𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Malkia Leyla Rashid Sina Muda Huo (Official Video) produced by Mzee Yusuph

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 576

  • @IddAliboss
    @IddAliboss Месяц назад +33

    Tunaobiskiza hiii Ngoma 2025 gonga like ❤

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 Месяц назад +15

    Asante taarab, karibu 2025

  • @Adinaci
    @Adinaci 3 месяца назад +26

    2024 mwez wa 11 tupo hapa ,ihi ngoma imepgwa vinanda hatari kweny mauji hapo duhhhhh❤❤❤

  • @OswardSimeo
    @OswardSimeo Год назад +125

    Wapi sasa 2024 twende pamoja❤❤❤❤❤

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 26 дней назад +17

    Tunao tazana wimbo huu mwaka hu 2025 like hapa

  • @SamLaizer-e5l
    @SamLaizer-e5l 28 дней назад +15

    wapi sasa 2025 twende pomoja weka mbali na watoto 😂

  • @DoktaFredy
    @DoktaFredy 11 месяцев назад +50

    😂saa tatu za usiku mwaka huu 2024 bado goma kali🎉😅❤

  • @jumamoshi6173
    @jumamoshi6173 7 месяцев назад +26

    Da mama yangu kama namuona vile ya Alla nakuomba mama yangu umlaze mahala pema peponi

  • @zachariandama8447
    @zachariandama8447 Год назад +23

    Waliolud 2024 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @user-si7dd1qh7x
    @user-si7dd1qh7x Год назад +9

    Pianist ni hatariiiiiiii

  • @HannahAddah
    @HannahAddah 3 месяца назад +8

    Wapi wenzangu wa 2024

  • @julianeokech
    @julianeokech Год назад +20

    Nawakilisha 2024 sitaki kuchelewa

  • @AlhajiLemu
    @AlhajiLemu Год назад +61

    Tuliosikiliza 2024 tujuane

  • @RashidiZiyadi
    @RashidiZiyadi 3 месяца назад +9

    Wambie🎉🎉🎉❤

  • @DenisOtieno2002
    @DenisOtieno2002 Год назад +19

    Ujumbe safi kwa miajirani wadaku👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @stevensamba1040
    @stevensamba1040 4 месяца назад +7

    Tulip sikiliza 2024 tujuwane

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 Месяц назад +15

    tunakaribia kuingia 2025 tujuane hapa!

  • @moudymorasejr1021
    @moudymorasejr1021 Год назад +17

    2024 niko hapa.. ❤

  • @Amidaqueen-p9l
    @Amidaqueen-p9l 3 месяца назад +9

    Tulio kutana apa 2024/ 11 tujuane kwa like ❤❤

  • @abdulikadirnarrel2751
    @abdulikadirnarrel2751 Месяц назад +3

    Tujuane mm naskiliz nikiwa zanzibar ❤❤

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 10 месяцев назад +110

    Who is here 2024 majirani nawafungulia iyo wamezidi vibarazani kusengenya😂😂😂😂😂

  • @radhiamtindi7809
    @radhiamtindi7809 3 месяца назад +32

    kama huna mda huo 💯 weka like 👍👍👍

  • @jaysmart3277
    @jaysmart3277 6 месяцев назад +19

    Mziki bila jasho,kama uko leo siku ya Zakayo kufuta CS wake gonga like tukisonga kama GEN Z

  • @brigithawilliam3133
    @brigithawilliam3133 10 месяцев назад +4

    Nakukubali sana dada

  • @OmarNuri-w7v
    @OmarNuri-w7v Месяц назад +3

    Sina mda huo ya kukimbiza na walimwengu,the little time i have is for my hustle to find my daily life, congratulations guys for good msg

  • @mohagyaruben8639
    @mohagyaruben8639 Год назад +8

    Inatukumbusha mbali enzi hizo za utoto vigodoro wengine hatukosi!!!

  • @ZaitunMohamed-w2o
    @ZaitunMohamed-w2o 5 месяцев назад +12

    Tunao skiliza mwez wa 9,2024 tujuane

  • @hamisaLbsi
    @hamisaLbsi 11 месяцев назад +5

    Nna meng yakufanya sio kukudiskas ww tafadhal nakukanya mie sina taim na wee weweeeeee cheze weee kitu kiko sw ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 11 месяцев назад

      Mzee Yusuf uko vzr kwa kinanda umetisha

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 11 месяцев назад

      ww hana bwana chakukushughulisha mdomk t hawakuwez

  • @hadijakadzo15
    @hadijakadzo15 2 года назад +10

    Kama kuna taraabu napenda hii ndio no one ireal like this song

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 года назад +62

    Sina muda huo sina wa kukaa vibarazani kumdiskasi mtu 💃💃💃usinipikie majungu mie si mke mwenzio heheheyaaaa 🤣🤣😂😂 heheheyaaaa na utabaki kuwa malkia kwa miaka isiyo hesabika wapiiii 🔥🔥🔥 wapiiii malkiaaaa!

  • @lavanpriscilla3677
    @lavanpriscilla3677 3 года назад +20

    Bonge la ujumbe hapo dada,,nakuombea maisha marefu dada,,

  • @rajabramadhan5447
    @rajabramadhan5447 2 года назад +17

    Mim 2023 ndio taarabu yang bora hii🔥🔥

  • @medardkarenzi7959
    @medardkarenzi7959 2 года назад +7

    Huo mzuri kabisa,,, sina muda huo wa kutopenda taarab

  • @KalimTamake
    @KalimTamake 11 месяцев назад +3

    I love taarab music big up Uganda

  • @JuliethJafary
    @JuliethJafary 10 месяцев назад +3

    Unajuwa❤❤❤❤

  • @azizairakoze1230
    @azizairakoze1230 2 года назад +6

    Kweli kakiba tumuombe maulana atungulieye njiya tu

  • @KhamisSaid-dm8vy
    @KhamisSaid-dm8vy 11 месяцев назад +4

    Hatar sana huo wimbo

  • @jamiriambomokriambi3372
    @jamiriambomokriambi3372 Месяц назад +1

    Ile ya citizen TV ya tafakari ya babu inaitwaje❤

  • @gabrieldamiaolaisse708
    @gabrieldamiaolaisse708 Год назад +8

    Nimeipenda sana❤

  • @OmmyMikina-r3s
    @OmmyMikina-r3s Месяц назад +2

    Weeeeeeeeee❤❤

  • @dorothyambunya4349
    @dorothyambunya4349 Месяц назад +1

    Wow Iko sawa

  • @angelvictory6169
    @angelvictory6169 Год назад +10

    Aliechambwa na hii ICU mara moja woiiii❤😂😂😊

  • @STANLEYOMUYA
    @STANLEYOMUYA Год назад +7

    Sina muda NA mtu

  • @edsonbrighton6393
    @edsonbrighton6393 10 месяцев назад +1

    Dah bi leyla hapa umenikosha dada yangu ngoma hii haishi utamu siku zote,barikiwa sana dada yetu

  • @CallenOnduku
    @CallenOnduku 8 месяцев назад +3

    Taraab moto sana. naipenda sana.💃💃💃💃🔥🔥🔥

  • @PwezaNgisi
    @PwezaNgisi 4 месяца назад +1

    Sawa tunajuwana

  • @caterdavid4572
    @caterdavid4572 2 года назад +7

    Tamu sana raaaahaa tupu

  • @AngelMaro-sh4ub
    @AngelMaro-sh4ub 16 дней назад +2

    2025 tulio sikiliza hii nyimbo January

  • @josephinemuyoma7838
    @josephinemuyoma7838 4 месяца назад +1

    Nampenda sana mum , unaweza kujaribu sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sikujuamatuma7891
    @sikujuamatuma7891 3 года назад +15

    Uongo tuczulianee vibaya ucniseme ukanitilia nuksi😋😋😋huu wimbo haunichosh miaka nenda rud nakupenda dada Leila Allah akujaalie umri mref kipnz

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 года назад

      💃💃 maneno kuntu👌🏻👌🏻👌🏻

    • @fatumamahoiga3978
      @fatumamahoiga3978 Год назад

      Muda Wakuchezea hakuna

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 11 месяцев назад

      Kbs Yan maneno yako sw

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 года назад +25

    Leyla Rashid, nakupenda bure bilashi na kila siku najistarehesha na kujifariji na muziki wako. Mungu akubariki zaidi. Pokea salamu zangu za dhati kutoka papa hapa jijini New York Marekani. Karibu jimbo la Bungoma utuburudishe na muziki wako murwa.

  • @jackymwende2588
    @jackymwende2588 2 года назад +7

    Naupenda sana uu wimbo kwanza pale kwa mzee yusufu nipapasie kinanda,pongezi sana leyla

  • @kateranyahussein5385
    @kateranyahussein5385 Год назад +1

    Asante Kwa wimbo huu murua kabisa na HAUtAKUJA kuchuja daima

  • @issa263
    @issa263 2 года назад +3

    Wapi shagwe ya malkia lelya rashidi oyaa

  • @KarimuMohamed-w9p
    @KarimuMohamed-w9p Месяц назад +1

    Jamaaaaniiii kiuno changu

  • @SharifaIsmail-w1y
    @SharifaIsmail-w1y 2 месяца назад +3

    Asante.kwanyimbozako.dada

  • @philipgikemi4515
    @philipgikemi4515 10 месяцев назад +1

    Wimbo POA,kama mchuzi was pweza

  • @JafariNahimba
    @JafariNahimba Год назад +1

    Pamoja na ubishi wao kwa wimbohuu

  • @BahatiMohammed-q1n
    @BahatiMohammed-q1n Год назад +1

    Bana weee nyimbo zingne haziiishii hamu

  • @maalimrajabu8942
    @maalimrajabu8942 Год назад +9

    Ilove you leyla rashidi natizama hii nyimbo 2023

  • @hadijasaidi331
    @hadijasaidi331 2 года назад +7

    Dada penda sana wewe💞💞💞ujumbe mzuri sana una mafundisho,piga kazi mami,💪💪👌👌👌👌🎶🎶🎶🎵💯🥰

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 2 года назад

    Leyla Rashid hupo kwa kiwango Cha kipekee. Kuangazia wasi wasi yalipo. Chukua uhondo!!!. Dr. Ogeto International

  • @dhairtiothuman
    @dhairtiothuman 21 день назад

    Nampenda Leila bc naomba tuimbe wote atafurahi

  • @girishonrwabona136
    @girishonrwabona136 2 года назад +3

    good work malkia Leyla mungu hazidi kuwa pamoja nae naenjoy xana ninapo sikiliza nyimbo zako

  • @bonfaceaminga1777
    @bonfaceaminga1777 Год назад +1

    Siiina mda huo.....siiina.

  • @pastoryPatrice
    @pastoryPatrice Год назад +3

    2012_2013 chuo Cha maendeleo ya wananchi musoma (F,D,C)acha kabisa

  • @MwanafedhaHamad
    @MwanafedhaHamad 11 месяцев назад +1

    Umeweza dad 2024

  • @EmilianKomba-sb4kn
    @EmilianKomba-sb4kn 10 месяцев назад +5

    Mweziii 4 jaman mko wap 2024

  • @anethcharles5443
    @anethcharles5443 9 месяцев назад +1

    Hii nyimbo itadumu moyon mwangu daima the best TAARAB kwang Mungu akuweke zaid malikia Leyla ❤❤

  • @nahashonkenomumia6431
    @nahashonkenomumia6431 2 года назад +2

    Hapajotekea bendi kamilifu zaidi ya hii. Sijaona mtunzi na mwimbaji zaidi ya mzee Yusuf. Kisha Leyla yupo league kivyake.
    Pande la burudani.

  • @eunicekimweli8944
    @eunicekimweli8944 2 года назад +11

    kazi nzuri b blessed a lot

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji 4 месяца назад +4

    Tuko pamoja2024🥰🔥

  • @carolkana3074
    @carolkana3074 Месяц назад +4

    Leo dec 23 tulio skiza gonga like ukipita❤❤❤

  • @rehemayombe4342
    @rehemayombe4342 Год назад +1

    Waoooooooo wimbo huu nikiboko jamani

  • @yahayashomari
    @yahayashomari Год назад

    Nyimb0 za mzee yusufu zina ujumbe napenda kuzisikiliza

  • @EgenaJames-x2l
    @EgenaJames-x2l 9 месяцев назад

    Ukosawa nampenda leila anajua kuimbaa

  • @AnnieChikasa
    @AnnieChikasa 2 дня назад

    Me leo nimeamka na huu mzuka

  • @zainabsuleiman5920
    @zainabsuleiman5920 2 года назад +8

    Sina mdaa huo vyovyote mtakavoniita na kuniongela sitojibu kitu

  • @EliaJoseph-w2l
    @EliaJoseph-w2l Год назад

    taarab staarabu kweli Jmn Mungu akupatie riziki yako ❤❤❤🎉😊

  • @catherincharles345
    @catherincharles345 Год назад

    Mtu mwwnyemziki wake bana hana ata alaka yaani mwenyewe anaenjoy

  • @christinasinderema3005
    @christinasinderema3005 Год назад +2

    Kit pambeee❤🎉

  • @sylivanusbernard3325
    @sylivanusbernard3325 10 месяцев назад

    Mzeee yusuphu rudi kwenye game aisee maana siku hizi hakuna taaarabu Bali Kuna twaarabuu,Hapa ulikung'uta kinanda mpaka basi

  • @mwajumamchana5121
    @mwajumamchana5121 2 года назад +2

    Leila nakupenda nikisikka mipasho yako nafarijika sana, allah akulindie kaz yako.

  • @SharifaZahabu
    @SharifaZahabu 9 месяцев назад +2

    Hy nikwawale wacy kuwa nakz zakufany kz kusengenyat ndy wameendekez nip talatibuuuu nazungush kichwaaaaa nawimb mtamuuuuuuuuuuuuuu😅

  • @HildaCostantine-e8q
    @HildaCostantine-e8q 3 месяца назад

    Uko vizuri sana .Wapashe wajijue

  • @simonkibiru4624
    @simonkibiru4624 11 месяцев назад +1

    My favourite taarab artiste

  • @katerega-f2f
    @katerega-f2f Год назад +1

    nange ndi muganda naye luno oluyimba lunyuma baba

  • @paulineanyango8477
    @paulineanyango8477 2 года назад +6

    Tarabu tamu sana❤️❤️

  • @W_Konk_Tm
    @W_Konk_Tm Год назад +1

    W Konk TM HAPA nimesikiliza 2023 mpaka na milele hili song la mwana Dada wetu huyu

  • @AshaMohamed-s8f
    @AshaMohamed-s8f Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 года назад +11

    Weeee malkia weeee 🔥 sanaaaa nakuombea mungu akujaalie uhai na afya nzuri katika dunia nakutakia kila la kheri I love you so much every day 💘💞💞💞 weeee my love weee 💯💯💯

  • @arafathamis5636
    @arafathamis5636 2 года назад +23

    Ni 2022 lakni bdo npo hapa😊 am in love with this, Leyla Rashid🤗🥳 much love

    • @wachekekimanihannah7361
      @wachekekimanihannah7361 2 года назад +1

      Tupo site.... ❤ 😍 💖 ❣ 💕 inafika hadi kwenye kidole cha mwisho cha mguu....duh

  • @shufaamborio8360
    @shufaamborio8360 4 месяца назад

    Ubaya tusitaftane ilikuwa ni 🔥🔥🔥❤❤

  • @عايشهتنزانيا-ح6ح
    @عايشهتنزانيا-ح6ح 3 месяца назад

    Iko vizuri Sana radiation gem sasa

  • @shebbynzengula6993
    @shebbynzengula6993 5 месяцев назад +1

    7:25 Hapo tu ❤

  • @EliaJoseph-w2l
    @EliaJoseph-w2l Год назад

    kweli taarab tamu endeleeni kutupambania Jamn ❤❤❤❤❤

  • @Catherinenjeri57
    @Catherinenjeri57 7 месяцев назад

    Yangu nikukuombea Dua, mwenyezi mungu akurinde na akupee nguvu mob za kuzindi kukutolea tarabu mob zaidi

  • @RakibOtini
    @RakibOtini Год назад +1

    Haha sina muda wakusema mtu ...... So lit ❤

  • @mwanaherimo9462
    @mwanaherimo9462 2 года назад +2

    Unajuaaa mama

  • @immaculatejohn9906
    @immaculatejohn9906 3 года назад +9

    Sababu kubwa yakuja humu nasikilizisha jirani mmojA