NYINGI aka Mayiku SAYI! Ujumbe maridhawa kwa akina mama wetu. Kama akina mama watausikiliza vizuri wimbo huu na kuufanyia kazi tabia ya kuhisi mwanaume akitoka anakwenda nyumba ndogo itakoma, akina mama na watatoa nafasi kwa wanaume ya kufanyakazi kwa ajiri ya faida ya familia kwa ujumla. Ni ujumbe mhimu sana kwa akina mama wenye ugonjwa wa vivu.
Naitwa ndulu jilala WA mwamalasa kishapu najidai kuwa nsukuma hakika kabila la Raha, nani kasikia wake waache wivu, kwikina kudaka, kurubarA et mume kaenda kuchora Raha nyumban
Niko rwanda lakn kaz imenifikia soon narud nyumban usukumani naona kumenoga na migera😂😂😂
Nyumbaaaaaaàaaaaaaaani nakuja nalizaaaa gonga like shokaga ojaheee nagukomborrraaaaaaaaaaaaaaaa
Ngoma kali sana
🎉🎉
Nomasana 🎉
Ngoma ipo vzr
Mwanakweji jivuruge jesh nawakubali sanaa
Tupo tunawategemea sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sna kaka karib mwanza🎉❤❤
Hapo tayari imeenda hiyoo....jitahid ufike Salamiti mwaka huu ukusanye maokoto yako chap.....congolee kwa dir..Migera
NYINGI aka Mayiku SAYI!
Ujumbe maridhawa kwa akina mama wetu. Kama akina mama watausikiliza vizuri wimbo huu na kuufanyia kazi tabia ya kuhisi mwanaume akitoka anakwenda nyumba ndogo itakoma, akina mama na watatoa nafasi kwa wanaume ya kufanyakazi kwa ajiri ya faida ya familia kwa ujumla.
Ni ujumbe mhimu sana kwa akina mama wenye ugonjwa wa vivu.
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli
Wimbo mkali sana
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Asante
Acha wafate huu moto wa migera 🙏🏿
Safiiiiiiiiiiiiiiiiii sana usukuman Raha
See you at the top🔥🔥🔥
Nakuona inge kaz nzur kwanza beat Topher Inc msanii wetu pia ✍️✍️Wapi sniper migera endelea💥🙏🙏🙏
Hawa wanyama wanaimba na video kali
Asante
Maua yako kaka,, kiukweli huu wimbo naurudia rudia sana.
Kaz kaz
Jeshi la jivuruge hongera
Asante
hawa wasanii makao yao ni wapi?@@MigeraStudio
Mayikusai umetisha 99% na komando100% Tz ,nzima.
Kaz nzur kaka migera
Mayiku uko na ubunifu wa hali ya juu, utaendelea kushikilia soko la badimi
Wimbo bomba sana
hatari ogopaa ngoma hiyo
Wimbo umenifariji sana
Safi sana
Tuko pamoja xana kalibu isawima
Asante
Safi safi Sana Ticher Siku Zote
migera unajua
Wimbo mtamu sana mayiku
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwaeli mayiku nakuba
Hongera san Mayiku Sayi kwakaz nzur nmeupenda wimbo wako
Oya we musukuma naishi dare salamu nayo hi nimeikubali sana
Oya nyimbo Kali nimeikubar sana we so mwenzetu tena
Hongera sana rafiki yangu,Tumekutana Mahakama ya mbuzi,Shinyanga,Tupo pamoja sana,tukiendeleze kisukuma🎉🎉😂😂
Mayikusai unaimba vizur huna majigambo ❤🎉🎉
Ujumbe mzuri sana kwasisi wanaume tunaotafta ona leo nipo inyonga katavi mke wangu kahama da
Mayiku we ni hatari nyimbo nzuri sana❤❤❤
Safi sana
matiga 1...hatukoxei...u de one only...work hard brooh tunakutegemea....ng'wamatiga ise😍😍😍😍
Kaka unajua sana lakini kunanyimbo niitafuta kila platform nimeikosa sayi mayiku kaka unaweza kunisaidia
Uko vizuri endelea ubunifu zaidi
Hongera mayiku.sayi
Kazi zuli sana
Ongeza..ubunifu..kija.unaenda.vivur.sana
Mvuno weedeee
nimekubali
Pigakazi🎉elimsha❤jamii
Wimbo una maadili sana
Lakini hongera kwa sauti nzuri 👍👍💪🏾💪🏾
kazi nzuri
Asante sanaa
Sawa nyanda
Nakweli bana wasukuma juuu
Manina mtoto wa komando ni komando
Nimeipenda
Hii ngoma imenoga sana😅😅
Nimeipata hiii
Bro🎉 migera
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
FATA NYAYO ZAMUNYAM KUTOK YEYE UNAFAT WEWE HONGELA SAAN KALIB MWANZA
/Saf sana ulesawa nyanda
Gong'hana geteee nkoi
🎉🎉🎉🎉
Nipo omani kazinzulisana
Sawa
Najenga.ngest..uje..uifungue..wwe.kabisa..mje..naribu.nitaripa..ngarama.
Goood🎉🎉🎉🎉
🪘🪘🪘
🔥🔥🔥🔥
Moto
Asante
Naitwa ndulu jilala WA mwamalasa kishapu najidai kuwa nsukuma hakika kabila la Raha, nani kasikia wake waache wivu, kwikina kudaka, kurubarA et mume kaenda kuchora Raha nyumban
Nyebale wa mwakitoryo unamfaham
ubarkiwe xna
👍👍👍👍👍👍
Shene nkoi
👍👍
🔥🔥🔥🔥
Asante
🙏🙏🙏🙏
Sayi nyimbo kanike
Sio wa limbu hapa
0:37 0:40
Sukuma Land World Wide
Hongera san Mayiku Sayi kwakaz nzur nmeupenda wimbo wako
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli
Hii ngoma imenoga sana😅😅😅
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli
Hii ngoma imenoga sana😅😅😅
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli
Nyingiii,dah uko vizuri sana nyimbo zinaujumbe wa kweli