Mbowe aachie ngazi Mtumzima Kama mbowe nilidhani ni gentleman kumbe ni ziro brain , bado ni mtu anaegombania madaraka , Kama kweli ni mfanya biashara anaejiamini aachie madaraka ya chama wengine waongoze ndio uungwana
Ninavyomjua mbowe ataamuru uchaguzi ufanyike usiku kusudi dakika za mwisho GENGE LAKE LA KIHUNI livamie masanduku ya kura na kukimbia Nayo na kuleta vurugu then wamtangaze Mbowe siku hiyo itakua ni vurugu hapata kalika na ninaimani patatokea majeruhi ya watu , wengi sana, Mbowe acha kufanya ujangili sio tabia nzuri. Kubali matokeo mbowe, Ubakie na heshima yako
Kwa kweli nakuomba sana mungu hawa watatu waiongoze chadema
Nomaaaa sanaa
Makamanda wenzangu pamoja
HAWA WATU NAWAPENDA SANA WAKIFAULU KWENYE HILI ZOEZI NACHUKUA CARD YA CHADEMA HARAKA IWEZEKANO HAWA NDIO WANA MAPINDUZI
Hawa ndio watu mhimu sana kwenye taifa letu nieazalendo mno
Hakika genge la yeriko na wenzake wanamshauri kurunzinza kung'ang'ania madaraka
Mimi naona mboe ajiuzulu ili aendelee kupata eshima zake
Mbowe akifanya figusi na akaendelea kuwa mwenyekiti, basi chadema itakuwa chauma..
Wacha. LISU kupesa nafasi uenyekiti hata anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Hivyo ndio vichwa vya ukweli Chadema vikiondpka hivyo chadema itakuwa haina tofauti na Cuf aisee ngoja tuone kamchezo anakotaka kujaribu Mboe
Mbowe amewahi kuteswa jamani tuacheni uchawa tunamhitaji tundu lisu jamani tunaomba mboee apumzike kwa nianzuri tu
Twendeni na Lissu
Na mi nimeungana nao tuko pamoja mzee mbowe apumzike tutamzalilisha tutahama asifikiri tunamtania
Ukihama utakuwa mamluki. Hukuwa mwanachama halisi.
Mbowe kama hataki kustaafu basi ahamie CCJ
Yeye hahami. Yeye Mbowe siyo mamluki. Mamluki ndiyo huhama.
Watakuwa niwagonjwa wa akili kweli.
Huo ni ukweli wa mungu
Hao watu wanne kwenye picha acheni kabisa
Mbowe aachie ngazi Mtumzima Kama mbowe nilidhani ni gentleman kumbe ni ziro brain , bado ni mtu anaegombania madaraka , Kama kweli ni mfanya biashara anaejiamini aachie madaraka ya chama wengine waongoze ndio uungwana
Ni Mubangaizaji tu,na isitoshe anaishi kwa hela tunazotoa za card,kwani mapato na matumizi hatujawahi somewa,
Huna sababu kumbagaza kwamba ni zero brain. Mpinge Kwa hoja; vinginevyo wewe ndo hao waliopandikizwa kuzusha vurugu.
makamu mwenyekiti tunamutaka heche waungane lisu apo itakuwa imetosha
Si nyie mmekwisha kumchagua Lissu awe MWENYEKITI? Sasa maneno ya nini kutuhusisha Sisi. Sisi tunangojea kwenye sanduku la KURA.