Kiasi wanacholipa YouTube kwa kila view
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Katika video hii nimeelezea na kujibu swali la Kiasi wanalipa RUclips kwa kila view moja ama mia au hata 1000. Naamini mpo wengi mliotamani kufahamu hili swala ambalo nimelielezea kwa undani zaidi.
Usisahau ku subscribe video hii baada ya kuitazama ili usipitwe na tutorials zijazo.
FOLLOW ME:
Instagram: / richstartz
Twitter: / richstartz
Facebook: / richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Ndugu yang mungu akulipe, kwan kuna kipindi cha nyuma nilikupigiaga simu.. nikaomba maelekezo flani kuhusu youtube nawe ulinielekeza bila ya gharama yeyote.. sasa sasa ivi japo chanel yang ni ndogo ila naona dalili nzuri.. naheshimu saba mchango wako broo . God bless u
Ulipata wapi number ya huyu bro mbona natafuta sana.from mozambique
Vizuri sana brother
Shukrani sana
Asante boss nakubali sna kazi zako💪
Mwambq nakukubali sana..
Asante sana Kaka mkubwa 💪💪 somo zuri
Asante kwa kuwa hapa pamoja
Hii muhim xna rich, umejua content ya kuandaa!!
Asante sana kuna nyingi zinakuja
Mungu akubaarik
Asante sana
Nzur Sana hii ivi kwa mfano ukiw unatumia video ambazo license reuse allow hazitakuwa na re used content wakat wa monetization naomb jb
Kutumia content nyingine inaruhusiwa aila lazima uwe umeziongezea vitu ama kuzi edit ama kuzichambua haitakiwi uzi upload kama zilivyo
Kaka naomba no yako tafadhar kuna inshu tuongee
@@Richstartz brother naomba mawasiliano Yako Kuna jambo kidogo natamani kulijuwa naomba nitagharamika kwa muda wako
@@yusufmsaa5693 0714250356
Asante bro🤗🤗🤗kwa elimu yaan ukipata viewers kutoka malvides 500 tu unakula kitimoto😀😀😀CPM ya huko ni balaa
Hahahaha noma
@@Richstartz aisee kuna nchi ukipata Viewers wa huko umetoboa
@@ejntv nchi zipi hizo broh
@@zemasterbeatz kuna malvides ndo inaongoza then zinafata USA,UK,South Africa,Canada,japan
Brother naomba unijibu nataka kujua masaa 100 miamoja ni sawa na views wangapi 🙏🙏🙏 naomba nijibu
Inategemea. Swali lako ni pana sana.
Barikiwa kuelewesha
Kwa mfano ukapat viewers 100k mwezi wa kwanz ila mwez wa pil haukufikish haulipw pesa kwa sababu haukifikish viewers 100k kwa huk mwez wapili
Yes watajumlisha na views zitakazopaikana mwezi ujao
Naomba niandikie namba zako Ili nikupigie
We namba broo@@Richstartz
Asante Sana kwa mafunzo, na vp ukilipwa hzo Pesa zinaenda wapi
kaka unafundisha vizuri sana nilikuwa napenda niombe namba yako tuwe tunachati kwa mawasiliano ya kawaida
Umetoa elimu kubwa sana mkuu
Naitaji kujua je nikijiusixha na mambo ya michezo nikawa na post game au Short video goal
Hongera sana kwa ufafanuzi wako mzuri, naomba unifafanulie tena kwamba nitajuaje kama nimetengeneza pesa na nitaipataje?
content creator 😊
Yes Iam
Ndugu naomba namba yako
Asante sana..
Asante maana nimejua ambayo nilikuwa siyajui🙏🏿
Karibu sana
Very nice content 👍
Thank you
Bro mimi nataka kujua ni kitu gani nifanye Ili RUclips channel yangu iweze kukua kwa kasi yani
Jifunze hapa ruclips.net/video/AMWn_yPmoJU/видео.html
Sawa na ngap
Aisee
Asante sana. Usisahau ku subscribe katika channel hii
Bro mambo vp aiseee uko vizuri sana kwaelimu yako sisi tunapata matumaini kwakeli nafurahi Sana na nnakufatilia San kila chaneli yako ila mi naomba kitu kimoja tu kak eti ukiwa umefikia wakati wakulipwa je wanakulipeje ama iyo hela unayolipwa unaipateje? Kak naomba unielekeze apo afu pia umesemea na upande wa matangazo kwenye video yani ili video yako iwe na tangazo unafanyeje apo kaka naomba nipate ujuzi uo ama unitumie namba yako bro nikupigie unielekeze Ila sorry kwa usumbufu kidog kak
Here we go
Pamoja sana
Ok thanks broo ivi atakama ujakizi vigez utalipwa ilaa autaipata ety broo?
Kama hujakizi vigezo maana yake hauwexi kulipwa kwa sababu haupo katika mfumo wa malipo japo matangazo yanaweza onekana
@@Richstartz Ooooh sawa brooo nashukulu sana ila nilikua nauitaji wa namba yako brooo
Asante
Nashukuru kwa somo, sasa kwa nini siku hizi video kwanye youtube matangazo hazitokeze?
Sijaelewa swali lako
Matangazo hazionekanaki tena kwenyi video zote za RUclips
Asante mwalimu
Enjoy
Mr Rich Tunaomba Utupe Kipindi Juu Ya Namna Gani Unaweza Ifanya RUclips Kuwa Biashara ya Kudumu
Thanks
🎉🎉🎉
kusajili channel ya kawaida ya elimu unalipia sh ngapi TCRA. asante kwa kutielimisha
Bro Niko swali
Kwani mtu aki download video yako inakusaidia nini kwenye channel yako..
Mbon wengne vitu vyetu vinamatangazo lakn hatulipwi kaka
Kuna watu wa tech pia wanapiga RPM balaa unakuta mtu anapiga RPM ya $38 kwahiyo kwa viewers 1k anapata $38 daah
Noma
Kwanin toto viz zinapungua alafu viewers Zina panda
Kaka nisaidie niweze kupata adobe Photoshop
Kaka mi naomba namba yako tafadhali
Nikweli anachoongea😂😂
Nime elewa sana kuna mengi ume niongeza kitu kichwani
Kwa vewas 10 wa USA nisawa nashingapi
Sasa mimi Nina chaine yangu nikifanikiwa kupata vieus nyingi nikataka kuripwa nitaripwa nabani?
Hivi kaka matangao huwa wanaweka wenyewe ama ni wew mhusika wa ocount ndo unaweka?
Wewe unayaruhusu wao wanaweka automatically
Mambo vipi kaka,mimi nataka unisaidie njia za kujisajiri hili nipate pesa account yangu ndo hii
Je unaeza lipwa views wakati subscribers wako chini ya elfu moja?
Apana
Bado nakufatilizia kaka
Asante kwama yote ila kk misijuwi lakimoja ningapi kwa kifaranca ni explique kidogo yani laki moja100 ama 1000
100000
Mimi mwemyewe nilikuwa naisubiri hii course
Asante sana usisahau ku subscribe na kushare video hii
@@Richstartz Kuna somo Fulani Hivi nalisubiri kuhusu code zote za piano na jinsi ya kitengeneza beat
@@PizzoBeatz Nitalifanyia kazi
The true way tv
Samahan kwahyo ukifikisha masaa elf4 kabla ya mwaka mzima kuisha huwezi ukalipwaa au n lazima mwak uishe
Siyo lazima mwaka uishe
Asante Sana somo zuri
Asante sana kwa. Ubarikiwe
Pitia monee music
Mimi naitaji kijua namna ya kufungua google adsens
Kaka ili ufungue youtube chanel ambayo itakua inakulipa inatakiwa uwe na vigezo gani
Subscribers 1000
Watchtime 4,000 hours
Views 10,000+
Kaka Please Tuwekee Somo Nini Chakufanya RUclips channel ikizuiliwa Kumonetize
Sawa nitalifanyia kazi
Je video short una lipwa
Yes
Bro ikiwa nimeanza kulipwa je iyo hela naipateje
Jinsi yaku angalia vuwazi na kiasicha mapato
Kumbe malipo ni kila mwezi
Na unaonaje kuwa umelipwa
Shukran san rich je kuusu kusaji channel nimuhim kwa kila channel au inategemea na channel inausu nini
Usajiri wa TCRA ama ?
Mimi naswari iri uaze kuripwa utakiwa ufanye nn
Bro mi Kuna kitu kinanichanganya je unaweza kulipwa bila kwenda basata
basata kufuata nini
Kk nitajuaje kama you Tobe wame nilipa
*Hili somo lazima tuwe sambamba kaka*
Shukrani
7:24 ninashida boss @@Richstartz
@@EPHRAIMRAMADHANI-is1du 0714250356
Sawa Kiongoz Umetisha.
You Tube studio yakwangu haionyeshi views kama kawaida Naomba msaada kwailo ndugu yangu utakuta mtu ana views zaidi ya 15k ila wanaonyesha 2k
Switch from 28 Days to life time Time frame ktk analytics
@@Richstartz Ina badilika kwa ule mda unao weka lifetime kaka ila kwa kwenda kwenye dashboard moja kwa moja haiendi Naomba msaada wako zaidi nipe namba zako sa simu ili tuweze kuwasiliana WhatsApp maana naona kama huku sio sehem sahihi Sana kaka
@@Richstartz hello
@@IbrahWAKITENGA Hello
Mzma wew
Naomba namba yako nameng yakukuuliza ndugu
Nani anaeruhusu matangazo yapite kwenye channel ya RUclips?!
😂😂😂dah
Alaf ukiwa 1.3k unapata pesa gap
Je, hizo Dola nazipataje
Zinaingizwa katika account yako
Kaka je tik Tok
Mambo yako
bro mim naitaji namba yako
Mmh kinyonge sana yaan 1k= 2-5$ nitafika nimechoka sana mm nikajua inaanzia $50 hiv ?
@Njoo Studio yeah najua hilo but wastani ni $2-5 ina hata nipate CPM ya india haiwez vuka $50, kwa 1k sio uhakika japo
Naomb unpigie xamhni maana nahitji msaad wako
Vp subscribe wapo 11 na video yenye views weng ni 1 je ntalipwa
Hapana
Bro sorry, maiki kama yako sh ngapi