Asalam aleikum, walia nilikua na dhalili mingi sana izi bt nlipoanza kufanya dhikri Allah ameniondolea yote, allhamdhulillah,...shehq mwenyezi mungu akubarki sna akuzdishie elim amen
Shukran jazeelan sheikh wetu, Allah akujaaliye kila kheri kwa mafundisho yako Ila kunasehemu vidéo ni kama imeruka pale ulipotaka elezea unapinda kanzu
Kwa wale ambao hamjaelewa kwenye fundo la nguo ni hivi unachukua nguo uliovaa unakunja kwa chini then unaloesha kwenye maji halaf unakuamua ni hivyo tu
Wallah shekh dalili zote ulizotaja mimi ninaz kam vile nimekusimulia shida zang,nilikuwa mfanyabiasha mzur san mtaji wang ulikuwa milion 15+lakin mpk ss aina hata mia nasubir kupewa kila nomachoshika au kifikir nifany mwili na moy hautak haswaaa inshallah Allah akulip kwa hilnaon umenipa ufunguo wa maisha yang shekh
Asalam alekum shekh ,mm naumwa sana na mwili ,chini ya kitovu napia kuota ndoto ya kupeperuka kama ambae nàfukuzwa na kitu kibaya sijui utanisaidia vipi mm niko Saudia na fanya kazi
Ya sheikh na mimi pia nina hizo dalili na hali ni ni ngumu najitahidi kuswali,tahajud,istighfar na ndoto za utajiri na mafanikio nazipata kila siku Ya Allahu turehemu sisi ummati Muhammad S a w
Sheikh me naja unifanyie inshallah maisha yangu yamejaa fitna sana hadi natamani niishi peke yangu nisione watu .😢😢🤲🤲🤲🙏 Yarabby nijalie nipe subra nifunguloe nami na wengine walio kiwa na imani Yarabby nakuomba 😢.
Subhana lah e mwenyezi mungu tufanyie wepec ktk maisha haya
Nashukuru nimeongea n'a ustazi Othmane Michael Leo Sunday tarehe 29/09/2024. Alhamdulillah
Shukran sheikh wetu Allah akuhifadhi na balaa zote fi dunia wal akheira...ulinitibu hasad na hivi niko sawa alhamdulilah
Ameen.
Ëe 3:10
Asalam aleikum, walia nilikua na dhalili mingi sana izi bt nlipoanza kufanya dhikri Allah ameniondolea yote, allhamdhulillah,...shehq mwenyezi mungu akubarki sna akuzdishie elim amen
shekh wangu hapo kwenye kukunja kanzu kama qor an sijaelewa
Hapo kwa msala ni tatizo ama ni mkeka ju hapo sijaelewa
Amiin
Shekh mm dalili zote za hasad nakuomba unifanyie kisomo ju hata sai nko nko Oman juzi nilitaka kuliwa na boss nikapata nafasi nikakimbia sijielewi
Am from Uganda and follow up your teachings but I understand swahili well
jazakaAllah nimesoma mambo mengi alhamdhulillah
Assalamualaikum
Ni kweli sheikh,Majini na Hasad ni vitu vibaya saana,kiukweli mimi naathiriwa sana na vitu hivyo..naomba msaada wako
Assalam Aleykum Wa Rahmatullahi Ta'ala Wa Barakatuh.
Jazak ALLAH Khair kwa ilmu Sheikh.
Shekh kweli kabisa watusaidiaje waumini wako
Asante shekhe nimejifunza ishalla nitatekeleza ivo namim alla anifanyie wepesi
27:52
Shukran jazeelan sheikh wetu, Allah akujaaliye kila kheri kwa mafundisho yako Ila kunasehemu vidéo ni kama imeruka pale ulipotaka elezea unapinda kanzu
Eeeh imeruka sjui tunafanyaje sasa
Shukran sana sheikh Allah akuhifadhi.
Wajazakalah khaira shehk 🎉🎉
Shekh wetu ALLah akulipe badal dunianii na akhera
ALLah akupe mwesho mwema
Mashallah mimi iweke jwa dua yte hyo nimo inshallah
Asante sheikh wetu kwa khutba nzuri
JazakaAllahu khaira.
Umenigusa shekh kilichonikuta mm mungu ndo anajua ila bahadhi nawajua kabisa
Shukran shekhe Allah akuzidishie
Alhamdulilah, Shekh allah aku ingize peponi
Masha Allah, shukran sheikh, nimejifunza
Kwa wale ambao hamjaelewa kwenye fundo la nguo ni hivi unachukua nguo uliovaa unakunja kwa chini then unaloesha kwenye maji halaf unakuamua ni hivyo tu
Shukran sana
Mbn ametaja quran
Mashaallah
Samahan sijaelewa , unapiga kufundo au unakunja tu ?
@@РайяниБоко kuja halaf tia kwenye maji badae kamua
Wallah shekh dalili zote ulizotaja mimi ninaz kam vile nimekusimulia shida zang,nilikuwa mfanyabiasha mzur san mtaji wang ulikuwa milion 15+lakin mpk ss aina hata mia nasubir kupewa kila nomachoshika au kifikir nifany mwili na moy hautak haswaaa inshallah Allah akulip kwa hilnaon umenipa ufunguo wa maisha yang shekh
Asante Sana Sheikh, sasa tufanye nini ilikuepukana na hizo roho chafu majin
Jazakalahu khairu shekh
God protect u
الله يعطيك العافية شيخنا.
Shekh allah akupe umre mrefu Yani maneno Yako yanafaida
Jazakallahu kheir sheikh
Asante Sana shekh
Allah akujaze kheri
Uislam ulimalizaga
Shukran Sheih wetu
Shekhe,tunahitaji huduma zako Kwa uwezo wa Allah utakuja lini bukoba mkoa wa kagera
Daah mtihan sana wallah allah atuondolee iyo mitihani
Mashaallah mashaallah
Mungu akanifanyie wepesi 🤲
Shekhe mungu akueke inshaalah
Kwa hakika mimi ndio napamba nayo inshaallah kwa uwezo wa Allah nitafanikiwa
Asante sana sheik
،jazakalah khaira shehk
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🇹🇿
Shukuran Sana shekhe wetuu
Ndugu yangu uko sawa kabisa sisi tumetokea famiria duni hivyo hapo ulipo ni miujiza ya mungu tu sikupingi ndugu
Eeh Mungu nimekwisha mbona ninavyo vyote 😢😢😢😢😢
Kwelii sheikh mm nimmoja wapo naomba dual naphtha tangamoto
Asalaam alyekum shekhe umenigusa sana.
shekhe niombee mimi ally athumani
Shukurn sheikhe allaah akulpe baadala
Masha allah
Sheikh shukran sana ila hapo kwenye upindo wa nguo sijafahamu.
Hata me hapa sijaelewa kwenye upindo
Asalam alekum shekh ,mm naumwa sana na mwili ,chini ya kitovu napia kuota ndoto ya kupeperuka kama ambae nàfukuzwa na kitu kibaya sijui utanisaidia vipi mm niko Saudia na fanya kazi
Baraka Allahu fiiQ, ila kwenye nguo hukutuelekeza vizuri.
Na Mimi sijafahamu hapo. AmBAe amefahamu atufahamishe
Na Mimi sijafahamu hapo. AmBAe amefahamu atufahamishe
Subuhannallah❤❤❤❤❤
Shukran Sheikh.
Alhamdulillah
Ya sheikh na mimi pia nina hizo dalili na hali ni ni ngumu najitahidi kuswali,tahajud,istighfar na ndoto za utajiri na mafanikio nazipata kila siku Ya Allahu turehemu sisi ummati Muhammad S a w
Asalam aleykum.nilimaliza shule kitambo lkny huota nko shule hio ndoto hunifuata sana
😢dalili ZTE ninazo ehh yarab
nimeskiza utba namimi aro tatizo ninaro nakupataje soma komenti uniombee mungu
As alkm, sheikh ahsante Kwa kutupa ziada katika kheir.naomba utuambie ni wanyama wapi ktk hao wenye hasadi au ni wote .km mijusi kafir?
Salaam alykum shekh izo dalili zote ninazo naomba msaada wako 😭😭😭😭😭
Asalam aleykum hapo kwa pindo mimi sijaelewa
Hebu naomba usaidiziii nisaidikeee😢😢😢😢😢😢😢😢😢 walai nitabadili dini nikiona mambo yangu yanaenda vizuri naitwa Mariam
Usibadili dini kwajili ya mali badili kwajili ya Allah
Mashallah
Asante sana.nataka.namba.yako.baba
Nimm sheikh
Umenigusa kwenye hasadi mimi ninayo
Waooo nalibu
Shekh bindo la qur ani huja eleza vizur unakunja au nivipi tunataka kujiondosheya hasadi
Asante kwa mafundisho mazurii mm ni mkrsto napenda mafundisho yakooo mimi sasa sijui kuomba nitasaidika vip
Kwanz ingia ktk uislamu ndilo jambo la kwanza
Weye omba tu. MMungu anainua Nia Yako. Na karibu katika Uislam ili ufaidi mengi mazuri.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Kisha cha mwisho unachukua nguo unakucha fundo, Quraan! Hapo sikuelewa pamefahamishwa nini aliefahamu anisaidie kunielewesha alichosema
Naam pia sijaelewa hapo insh Allah tujuzane atae kua ameelewa bi idhnillah
Unakunja nguo kw chni unalowanisha kwny hayo maji ikisha unaikamua ,unaenda kuyaoga
Tuko pamoja ktk hili
Nami sija elewa 😢 hapo kukunja fundo nguwo Quaraan shekh please tuele weshe hapo
Asalaam aleikum sheikh...mm mwili wangu wacheza hata mwezi huu wa Ramadan waliofungwa mashetani
Asalam Alaykum samahan je hayo maji hukogei mwili mzma
Sheikh me naja unifanyie inshallah maisha yangu yamejaa fitna sana hadi natamani niishi peke yangu nisione watu .😢😢🤲🤲🤲🙏 Yarabby nijalie nipe subra nifunguloe nami na wengine walio kiwa na imani Yarabby nakuomba 😢.
Jamani sheikh kasema mtu kujejuje kazu Mara gapi
Naona video imeruka pale
Assallam ALLAYQUM WARRAHMATULLAH, je kunguni wakiingia nyumbani inaweza kua hasadi???
Uchafu huo fua nguo kama una mtoto akojoa asubui toa godoro inje
Alhamdulilag@@saumbliz8983
Aki sijaelewa
Imenipita
Jaman mbona dalili zote ninazo😢😢yarab niondoshee kwakwel,vip jinsi gan naweza kuepukana au kujitibu?
ALLAH akulipe kheri lkn hapo kwenye pindo ndio sijaelewa utuelekeze tena
Asalam alyqum shekhe.samahani hapo kwenye fundo kukunya quraan sijaelewa
Assalam alaykum,tiba Yake nini
Hapo kwenye nguo sijaekewa ata mimi
MashaAllah ya ustadhi
Hapo kwenye kukunja pindo la nguo mbona mmekata
Naamini sheikh ndo yangu niliyo nayo sasa
Vyote hivyo nilikua navyo
Asalam alaykumu shekh mm nimeelewa lkn kufanya siwezi nifanye ill unisaidie
Hapo kwenye hatua ya mwisho ya pindo ndo sijaelewa
Hivyo ulivyo fundisha kuna hadith wala ayat ?
Assalam aleikum...hapo aliposema kunja nguo yako kipande kimeruka una ikunja nguo alafu una fanya nn ndo ukaogee maji hayo?
Assàlam alayikum Walah màtululah wavalakatuh kama hauna mwEnye munaidhi pamonja unapashwa tengeneza ile Manji WE mwenyewe?
Asalam alykum shekh vip kama unaweza mfanyia mtu ikaswihi mfano mtt wako
Assalamu alaikum shekhe .Sehemu ya kukunja nguo clipu inaruka sijaelewa .Tafadhali nieleweshe tafadhal...shukran
Wweza tumia kanga kama mswala
Hapo Kwa qurani imeruka sikusikia vizuri alie elewa tafadhali naomba kuelekezwa Sasa Niko na ndogo inaweza pia
Mill😊
Hakika shekhe dalili zote tunazo
Shekh nilifanya dawa hii nlipiga miayo siku nzima na kuteuka yaan kutoa ges tumbon
Tifahamishe kuhusu nguo
Ninahizo problem
Shekhe mm kitu kikitaka kutokea kuna maono napata na kinatokea serious ni jini au 😮