🔴LIVE: MWABUKUSI, MULIRO KWENYE WAKUTANA KWENYE KONGAMANO KUHUSU UTEKAJI/LILILOANDALIWA NA TLS
HTML-код
- Опубликовано: 28 дек 2024
- 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
I admire the Judge presenting, everything to the point. Congrats Judge!
Hongera sana kwa aliyebuni uwepo wa hili kongamano.
MNYIKA VIPI KAJITEKA AU ANATUBU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Unavyomuulizia kama mnashare Mume.
Serikali ya ccm ni ya hovyo kbs ila kwassb wananchi waliowengi tunaipenda. Ngoja tuisome namba
SI MMEFUNGA NDOA NA CCM?
hongera tls
Huyo aliyejitambulisha kama Abdul Dambaya 👕 ya kijani hana adabu.
Itengenezwe Sheria ya watu wanaotishia mtu au watu kupotezea au kuuwawa.
ni bora hili ndio liwe bunge la tanzania tu
Kwanini CCM haiku/shiriki/wakilishwa hili kongamano?
ccm amini hawawezi kuweka au kuwepo kwenye midahalo kama hii,kwasababu hawawezi jibu hata moja kutoka kwa wananchi.napia wana makosamengi sana kumface wananchi na au viongozi wa vyama vingine hawaweezii.ajage hata rais akajagab kujichanganya kuomba au kuja mdahalo wowote atakujaga toa yambuzi.kwani siwanakimbiaaga au?
AIBU KWA JESHI LA POLISI
wakili msomi ruge
AIBU KWA CCM ILA MUNGU NI FUNDI
Hivi kwa nini hawaamui kuongea kama kiswahili iwe kiswahili tu na kama kingereza basi iwe hivyo tujue moja
Hii ndio maana ya kuwa na TLS ya mwabukusi;things are worked on
Kuna impact ya kiuchumi pia ambayo sijajua kama imetajwa
IGP
IGP