Asante kaka, Mimi nimevuka subscriber 1000 na views wapo k 4, k8. K15. Sijui unanisaidiaje kupta hatua hiyo ya kulipwa na ninaona tu matangazo yanapita nisaidie kaka
Una watch hours ngapi hadi sasa? Maana kuachilia subscribers 1000 inabidi uwe na 4000 watch hours. Moja ya njia ya kuzidi kukua ni kuzidi kuweka videos nyingi. Una content nzuri. Nime subscribe sasahivi
Asante kwa video Je kuazisha channel ya RUclips Tanzania unatakiwa kulipa kodi kwa serikali?.na je usipolipa kuna madhara yapi? .ningependa ungeelezea kuhusu kodi za mitandao ya kijamii nchini kwetu Tanzania.
Hiyo form utapatiwa na Google kwa njia ya email ukishafikisha vigezo vya kumonetize account: 1000 subscribers na 4000 watch hours. Ukifisha tu hivyo, wanakutumia.
samahan EBM Swahili naomba kuuliza je kuna umuhimu wowote wa kusajili mapema channel yako hata kabla ya kunufaika chochote na kama upo je ni upi ulio nafuu?
Na je kweny matangazo hapo kuna sehemu ya kuchagua kwamba katik video zangu yaje matangazo ya nmna fulani na yasije matangazo ya namna fulani?? Mfno mm sitotak yaje matangazo ya pombe, naweza kuzuia ?? Je mipangilio hyo huwa ipo??
Ahsantee bro, nimekuelewa
Asante Sana kwa erimu nzuri
Daha nilisumbuka sana mda mrefu Leo nimepata ufumbuzi ubarikiwe
Umenifunza vizuri sana. Hasa kwenye culculation ya mwaka mmoja. Maana wengine walikuwa wanatuvuruga.
Asante sana kaka ningefrahi sana kama tungewasiliana na kunipa muongozo zad
Jamani naombeni sapot mm mgeni
Ahsante sana Kwa elimu nzuri Kwa sisi tunaoanza
Ahsante bro umenifunguwa kitu hapo nimeelewa somo mungu akubariki
hii nielimu nzuri sanaaa
Asante sana brother
Sio kazi ndogo
Pamoja sana uncle
Asant kaka
Safi sana nimepata Darasa lakutosha
Ahsante
❤❤❤❤❤ gold
Sawa Asante kaka
Nakuelewaga sana bro
Asanteeh kaka naomba unitumie namba zako
Nashukuru sana kaka umetoa elimu nzuri maana hata mm nilikua naumiza kichwa kuhuu mziki wangu nifanye nini ili nifanye kazi kwa wakati na kipato sina
Asante sana😊😊
hii nielimu nzuri
True
Uko vzr sana Kwa KUTOA elimu nzuri.
Pamoja kiongozi
Mimi naomba niulize kama lyrics nyingi nikiweka kwa RUclips wanaifungia nifanyeje ikiwezekana naomba nifafanulie vzr
Kaka naomba. Mawasiliano yako
Asante🎉
Wow...barikiwa
Asante kwa elimu
Good
Mungu akubariki
Apo umenisaidia sana asant sana
Nice
Asante kaka, Mimi nimevuka subscriber 1000 na views wapo k 4, k8. K15. Sijui unanisaidiaje kupta hatua hiyo ya kulipwa na ninaona tu matangazo yanapita nisaidie kaka
Una watch hours ngapi hadi sasa? Maana kuachilia subscribers 1000 inabidi uwe na 4000 watch hours. Moja ya njia ya kuzidi kukua ni kuzidi kuweka videos nyingi. Una content nzuri. Nime subscribe sasahivi
@@EBMSWAHILI Asante sana Mungu akutunze Asante sana sana. Niliangalia kama 82 elfu na kitu hivi.♥️♥️🇹🇿🇹🇿
@@EBMSWAHILI NAKUSHUKURU tena Kaka tunaangaliaje watch ours ?
@@KADALAtv255 hongera kadala mmwenzio ndo naanza hata mwezi sjamaliza
Broo haya Mambo unapnekana ulisomeaa ...unajuaa kufundisha na kumuelekeza mtu akaelewaAa....mungu akubarikiii
🔥
Live
Pamoja
❤❤
Mbn Kama kwer
Pamoja kaka
May God bless you
Safi kaka
Asante kaka
thanks
👇
kaka we naomba mawsiliano zaidi tusaidiane
Good❤❤❤❤❤❤❤😂🎉
Asante kwa video
Je kuazisha channel ya RUclips Tanzania unatakiwa kulipa kodi kwa serikali?.na je usipolipa kuna madhara yapi? .ningependa ungeelezea kuhusu kodi za mitandao ya kijamii nchini kwetu Tanzania.
Jambo EBM, mimi ni subscriber wa EBM Scholars kutoka Kenya lakini naishi Dubai.Leo nimejua kuhusu hii Chanel.
Asante kwa mafunzo ya maana.
Zipo RUclips channel ambazo hazilipwi? Na ni kivipi?
😂😂
Hi naweza kulipwa kwenye istragrama
Kaka iyo fom unayo takiwa kujaza unaipataje naomba unisaidie kwa hilo channel yangu imetimiza vigezo vya awali
Hiyo form utapatiwa na Google kwa njia ya email ukishafikisha vigezo vya kumonetize account: 1000 subscribers na 4000 watch hours. Ukifisha tu hivyo, wanakutumia.
Mbn nimee badilisha ilaa siwezi badilisha jina nalo tumia Facebook
Jaman samahini hiv kufungua channel ni hela??
Ningependa kujua garama ya kufungua U tube channel
Bureee kabisa
Me nina masaa 3,945 ndani ya 28days
samahan EBM Swahili naomba kuuliza je kuna umuhimu wowote wa kusajili mapema channel yako hata kabla ya kunufaika chochote na kama upo je ni upi ulio nafuu?
Je ukinunua Chanel ya RUclips nikaweka video zangu kama imefika vigezo nitalipwa?
sasa mkuu ukiwa unaweka maudhui ya filam, afu matangazo yako yakawa ya nje ya nchi apo unalipwa kwa dora ya au pesa ya kitanzania
Tumezingatia Maelezo yako.
Nime maliza vigezo ila kujaza ads sijuwi
Me youtub yangu watu awaiyon
Sijaelewa, yani masaa elfu 4000 kwa mwaka , vip km ukifikisha hayo masaa ndani ya mwezi uwez kulipwa?
Unalipwa
Na je kweny matangazo hapo kuna sehemu ya kuchagua kwamba katik video zangu yaje matangazo ya nmna fulani na yasije matangazo ya namna fulani?? Mfno mm sitotak yaje matangazo ya pombe, naweza kuzuia ?? Je mipangilio hyo huwa ipo??
Yes km ukiangalia you tube za mashekh wakubwa wa kidunia huwezi kuta matangazo ambayo dini ya kiislaam hairuhusu
Nmekifunza kitu kikubwa mm natumiga luga ya English language
Sasa me nikiangalia leo yapo masaa 137 na jana Hivyo Hivyo sasa wanajumuisha masaa ya kila siku Mpaka mwezi mzima au lazima kila siku nipatemasaa 4000
Masaa 4000 ni jumla ya masaa kwa video zako zote kwa mwaka husika
Nice