Kisima _Nahobakhe Official video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 225

  • @japhetsahani7121
    @japhetsahani7121 7 месяцев назад +31

    nilkuwa mshaki wa gude gude ila Leo nmehamia kwa KISIMA je washabiki wa kisma Kama mnefrahi kuwa mshabiki wa kisima tia like yako

    • @thentuzumusic
      @thentuzumusic 7 месяцев назад +2

      Pia ni ushamba huoo

    • @Emma562
      @Emma562 7 месяцев назад +2

      Nisawa íla usije ukawa mpeleléz tu.

    • @amosnaqbarxanaabddallah2730
      @amosnaqbarxanaabddallah2730 7 месяцев назад +2

      Karibu Sana jamaa yetu maana huku cc nfulu mangoma,,,timu kisima tupo natumejipanga sana kmusapoti mshikaji

    • @MasanjaSamweli-b3r
      @MasanjaSamweli-b3r 7 месяцев назад +1

      Uchonganishi na umbeya huo we kama umehamia uku njoo kmy kmy tu

    • @japhetsahani7121
      @japhetsahani7121 7 месяцев назад +1

      100% leo nimekuwa mshabaki wa kisima 🎶🎶🎶🎶

  • @jamesamos4597
    @jamesamos4597 7 месяцев назад +14

    Jamn kisimaaaaa we nomaaaa ngongaaa like hapa kama una mkubar kisima

  • @khamzalockymaster6008
    @khamzalockymaster6008 7 месяцев назад +6

    Ambaye anamkubali director KANDOLO aweke like zake hapa

  • @mrishobulabo8014
    @mrishobulabo8014 7 месяцев назад +2

    Hawa ote tunasubiri na ni premieres ngoma bado inakuja kisima endelea kuwa mbunifu utumie jina lako kama brand hata siku ukichoka kuimba usitoke Kwa mashabiki zako bado waendelee kujivunia vitu ulivyoanzisha au kufanya
    Love from teacher teacher mrisho Bulabo kutoka mwanza

  • @amosnaqbarxanaabddallah2730
    @amosnaqbarxanaabddallah2730 7 месяцев назад +3

    Nmeanza kmfatilia kisima tangu nikiwa dogo sana maana knanyimbo zake za zaman ninazpenda sana kwamfano ntemi ni ntemi Yani kwene fring zangu nlikuwaga niktoka kazin lazima niisikilize af nilikuwa nashangaa sana kwann jamaa anatoa ngoma Kali hiv af bado hajajulikana kmbe Mungu nayeye alikuwa pamoja nami mwishowe amemtoa jamaa ye2,,namkubali sana,,maana hakna musukuma mwenye talent Kama hii wengine niwapiga kelele2 wanaimba nyimbo 2 zamaana Kisha wanaanza ktukana wenzao huo ni ushamba Sana,,ebana ckiliza Tungo zenye vina na mizani,mwanzo Kati na mwisho,,usisahau kumuelewa kwenye kila wimbo anamanisha nn,,tunampenda naww mpende pia

  • @MaxwellBanda-xd6oh
    @MaxwellBanda-xd6oh 3 месяца назад +1

    I like this song and good massage for world keep it up kisima

  • @jamesamos4597
    @jamesamos4597 7 месяцев назад +4

    Wewe unae sema video mbaya ya kwako Iko wap Huwa hamkosu maneno mbna videos ipo safi mpka migera tuuu mbna husemei kwenye studiooo jibu unalo bhazunije abhanuuuu ko hakuna mashaka kwa kisima je kama migera anakazi nyingi Alf xx tunataka mzigo utupate mapema tumsubr nenda nawe kwa migera ety amefer kisima jilegekooooooooo jigaferigiiiiii

    • @MigeraStudio
      @MigeraStudio 7 месяцев назад +3

      Acheni malbano kazi ni nzuri Alf niwambie kitu mziki wetu umekua unaitaji watu tofauti tofauti kwenye mziki wetu so niwambie malbano yenu migera msimuweke wadau kwanza mnanivunjia hesima kwa wasanii

    • @jamesamos4597
      @jamesamos4597 7 месяцев назад +1

      @@MigeraStudio nakubariiiiii

  • @BarakaWhite-l3b
    @BarakaWhite-l3b Месяц назад +1

    Hongera sana kaka kazi Yako nzuri mungu akubarik sn kwakaz nzur

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 7 месяцев назад +4

    Kazi nzuli sana

  • @barnabamasigani221
    @barnabamasigani221 2 месяца назад +1

    Nilikuaga naisubili hii Ngoma inanikumbusha mwaka 2021... Pamoja sana kisima majabala.......

  • @Daudisinzi
    @Daudisinzi 3 месяца назад +1

    Bwana mdogo hongera Kwa kuelimisha jamii , Nikweli usemalo

  • @HadijaIsmail-i7d
    @HadijaIsmail-i7d 3 месяца назад +1

    Hongera ni shida sanatuombeane

  • @MasanjaIdelya
    @MasanjaIdelya 7 месяцев назад +4

    Bonge la ngoma brother big up sana mwamba

  • @malingomediaofficial
    @malingomediaofficial 7 месяцев назад +2

    Good Job Brother Congratulations Twin

  • @ShabaniMohamed-j4l
    @ShabaniMohamed-j4l 7 месяцев назад +8

    Kaka sijachelewa na mm naomba namba ako mie kijana wake na samola wa isuli ila naish maguryat naomba namba ako bac kak

  • @MwasitisaidiMgalula-pl7fs
    @MwasitisaidiMgalula-pl7fs 7 месяцев назад +2

    Kisima hakika we ni msanii mkubwa sanaa wimbo mzurii mnoo mungu azidi kukutia guvu hakika wasukuma unatufurahisha Sana

  • @HOMESTUDIOLYAGUKAYA
    @HOMESTUDIOLYAGUKAYA 7 месяцев назад +6

    Tunakisubiri kwa hamu

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 7 месяцев назад +1

    Nice Good Job Umetisha Sanaaaaaa Director Kandolo na Brother Kisima Wewe Ni King👑 Mauwa Yako hayo 🎉🎉🎉

  • @revocatusclavery3562
    @revocatusclavery3562 7 месяцев назад +3

    Umeferi pakubwa mno hii album nyimbo nzuri ni tatu
    𝗡𝗮𝗹𝗶𝗻𝗮𝗸𝗶 , 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮, 𝗯𝗵𝗮𝘇𝘂𝗻𝗷𝗲

    • @masungazabron4571
      @masungazabron4571 7 месяцев назад +1

      Toa album yako

    • @MasanjaSamweli-b3r
      @MasanjaSamweli-b3r 7 месяцев назад +1

      Achia na wew album yako utoe zote Kali , pia kati ya wew na kisima ni Nan wa kufel

    • @YohanaIsaya-vs7ty
      @YohanaIsaya-vs7ty 7 месяцев назад +1

      Acha unafiki

    • @dikakimishawasumbwahalisit7596
      @dikakimishawasumbwahalisit7596 7 месяцев назад +1

      Sasa mnamkosoa Nini kwa hiyo mnavyowaza ninyi na yeye awaze vile
      Au ugali ukitengwa ukawa mbichi mtu asiseme et nenda ukapike na wewe.
      Acheni kujipendekeza Bora anaekosoa maana anampa changamoto afikiri zaidi kuliko mnapongeza tu
      Wa ndio mzee anajifunza nn kwenu😂

  • @JohnShishi
    @JohnShishi 3 месяца назад +1

    Piga kazi tupo pamoja ndugu mungu akulindi sana

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 7 месяцев назад +2

    Waleta kiafrika moto 🔥🔥 ni ule ule kumbuka wanao kusumbua ndio wanao Kupa fikra ya kufanya uwe zaidi yao 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @amosntabo7671
    @amosntabo7671 7 месяцев назад +1

    Hongeraaa,,,sana,, Mungu akubariki,,,

  • @DeogratiusmgungaBujiku
    @DeogratiusmgungaBujiku 7 месяцев назад +1

    Mwenyezi mungu aendelee kukutia wepesi ktk kazi zako 💪💪🙏🙏unajitahidi ktka kubuni kazi zako❤

  • @Masebrain
    @Masebrain 5 месяцев назад +1

    Vizuri rafiki yangu kazi nzuri❤

  • @MigeraStudio
    @MigeraStudio 7 месяцев назад +2

    🎉🎉🎉🎉 kaka umetisha

    • @mrishobulabo8014
      @mrishobulabo8014 7 месяцев назад +2

      Boss wangu naona idea zako kwenye kupanga dancers adi kandoro kazitumia kikubwa mziki wetu usonge mbele❤💪 united we stand sukumaland music to the worldwide

  • @hamisimtemi3803
    @hamisimtemi3803 7 месяцев назад +1

    The Greatest singer in SUKUMA LAND...KISIMA nyanda wa Majabala

  • @johnsuky6314
    @johnsuky6314 7 месяцев назад +1

    Nawakilisha niko lindi, kazi nzuri bro ❤❤

  • @DanielShiganga
    @DanielShiganga 7 месяцев назад +5

    Achia na video ya Sara.... baba alinogewa

  • @littlebloom6910
    @littlebloom6910 7 месяцев назад +1

    Omukaya we ni noma good job my brother. Majirani watajuta kwelikweli

  • @patrickkapisha628
    @patrickkapisha628 7 месяцев назад +1

    Jaman tunatusua

  • @umemetv5919
    @umemetv5919 7 месяцев назад +1

    Kisima Naomba Uje Kupiga Show Masengwa Shinyanga Watu Wanakusubr Bro... Mimi Shabiki Wako

  • @SilimaZelle-no7jr
    @SilimaZelle-no7jr 7 месяцев назад +2

    Hiiiiii Ngoma kaka watafata sana pamoja na Dunia bila kusahau bhazunije Moja wapo Mimi nakufatilia sana kaka endelea kutuburudisha🎉🎉🎉🎉

  • @Ng_wenda_Pole_mnyamwezi_Tz
    @Ng_wenda_Pole_mnyamwezi_Tz 7 месяцев назад +1

    KAKA hakika mi waga nasikiliza sana midundo kama hii najifunza mengi sana kupitia nyimbo zako maana nami ipo siku ntakua kama wewe kaka sarut kwako Sinepar kisima majabala hongera sana kaka ❤

  • @ElisanteNkuba
    @ElisanteNkuba 3 месяца назад +1

    Nipo dar es salaam kinondoni tegeta nawakilisha our culture

  • @martinekazungu842
    @martinekazungu842 7 месяцев назад +5

    Dahaa kisima

  • @EmmanuelSeni-rt6uj
    @EmmanuelSeni-rt6uj 2 месяца назад +1

    Msukuma unae fanya hata nikiwa toronto nakula ngoma za kisima

  • @MaduhuSeen
    @MaduhuSeen Месяц назад +1

    Uko vzr jamaa angu

  • @SimonCharles-p9q
    @SimonCharles-p9q 7 месяцев назад +1

    Hongera sana mwamba❤❤❤

  • @ElishaMolla
    @ElishaMolla 7 месяцев назад +2

    Moja ya kazi nzur sana kaka angu ❤❤❤

  • @FaustineSalawa-m5p
    @FaustineSalawa-m5p 7 месяцев назад +1

    Kisima kaka umepigaje apooo kaz zur kaka mungu akulide,🙏🙏

  • @ndeteleleoizdory2292
    @ndeteleleoizdory2292 7 месяцев назад +2

    Acha niisubr asa kesho mapema sana naichek congratulation bro

  • @imansamwel4748
    @imansamwel4748 7 месяцев назад +2

    Kisima brother msalimie prisca saidi namkubal san❤❤❤

  • @malambimasele7415
    @malambimasele7415 6 месяцев назад +1

    Hongera bro kwa nyimbo zur mungu akubariki

  • @UwimanaConsolee
    @UwimanaConsolee 7 месяцев назад +1

    Kisima nakupenda sana wimbo wako inanifuraisha sana Songambere baba from kigali Rwanda

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine 6 месяцев назад +1

    Kisima ,hakika unaweza ,nyimbo zako zinakonga mioyo ya watu ,ususani wanaoelewa lugha ya kisukuma ,

  • @DanielGeorge-x3m
    @DanielGeorge-x3m 2 месяца назад +1

    Nakukubali sana kaka

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 7 месяцев назад +4

    Achia kitu blo❤❤🎉🎉🎉

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 7 месяцев назад +1

    Kandolo njoo uchukue maua yako broo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @massanja221
    @massanja221 7 месяцев назад +4

    Nilijua tu lazma kutakuwa na goma la akiba kama mwaka jana shikome ilivyomalza shughuli

  • @MwajumaIhonde
    @MwajumaIhonde 6 месяцев назад +1

    Brother kazi nzur , good job

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri bro mavazi yamezingatiwa

  • @ndeteleleoizdory2292
    @ndeteleleoizdory2292 7 месяцев назад +3

    Ndo hii inahesabu second nmeisubr

  • @machiyajohnmbasa2746
    @machiyajohnmbasa2746 7 месяцев назад +4

    Big up brother

  • @mathiaskaswahili9942
    @mathiaskaswahili9942 7 месяцев назад +1

    Brother you are creative and thinker,,, it's a good job

  • @HamisiMasesa
    @HamisiMasesa 7 месяцев назад +2

    Kumekucha tena kwa kisima 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HOMESTUDIOLYAGUKAYA
    @HOMESTUDIOLYAGUKAYA 7 месяцев назад +3

    Kaka achia chuma hicho

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 7 месяцев назад +1

    Salute kwako Mwamba

  • @cosmasrobert2056
    @cosmasrobert2056 7 месяцев назад +1

    nyimbo nzuri sana kaka hongera
    lakini kunawachezaji wangu pendwa sijawaona humu kisima.

  • @Malom_Daily
    @Malom_Daily 7 месяцев назад +2

    King of sukuma music 💪🏻 no body can stop you just GOD only

  • @OscarShimba-u9d
    @OscarShimba-u9d 4 месяца назад +1

    Kisima nimeanza kukushabikia toka nasoma by Oscar mayengela

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 7 месяцев назад +1

    MtC waleteee unaweza broo

  • @BUPAMBANYALWESA-jx5de
    @BUPAMBANYALWESA-jx5de 7 месяцев назад +1

    Hongera kwa mavaz mmeonesha nidhamu inayo takiwa

  • @MosesBenjaminMahugija
    @MosesBenjaminMahugija 7 месяцев назад +1

    Hongera Sana bos ni Mimi rafiki yako mjumbe wa mwembe kutoka mahenge ifakara 😊

  • @HOMESTUDIOLYAGUKAYA
    @HOMESTUDIOLYAGUKAYA 7 месяцев назад +2

    🎉🎉🎉🎉perfect boy achia chuma hicho kaka tunaona kama inachelewa vile yaani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 7 месяцев назад +1

    MWAKITORYO tunaipata vyema MTCTZ

  • @afterlifechannel4647
    @afterlifechannel4647 6 месяцев назад +1

    Hongera sana!

  • @Ndushikayungilo722
    @Ndushikayungilo722 7 месяцев назад +1

    Asante kisima kwa tungo bora

  • @madulustudio6794
    @madulustudio6794 7 месяцев назад +1

    Hii imenda

  • @MohammedMohammed-ie1nj
    @MohammedMohammed-ie1nj 7 месяцев назад +1

    Nakupata vzr sana kisima hatal we noma

  • @engobeid2943
    @engobeid2943 5 месяцев назад +1

    Hongera sana kaka kazi nzur

  • @williamjames5267
    @williamjames5267 7 месяцев назад +2

    Mzee baba japo haraka haraka haina baraka naona kama vile na kunoga ukulindela nkoyi lekelaga nemo wa kukaya

  • @chandikadechandika9852
    @chandikadechandika9852 5 месяцев назад +1

    Kazi nzur sana bro but , achie video ya bhazunije tumeisubr kwa hamu sana nyimbo bora2024

  • @ramadhankwilasa2371
    @ramadhankwilasa2371 7 месяцев назад +1

    Mungu anatoa kila jambo kwa Wakati wake
    Kipindi upo unatembea kwenye uchaguzi na Njalu daudi silanga ukweli ulikuwa na mengi sana mara uachwe mwenyewe tu

  • @madulustudio6794
    @madulustudio6794 7 месяцев назад +2

    Inachelewa mbona

  • @ezekielsaid9536
    @ezekielsaid9536 7 месяцев назад +1

    Dah hongera san wa. Kwetu

  • @nongaibuli7013
    @nongaibuli7013 7 месяцев назад +1

    Kisima majabala, mimi naomba nikwambie kitu broo, hakika wewe kwa sasa ni fahari ya nyimbo za asili kwa ukande wote wa kanda ya ziwa nathubutu kusmea ivo kwa sababu nyimbo zako zina ujumbe bora sana, wasanii wengi wakipata jina wanabweteka broo usibweteke bado unatakiwa kuwa mfano katika wasanii wengni chipukizi hata na wakongwe pia hongera broo endelea kupambana broo utafika mbari zaidi ya hapo, NB;wengi wanasahau walianzia wapi nani kafanya mapaka ufike hapo, sehemu uliyoanzia siyo ya kusahau kisima utakua umenielewa, aho okandejiwa okotemelwa esambha otizohebhela ngalo.

  • @MabugaLukasi
    @MabugaLukasi 7 месяцев назад +1

    Kisima jmn nakubar mwamba reo yupo bande zet razm niende

  • @lucasbusagala4033
    @lucasbusagala4033 7 месяцев назад +1

    Ongw'amajabara noma sana ww 💪💪💪

  • @djmusakasekesetz8126
    @djmusakasekesetz8126 7 месяцев назад +2

    Mamb Yako Sawa Achia Mzee

  • @johnkilogeja7296
    @johnkilogeja7296 7 месяцев назад +1

    kaka kazi imeeleweka katoro tumeielewa shoo ila achia na vidio ya susana kak 💥💥💥💥

  • @Balele-m6u
    @Balele-m6u 7 месяцев назад +2

    Kazi nzuri sana kaka❤ 7:30

  • @fredrickhenrygwantemi1816
    @fredrickhenrygwantemi1816 7 месяцев назад +1

    good song hongera kisima

  • @CharlesInyasi-nd3lj
    @CharlesInyasi-nd3lj 7 месяцев назад +1

    Jamaa huyu ni mwanamziki halisi habatishi

  • @ShabaniMohamed-j4l
    @ShabaniMohamed-j4l 7 месяцев назад +2

    Nakuja wa kwanza kesho kaka

  • @Gonznasma
    @Gonznasma 7 месяцев назад +1

    Jamaa una aidia siyo poa morogoro huku tayar wamekubali

  • @JohnShishi
    @JohnShishi 2 месяца назад +1

    Piga kazi tuko pamoja

  • @CharlesKanyasa
    @CharlesKanyasa 2 месяца назад +1

    Hii ukijumlisha na kundi inanikoshaa mno na ujumbe wake natumia kundishia wanangu

  • @MohammedMrengela
    @MohammedMrengela 6 месяцев назад +1

    Namuelewaga sana kisma

  • @matongovincentmatali4104
    @matongovincentmatali4104 7 месяцев назад +1

    I do not understand the language but I love all your songs very very much all along Namibia

    • @erastolukanya1333
      @erastolukanya1333 7 месяцев назад +1

      Bhebhe Matongo mbona hili jina ni kama Shinyanga kabisa 😂 hiyo Namibian 😂

    • @kisimamajabala135
      @kisimamajabala135  7 месяцев назад

      Mmmh!! Haya banah

    • @erastolukanya1333
      @erastolukanya1333 7 месяцев назад +1

      @@kisimamajabala135 kisima shoo za kwenye harusi huwa unafanyia shilingi ngapi

  • @fredyjames4327
    @fredyjames4327 7 месяцев назад +1

    Kaka upo vzr sana

  • @georgelimbu4817
    @georgelimbu4817 3 месяца назад +1

    KISIMA WEW NIMSANIII

  • @amosmacompyuta1015
    @amosmacompyuta1015 7 месяцев назад +2

    Achia kumekucha

  • @BashiliMasingija
    @BashiliMasingija 6 месяцев назад +1

    Naomba namba yake kisima nipo dodoma naitwa masingija.

  • @NtemiGambishiMageme
    @NtemiGambishiMageme 7 месяцев назад +1

    Kaka mbona kama zaman tunaomba mungu akuongezee ndoto zidumuu

  • @AbelyBufumbe-dk9eq
    @AbelyBufumbe-dk9eq 7 месяцев назад +1

    Nimeipata vzr sana nikiwa kisiwani Comoros

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉,kwko kka dar esalaam moja

  • @MsalikaSabuni-tm9yk
    @MsalikaSabuni-tm9yk 6 месяцев назад +1

    Noma kabsa wewe

  • @ManotiMabanza
    @ManotiMabanza 7 месяцев назад +1

    Ukija. Morogoro. Unatoka. Na gunia la Pesa kisima mmi mkaguzi wa NYIMBO za asili

  • @nshishiponsian8853
    @nshishiponsian8853 7 месяцев назад +1

    Mwamba wa ngoma za Asili

  • @jkomedikaduli
    @jkomedikaduli 7 месяцев назад +1

    Nakubali kisima we noma