UMISIONARI KWA WATU WOTE_Kwaya ya Malaika Gabriel_Segerea

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 57

  • @matelamarine5545
    @matelamarine5545 3 года назад +1

    It's Mission Sunday 2021 and I'm watching the song the millionth time. Great song!

  • @rosegeofrey1809
    @rosegeofrey1809 4 года назад +1

    Mzidi kubarikiwa mnoo. Wimbo mzuri Sana. Hakika ni wamisionari mliotukuka.

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤ Mungu awatie nguvu nyote

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 Месяц назад

    Nimerudi leo 2024 aisee nimeukumbuka huu wimbo

  • @martinnganga
    @martinnganga 5 лет назад +2

    Hongereni sana. Kwa hakika mmeinjilisha. @Ray ufunguo naomba nota. 2019 is the year of mission, wimbo huu unafaa mno

  • @revocatuskatto7293
    @revocatuskatto7293 5 лет назад +2

    Wimbo mzuri barikiwa san

  • @velejilyonatalis1787
    @velejilyonatalis1787 5 лет назад +1

    Asanteni sana kwa wimbo mzuri hakika mmeInjilisha

  • @evankip4636
    @evankip4636 5 лет назад +3

    Likes from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wonderful song..

  • @mossesraphael1073
    @mossesraphael1073 5 лет назад +1

    Wimbo mzuri sana kazi ya Mukasa MUNGU awabariki sana waimbaji na wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine

  • @dessystanley5586
    @dessystanley5586 4 года назад +1

    Mungu azidi kuwatia nguvu

  • @anoldsimanjiro5581
    @anoldsimanjiro5581 5 лет назад +2

    Kaz nzur Rajo uko vzr,,umewapanga sauti sana pia saut ya kwanza wannanikosha wanatetemesha sana had raha ,,pia saut zingne ziko vzr bila kusahau sauti yang tenor mko vzr,,Be blessed all

  • @sebastianjohn626
    @sebastianjohn626 5 лет назад +1

    Kazi nzuri,Mungu awazidishie haja ya utume,mbarikiwe sana

  • @leoleoneodongo4169
    @leoleoneodongo4169 5 лет назад +1

    Congratulations my favorite choir.
    All of us are Baptised and sent to be the missionaries

  • @bujunebusanya3966
    @bujunebusanya3966 5 лет назад +1

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnoo

  • @liliankwizera8546
    @liliankwizera8546 4 года назад +1

    🙏🙏 to this Aangelic Sounds

  • @alphoncemeru2239
    @alphoncemeru2239 5 лет назад

    Hongereni sana, kusema ukweli mmetia fora.

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 5 лет назад

    Hakika nimebatizwa na nimetumwa.Umisionari kwa watu wote.Asante mtunzi na waimbaji

  • @benleyan
    @benleyan 5 лет назад

    Wimbo mzuri. Umepigwa na kuimbwa vizuri. Unagusa nafsi na kuleta utulivu! Viva RAJO!

    • @everfunda1758
      @everfunda1758 5 лет назад

      Rajo skamoo

    • @adrianantony4530
      @adrianantony4530 4 года назад

      @@everfunda1758 wapi Rajo utulivu wauinjilishaji jamani upako mbele ya Mungu upo nasi

  • @Natura222
    @Natura222 5 лет назад +2

    A very nice song. 🇰🇪 Love

  • @mosesrutaihwa6569
    @mosesrutaihwa6569 5 лет назад +1

    Wimbo mzuri na umeimbwa vizuri

  • @josbertnyabayige2114
    @josbertnyabayige2114 5 лет назад

    Daaaaaaa kazi njema kwer nimebarikiwa

  • @benkbenk9461
    @benkbenk9461 5 лет назад +1

    Excellent work .
    Keep the candle of gospel lighting the World . God bless you for your efforts 👏👏👏👏👏🏼👏👏👏👏

  • @kiminyio0078
    @kiminyio0078 5 лет назад +2

    Mbarikiwe sana

  • @KalltuniClassics
    @KalltuniClassics 5 лет назад +1

    Safee sanaaaa!☺

  • @mindbrand2897
    @mindbrand2897 5 лет назад

    Nimebatizwa na kutumwa👏🙏

  • @sebastianjohn626
    @sebastianjohn626 5 лет назад +1

    Ray Ufunguo popote ulipo Saluti kwako,Ongeza ufundi mpaka dunia ichoke kushangaa

  • @embatidennis6107
    @embatidennis6107 5 лет назад +6

    This is very good
    I am a Franciscan friar watching from Poland but a Ugandan from Christ The King Parish Arua
    I hope to organise an exchange visit for this choir to my Choir in Uganda

    • @buzzakazungu8793
      @buzzakazungu8793 5 лет назад +1

      Good fr. It can be possible and good idear. If you can let us contact to see how it can be done. Ma email is bkazungu2002@yahoo.co.uk

    • @buzzakazungu8793
      @buzzakazungu8793 5 лет назад

      Ok

    • @embatidennis6107
      @embatidennis6107 5 лет назад

      @@buzzakazungu8793 email me on dennisleeembati@gmail.com
      Am already in Uganda for about 3 weeks and has seek for transfer to Kenya but still to be approved, I will keep you updated

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 5 лет назад +1

      Blessings, been to Poland during the 2016 mainly in Krakow. All the best father

    • @adrianantony4530
      @adrianantony4530 4 года назад

      @@felisterligwa Thanks

  • @ioseph7230
    @ioseph7230 2 года назад +1

    Yes.....am anissionary

  • @chrismwanjalika9892
    @chrismwanjalika9892 5 лет назад

    Kwa utulivu wa wimbo huu, tukahubiri wandugu.

  • @leticiaherman2025
    @leticiaherman2025 5 лет назад

    Very congratulations..
    We are all the missionaries

  • @goodluckymassawe7309
    @goodluckymassawe7309 5 лет назад +1

    Nzuli jamani mungu awajalie baraka na afya njema

    • @winifredmgaya6032
      @winifredmgaya6032 4 года назад

      Goodlucky Massawe hakika umisionari kwa watu wote

  • @catholicdigitalnews1024
    @catholicdigitalnews1024 5 лет назад

    Asante sana mmenikumbusha haadi zangu za ubatizo

  • @evankip4636
    @evankip4636 5 лет назад +3

    Being the first to watch This.. support by your Likes please..Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @rayufunguo
      @rayufunguo 5 лет назад +1

      Waooo. This was so fast... Thank you Evan

    • @evankip4636
      @evankip4636 5 лет назад

      @@rayufunguo Thanks Ray . It's a blessing

  • @dramajoeonlinetv6979
    @dramajoeonlinetv6979 4 года назад +1

    Mmetisha

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 года назад +1

    Good song.

  • @devothamchami7685
    @devothamchami7685 5 лет назад +1

    Good message

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 лет назад +2

    Be blessed

  • @princepaul4594
    @princepaul4594 5 лет назад +1

    Ameeeen

  • @sshiyo2357
    @sshiyo2357 5 лет назад

    amina

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 лет назад +1

    Safi sana

  • @martinkihara6797
    @martinkihara6797 5 лет назад

    Mko Poa

  • @Prax1
    @Prax1 5 лет назад

    #BernadMkasa

  • @triffproductions4348
    @triffproductions4348 5 лет назад

    Kuwa wa kwanza kupata ladha nyingine tamu ya kikatoliki kwa kusubscribe hapa ruclips.net/channel/UC9tABZ7INqD9xHBpW8Rv2Hg

  • @dessystanley5586
    @dessystanley5586 4 года назад +1

    Mungu azidi kuwatia nguvu