amjambo baba Muchungaji MAGEMBE, asante kwa kunifufua tena kiroho kupitia mahubiri haya, asante saana kwa Neno hili, ni mimi LANDRY Bunyuti napatikana DRCongo mjini Uvira, nahitaji tena musaada wako baba.
Mungu akubariki sana baba najifunza mengi kwako, Bwana azidi kukutumia Mungu ndani yangu ameweka msukumo mkubwa wa kufanya kazi unayoifanya natamani kukufikia ili nijifunze zaidi
Eden Ndunguru kitoka Mbinga Ruvuma; Amini nakuelewa sana Baba Mchungaji Magembe, mahubiri Yako yanahuwisha nafsi yangu ubarikiwe sana na uzidi kuongezewa miaka ya kuishi ktk injiri
Amina mzee wangu MUNGU akufanishie kifo chema ukapumuzike mbinguni salama mzee wangu maana kazi yako ni njema unayo ifanya yakuhubiri kweli sio mchezo kuhiubili kweli mzee wangu MUNGU akubaliki sana mimi binafsi mzee wangu ninakupenda sana mzee wangu
Mchungaji wa Tanzania Magembe shikamoo. Nilikuwa sijawahi kukufuatilia nimekuelewa sana 🙌🙌🙌🙌🙌🤝
Ubarikiwe mtumishi WA Mungu
Tunabarikiwa sana bb
amjambo baba Muchungaji MAGEMBE, asante kwa kunifufua tena kiroho kupitia mahubiri haya, asante saana kwa Neno hili, ni mimi LANDRY Bunyuti napatikana DRCongo mjini Uvira, nahitaji tena musaada wako baba.
Nashukuru mungu kwa kuwa mkristo mi huwa nawasikiliza watumishi wote wa mungu bila kubagua mchungji mungu akulinde saana
Mungu akubariki sana baba najifunza mengi kwako, Bwana azidi kukutumia Mungu ndani yangu ameweka msukumo mkubwa wa kufanya kazi unayoifanya natamani kukufikia ili nijifunze zaidi
Hongela baba mafundishomema
Hiyo ndiyo injili tunayoipenda ya kusisimua maisha yetu ya kiroho.
Hongera Sana Baba, zidi kutujuza tusije tukapatikana na mabaya, kiukweli tumeteswa na wenye akili za kishetani.
Nabarikiw sana na mahubiri yako mtumishi wa Bwana YESU toka kaham mjn Shinyanga
AMINA Mtumishiiii wa MUNGU.... Binafsi huwa nakuelewa na ninakufuatilia Sana ipo Siku nitakuja kanisani Kwako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏆🏆🏆❣️❣️
Amen Nachingwea kwa Yesu Amen watakatifu tuzidi kukaza mwendo na tuzidi k utia bidii kuyaishi maisha matakatifu
Amina!Amina baba
Sifa kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Mungu akubariki kwa ufunuo mkubwa kuusu maisha baaada ya kufa.
All The way from The UK ...Nabarikiwa sana na Baba Magembe,Natamani siku ahubiri pamoja na Askofu Maboya kabisa liwe na umoja!!
Amen, nime barikiwa na ujumbe; Mungu Akubariki baba
Ubarikiwe sana baba mchungaki Magembe kwa kazi yako njema Mungu aendelee kkukutunza.
Aminaa
Amina mtumishi. Mungu akubariki sana kwa kufungia akili za watu wengi tulikuwa hatujuwi mambo haya sasa tumepata luelewa mungu akubariki sanaa
Mungu akubariki sana mchungaji.Natamani sana kuokoka na kumjua huyu Mungu zaidi.Natamani sana tena sana.
Tangu Niko sikilize mahubiri sija wai sikia mihuniri kama n'a Huyu, baba Mwenyezi Mungu akubariki saana naendeleetu kukutia nguvu
Ameni baba unazungumza vitu vya ukweli kabisa nakupenda sana baba yangu ubarikiwe sana sijawahi kukuona natamani sikumoja nikuone.🙏
Asante baba umenisaidia sana
Ubarikiwe mchungaji kiongozi wetu YESU KRISTO azidi kkuinua.
Asante mtumishi wa mungu umenifungua kiroho napenda kufatilia vipindi vyako mungu akupe miaka mingi uzidi kuwafungua watu barikiwa baba
Amen , na muuje apa Moz-Nampula mu iyuubiri injili
Nasikiza nikiwa Kenya nashukuru MUNGU kwa ujube mzuri
Mchungaji anahubiri vizuri sana, anatupa neno last uzima❤
Amina mch Mungu aendelee kukutunza
Baba mungu akubariki sana
Ubarikiwe sana Baba, mahubiri mazuri sana.
Amina mubwa jasusi wa Yesu
Aminaaa mtumish wa mungu unatufundisha vema
Amen,,mafundisho mazuri mtumishi wa mungu
Ubarikiwe sana baba hakika tunabarikiwa sana na huduma yako unafundisha kweli
Tunaelewna mch🙏
Amina. Nimebarikiwa kutoka kenya 🇰🇪
Mungu akubariki Sana, mafundisho yakweli yanatujenga, Asante sana Baba,
Mungu akubariki sana sana Hadija kwa kufuatilia mahubiri haya. Mungu ni mwema sana.
Asante tumebarikiwa na ujumbe wako mzuri mtumishi!
Nimebarikiwa sana mchungaji, mungu akutie nguvu
Eden Ndunguru kitoka Mbinga Ruvuma; Amini nakuelewa sana Baba Mchungaji Magembe, mahubiri Yako yanahuwisha nafsi yangu ubarikiwe sana na uzidi kuongezewa miaka ya kuishi ktk injiri
Amina barikiwa mtumishi wa Mungu .. nakupata vizuri sana kutoka dsm
Following from Paris France 🇫🇷
MUNGU azidi kukutunza kuanzia huduma adi kimwili barikiwa sana baba
Mungu akubariki sana baba naomba Unilee Sina baba tangu 2010 nimekuwa hewani TU Mzee wangu.
Nakuelewa sana baba mungu akubaliki
Yesu akutunze baba ubarikiwe Sana kwa neno lililo hai
Ubarikiwe Mteule wa Mungu somo kubwa sana hili
Amen mubarikiwe Sana ndugu zangu Mimi ni Mchirika wa Haskofu DANIFORD BURUMELA kotoka msumbiji❤❤❤
Ubarikiwe baba mungu akubariki sana
Amina mzee wangu MUNGU akufanishie kifo chema ukapumuzike mbinguni salama mzee wangu maana kazi yako ni njema unayo ifanya yakuhubiri kweli sio mchezo kuhiubili kweli mzee wangu MUNGU akubaliki sana mimi binafsi mzee wangu ninakupenda sana mzee wangu
MUNGU ampe maisha marefu sana bado tunamuhitaji Baba yetu....,hayo masuala ya kifo sio ya kuongelea sasa hivi.
Amina nimepokeya Kwa jina la Yesu 🇺🇸
Jamanii Asikofu Kabone Barikiwe Baba
Tuko pamoja mchungaji, ubarikiwe sana ndugu.
Mungu akubariki baba kwa injili ya kweli
Ubarikiwe sana Mcungaji
Asante kwa ujumla huu mzito baba
Ameeni Mtumishi tunakuelewa
Ubarikiwe sana Baba
Amen Mchungaji tunakufuata.
arurururururur aka rururururu asante baba barikiwa
Mungu azidi kukutumia sana kwa utukufu wake
Mungu aendelee kukutumia baba
Mungu Ni mwema Mimi naitwa Frank range Niko pwani kibaha 🙌🙌🙌🙌🤲
AMINAAAAA
Amen 🙏🏽 mtumishi Moses magembe
Franchement merci SEIGNEUR pour ce serviteur digne.
Bien soit-il, amen
Amina MTUMISHI wa mungu
Ubarikiwe sana baba Muchungaji
Yesu akuongeze miaka ya kuishi
Hongera kwa huduma nzuri.
Amina nakuelewa
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Barikiwa saan mchungaji
Be blessed pastor
Yesu akubariki Baba
Barikiwa sana baba .Rev.M.Magembe
Amina mzee wetu
frola,,,Amen Amen
Maisha malefu mtumishi !!?...more greatings from ...Kenya...watamu.
na muogopa Mungu ni Mungu wa vita🔥🔥🔥🔥
Mungu akubariki Mtumishi
Hadi watoto wametiishwa amen
Aaamen
Nachingwea kumepambazuka 🔥
Jmn huyu baba anankumbusha mzee Moses Kulola ah upo vzr bb
Safiiiiiiiiiiiiiiii kabisa💪🙏amina
Tumebarikiwa Sana
Amen.Mungu ni mwema
Amena pasta Sisi tuna amini Bada yakufa kama niwazambi ukumu kama niwamatende mema uzima wamilele amena
Mungu atusaidie ,🙏
Very inspiring message
Baba mchungaji nakuelewa
Amina barikiwa
Amina karbu na rombo Kilimanjaro
Ubarikiwe Baba
Je félicite le RV.moses pour toujour
Jamani mi naomba mnipe fungu ambalo Yesu aliomba kwa kupiga kelele hivo
Ukijazwa na ROHO MTAKATIFU huwezi kujizuia soma matendo 2;1...... utaona ilikuwaje ubarikiwe....🙏🙏🙏🙏🙏
Usitawaliwe na udheebu tia akiki kichwani mwako
Wewe ulisoma wapi katika Bibilia ikakukataza kupiga kelele
nabarikiwa kutoka kenya
Asante baba
Barikiwa baba
Barikiwa sanaaaa
Amina mtume
Nakuhelewa baba
Hallelujah 🙌🏾