Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Dadangu chemical jipange ufanye collabo na niky MinajRespect from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
❤❤❤❤
@@miss-s3w l want to mary you
2024 mwezi wa 11 ❤❤❤nimelud kuitizama
kama bado unaielewa hadisasa hiv goma hii lake🇵🇷🇵🇷
14/10/2024 bado naskiza hit kali🎉🎉
2023 still it's na favorite song ever..
Hii ngoma kali sana sema mmekuwa kimya mno tatizo Nini
,Daaah huu wimbo ni hatari kwanza sichoki kuusikiliza tisha sana Msami &Chemical lazima watu waungue apo
Diamond akiimba hata kama mbaya watu mna comment lakini wasanii wengine wakiimba vzr anaacha comment kuwapa nguvu kwa nn
Chemical nakukubali ,,,, hata ufanye kitu nzuri na mbaya still nipo upande wako but the code you dressed nonoooo
Naipenda hii nyimbo mpaka nahisi natenda dhambi
😃😃😃
💞💞💞💞💞
2023 still listening
Hatari
Tur pamoja
mbn video mmeichelewesha ila ni Kali balaaa na chemical kapendeza Ndani ya usichana wake big up msami and chemical a.k.a NICK MINAJ
swaga chemical haijakupendeza bakia tyu Yule chemical twamjua mawigi na wewe daah pic sijaipata 🤗🤗🤗
song kali sanaaaa japokuwa nmechlewa kuliona coz harakati za ckul tuu sema nn big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hiii ngoma ni kali sanaaaaaaaaaaaaaaaa then haishihamuuuuuu
2020 hio wangap wanaangalia
🙄🙄Alafu unajua hadi unakera🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️bonge LA ngoma
ngoma quality msami hujawai angusha mashabiki kweleeee buda na chemicaltz yaan atareeeee
Hiinyimbo mzuli sana nahipenda kila wakati ❤
Jaman nakosaje kusema ngoma Kali na tunaombaaa munguuu izidi kudumu kila Leo
hii ngoma tamu siichoki, deserved more views
Hiii ngoma Kali kinoma jamani huyu dada nampenda hadi naumwa.
good sana kila kitu kikopowa wa bongo achen wivuu wapen sapot nyoko zenu
Dah nyimbo nzuli sana nimeipenda ongela sana Tena sana)
duhhh nimeuelewa nakukubari sana mkali #Msami
The song & the Video are so Mwaaah.., msami na Chemical you are so fine like the song itself..!!
we jmaa hutoi nyimbo umekufa au sasa mashabiki wako unamuachia Nani tuachie ujing ebu Rudi uku
Msamiiiiii kama Tecnooo😘😘😘
Duh!!!!!,bonge la dude,nimeipnda xn
ngoma Kali BT cjapenda nyweleee za chemical
Ngoma hiinikiisikiliza hd hisia zinakumbuka mbalii coz nyimbo yenye hisia kal
Good to you mdogo wangu napo ona kazi zako nakumbuka mbali sana enzi zetu za imasco, super min sijui luxury pub long time sana hapa best friends hapa spider mob, lunatics family, passion na makund mengine meng tu kaza mdogo wangu
2023 umepotea wapi msami rud kwenye gem bro unajua#
imetulia sana kaza buti
Msami nimependa shek yako yaan nafubgua wimbo bila kikomo.
Levo nyingine hy napenda sana huo mziki
Hii ngoma Kali babaaa koooo
Nakukibal San mchiz wang
Kichupa n fire zaid ya neno lenyewe
good....Gudii...namkubalii msami......so poa.............
nyie mafala kweli yan,, mkaona bila kiki ngoma haito bamba sioo hahaha ila ngoma kali sana guyz BIG UP
no comment chemical umetisha Msami pia kila mtu kafanya utofauti mzigo umekuwa pouwa
Mimi sio mpenzi wa mziki wa kizazi kipya ila kwa huo wimbo umenigusa sana tena sana hongereni sana
aisee chemical umependeeezaa sasa apo ndo kwenyewe chana lkn piga mavaz yakike like nick minaj ....inapendeza ama nini?...
De baddest dancer,,,,,,
ngoma kubwa sana hii I wish ingekuwa na views 1M tayari
Mnajua sana tatzo* inazimwa nawengne wasojua
Ngoma tamu Sana hii😘😘
msami mko juu video iko poa xanaaaaaaaaaah,,,,,nicy one
Cute chemical uko sawa mwaaa napenda song zako
Mi nlisema tu hawa wanatoa wimbo. Mkawatukan bure. Kazi nzur san bro and sis chemical
Kari sana ety
Mariam kwanza watu waliona napicha Picha nini😂
Wote mawakubal
Uyo ndo chemical kapendeza kashonea wivin
Miasami anadansi balaa
in 2024, the sound still sounding
hujawai tu kuniangusha msam! big up yo self na atleast chemical kawa mdada she z too gangsta
kumbe chemical nimrembo ivo namupenda sana uyo demu fron Dubaï
Nakubali kazi zako mziki mtamu napenda kurudia kuskiliza kila saa
Nceee song
Oya msami was Artist
saut ya chemical nomaaaa sana
chemical nguo hizo mhmmmm hukua hivo uongo mbay
Kumbe chamical nae ni mzuri dah!
Iko poa
dah bonge la ngoma big up msami nakupendaga bure
Msami nakukubali japo nipo u.s.a big up bro
Chemical is underated... but shes so talented. no.2 East afrika after Vanessa Mdee
Msami umetulia baba katika gemu
Chemical angalia bikra yako isitoke na iyo baiskeli mamy
nishida jamn goma Kali kinoma noma
imetulia sana in short hainiishii hamu kuiangalia
Hii song ni y ukweli ata so y uwongo
Nice one #chemical ft msami baby
Yani nice song naimba mwanzo mwisho big up kwenu
Nakukubali san chemical
Nackia beat ya korede bello
Gonga like kma umeikubali ngoma pamoja na video
pw
Msami Hiingoma Kali nimeipenda sana hongera kwa kazi nzuli ilatu tuacheni ubishoo kwenyekazi tufanye kweli sifi kaka nyimbo nimeipenda)
Xaf Xana
due inaweza track na kichupa usipime
hiyo video Imetokea mpaka raha
Chemical mama upo juu kwasana tu amina... God
char ngoma tam ile mbaya
Me nampenda sana msami kusema ukwel
safii sana mdada chemical
Uyu Dem Nina sana
So fine hii ngoma hatari
Beat safiiii
chemical kapendeza hadi nimemsahau jamani kumbemzr
Northern Kenya, West pokot, so beautiful song
Goma kali yani 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Nzr Sana.
unajua brother
huu wimbo umechukuliwa poa ila ni mzuri ulistahili nafasi
goma Kali sanaaaaaa msamim umeua
Mpo sawa sheila na Dogo janja
Good job masami ngoma ni kali htarii
Chemical umependeza hadi raha, msami ngoma imetulia sana
iko frxh xana kazi mzuri
oooh;de guy anajuah
Msami umetisha,wimbo wako naufunguabila kikomo
ametisha
nyimbo Kali sana aiseee
hatari sana wazee... big up
Nakubal Sana msami
nice video #mgoc... iko pouwa sanah yani!!
mm nakukubali asana chemikal
Dadangu chemical jipange ufanye collabo na niky Minaj
Respect from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮