Ee Mungu umenipa Neema ya kuijua kweli yako,naomba niamini katika utumishi ulioniitia,Ongeza hozi yangu,niamini Mimi kwaniaba ya familia yangu,ukoo wangu taifa langu Ee Yesu Nakuomba na kukusii Yesu baada ya dhoruba hii Niinue Kwa nguvu Kwa utukufu wa jina lako,,,Okoa wazazi wangu kupitia Mimi tuliza dhoruba ya wazazi wangu kupitia,,,Nataka nikue na kuongezeka Ee Yesu nisaidie
😭 ilanionge kitu kimoja moyo Wangu una maumivu makali sana moyo una uma kwa aya ninayo pitia namshukulu mungu Wangu na sisi sote sita kata tama Nina umili 23 mimi Sija kulia kwenye mikono ya wazazi wali kufa 🕊️ mimi ni mtoto wamwisho tupo watatu Nina fanya kazi mungu aimpendezi siku baatika kusoma lakini namshukulu mungu napata Pesa yakukizi maitaji yangu napiya nasaidia family yangu ❤ mchunga ji maneno yako yana usiana nama isha yangu una nifanya nilie nakumbuka mbali sana 💔😭 mungu akuweke Amina
Hakuna uchawi Wala uganga maskani mwangu, kwenye huduma yangu, kwenye Uchumi wangu Yesu nikumbuke Mimi maana nimekukimbilia wewe ili niwe salama Kwa haki yako uniponye uokoe Roho yangu
Bwana yesu naomba unipe kibari changu kwaniaba ya familia Mungu nitetee niweze kupata kibari chakumiriki ambavyo hata wazazi wangu hawajamiriki kwa jina la yesu kristo
Amen 🙏 Nashukuru mtumishi wa mungu umenitia nguvu kwa neno takatifu Nina Imani mungu atasimama NAMI vile alivyo simama na Gideon nitakuwa shujaa kwa jina yesu mwana wa mungu aliye hai amen
A meeen asante yesu kupitia Haya mafundisho naomba mungu ukantende sawa sawa Na Haya mafundzo .amen.aki mungu unasababu YA kuniongoza Ni pate kusikia Haya mafundisho Leo uhimidiwe bwana.❤❤❤
Amen 🙏 naku penda sana mchungaji una nipanguvu sana mungu azidi kuku weka kwajili yangu na kwajili ya wote mabinti wenzangu tusi kate tama mungu ata tenda kwasisi wote kilamtu atapata analo liitaji 🙏 ❤❤❤❤ sita choka kuku siki liza mchungaji
Amina ❤ mtumshi kibali cha kuwa na nyumba na biashara kwa jina la yesu amen 🙏 napokea kibali nikiwa Omani
Ubalikiwe sana mtumshi wa mungu
Amen 🙏 mtumishi mungu akubariki sana 🙏🙏
🙌
Mungu naomba nisaindie nguvu ya maombi nguvu ya kusoma bibilia kibali cha kuomba
Ee Mungu umenipa Neema ya kuijua kweli yako,naomba niamini katika utumishi ulioniitia,Ongeza hozi yangu,niamini Mimi kwaniaba ya familia yangu,ukoo wangu taifa langu Ee Yesu Nakuomba na kukusii Yesu baada ya dhoruba hii Niinue Kwa nguvu Kwa utukufu wa jina lako,,,Okoa wazazi wangu kupitia Mimi tuliza dhoruba ya wazazi wangu kupitia,,,Nataka nikue na kuongezeka Ee Yesu nisaidie
😭😭😭😭Bwana yatosha kwa haya mateso ninayopitia 🙌🙌🙌🙌
Amen namie nimepokea kuzidi wariyonitanguria katika jina rayesu kristo🙌🙌🙌🙌🙌🙌
💥🙇♂️🧎♀️🧎♀️🤴🤴Gidioni Shujaha Wewe mtoto wangu mungu simama na uzao wangu
Amen Namshukuru mtumishi wa mungu umenitia nguvu kwa neno la takatifu nina imani mungu atasimama nami vile alivyo simama asante sana
😭 ilanionge kitu kimoja moyo Wangu una maumivu makali sana moyo una uma kwa aya ninayo pitia namshukulu mungu Wangu na sisi sote sita kata tama Nina umili 23 mimi Sija kulia kwenye mikono ya wazazi wali kufa 🕊️ mimi ni mtoto wamwisho tupo watatu Nina fanya kazi mungu aimpendezi siku baatika kusoma lakini namshukulu mungu napata Pesa yakukizi maitaji yangu napiya nasaidia family yangu ❤ mchunga ji maneno yako yana usiana nama isha yangu una nifanya nilie nakumbuka mbali sana 💔😭 mungu akuweke Amina
Napokea kuongezeka zaidi ya walionitangulia kwa jina la Yesu Kristo amen🙏🙏
Amen mutumishi
Amen Baba
Ameni mtumishi
Napokea kuongeza zaidi ya walio nitangulia kwa jina la Yesu krsto
Mungu bariki mtumishi wako kwa jina la yesu kristo
Amen 🙏, nakushukuru mtumishi wa munguu, umenitia nguvuu kwa neno lakoo takatifu, nikapate kusimama kama gidion.
Asante yesu kwa kuinua imani yangu tena,barikiwa mtumishi
Napokea kuongezeka zaidi Kwa jina la Yesu Ameni 🙏 Barikiwa Sana mtumish nazidi kupata nguvu ya kuenderea
Mungu simama nami vile ulisimama Na Gideon nakutumaini ee baba
Amen
Amin Amin ninashukuru kwa maombi nikiwa Bujumbura 🙏🙏🙏
Eemungu naomb unipe mume sahihi umwaka usiishe bila kupat mchumba amen
Amen and Amen naomba kibali Jehovah
Amina napokea Kwa jina la yesu
Napokea kwa jina la Yesu Kristo nitaongezeka na kufanikiwa
Ameen, Mungu najikabiz mikononi mwako kwa safari na utukufu wa Jina lako
Yatosha sasa yatosha kabisa yatosha sintatembea katika aibu Wala laana Wala fedheha Kwa jina la Yesu
Ameeen yesu kanifanyi niwe nulu kuni family yangu 🙏🙏
Ameeeen 👏 napokea maitaji yangu balikiwa mtumishi wamngu
Mungu wangu nijalie neema ya kulinda roho yangu Kwa kuilisha neno lako Kila wakati
Bwana yesu asifiwe mimi nashukuru Mungu kuniongoza kukutana na mazabau hii 🙏
Nitazame kama ulivyomtazama Gidion ee Mungu nikumbuke Ameen
Nimeshukuru Sana kwa haya mahubiri inanijenga Sana Imani yangu
Nashukuru Mungu kwa neema aliyonipa japo sistahili
Mungu wangu nijalie Neema ya kulinda roho yangu kwa kuilisha neno lako kila wakati maana nimekuwa mtu wa kiangalia ya mwili kuliko roho yangu
Hakuna uchawi Wala uganga maskani mwangu, kwenye huduma yangu, kwenye Uchumi wangu Yesu nikumbuke Mimi maana nimekukimbilia wewe ili niwe salama Kwa haki yako uniponye uokoe Roho yangu
Amen 🙏 naamin asubuh ya leo nimebarikiwa na nimefunguliwa amen mtumishi wa bwana ubarikiwe. Sana na mungu azid kukupa maarifa mapya zaid
We Mungu wangu naomba nisaidie mtoto wako wewe wanijua Baba🤲🙏
Amina mtumishi wa mungu
Baba Mungu wangu ninakutumainia wewe peke yako Mungu wangu usiniache.
AMINA 🙏 mtumishi naitwa Gideon neno lako limenigusa sanaa.ubarikiwe sana mtumishi
Ameni 🙏 Mungu naomba unichague Kama ulivyomchagua gidion
Ktk jina la Yesu Ameni 🙏
Amen MUNGU Naomba uwezo wa kusonga mbele zaid🙏
AMEN AMEN MTUMISHI WA MUNGU🙏🙏
Ameeni mtumishi nimetoka hatua moja kwenda na nyingine
AMINA NA POKEA KUONGEZEKA ZAID YA WENGINE.MUNGU AKUTUNZEE
Mafundisho mema mchungaji ak barikiwa sana,umenitia nguvu katika safari ya imani,barikiwa sana
Ameen ameen
Mungu nipe kibali juu ya familia yangu
Ameeen 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏👏
Bwana yesu naomba unipe kibari changu kwaniaba ya familia Mungu nitetee niweze kupata kibari chakumiriki ambavyo hata wazazi wangu hawajamiriki kwa jina la yesu kristo
Hallelujah AMEN nimepokea katika jina la YESU kristo naamini haya madhabahu kabisa
Amen amen
Amen, Asante Ntumishi wa Mungu kwakuniinua
Amen amen barikiwa
Ameeen Ameen...Mungu azidi kunibariki pamoja na familia yangu kwa Jina la Yesu Kristo
Amen masomo yote yako mtumishi yananigusa na familia yangu asilimia mia moja
Amen 🙏 Nashukuru mtumishi wa mungu umenitia nguvu kwa neno takatifu Nina Imani mungu atasimama NAMI vile alivyo simama na Gideon nitakuwa shujaa kwa jina yesu mwana wa mungu aliye hai amen
Amen amen
Amen amen asante
Amen ameni
Ndio tuko
Nkweli
Bwana YESU naomba nisaidie matatizo,yangu
Amen Sana, kwa kunitiaa moyo
Ubarikiwe mtumishi wa mungu maombi ya leo yàmenigusa 🙏
Amina mungu unipe nguvu
Amen na iwe hivyo kwa uwezo wake bwana mungu wetu bwana wa mabwana
Amen mtumishi ubarikiwe kabisa
Amen l
Amina 🙏🕊️
A meeen asante yesu kupitia Haya mafundisho naomba mungu ukantende sawa sawa Na Haya mafundzo .amen.aki mungu unasababu YA kuniongoza Ni pate kusikia Haya mafundisho Leo uhimidiwe bwana.❤❤❤
Amen. Mungu akanitumie kwa ajili ya Kuiinua familia yetu
Amen may the almighty God bless you mutumishi wa bwana Kwa ujumbe huu
Napokea kuongezeka zaidi ya walonitangulia Mungu nitazame Kama ulivomtazama Gidioni ee Mungu nikumbuke na mm niwe na amani ya kuongezeka Ameeen
Napokea kuongezewa zaidi ya walionitangulia mungu nitazame kama ulimtazama gidion we mungu nikumbke na Mimi niwe na amani ya kuongezeka amee
Amen 🙏 🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Asante mtumishi, Kwa maelekezo haya nimepokea Kwa utabiri huu Kwa imani naamini Kuna jambo mungu atatenda Kwa Amina
Ameniii 🙏🙏🙏
Amen na iwe hivyo kwangu kupitia maombi haya
Ameen 🙏
Amen 🙏🙏 umeni tia nguvi yakujiamini
Amen,napokea in the name of Jesus
Amen 🔥
Asante naimani Mungu atanitendea
Napokea Kwa Damu ya Yesu. Nikapate kuongezekaa Kwa uweza wako MUNGU
Ameni🙏
Ubarikiwe sana mtumishi
Ameni
Mungu wangu,asante kwa somo hili na maombi haya,Amina, barikiwa mtumishi.
Amen Amen! Barikiwa sana mtumishi. Nimepokeya kwa imani 🙏
Amen 🙏 naku penda sana mchungaji una nipanguvu sana mungu azidi kuku weka kwajili yangu na kwajili ya wote mabinti wenzangu tusi kate tama mungu ata tenda kwasisi wote kilamtu atapata analo liitaji 🙏 ❤❤❤❤ sita choka kuku siki liza mchungaji
Barikiwa mtumishi mungu akubariki mchungaji nikama unaniambia mimi
Napokea neema ya kuongezeeka zaidi ya wale walio nitangulia kwa Jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏🙏. So touching
Huni ujumbe wangu
Asante mtumishi nafalijika sana 😢 🙏 nilikuwa mtu nisie faa machoni pa watu
Amen
Mungu naomba nisamehe niache dhambi❤
Amen Mungu anikumbuke na anipe kibali😭
Amen 🙌,, be blessed mtumishi w Mungu
Amina Mtumishi wa Mungy
Amen Mungu akanipe kibali kwa jili ya family yangu, uko na watu wengine walio nizunguka🙏
Amina mtumishi balikiwa sana
Aminaa
Mungu nahitaji neema nyingi maishani mwangu. Mungu anipe kibali mbele zake na wanadamu.
Mungu wa madhabahu ya siri za Biblia nimekuona upo upoooo. Naomba mung amponye MDogo wangu Valeriani George🙏🙏