Jinsi ya kupata views wengi YouTube 2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 52

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 3 года назад +5

    Kaka Tunashukuru Sana Kwa Somo 🙏🙏🙏

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 года назад +2

      Asante kwa kuwa nami hapa

  • @bongoone_tz
    @bongoone_tz 2 года назад +1

    Broo hapo umenena umenifunza jambo kubwa sana so asante sana

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial Год назад

    Asante kaka 🙂

  • @Lazarodavid92
    @Lazarodavid92 2 года назад +1

    Asante sana

  • @ROMTV5
    @ROMTV5 2 года назад +1

    Asante sana Kaka mkubwa 💪💪

  • @KakaDullah
    @KakaDullah 3 месяца назад

    Nakubalisan baradha Richard je kwasisi ambaw tunatumiy cm tunafanyaj

  • @HadijaMakupika
    @HadijaMakupika 9 месяцев назад

    Thanks

  • @alimsuleiman465
    @alimsuleiman465 3 года назад +2

    Nimekupata asante sana

  • @Jifunzemapenzi
    @Jifunzemapenzi Год назад

    Tanx kaka

  • @steamtvtz
    @steamtvtz Год назад

    umetisha sana Rich star

  • @heavenmusicbeats894
    @heavenmusicbeats894 3 года назад +3

    Wow. Jah bless you

  • @sonnymjeshi
    @sonnymjeshi Год назад

    Blessing kaka 🙌

  • @goodluckjoshua5102
    @goodluckjoshua5102 3 года назад +2

    Ahsante

  • @susankamau8524
    @susankamau8524 2 года назад +1

    Hapo Kwa thumbnail Ile zuri zaidi

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 2 года назад

    Sawa kaka niko ndani👍🤛

  • @jidaymedia9674
    @jidaymedia9674 2 года назад

    Brother mungu okupe maisha malefu

  • @LuhobeFashion
    @LuhobeFashion 2 года назад

    Asante kwa darasa nzuri lakini kipengele cha end screen hujaonesha jinsi ya kufanya umekielezea kwa ufupi sana

  • @Lumynasdancers
    @Lumynasdancers 3 года назад +1

    Great

  • @BishoKauwe-dc3qm
    @BishoKauwe-dc3qm Год назад

    ❤❤❤

  • @MyChannel-x8m
    @MyChannel-x8m 3 года назад +2

    One love

  • @RkgBoy-on1fm
    @RkgBoy-on1fm Год назад +1

    Mim nilifungua account lakin skufany ulivy elekez samahan unawez kunisaidia kit ntawek number yang hap unipigie please

  • @Kingshine
    @Kingshine 3 года назад +1

    Nice

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv 2 года назад

    Nisaidia kukamilisha masaa

  • @NovatusMerixedeck
    @NovatusMerixedeck День назад

    😅

  • @Mfufuaw
    @Mfufuaw 11 месяцев назад

    😅😮😮😢

  • @Jesse_9014
    @Jesse_9014 2 года назад +1

    Nice bro

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv 2 года назад

    Mimi natamani KUFIKIA VIGEZO masaa ilaninapata ugumu unakuta masaa yanafutwa ovyo lipitatizo haswa

  • @susankamau8524
    @susankamau8524 2 года назад

    Hae

  • @schoolofsuccess666
    @schoolofsuccess666 3 года назад +2

    Nimekuelewa mwalim wang

  • @susankamau8524
    @susankamau8524 2 года назад +2

    Nashukulu sana lakini nataka unisaindie kidogo

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 года назад

      Wapi unakwama

    • @susankamau8524
      @susankamau8524 2 года назад +1

      @@Richstartz hapo Kwa thumbnail na kueka maadishi Kwa cover ,ama nivile tu naweka niwache shaka ona my video then uniambie

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 года назад +1

      @@susankamau8524 Yes kama unavyoweka ila haziko attractive unaweka too much infomation and details

    • @susankamau8524
      @susankamau8524 2 года назад

      @@Richstartz oky nitajaribu thanks na video editing unaweza tengeneza na simu thanks

    • @jessevlogswahili
      @jessevlogswahili 2 года назад

      Naweza kupata namba ya whatsapp

  • @zuchufans8307
    @zuchufans8307 2 года назад +1

    Tueleze sababu za kupanda na kushuka kwa subscribers..

  • @kitchenwithmanca2261
    @kitchenwithmanca2261 2 года назад +2

    Kaka ni hatar video za you tube kuonekana chrome?? Ndo kwanza nimejiunga you tube ila naona comments zinakuja kusomeka mpka kweny chrome.

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 года назад +2

      Hakuna tatizo lolote kwa sababu Chrome na youtube zote humilikiwa na mtu mmoja. Hivyo kuna wakati huwa wanazitangaza video kuopitia chrome

    • @kitchenwithmanca2261
      @kitchenwithmanca2261 2 года назад +1

      @@Richstartz tnx bro

  • @Kingshine
    @Kingshine 3 года назад +2

    Sijaelewa hapo end screen

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 года назад +1

      Endscreen ni feature inayokuwezesha kuweka highlights ya video nyingine za kwako kabla video inayotazamwa kuisha

    • @Kingshine
      @Kingshine 3 года назад

      Asante mkuu

  • @MetalFiretz
    @MetalFiretz 7 месяцев назад

    Uuniuongo tu hakunakitu apa

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 2 года назад

    vp kuhusu watermark