Naunga maneno yako Sheikh .Swalla ya mtume ina ajab.Allah akupe mapenzi zaidi ya kumpenda mtume na akuandalie pepo kwa ajili ya kuhimiza swala ya mtume.
mashaAllah,our religion is amazing,it has an answer to every question,this year have planned to memorize the holy Quran, kindly remember me in prayers🎉
Asalam alaikum warahmatulah wabarakhatu ,unapatikan wapi?naomba nikununulie msahafu iwe swadaka kwa baba angu ALLAH apunguzie adhabu ya kabur 🤲na pia usinisahau kwenye dua zako nifanikiwe kwenye rizki zangu niweze kununua juz na misahafu mingi nigawe kwa watoto wa madrsa 🤲
@@naimahhussein8430 inshallah mwenyezi Mungu Akuripe ,na patikana sinza kwe remy nkaa kwa sister pia nyumbani Bagamoyo, pia kuna wanafunzi wa madarasa lakini sisi tumelelewa katika kuisoma quran sasa hata kka zangu wana mashafu chakavu na uwezo sina wa kununua ila Naamini kupitia wewe watu wataisoma quran na inshallah nia yako kwa mzazi wako kila utaposomwa msahafu basi kher zitaingia
Na Allah kuamrisha maraika wamuandikie mema yule ambaye Aliyefikiria kufanya jema hata km hajalifanya..MUNGU AKUFANIKISHIE NDUGU YANGU.. KATIKA MWEZI HUU WA SHAABANI UWEZE KUPATA KHER NA NEEMAA INSHALLAH
Assalam alaykum warahimatulillah wabarakatuh kwa majina naitwa zawadi natoka kenya me ustadhi niko na shida jambo la kwanza nimesoma lakini sijapata kazi, pili niko na watoto wawili lakini sijaolewa mtu nikishikana nae huwa anaishiwa thamani yakua na mimi mpka tunatenga la tatu huyu mtoto wa pili yuko na kifafa huu mwaka wake wa 4 na bado anafifitika dawa anatumia lakini bado anafifitika hizo ndizo shida zangu
@@ammaryammary3554 mazuri yapi ameongea mbali na uongo na usanii tu nyie wafuateni lakini mi nawambia mashehena wetu hawana elimu wanakalia uchawi wanawake na hadithi za alfu lela ulela za kulaza watoto hawana tofauti na ze comedy
@@ammaryammary3554 nimemuomba anipewe dalil kitabu gani jibril kaja kwa mtume mara elf 24 acha kushobokea mwache anijibu au kama unaweza msaidie kujibu
Naunga maneno yako Sheikh .Swalla ya mtume ina ajab.Allah akupe mapenzi zaidi ya kumpenda mtume na akuandalie pepo kwa ajili ya kuhimiza swala ya mtume.
Mungu katukilimia na wala hakuna wa kupinga Japo sio wa Imani hiyo lakini upo sahihi sana shekhe
Mwenyezi mungu niongoze nami niwe kstika kumsifu mtumena aniondoe katika shida yahela yarabi
Assalam alaikum ww Allah akulipe zaidi duniani Na adhéra
Maashaallah shekhe Allah akulipe na akutie nguvu
mashaAllah,our religion is amazing,it has an answer to every question,this year have planned to memorize the holy Quran, kindly remember me in prayers🎉
Mashallah niombee dua kwa familia juma tatu ju ya ndoto za kula nyama harusi yajjirudia
Sheikh swala ya Mtume swalallha huwalaiyhiwa swallah ni KIBOKO
Jazakalaukheiry,hakika tunafatisha na tunafanimiwa
Allah akupe mwisho mwema na AKupe mwisho mwema
Mungu akuzidishie ghelimu
Shekh ALLAH AKUFIFADHI 😢 NKIKUSKILIZA SICHOKI HADI MACHOZ YANANITOKA
NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH MUNGU AKUPE PEPO YA JANATIL FIRDAUTHI😭🤲
Amiina Allahumma Amiina
Man Sha Allah Tabaraka Allah 🙏 ❤️ Allah akuifadhi sheikh wetu mja wa Allah ❤️ 🙏
Ubarikiwe shekhe wetu
Allah akuifadhi shekh.
Alhamdulillah mawaidha yamenitoà machozi Allah Rahmu atuongoze tuwe na ufahamu
Poleee salma nakpnd san
MashaAllah Darsa Nzuri,,Shukran Jazzillah Sheikh
Mashaallaa allah akuzidishie
JazakaAllahkheir
Allah atujalie kheri
MashaAllah 🎉
Jazakallau kheiran 🤲🤲
Shekh Naomba mas hafu Hata moja niwe nasoma Allah Atakulipa,na mwingine nkampe kakangu kijijini Anasoma sana QURAN 😢 SAMAHANI KM NTAKUA NMEKOSEA
Asalam alaikum warahmatulah wabarakhatu ,unapatikan wapi?naomba nikununulie msahafu iwe swadaka kwa baba angu ALLAH apunguzie adhabu ya kabur 🤲na pia usinisahau kwenye dua zako nifanikiwe kwenye rizki zangu niweze kununua juz na misahafu mingi nigawe kwa watoto wa madrsa 🤲
@@naimahhussein8430 inshallah mwenyezi Mungu Akuripe ,na patikana sinza kwe remy nkaa kwa sister pia nyumbani Bagamoyo, pia kuna wanafunzi wa madarasa lakini sisi tumelelewa katika kuisoma quran sasa hata kka zangu wana mashafu chakavu na uwezo sina wa kununua ila Naamini kupitia wewe watu wataisoma quran na inshallah nia yako kwa mzazi wako kila utaposomwa msahafu basi kher zitaingia
Na Allah kuamrisha maraika wamuandikie mema yule ambaye Aliyefikiria kufanya jema hata km hajalifanya..MUNGU AKUFANIKISHIE NDUGU YANGU.. KATIKA MWEZI HUU WA SHAABANI UWEZE KUPATA KHER NA NEEMAA INSHALLAH
Unapatikana wapi nitafte nikupe misahafu
Mashallah ALLAH awabariki nyote mnaotaka kutoa
Allahu albar
Asalamualeykum warahmatullah wabarakatuh Allah akulipe mema duniyani n'a kesho a khera nichoki kutiza vidéo zako🎉
Mashalla Mashalla Mashalla
Mashaallah 🎉
SubhanAllah
Mashaallah alahuakibaru
Mashallah ❤❤
Masha allah ❤❤❤❤
Mashallah
Masha'allah mungo akuzidishiye.
Assalam alaykum warahimatulillah wabarakatuh kwa majina naitwa zawadi natoka kenya me ustadhi niko na shida jambo la kwanza nimesoma lakini sijapata kazi, pili niko na watoto wawili lakini sijaolewa mtu nikishikana nae huwa anaishiwa thamani yakua na mimi mpka tunatenga la tatu huyu mtoto wa pili yuko na kifafa huu mwaka wake wa 4 na bado anafifitika dawa anatumia lakini bado anafifitika hizo ndizo shida zangu
Allah akufanyie wepes nakupe subra sana
Ninaomba unikutanishe mtume hata kwa ndoto inshaalla
Allahu
Ostadh naomba msaada wa dawa ya kifua mam yangu nd anacho mwak wa 3 katembembe mpak kachoka bd hajapt dawa ya kumponya
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
A w w mimi ninajaribu angalao kukutafuta hata mimi hutuma ujumbe lakini sipati majibu je nifanyeje ndoo tupatane
Namba zake sizipo hapo mpigiye
Nyaza wadi mtafute kwa Namba zake hapo kwenye sceen
Sasa kama yy huyu ni muongo tuambie wewe mkweli jiblili kaja mala ngapi Kwa mtume
Hivi nyie Masufi mtaacha lini kuilingania uwongo Mcheni ALLAH
Una matatizo na akili pia huna
Acha kufata mkumbo
@@wardalwena5846
Wewe Jahil kweli Dini inataka Dalili wala sio fikra zako na Akili
Leteni hoja wapi mtume kafundisha? na Dua ni Ibada. Ibada zenu munazitoa wap ??
@@wardalwena5846
Acha kutetea uwongo Ustadh wako huyo maneno makavu bila Dalili Sasa atuambie Dua hiyo alio fundisha ameitoa kwa nani ??
Jibril kaja mara elf 24 kwa mtume hadithi za alf Lela ulela hizo. nikikuomba dalil huwezi kunipa usanii mtupu
ALLAH ndo mkamilifu yote mazur aliongea huja yaona acha roho mbaya
@@ammaryammary3554 mazuri yapi ameongea mbali na uongo na usanii tu nyie wafuateni lakini mi nawambia mashehena wetu hawana elimu wanakalia uchawi wanawake na hadithi za alfu lela ulela za kulaza watoto hawana tofauti na ze comedy
@@ammaryammary3554 nimemuomba anipewe dalil kitabu gani jibril kaja kwa mtume mara elf 24 acha kushobokea mwache anijibu au kama unaweza msaidie kujibu
Miongoni mwa sifa mbaya tulizonazo sisi waislam ni kujifanya mtu anajua wala hajui na hawezi lolote ambalo mwenzie anafanya
Toa na wewe mawaidha basi tukuone
Waislam tupunguze choyo