Kisima hakika wewe ni jembe kwelikweli nakuomba uanze kutunga nyimbo za kiswahili Ili uweze kujitangaza Kwa jamii yote ya east Africa na Africa nzima jinalako limekiwa kubwamno kama unavosemagawewe kuwa the biggest name.
Kaka nakupongeza sana kwa huu ubunifu uliouanzisha kwa kutofasri nyimbo Ili kama Kuna mtu haelewi vizuri kisukuma basi apate kuinjoy,ila hakikisha unatofasri neno kwa neno,Kuna MANENO fulani unayakosea,mfano neno Salike ni kuku fulani hivi wanakuwaga na manyoya ya kusimama,hawa kuku Huwa wanatumiwa na mtu ambaye anataka kukuharibia mambo Yako Ili yawe ovyo ovyo kama yalivyo hayo manyoya,
Kazi nzuri sana nakubali sana kanigusa Mimi imeniusu kabisa
Nipo zanzbar nazikubali sana ngoma za kisima
Kazi Nzuri Maua Yako Itemo
Ujio mzur kaka
Hapo Mzee umewini
Pia Kwa vile umeendashule tupia na song Moja la kingereza hakika uta utakija kunikumbuka Kwa ushauriwangu.
Wnoma
Ngelela mpya
Aya masanja
Kwa hili hakuna mpinzani labda ubishi tu hakuna namna we noma
PAMOJA SANA DIRECTORDOMY666
Kisima hakika wewe ni jembe kwelikweli nakuomba uanze kutunga nyimbo za kiswahili Ili uweze kujitangaza Kwa jamii yote ya east Africa na Africa nzima jinalako limekiwa kubwamno kama unavosemagawewe kuwa the biggest name.
Hawataweza watu wabaya
Kaka nakupongeza sana kwa huu ubunifu uliouanzisha kwa kutofasri nyimbo Ili kama Kuna mtu haelewi vizuri kisukuma basi apate kuinjoy,ila hakikisha unatofasri neno kwa neno,Kuna MANENO fulani unayakosea,mfano neno Salike ni kuku fulani hivi wanakuwaga na manyoya ya kusimama,hawa kuku Huwa wanatumiwa na mtu ambaye anataka kukuharibia mambo Yako Ili yawe ovyo ovyo kama yalivyo hayo manyoya,
NSHISHI SANTEE KWAUSHAULI WAKO tutaufanyia kz
@@Mc_Itemo tuko pamoja kaka
@@Mc_Itemo kuna neno jingine msanii alisema "Mpiina",ni yatima au mtu mtoto aliyetelekezwa fulani hivi
Ww unaweza kwel kwel sjui alikukosea nn huyo mzee
Kisima anaweza na hana tabia ya kutusi na kutaja jina la mtu yeye anatumia mafumbo utajiongeza wewe mhusika yaasn messege send
Unafki kuma mao mutangazaji
Ujio mzur kaka