    @PatricPeter-q4e 6 месяцев назад +1

    Nmekubli❤