Tuwe practical. Jibu ni kurudi ktk Chama kimoja, ili kwanza tutengeneze Katiba ya vyama vingi. Halafu turudi vyama vingi. Kinyume na hapo tutegemee muujiza. Tulikosea kuingia vyama vingi bila Katiba mpya ndani ya vyama vingi.
Serikali ya CCM ni dhalimu sana kwanini tuna mahakama? Kama vyombo vya serikali wanaruhusiwa polisi na kushika watu bila kuwa na order kwahiyo polisi anafikiria tu anakwenda kushika mtu wakati wo wote.
Kama wafanyakazi wa CCM Watawala wanafurahia kutekwa na kuuwa Watawala nani mwisho? Kwa kweli tuko pabaya. Sasa kama CCM wanakuwa na kiburi kuja katika kokongamano kam haya kuhusu tatizo kubwa ni kwa kuwa wanafurahia kutuuwa.
Utekaji ni legacy ya Magufuli. Ni kama serikali yake ipo hivyo, kinachoitwa awamu ya sita ni awamu ya tano. Akina makonda walewale. Rahis yule yule. Wote ni viumbe wa Jiwe.Vingozi wa kidini si washauri wa rais. Msijipake uchafu kwa tamaa ya kuwa karibu na wenye madaraka tena wanaoyatumia vibaya.
Mungu akubariki sana Rais Mwabukusi kwa kutuonyesha umuhimu wa TLS na wajibu wake kwa Taifa letu....🙌🙌🙌
Hongera sana Shehk Mponda unaweza kufikiria watu Mungu akurehem sana
Huu mjadala ni mzuri na muhimu sana na haya yote yaliyosemwa ni muhimu yafanyiwe kazi kwakweli
Asante sana kutuelimisha. Naamini Serikali na maajent wa Serikali watafanyia kazi haya yaliyosemwa
Elimu hii nimeipenda. Kwa nini elimu hii ya sheria hatufundishwi wananzengo?
Hakika huu mjadara nimeupenda sana na pongezi Kwako Rais wa TLS mwabukusi Kwa kuitusha mkutano huo mungu akubariki sana
Hii TLs niyamufano haijawahi kutokea, big up mwabukusi
Now I start to love my country again ❤
Kamanda nimekufahamu vizuri saana. Endeleeni na kazi nzuri ila boresheni utendaji wa kazi zenu.
Tuwe practical. Jibu ni kurudi ktk Chama kimoja, ili kwanza tutengeneze Katiba ya vyama vingi. Halafu turudi vyama vingi.
Kinyume na hapo tutegemee muujiza. Tulikosea kuingia vyama vingi bila Katiba mpya ndani ya vyama vingi.
🎤🎤🎤Pambalu hebu ludia tenaaaa🎺🎺🎷🎷🎷
Ila mwabukusi
Jaji nivizuri sana kwakuelimisha watanzani kwasabu watu wengi wanabambikiwa kesi na polisi. Kwakuwa tujui shelia
Hizi inchi masikini sijui
Ni wapi niwakilishe malalamiko yangu iwapo nimempoteza ndugu yangu? Maana mnadai niwakilishe serikalini, kitengo gani?
Tunawashuku Rais Chama Cha wanasheria, Majaji Mlipwe Na Mungu
Askofu Mwamakula big up
Hongera kamanda wangu upo vizuri sana
Serikali ya CCM ni dhalimu sana kwanini tuna mahakama? Kama vyombo vya serikali wanaruhusiwa polisi na kushika watu bila kuwa na order kwahiyo polisi anafikiria tu anakwenda kushika mtu wakati wo wote.
Maswali magumu sana honger odemba ila majibu yake mmmh ni shida
Wanafeli wapi uchunguzi ilhali taarifa za maandamano ya vyama vya upinzani zinapatikana kwa muda mfupi.
Kwa hiyo polisi inapigia debe mamlaka yako. Na Kwanini anaogopa kuchunguzwa , au uchunguzi huru.
Mnapatikana wapi katika nchi hii?
Mimi nafikiri hawa watu ni bora nao watoto wao wafanyiwe hivyohivyo kama wanavyowafanyia watoto wa wenzao ndio watapata akili
Ukimtazama Muliro uso wake unapingana pia na anachokiongea
Kama wafanyakazi wa CCM Watawala wanafurahia kutekwa na kuuwa Watawala nani mwisho? Kwa kweli tuko pabaya. Sasa kama CCM wanakuwa na kiburi kuja katika kokongamano kam haya kuhusu tatizo kubwa ni kwa kuwa wanafurahia kutuuwa.
CCM na utawala wake inaudictator na wala hawana habari kuwa hiyo ibada ilifutwa. Kama tutaendelea hivi hali ya Inchi hii inakwenda kubaya sana
Watu wanakukataa fanyeni kazi iliosafi muaminike heshima irudi
If that being the case no one should go abroad for studies.
How can it be while the victims know who victimized them ?
Wanaopotosha katika media si victims, ni watu mahususi wanaofanya hivyo ili wakweli wasiaminike juu ya ukweli wausemao.
Utekaji ni legacy ya Magufuli. Ni kama serikali yake ipo hivyo, kinachoitwa awamu ya sita ni awamu ya tano. Akina makonda walewale. Rahis yule yule. Wote ni viumbe wa Jiwe.Vingozi wa kidini si washauri wa rais. Msijipake uchafu kwa tamaa ya kuwa karibu na wenye madaraka tena wanaoyatumia vibaya.
Acha usenge magu magu hanithi kivuje 😊
@@adiaygo8546TAFADHALI NAKUSIHI UACHE LUGHA CHAFU KAA KIMYA KAMA HUNA POINTI TAFADHALI SANA NDUGU LINDA ULIMI WAKO
After this education the police and the citizens must observe the laws.
Huo mkutano upo kisiasa serikali ya ccm ina mbinu sana wanacheza na akili zetu
Hata aibu huna
We kamera man unasinzia Mbn huyu peke kilo kwenye projector
Wanaopotosha katika media si victims, ni watu mahususi wanaofanya hivyo ili wakweli wasiaminike juu ya ukweli wausemao.