MTOTO WA MIAKA KUMI NA MOJA AFANYA TUKIO LA AJABU ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 май 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 33

  • @stonetown578
    @stonetown578 Месяц назад +6

    SubhanaAllah, Allah atamhidi wazazi dua'a muhimu kwa watoto wetu.

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 16 дней назад

    Maskin Mtoto mzur Mashallah Ni uoga wazaz tupunguze ukali Kwa watoto wetu ili ikitokezea Mtoto kafanya kosa akiogope kukimbia jaman Amenitilisha huruma Maskin 😭😭😭Allah akuhifadhi Habiby😭😭😭🤲

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Месяц назад +12

    Jaman mtoto mzuri usikimbie tena nyumbani sawa

  • @user-nk3dp9cv9c
    @user-nk3dp9cv9c 27 дней назад +1

    Pole sana dada yetu hii ni Moja ktk changamoto au mtihani Allah aliokupatia, lkn tue wapole pale watoto wanapokosea, tuwafunze kiutaratibu n kutumia maneno yakibusara ambayo hayatvunja moto Wala kutaka kufanya jambo baya zaidi ya Hilo ,Allah akupe nguvi zakuutunza ulezi wako

  • @AminakengaKenga
    @AminakengaKenga Месяц назад +2

    Nina mtoto wangu yuko ivyo ivyo toka ana miaka 8 mpk sasa ana 20 kuna tatizo amuwahi mapema sio hali ya kawaida

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 Месяц назад +3

    Tatizo hatuna malezi ya siasa inaonekana Kuna adhabu kali asipoenda chuo au skuli ndio mana kitu ambacho sio kizurinkabisa kwa mtoto wangapi wanakubaliana na mimi

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs Месяц назад +3

    Uyu mtoto alikosea lakini anahakil Sana kakili kisa lake

  • @user-xq4bp8zm7e
    @user-xq4bp8zm7e 27 дней назад

    😢😢😢😢😢😢😢 mtoto Mazur jaman usiondoke nyumban unatuumiza wazaz wako

  • @MerryBaltazari-zv9gf
    @MerryBaltazari-zv9gf 16 дней назад

    Duh jamani wazaz tuna pitia changa moto san

  • @AminiMuhammed-pi6dx
    @AminiMuhammed-pi6dx 27 дней назад

    Kama alikuwa anapata huduma ya chakula kwa watu anao wajua walishindwaje kumpa ripoti mama yake au kumkamata

  • @ZubeirJuma-up7kb
    @ZubeirJuma-up7kb Месяц назад +1

    Dogo mbona mtundu tuu ila kwa mambo ya kubakwa hamna

  • @user-ff7hl3mh3h
    @user-ff7hl3mh3h 24 дня назад

    Ilikuwa afuatiliwe huko skuli na chuoni kwanini haendi isije ikawa kuna kijambonndicho kinachomkimbiza eidha adhabu au mengineyo

  • @omarkhamis3909
    @omarkhamis3909 Месяц назад +5

    Alilo lifanya sio labusara ila nyny waandishi jifunzeni basi japo kidogo kuwasilisha taarifa kama hapo laajabu nilipi alolifanya lakutoroka nyumbani kwao au ?

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 29 дней назад

      Ebwana khabari za vyombo vya kwetu ukifuatilia nyingi ni za ajabu sana there so clumsy.

    • @omarkhamis3909
      @omarkhamis3909 29 дней назад

      @@FahadAbubakari ah kweli nduguyangu halafu unaambiwa niwasomi na wanavyeti mtihani mtupuuuu

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 29 дней назад

      @@omarkhamis3909 khabari nyingi tuzionazo zapewa nafasi sizo yani wakati naamini Kuna Habari nyingi tu zakuweza kuripoti

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 29 дней назад

      Mtoto wa miaka 11 kutoroka nyumbani kwao siku 10 unaona ni jambo la kawaida tu kwako

  • @user-pw9lf6yt9b
    @user-pw9lf6yt9b 29 дней назад

    huna Ada buKwanini ukimbie kwenu uende kwa mtu unae jua umsimbue mama yk

  • @user-pw9lf6yt9b
    @user-pw9lf6yt9b 29 дней назад

    usirudie ukutoroka kwenu huko unakisia kwenda

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l Месяц назад

    Kuweni makini watamgeuza kua hanisi kwanza kampimeni hajabakwa

  • @yussufmohammed9299
    @yussufmohammed9299 29 дней назад

    Hakuna ndy ww hpo ushafnya unaonekan ww Kiranjaaa fulan mjanja mjanja hv

  • @user-pk2ch7lu5e
    @user-pk2ch7lu5e Месяц назад

    Sasa hilo ni jambo la ajabu hilo

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 29 дней назад

    Familia ikombali wapi mbali hapa Tanzania? Hata Mbeya sio mbali. Sababu ya kutokumtafuta sio kuwa wewe mwanamke. Ukisema hivyo ndio ushajijengea kuwa sio mpambambanaji maisha ya kuwa mimi mwanake hili siwezi kulifanya ni lile tu alilokataza Allah basi. Hizo ni fikra mgando.

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 28 дней назад

      Mzazi mwenyewe umemzona lkn afya yake

    • @user-eu4pk3eh5d
      @user-eu4pk3eh5d 28 дней назад

      Hayaja wakuta hao wanaropoka utumboo kwani hawajamuona mama yake hapo na mwenyewe kajieleza kuwa baba wa mtoto hakuwepo na yeye hajiwezi kwenda popote kulingana na afaya yake sasa hapo nini hujaelewa

    • @muhammadabdulla23
      @muhammadabdulla23 27 дней назад

      Acheni kujidanganya na fikra za superwomen, awe mpambanaji ulitaka amtafute usiku na mchana?! Kwamba akihangaika usiku na mchana ndo atakuwa mpambanaji. Ndio hapo unapokutwa na jambo badala ya kuomba msaada usaidiwe ukajifanya superwomen na lisiwe lolote.

  • @rizikichike
    @rizikichike 22 дня назад

    Ni mtundu tu huyo mtoto ni kama mdowangu tu ni kizaazaa watoto wa kiume kulea ni kazi