MSAMI - VIPI KWANI - (OFFICIALL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 412

  • @Annact-tz
    @Annact-tz 11 месяцев назад +20

    2024 kama bdo unasikiliza tujuane hapa

  • @kakanathan8918
    @kakanathan8918 6 лет назад +10

    Wale walio play hii video zaidi ya Mara 7 gonga like ili twende sawa respect #MSAMI nice song

  • @Officialboysafi
    @Officialboysafi 6 лет назад +38

    We jamaaaaa unakajua ka mziki na mi huwa napenda kukuona uki dance guys support yenu tu inaitajika hapa kwa msani

  • @saidiabdallah5208
    @saidiabdallah5208 6 лет назад +3

    Wimbo mzuri sana umetulia kinoma,hukoseagi man

  • @selinamligo4470
    @selinamligo4470 6 лет назад +2

    Kazi nzuri msami kama unaikubali ngoma ya msami gonga like hapa

  • @yassinm69
    @yassinm69 6 лет назад +3

    That's my cousin kazi nzuri

  • @laurajohnson5106
    @laurajohnson5106 5 лет назад +7

    this guy should have million likes jamani he deserves much better ,so creative

  • @aminalwambo3949
    @aminalwambo3949 6 лет назад +1

    Iko bomba uwaga napendega swaga zake sana msami

  • @masanjapetter6159
    @masanjapetter6159 4 года назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥 makin

  • @lujuo_tz1149
    @lujuo_tz1149 6 лет назад +6

    nakubal mzee kaz nzur

  • @lediverjoseph8533
    @lediverjoseph8533 6 лет назад

    Mbona mi nairudi rudia??ahh msami umetishaaaaaaaa....love u kinoma noma

  • @jescahteu4384
    @jescahteu4384 6 лет назад

    uwiiiiiiiiiiiiiii.......unajua an et one day utanfundxh

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 6 лет назад +12

    nzuri hongera

  • @swaumuabdallah7428
    @swaumuabdallah7428 6 лет назад +1

    iko poa sana hiyo penda sana

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 6 лет назад +3

    Yani yule dogo yanga kacheza uzuri kuliko nyinyi . Than Hii nyimbo kiitkio kizuri na beat zuri ila sijapenda uko kwengine unavyoimba 😎

  • @noelynelson388gmail2
    @noelynelson388gmail2 6 лет назад +9

    Nom San Msami

  • @suzanamokiwa2787
    @suzanamokiwa2787 5 лет назад

    Naupenda wimbo huu jaman achen tuu hongera msam

  • @tembomnyamaOG
    @tembomnyamaOG 6 лет назад +3

    Bonge Moja Ya Ngoma Hii..... big Up
    👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nancykimolo2532
    @nancykimolo2532 6 лет назад +2

    Nauliza vp kwani😍

  • @aishaabdj8913
    @aishaabdj8913 6 лет назад +1

    msami nakupenda bure kama ujaowa mmi nipo

  • @veronicahkangalawe4305
    @veronicahkangalawe4305 6 лет назад +5

    kazi nzuri msami #vipi kwani ngoma kaliiiiii fireeeeee

  • @ridhwanrashid6473
    @ridhwanrashid6473 Год назад

    Jamaa Ana kipaji cha kucheza, sio kipaji tu Bali ni kipaji Cha kipekee.

  • @hatibumbelwa5728
    @hatibumbelwa5728 6 лет назад

    daaah mwana msami upo juu sana kwa kucheza

  • @deomedia8492
    @deomedia8492 6 лет назад

    Wow gud sana msam boi kbal sana

  • @ngagidaudi4548
    @ngagidaudi4548 Год назад

    Mpaka leo bado naipenda sana hii ngoma❤❤❤❤

  • @teahalim3834
    @teahalim3834 6 лет назад

    naulizavipi kwani .....umeua brooo😍😍😍😍🤘🤘🤘

  • @safarijohnson5169
    @safarijohnson5169 6 лет назад

    Kwako daah! Nishazima taaaaaaaaaa

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 лет назад

    Msam napenda mnavyocheza. Kwa hivyo naomba goma zako uwe unanifowadia.

  • @wanujuma3641
    @wanujuma3641 6 лет назад +1

    hongera kwako msamu

  • @divajoseph2941
    @divajoseph2941 6 лет назад

    Wooah nyimbo tamu hii kucheza

  • @olepalingotz4651
    @olepalingotz4651 6 лет назад +1

    Fndi unatibu wewe ni noooma sana

  • @failunaabdalah942
    @failunaabdalah942 3 года назад

    Uko vizur San hakuna wakukufikia💪

  • @MberwaJr
    @MberwaJr 6 лет назад +12

    Tisha sana @msamibaby

  • @tephiederby7514
    @tephiederby7514 6 лет назад

    bonge 1 la video.. gud dancer

  • @malikisayuki4731
    @malikisayuki4731 5 лет назад

    jamn naipenda yaaan Stylegan

  • @zaynabrichard5397
    @zaynabrichard5397 6 лет назад

    Wauwe mzee baba wewe ni noma toka enzi yani...

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 6 лет назад +15

    Huu ndio wakati mzuri wakucheza na msami baby

  • @mutondomuzabibu4522
    @mutondomuzabibu4522 2 года назад

    Courage vraiment kwa kazi unayo ifanya unajuwa

  • @aishaayoub6865
    @aishaayoub6865 6 лет назад

    Na kukubali sana ....msami

  • @totoshilloobota4061
    @totoshilloobota4061 6 лет назад

    uko vizuri kaka wewe noma sana mungu akulinde azdi kukupa mauwezo tofautitofaut yaan wakuache ww ni shidaaaa!!

  • @pasuabrand
    @pasuabrand 6 лет назад +1

    Hii ngoma Kali Sana kwa tunao jua kucheze ndio balaa sasa hayo magwaragwara #vpkwani🔥🔥🔥🔥🔥

  • @selinaemanuelnyemela6182
    @selinaemanuelnyemela6182 6 лет назад +1

    Tamuuuuu baraaaaa

  • @JoyceAlly-rq1zy
    @JoyceAlly-rq1zy Год назад

    Bravo sana mwamba msami 😘💖

  • @imajrtesha6859
    @imajrtesha6859 6 лет назад

    vipi kwani ni zaidi ya ngoma big up msami

  • @shakirawakenya5242
    @shakirawakenya5242 6 лет назад +1

    Nice one bby😍😍😍😍

  • @liliannodi7098
    @liliannodi7098 6 лет назад +1

    noma sana hii ngoma iko makini kuliko ambazo alishawahi kuimba maishan mwake na producer wa audio ni nom,a sana

  • @sweetbutsama5313
    @sweetbutsama5313 6 лет назад +13

    kama kawa ujawah kukoxea fundi wangu...endelea kuwapa show ngangari

  • @avelinaamos1468
    @avelinaamos1468 6 лет назад

    Nicpo angalia hii nyimbo kila cku bac cku hiyo nitaumwa!!!!! I like you

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 4 года назад

    Uko vzr Sana kijana wimbo mpaka staily

  • @focustz4408
    @focustz4408 6 лет назад +1

    Uko good sana mkali wangu

  • @sidesaid8589
    @sidesaid8589 6 лет назад

    Msami vp kwani!!
    Nimependa sana hii

  • @gezladayan771
    @gezladayan771 3 месяца назад +1

    6 yrs we are here again 😊

  • @jeffymirrow66
    @jeffymirrow66 5 лет назад

    Mzee baba msam nakubal aminia kwamba

  • @halimawaziri7677
    @halimawaziri7677 6 лет назад +1

    wozaaaaa😍😍😍

  • @winfridashango6481
    @winfridashango6481 6 лет назад

    Good msami namkubaliii kinomaa

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 6 лет назад

    nauliza vepe kwani niwape show hahaha atareee sanaaa msami we sijakupatia mwenzako upo pekeyako mkali wa style

  • @emmagasper2074
    @emmagasper2074 6 лет назад

    Msami nakukubali upo vzr sana

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 лет назад

    Nani mwengine anae mkubal msami?? Gonga 👍

  • @bradazyubizzo2080
    @bradazyubizzo2080 6 лет назад +51

    Kazi nzuri anaye kubaliana na mm gonga like twende xawa

  • @zarsharmillz9166
    @zarsharmillz9166 6 лет назад

    unajua mpka kero 😍😍😍

  • @marthajulius3326
    @marthajulius3326 6 лет назад +1

    love you sana

  • @samwelpaul6825
    @samwelpaul6825 6 лет назад

    Aisee msami umetisha Sana

  • @irenemboya9210
    @irenemboya9210 6 лет назад +5

    Msami anajua kuvunja jamani

  • @faudhiakassim9606
    @faudhiakassim9606 6 лет назад

    Msami iko poa ndio maana nasema ww n fire.... Ila acha kunenepa

  • @jasycathe7113
    @jasycathe7113 6 лет назад

    Msami kaombe uwe dancer WCB maisha safi

  • @shamsheryaj18
    @shamsheryaj18 6 лет назад +15

    Iko p
    Maaana inachezeka popote pale
    Nauliza vip kwaaani

  • @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 6 лет назад +23

    Kali zaidi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @glorymbaga7714
    @glorymbaga7714 6 лет назад

    Badilika Msami izo styleza nyimbo zako tushazoea sana

  • @starboy-mf5ez
    @starboy-mf5ez 6 лет назад +13

    Umetisha msami 🔥🔥🔥🔥

    • @jumasaid5577
      @jumasaid5577 6 лет назад

      yaaaah nimekukubali👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @charlesmunyoki5559
    @charlesmunyoki5559 5 лет назад

    Noma Sana Msami hapo

  • @bedsonjohn2051
    @bedsonjohn2051 6 лет назад +4

    Hatari sana

  • @edithemma7354
    @edithemma7354 6 лет назад

    uko matawi kinomaaaaaaaaa

  • @mishozinyama3750
    @mishozinyama3750 4 года назад +2

    100% .I can't stop dancing this song.love from Namibia

  • @neemanjau1224
    @neemanjau1224 6 лет назад

    Viiipiiiii kwani

  • @mabadilikochanya
    @mabadilikochanya 6 лет назад +1

    #MSAMI Hatarii__Zishuhudie Sumu Zake Ifikapo Siku Ya Kesho atakuwepo Live Ndani Ya WORLDWIDE ONLINE TV Fanya Kugusa Link Hii Kisha USUBSCRIBE Iliuwe wakwanza Kumpata LIVE. ruclips.net/channel/UCAzeGNBy9Zctx4I1NdGJEWQ?view_as=subscriber

  • @adrianhilary1241
    @adrianhilary1241 6 лет назад

    Boonge moja la ngoma,,,am your number 1 fan!

  • @joeljoseph9070
    @joeljoseph9070 6 лет назад +1

    Nyimbo kali nakukubali sana msamiii

  • @halmaally2854
    @halmaally2854 6 лет назад

    Mungu akuzidixhie kipaji,,

  • @famally7138
    @famally7138 6 лет назад +88

    hii nyimbo ya kukuamshia kula daku cku ya wali kuku alafu ukute jamaa washaanza kulaa... unawaulizaa vip kwani!!?

  • @wasafitv2423
    @wasafitv2423 6 лет назад

    tisha sana mzee baba

  • @daudimtui8056
    @daudimtui8056 5 лет назад

    Unajua had unakera big up brother

  • @abdallahdullah9876
    @abdallahdullah9876 6 лет назад

    Fundi uyo bravo msami

  • @jengamzugaofficial6289
    @jengamzugaofficial6289 6 лет назад

    Musami pongezi kwako its Good than all

  • @hajihassani7700
    @hajihassani7700 6 лет назад

    mi sichoki kuyangalia hii ngoma Kali sana

  • @andjelanijenny9910
    @andjelanijenny9910 6 лет назад

    msami we noma

  • @carolineenock5663
    @carolineenock5663 6 лет назад

    penda San msami daaa sio kwa nyimbo hii tam paka rah

  • @Jazira37
    @Jazira37 6 лет назад +11

    Umetisha sana kaka msami nakukubali miaka 10000

  • @odaxjohn2200
    @odaxjohn2200 6 лет назад

    Noma sana msami

  • @adamsamsoni3066
    @adamsamsoni3066 3 года назад

    Fireeeeeeeeeee

  • @jano254jayc4
    @jano254jayc4 6 лет назад +2

    Nice Msami I like it

  • @millianochlorex3237
    @millianochlorex3237 6 лет назад +46

    Ninavyo dance kama vile nimerogwaaaa olaaaa kama unamkubaliioo msamiii acha like

  • @alexkush9385
    @alexkush9385 6 лет назад +3

    Sio kwa goma hili n hit song

  • @Babayaga_47
    @Babayaga_47 6 лет назад +2

    Untouchable dancer

  • @Real_meddson
    @Real_meddson 6 лет назад

    Kali song😀😀😀👍👍👍

  • @gemajoseph2430
    @gemajoseph2430 6 лет назад +1

    ukoseagi🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hdbernard841
    @hdbernard841 6 лет назад

    Nimeielewa hiyo Vipi KWani @ Gwara gwara Style

  • @kattypiere2269
    @kattypiere2269 6 лет назад +3

    Am seriously in love with the dance and the song.....it's lit🔥

  • @reginaobasco7933
    @reginaobasco7933 3 года назад

    Wewe nimoto🔥🔥🔥 waunguze 😅😅😅

  • @mariamchomwanja4323
    @mariamchomwanja4323 6 лет назад +1

    nakupenda bule msami bby

  • @lilianmichael5568
    @lilianmichael5568 6 лет назад +4

    Nzuri