ASKOF MWANAMAPINDUZI ANG'AKA "MBOWE KALAZIMISHWA KUGOMBEA/MDUDE ALITEKWA MBELE YAKE HAKUMSAIDIA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 49

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 16 часов назад +3

    😂😂mbowe anajuwa vzr nin anakifanya chadema ndiyo tawi la ccm ss watu wamesanuka

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 19 часов назад +3

    Nakukubali mchungaji unapendahaki

  • @JooLusajo
    @JooLusajo 16 часов назад +3

    Ccm ndo wamemwambia agombee tumkatae mbowe😂

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 16 часов назад +1

    Team majasusi wa mbinguni baba askofu

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 17 часов назад +2

    Lisu ndiye mwenyekiti sahihi kwa sasa niwahakikishie kuwa Lisu amekwisha shinda

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 13 часов назад

    JAHAZI LINAZAMA HILO 😢😢😢😢😢WACHUNGAJI SASA WAKATI WENU WA KUBWEKA NA KUFANYA MIUJIZA

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 22 часа назад +3

    Uchaguzi huru na haki ndio jibu. Waachwe washindane ili demokrasia ijengeke ktk vyama.

    • @cosmasmilanzi7117
      @cosmasmilanzi7117 21 час назад

      Ama kweli kufanya siasa na dini ni kuchanganya mafuta na maji!

  • @Walterputin-xn2dl
    @Walterputin-xn2dl 14 часов назад

    Usilaumu sana mbowe , we Kama moja ya wanachama uli toa ushauri gani kwa m/Kiti ?

  • @severinantunuligwa4598
    @severinantunuligwa4598 17 часов назад

    Mzee na askofu wangu ! Unakosea sana kumutuhumu mbowe! Ila kunakitu mlipaswa kufanya sio kulalamika hivyo

  • @OlemeeyiNgoye-o4v
    @OlemeeyiNgoye-o4v 12 часов назад

    Mbowe acha mambo ya kitoto wewe msaliti sana

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 14 часов назад

    Ushauri aachie kijiti

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 19 часов назад

    Ukiwa kiongozi mkuu wa ngazi ya juu huitaji kutafakari. Unawajibu wanao kuhitaji Mimi ni kiongozi Bado nipo nitagombea full stop 🛑. Ukisoma psychology usome na abnormal psychology.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 17 часов назад

    Mimi siamini kitu kinachoitwa kuwa watu walienda kwa mbowe kumtaka agombee uenyekiti bali ninachokuona hapo ni kwamba watu hao walitengenezwa waliandaliwa jufanya hayo ionekane kana kwamba yeye hakuwa na

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 19 часов назад

    ❤ kwenye hayo alitaka maandamano akajikuta mwenyewe na familia yake mikononi mwa police 🚓. Sasa hapa ndipo mjitafakari juu ya kufa Kwa chama chenu.

    • @BonifasNtibarahila-ee4ih
      @BonifasNtibarahila-ee4ih 14 часов назад +1

      Kiiinimacho kilee,kiskchanganyee, yaan maigizo kama maigizo mengnee tu.

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 15 часов назад

    Mimi na mwamini LISU Daima

  • @Walterputin-xn2dl
    @Walterputin-xn2dl 14 часов назад

    Mchungani naye 😮😮

  • @7stianPius
    @7stianPius 13 часов назад

    mbowe ni ccm kweli,ambae hajui akili hana na sio mtanzania

  • @PaullyzmundaPaullyamunda
    @PaullyzmundaPaullyamunda 6 часов назад

    Huyu ndo kamharibu Lisu, yote anayoyaongea anapitisha! Hawa hawafai kupewa chama! Yote waliokubaliana ktk kamati kuu yote ndo wanayalaumu hadharani!
    Eti hawakujua naongea nini na Samia, si walitoka wote kuongea kwa umma kama na Lisu alivyofanya? Nini walifichwa!

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 22 часа назад +2

    Mbowe hakuwa jela Kuna mahali walimpeleka harafu wakamrudisha

    • @robbyguy3023
      @robbyguy3023 22 часа назад

      It

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 13 часов назад

      Acha kufuru, kebehi na kejeli. Humtendei haki mtu aliyepitia madhira kama haya. Kama hujui kufa chungulia kaburi. Na mcheka kilema hafi bila kumfika Ndugu yangu hujafa hujaumbika na milango ya jela haina wateule. Ukiongea weka akiba ya maneno!

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 13 часов назад

    Mdude Hakusaidiwa. Ben Sanane alisaidiwa?

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 20 часов назад +1

    Hawa maaskofu mtapeli wanadanganya watu kuwa wanafufua wafu atuambie amefufua wangapi? hawakishi shetani?

    • @7stianPius
      @7stianPius 13 часов назад

      lete hoja mezani kulingana na mjadala,sio unalterable upumbu

  • @MichaelMeshack-i2r
    @MichaelMeshack-i2r 22 часа назад +1

    CHAMA NI WENGI ACHA BOX LITAAMUA NA SIO WEWE

  • @DenisGodwin-uu6zz
    @DenisGodwin-uu6zz 9 часов назад

    Samia mwenyewe amempa jina SIMBA Tundu Lissu.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 16 часов назад

    Lissu akishinda uenyekiti,, atarudisha heshima ya chama ata ludisha hadhi ya chama ataleta mvuto wa chama,,siasa yambowe ni ileile iliozoeleka na ccm

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 17 часов назад

    Halafu huyo ni mchungaji kwa mwana wa Mungu sasa anapotea kutoka Israel na kupotelea Africa tena Tanzania

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 7 часов назад

    Ccm imetuma mbowe cz mbowe ndo mtu wao

  • @moddysunshine6618
    @moddysunshine6618 21 час назад

    Samahani Askofu hivi ni sanduku la kula au kura??

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 10 часов назад

    Mbowe ni Chawa wa chama husika

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 22 часа назад

    Bondia hapimwi uchovu kwa maneno bali kwa pambano. Demokrasia ipimwe kwa ushindani sio tabia za kung'atukang'atuka . Zipigwe hadharani mshindi apatikane.

  • @MoinamoinaSaid
    @MoinamoinaSaid 14 часов назад

    Wachungaji watz wako kuilimisha dini ??? au siasa ??? hivi watumishi wa mungu kama wanavosema makanisani ni kweli niwatumishi wa mungu ?? au kuchangisha wafuasi wawo pesa ili wapate utajiri kwa jasho la wa fuasi wa makanisani ???

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 21 час назад +1

    Acheni demokrasia itendeke.Kura.itaamua Huyo askofu fake anataka ubunge kupitia Chadema tu..Hana la maana uasikofu.😢

    • @7stianPius
      @7stianPius 13 часов назад

      ccm washapeleka wajumbe,democracy inapatikania wapi?

  • @remigioushofa2817
    @remigioushofa2817 22 часа назад

    baba Askofu Kadutu mtu wa maana

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 15 часов назад

    Tundu LISU daima

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 22 часа назад

    Lisu kupata umwebyekiti ni KAZI kubwa kama aliyokutana nayo mwabukusi kupata uraisi wa TLS

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 21 час назад

      Kwani Mwabukusi alitumia kazi kubwa

    • @ngangamtheboss9242
      @ngangamtheboss9242 17 часов назад

      Ndiooo coz matokeo yalirudiwa​@@mosesmacha1080

    • @melch3097
      @melch3097 15 часов назад

      Mwabukusi mwenyewe ametulia anapiga asali

    • @7stianPius
      @7stianPius 13 часов назад

      itakua ngumu ndio kwa maaana mbowe ashapewa wajumbe na mama abduli

  • @ObeidChamila
    @ObeidChamila 20 часов назад

    Huyu anayevaa kola huu yaskofu wake una mashaka sana sijui wafuasi wake wakoje

    • @ValeriJummane
      @ValeriJummane 15 часов назад

      Wewe pia watoto wako wanamashaka na wewe pia kua sio Baba yao

    • @ValeriJummane
      @ValeriJummane 15 часов назад

      Tunaenda na Lisu popote pale