Penzi langu limekufa ni miaka3 sasalakini bado tunaishi,Asante Sana nimejifunza mengi mazuri toka kwako lakini hii siwezi kuifanyia kazi Tena penzi langu na mwenzangu limeoza,nikimgusa nitatapika,
Dr asante sana nanifuatiliya Sana mafundisho yako sababu nimuadhirika sasa ndio niamsha hilo penzi lililokufa na mweza wako hayo mambo yatakaofanya yafufuwe pez leo hayuko tayari nayo unafanya nini
Ahsante kwa mafundisho mazuri Lakin kwa upande wangu nimejarib hayo yote lakin sijapata matunda mazuri maana hata ushirikiano tu hakuna sasa sijui nijifanyie mwenyewe hayo mambo yote
Somo zuri Sana lakni Kama mm mpenzi wangu hapendi kuchat hata kidogo anasema mesg zinapunguza upendo japo mm napenda Sana kuchat nae naumia Sana kiukwel, naomba ushauri wako Dr,mwanaume wa hivi upendo wake na upi hasa
Mim kabisa kwa wakatii huu hadi nilishika mimba nikatoa mungu nisamehe tyu wanume kawa moto kila nikigusa naumia nikiona kitu kizur nataman kumtumia ila mamb anayo nifanyia nimechoka iwish niondoke😞😔😔🥺
Dah, mie mpenzi wangu ingawa bado sijamuoa ila kila siku anasema network ina shida, na sahi tayari amenisusia kisa nimemwambia aache kujichibua, naombeni ushauri
@@sturbbornvideoz8547 ana bahati huyoo,kama anajichubua atazaaje sasa?uzuri mmoja kwa Mungu utakuwa huna deni,anajichubua anaambiwa acha anasusa,mwanaume mwingine ni ngumu kumwambia hongera kwa kuwa muwazi
Dr. Mi mpenzi wangu yuwanpa majarbu sana visa baada ya kisa Kuna makosa yuwa yakubal na mengine yuwakataa ata kama nina kitibitisho nikijarbu kumuongelesha ana ni bembeleza na naridhiana nae baada yap week amezua jengine na siye bail bt tuko long distance relationship for 2yrs, je yuwa n penda kwel
Dah me naona hapa mnaongelea watu waliooana, mbinu ya Kwanza nimefeli, ya pili nimefeli ya tatu pia nimefeli, make sms, calls zenyewe hajibu, hata ubembeleze vipi, majibu yake ni, Aya, p, k, na akijisikia sana kuchat ni haya bhana, unasema kumkumbatia naishi naye karibu lkn utafikiri tunaishi mikoa tofauti , namkunbatia wapi, saa ngap na kivipi yaan, nikisema tu niseme tuonane hapo ndo nakuwa kama nimejiblock mwenyewe,make sms hazitajibiwa tena wiki nzima, yaan me nahisi niliumbwaga tu peke yangu bila ubavu wa pili, hata sielewi nifanyaje
Maskini! Pole, Mapenzi mengi ndivyo yalivyo rafiki yangu. Ila jitahidi kuchunguza kama kweli ana kupenda ila angalia usitake kwake majibu mara nyingi wanawake huchukia kuulizwa maswali ya justification kama wanapenda au la
Mim nilifanya hivyo na akajirudi kiasi na akaniomba tukayamalize kwao ajabu nafika mbele ya wazazi wake katamka kua hanitaki wala hanioi analea mtot tu
@@elizabethdanda9967 mh kwel Ila inanivunja moyo sana maana no mdada ambaye ndo nilipanga kumuoa mwaka huu Ila maauzi yametolewa saa nane mchana ya Leo adi sasa ametuma adi simu nilikuwa nimempa amelejesha
Dr. Nisaidie nataman kwel ushaur wako ila niko mbal. Ungetupa hata mawasiliano yako japo utusaidie ushaur coz wengin ndoa ziko ICU. Tumejaribu tumeshidwa. Wengine wrkifanyiwa hayo ndo kwanz wanakuona wa zaman. Uanaambiwa unayeiga mambo ya kweny tamthilia
Hongera sn Dk.Chris Mauki..hakika umeongea Ukwl kbs naamini kwa Wale wote wenye Matatizo katika Mahusiano yao hakika yatarudi na kuongezeka Zaidi
Penzi langu limekufa ni miaka3 sasalakini bado tunaishi,Asante Sana nimejifunza mengi mazuri toka kwako lakini hii siwezi kuifanyia kazi Tena penzi langu na mwenzangu limeoza,nikimgusa nitatapika,
🤣🤣
umetishaa 😂😂😂😂
Asante hata mimi langu limeoza
🤣🤣🤣😅🙈
Ushaanena bayana,tutazingatia yote kudumisha ndoa zetu,zidi kubarikiwa
Asante Dr mauki kwa somo nitatumia njia hizo
Asantee kwa mafundisho mazur
MUNGU akutunze Dr
Barikiwa Sana mtumish kwa somo zuri
May God Bless your work Dr Mauki.
Ubarikiwe sana Dr Chris,
Dr asante sana nanifuatiliya Sana mafundisho yako sababu nimuadhirika sasa ndio niamsha hilo penzi lililokufa na mweza wako hayo mambo yatakaofanya yafufuwe pez leo hayuko tayari nayo unafanya nini
❤❤❤❤❤❤❤❤. Thanks my father
Shukran kwa somo zuri
😂Bahubiri tosha kabisa hayo, wenye masikio wamesikia teyari. Be blessed man.
Aaaaaaaah uhakika maisha haya kila kitu kinahitaji kufanya mabadiliko
Barikiwa
Ahsante kwa mafundisho mazuri
Lakin kwa upande wangu nimejarib hayo yote lakin sijapata matunda mazuri maana hata ushirikiano tu hakuna sasa sijui nijifanyie mwenyewe hayo mambo yote
Upo kama mimi
Dr Chris's hii nimepata jana TU lakn Leo mambo yameanza kuonekana😍🔥
👏👏👏😂😂😂😂
Somo zuri Sana lakni Kama mm mpenzi wangu hapendi kuchat hata kidogo anasema mesg zinapunguza upendo japo mm napenda Sana kuchat nae naumia Sana kiukwel, naomba ushauri wako Dr,mwanaume wa hivi upendo wake na upi hasa
Yaan we nimimi😢
kama anakupigiaga kila wakati sawa ila kama hakupigii mpenzi mkaushie hata week alfu uangalie upepo😊 na kama hajakutafuta move on
Wenginetupo mbalimbali lakiliunajitshid kutumcmc hajib naunamuon online kutwanzimaa tena inafikht cku4 hakuchek nifanyajee
Mim kabisa kwa wakatii huu hadi nilishika mimba nikatoa mungu nisamehe tyu wanume kawa moto kila nikigusa naumia nikiona kitu kizur nataman kumtumia ila mamb anayo nifanyia nimechoka iwish niondoke😞😔😔🥺
😀😀😀Napenda kukusikiza Unafunza na kufurahisha na kukemea
Watu wapo Doro kweli waamshe watie hamasa wataelewa tu vijana👌🏾
Thank so much
Mko wapi msiopendwa Kama Mimi mliotengwa Kama Mimi tuww na chama?uenda tukaliwazana ,Ila chrismauki unatusaidia Sana ,Asante,
Jmn wewe wa jina yangu yote mawili mpaka kisa tunafanana😭😭
mimi na ww ndio tunapendana
H,Mimi hapa,
Eti watu tusiopendwa very funny you made my day
Mambo vipi nimekumis rafiki yangu uko salama😅
Nimefeli katika vyote
Yaani umenichekesha Sana,umefeli yote?
Vzr mnoo swal langu n Naweza je kupata vitabu vyako ulivyoandika
Dah, mie mpenzi wangu ingawa bado sijamuoa ila kila siku anasema network ina shida, na sahi tayari amenisusia kisa nimemwambia aache kujichibua, naombeni ushauri
Duh aise
@@epifaniamzumbwe5159 mbona
Inaumiza Sana
@@epifaniamzumbwe5159 yea ndio ivo ila majuto ni mjukuu ipo siku atajuta wakat nikimove on
@@sturbbornvideoz8547 ana bahati huyoo,kama anajichubua atazaaje sasa?uzuri mmoja kwa Mungu utakuwa huna deni,anajichubua anaambiwa acha anasusa,mwanaume mwingine ni ngumu kumwambia hongera kwa kuwa muwazi
Asante tunaomba Englishsubttile
Wazi brother
Chriss mauki asante ila kuna watu wagumu bab mbinu zote zinagonga mwamba😂😂
Asa me wakwangu yupo mbali lkn anakiburi na apo mwanzo alikuwa ananipenda ila now ayupo kbs naomba unisaidie ili aweze kulejea jmn dah!! So sad 😢
Dr. Mi mpenzi wangu yuwanpa majarbu sana visa baada ya kisa Kuna makosa yuwa yakubal na mengine yuwakataa ata kama nina kitibitisho nikijarbu kumuongelesha ana ni bembeleza na naridhiana nae baada yap week amezua jengine na siye bail bt tuko long distance relationship for 2yrs, je yuwa n penda kwel
😂😂😂😂 Wana chatting kuhusu nn Dr. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Nime ipendaa iyoo kalii sn
Kuhus gas, fridge,gar
Ttz hawajali wanaona kama unajipendekeza jmn😥
Somo bora sana 👌👌
Mimi zote nazitumia na zinafanya kazi na mwenzangu ananionesha ushirikiano yani hatuwez kukosana na tukiwa mbali tutachart au kuongea na sim
Ohoooooo!!!!😔😔😔
Bora bhs angekuwa anajali woiiiii😥
Barikiwaaaa sana sana dr criss
Je akikublock unafanyaje
Wale wanaume sura ya mbuzi muda wote ukituma.mesage haijibiwi tuwafanyeje?
Dok mimi naijitahidi kufanya hv mwenzangu hajali kumbe anamwanamke mwingine hapo nifanye nini jamani natuna watto wa3 nass bado vijana nifanyeje😭😭
Tunda awo watoto mama,finally uzeeni.mje kumkomesha
Uwii ni kweli knosa❤🎉🎉🎉@@priscerjohn5788
Dah me naona hapa mnaongelea watu waliooana, mbinu ya Kwanza nimefeli, ya pili nimefeli ya tatu pia nimefeli, make sms, calls zenyewe hajibu, hata ubembeleze vipi, majibu yake ni, Aya, p, k, na akijisikia sana kuchat ni haya bhana, unasema kumkumbatia naishi naye karibu lkn utafikiri tunaishi mikoa tofauti , namkunbatia wapi, saa ngap na kivipi yaan, nikisema tu niseme tuonane hapo ndo nakuwa kama nimejiblock mwenyewe,make sms hazitajibiwa tena wiki nzima, yaan me nahisi niliumbwaga tu peke yangu bila ubavu wa pili, hata sielewi nifanyaje
Wewe ndo Mimi kabisa yaan
Daaah tuzidishe MAOMBI kwa hili ili Mungu awatendee
Maskini! Pole, Mapenzi mengi ndivyo yalivyo rafiki yangu. Ila jitahidi kuchunguza kama kweli ana kupenda ila angalia usitake kwake majibu mara nyingi wanawake huchukia kuulizwa maswali ya justification kama wanapenda au la
@@tawalazephuline4950 Asante, barikiwa sana
@@dvjkelly8449 ahsante pia
Balikiwa jpo nipo kwa mahusiano ila nimepokea
Je kama yupo mbali
jamani mimi namt wangu ila tulizinguana kidogo akaenda kufanya mapenz na mtu mwingine kisa hasira hivi uyu kweli anaupendo na mimi
Hamna Hana kama angekuwa anakuoenda asingeeenda kulala na mwingine kisa hasira achana nae atakupotezea tume yako dear 🎉🎉🎉
Yaani Dr umepita kule kule jamaniii
ilove you hili somo
Mim nilifanya hivyo na akajirudi kiasi na akaniomba tukayamalize kwao ajabu nafika mbele ya wazazi wake katamka kua hanitaki wala hanioi analea mtot tu
😢😢😢😢
Laughed at,, penzi lilianza moto moto
Kaka mm nimekuwa kwenye mahusiano Ila huwa halidumu Kwan adi sasa nimeacha kwa kizingizio kuwa nna mtoto kwa mwanamke mwengne wakat Sina
Pole saan wkat wa mung utafik utapt mtu sahh kwako ...kua na Iman
Wote tunapitia hayo
@@elizabethdanda9967 mh kwel Ila inanivunja moyo sana maana no mdada ambaye ndo nilipanga kumuoa mwaka huu Ila maauzi yametolewa saa nane mchana ya Leo adi sasa ametuma adi simu nilikuwa nimempa amelejesha
@@hoseakitungwa1565 haha nipe mm hyo simu🤪
@@elizabethdanda9967 ok sawa dada
@@hoseakitungwa1565 kaka shukuru Kwa kila jambo,huenda mlikuwa wawili kaamua acheze mzani,kuwa mpole utasikia tuu kitu
🙏🙏🙏
😢😢😢
Mimi yangu imekataa kurudi now it's 4 years
Yan mie mbinu ya kwanza ni ngumu mana baby wangu hapendi kuchat hata kidogo ila mie napenda sana kuchat
Wapo wengii ndugu yaan unajichatisha hadii unachokaa unahisi kama upendwiiii
fantastic! my bro Mauki.
Hio ni kweli,kuna mda mtu una hisi una jipendekeza kwake,
Na ndiyo maana Mimi huwa naona bora niwe bize na yangu
@@hamisa3447 nahata ukituma anaishia kuitizmtuuu unabaki waumiarohoo
Uaminifu jamani uaminifu aaaah
Dr. Nisaidie nataman kwel ushaur wako ila niko mbal. Ungetupa hata mawasiliano yako japo utusaidie ushaur coz wengin ndoa ziko ICU. Tumejaribu tumeshidwa. Wengine wrkifanyiwa hayo ndo kwanz wanakuona wa zaman. Uanaambiwa unayeiga mambo ya kweny tamthilia
Napenda mafunzo yako
Apo kwenye kutumiana mesej kam mwenzang hajui kusoma he😆
😂😂😂😂😂😂😂😂 eeee pole
Unamtumia mtu ujumbe unamwambia i love you jibu linakuja ok
😂😂😂😂😂😂😂😂 sorry but😂😂 mbavu zangu uwii apo hakuna mapenzi dear
Et kama maroboti..nimejikta nachek mwenyew
baby wangu anakwambiaa tumeshapita huko now tuambane na maisha
Unamaanusha lishakuwa lamoto sio? Hongereni mnoo
Kumbe hua unajibu,🤗🤗,ubarikiwe@@ChrisMauki1
🤣🤣🤣. hatar
Kama mtu wako kakuacha lkn bdo anakupenda ufanyaje arud tna ili muanze upya
Km mm tu
Nimejikuta nacheka tu 😂😂
Ubarikiwe