Samahani kaka mimi ninachaneli ya RUclips lakini sizani kama nikipositi kitu sizani kama inaweza kuonwa na watu wengi kingine kunakilipu niliona kwako ukisema inatakiwa unajisajili hadi tra inakuaje
@@Tikijmlengo Channel yoyote ambayo haina Umri wa kuzidi miezi 3, Haijawa verified na namba ya simu na haijafikisha Subscribers 100 ukipost vitu ni ngumu watu kuviona
Habari brother Richard kwem?aisee brother nimekupata vizur sana ..na ulifaa kuwa mwalimu wa shule kabisa...na ambae angekuwq akifeli somo lako ambalo ungekuwa unafundisha ..huyo ni bora aachane na shule kabisa...ila brother samahani nina shida moja hivi naomba msaada kama itakuwa ndani ya uwezo wako..nina channel zangu kama mbili hiv..zime dizebiwa Adsense yaani wanizifungia pale kwenye stap 2 ..sasa naomba msaada wakuzitoa pale ili ni change niweke Adsense nyingin ni Apply upya monetization brother
Brother Rich Heshima Yako Email Yangu Inayoongoza RUclips Yangu Imezingua... Kwa Kuwa Line Yangu Ya Simu Haiwezi Kupokea code Kutoka google na Imezuiwa sasa sijui Kwann Labd kwa sabbu nilijaribu mara nyingi kuomba Code? Sijawahi Kuchange number na Password Zangu Nazikumbuka ila 2 step verification ndio imekua kikwazo Mpaka sasa... Nawezaje kupata msaada? Maana Halotel wao wanasema Hawana Tatizo lolote ni Wiki mbili Sasa Kaka..😢
Miezi 12 Iliopita channel yangu ilikua na Subscribers wasio zidi 40k, Ukiangalia sasa hivi nna zaidi ya 50k unapata wapi nguvu za kusema channel yangu haikui?
Samahani kaka mi nataka kujua natumia ai kutengeneza videos lakini nina add photos kwenye video zangu je inaweza kunipa changamoto badae kwenye monetization
Nawezaje kuwasiliana nanyi nina maswali ningependa kuuliza maana masaa yangu yanashuka kila siku na nina hata video moja yenye watch time zaidi ya total ya channel yangu please how can I talk to you?
Sasa bro mfano nilikuwa naishi tanzania ila nikaamia canada ila channel yangu nimeweka kwenye simu ya tnz pia na yacanada je naweza fanyeje ili channel iwe nasoma inatumika canada?
Link ya ku check channel yako kama haina shadowban ytlarge.com/youtube/monetization-checker/
Asnte brother
thank you
Bro naomba nmba yako
Broo Kwanin RUclips Yangu Nikienda kwenye Settings Aiji Ulodng Quality Kwanini Nikipost Video Akuna Kwaliti pls
Asante my brother 🙏🙏 kwa Elimu Bora God bless 🙏
Dah bro umetisha
Asante sana
Nimekupata vizuri sana mungu azidi kukufungulia milango ya rizki,chukuwa mauwa yako ayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Inshallah
Kaka nisaidie yangu IPO na shida@@Richstartz
Thanks a lot,kazi kubwa sana
Dah mwanangu hi Unyama sana na yangu ipo poa kabisa yani bro 🔥✊🏾✊🏾
Peace 🫡
Thanks for your class. Your presentation is brief but with full and vital contents. Really you are most helpful to me.
You are most welcome
Asante sana Rich star. Najifunza vingi sana kupitia channel yako
Nami nashukuru pia
Mimi account yangu ni ina mwaka lakini haikui hata kidogo na najitahidi sana kupost na kupromot kaka itakuwa shida ni nini
Mwamba unajuwa sana.... Nakukubali SANA NAKUFATILIA SANA sema naomba uniinue KWA CHANNEL YANGU INAITWA JUCH ONLINE TV...
Poa poa
Tuunge group bro
@@Richstartzau kama lipo naomba link bro
@@catalyst07 Wekeni no za wtsp hapa niunde group....Ama lishaundwa muweke link
Kaka asant sana nimekua wakwanza kutazama ngogo nizidi kuangalia
Enjoy
Huwa siachi kutazama video zako, video zako huwa zinanisaidia sana
Nami nashukuru kwa kua nami hapa
Nakubali kaka
Shukrani sana
Shukrani kaka
Kaka rich mungu akuweke sana sina
Amen😊
Nakubali kazi yako kaka uko vizuri
Asante sana kaka
One love
Asante kwa somo hili❤
Enjoy
Nashukuru sana nimekupata
Naomba Namba yako Kaka
Mwenye group la content creator aniunge jamani acheni masihara😊
Daaah sawakaka
Thank you my brother this content is Dope
@@charlesmasterplan Thanks Brother. Keep Watching my channel
Masha allah mungu akubariki kwa mafunzo unayo tupatia kaka
Asante sana
Nashukru sana kaka nimekuelewa sana Nilikuwa naomba nitakupataje mahna channel Yang juzi ndyo nilifungua kaka ili niweze kulipwa na mimi
Asant sana kaka nimeelewa kitu hapo
One love
Mm mmoja wa wanafunzi wako
Shukrani
Samahani kaka mimi ninachaneli ya RUclips lakini sizani kama nikipositi kitu sizani kama inaweza kuonwa na watu wengi kingine kunakilipu niliona kwako ukisema inatakiwa unajisajili hadi tra inakuaje
@@Tikijmlengo Channel yoyote ambayo haina Umri wa kuzidi miezi 3, Haijawa verified na namba ya simu na haijafikisha Subscribers 100 ukipost vitu ni ngumu watu kuviona
Asante
🎉🎉🎉🎉
Sema mwanangu acha kuongea afu unakuwa kama unamafua unaharibu kinoma
Naweza pata imel yako tafadhali
rmaguluko@gmail.com
Naendelea kujifunza kwako kaka, nina hiyo challenge huu mwezi wa sita sasa
Pambana utusue
Bro nashida nisaidie kwenye ads wanataka nijaze utambulisho wangu kila nachofanya nakoxea
Habari brother Richard kwem?aisee brother nimekupata vizur sana ..na ulifaa kuwa mwalimu wa shule kabisa...na ambae angekuwq akifeli somo lako ambalo ungekuwa unafundisha ..huyo ni bora aachane na shule kabisa...ila brother samahani nina shida moja hivi naomba msaada kama itakuwa ndani ya uwezo wako..nina channel zangu kama mbili hiv..zime dizebiwa Adsense yaani wanizifungia pale kwenye stap 2 ..sasa naomba msaada wakuzitoa pale ili ni change niweke Adsense nyingin ni Apply upya monetization brother
@@TwoBrothersCinema Tuwasiliane 0714250356
Broo Kwanin RUclips Yangu Nikienda kwenye Settings Aiji Ulodng Quality Kwanini Nikipost Video Akuna Kwaliti pls
Ynagu imekamilisha ila adsense sina je nifanyae bado sijagusa hata ile butto6ya kuapply kabla sijaharibu mambo
Naomba namba yako
Daaaaah kaka link sijaiona lakin
ytlarge.com/youtube/monetization-checker/
Kaka
5:01 bro apo ulipo gusa kwenye wasanihii wakubwa umetugusa sisi madj tunapata sana copyrith tunaomba darassa
niataji no Yako
Brother Rich Heshima Yako Email Yangu Inayoongoza RUclips Yangu Imezingua...
Kwa Kuwa Line Yangu Ya Simu Haiwezi Kupokea code Kutoka google na Imezuiwa sasa sijui Kwann Labd kwa sabbu nilijaribu mara nyingi kuomba Code?
Sijawahi Kuchange number na Password Zangu Nazikumbuka ila 2 step verification ndio imekua kikwazo Mpaka sasa...
Nawezaje kupata msaada?
Maana Halotel wao wanasema Hawana Tatizo lolote ni Wiki mbili Sasa Kaka..😢
Mbona yako haikui😂😂😂😂
Miezi 12 Iliopita channel yangu ilikua na Subscribers wasio zidi 40k, Ukiangalia sasa hivi nna zaidi ya 50k unapata wapi nguvu za kusema channel yangu haikui?
Namna ya kujaza form za tax kwenye adsence bro msaaada
Samahani kaka mi nataka kujua natumia ai kutengeneza videos lakini nina add photos kwenye video zangu je inaweza kunipa changamoto badae kwenye monetization
@@MetoIgotyou No. K8kubwa kuwa mbunifu
Kaka tufundishe kuondoa copyright
pata subscribers hapa
Kaka naomba nisaidie namba yako
utyubu inapnguz a idadiya wat u wa kuwa lipa
Channel yangu Inasema "The channel monitezation status Off"
Pambania iwe ON
kk naambiwa kuwa baazi ya video zangu sio original
FIX that. Take your time
Nawezaje kuwasiliana nanyi nina maswali ningependa kuuliza maana masaa yangu yanashuka kila siku na nina hata video moja yenye watch time zaidi ya total ya channel yangu please how can I talk to you?
0714250356
Kwani kama ujasajiri chanell yako lakin kila kitu umetimiza you tube wanakulipa
Endapo utakubaliwa baada ya kutuma maombi
Mimi subscriber wako naimba gospel. Nifanyaje nifikishe angalau subscribers 1000?
Sasa hivi una subscribers wangapi?
Ana 374
Jitahidi kushare content zako
📌📌
1. POST Interesting content
2. Be consitence
3. Optimize your account
Sasa bro mfano nilikuwa naishi tanzania ila nikaamia canada ila channel yangu nimeweka kwenye simu ya tnz pia na yacanada je naweza fanyeje ili channel iwe nasoma inatumika canada?
change location ya channel kwenye setting
@@Richstartz natumia youtube studio au youtube yenyewe?
KAKA MIMI CHANEL YANGU WAMEITOA UNAWEZAKUNISAIDIA KUIRUDISHA
Imetolewa ama imefutwa?
@@Richstartz ndio....ila email ipo na adsence
bro naitaji msaada wako acaunt yangu ishapiga ban bak naitaji namba yakokwa msaada zaid
Kaka nahitaji mawasiliano nawewe...
My 29 subscribers 😢❤
@@VonneMillen Wamekutupa?
@@Richstartz Ndio Nimeanza Nina 29 sub
@@VonneMillen Safi keep it up ngoja mm nikuongezee mmoja
Tupe darasa la adsense please
Sawa nitalifanyia kazi