Jennifer Mgendi & Bahati Bukuku Teke La Mama Full Movie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 369

  • @TonnyCharles-ju3hw
    @TonnyCharles-ju3hw 8 месяцев назад +4

    Wanao ifatilia hii move mpaka leo 2024 tujuane dondosha like apoo

  • @prettysally8134
    @prettysally8134 4 года назад +6

    Wanao irudia hadi leo 2020 feb tujuane plz.penda sana Jenifer Mjendi..kazi nzuri mama

    • @tumpekadaga6013
      @tumpekadaga6013 2 года назад

      Mim nairudia hii 2022. Best movie , Jennifer yuko juu

  • @bellah7467
    @bellah7467 3 года назад +1

    Hadhiti zuri sana hata nami natamani isiku nikija mtafuta babangu nimpate lakini jina lake ndo sina nina jina lake tu la matani nasikia NA itwa wamaina kutoka imanga nali tafuta nika makosa naomba ipo siku nita mkuta 🙏😘😘

  • @sisterkope9012
    @sisterkope9012 6 лет назад +5

    napenda sanaà muvi ikichezwa na bahati bukuku na jenifa mgendi wamebalikiwa vipaji wakotofauti na wasanii wengine kwanza wanahekima busara

  • @heavenlyjoyhock526
    @heavenlyjoyhock526 7 лет назад +8

    Huyu bibi ni kiboko ......such a good actress. she knows what she's doing, hakurupuki like some of the bongo actors and actress.......and that kid too l give her a big up. These things happen in real life daily

  • @lilianidambo3322
    @lilianidambo3322 6 лет назад +6

    So touching and inspiring. In reality there are some people passing through all this. Ila hakuna jambo lisilo wezekana kwa Mungu. Thanks so much and God bless you.

  • @carensabiri688
    @carensabiri688 6 лет назад +1

    be blessed ciz,mafundisho
    mazuri hayo,,,, bila yesu nikitu bure n heri mwisho mwema kuliko mwanzo mwema,,, kumkubali yesu ni kitu cha maana Sana.

  • @halimajuma3077
    @halimajuma3077 8 лет назад +4

    Amen ,Yesu anaweza yote,magumu namazito,ukimkabidhi Kwaimani(ubarikiwe dada Jenifer)

  • @modestaodemba3753
    @modestaodemba3753 7 лет назад +5

    Uyuu mama kiboko jaman anajuwa sana wampe tunzo watoto nao wako vzl nice move jenifa

  • @julianlukindo4623
    @julianlukindo4623 6 лет назад +4

    Move nzuli hadi inanitoa machozi mungu awabaliki sana

  • @godfreymwacha9701
    @godfreymwacha9701 5 лет назад +1

    kwakweli mnanifariji sana mungu awafungulie mlango ili kila movie mtakayotoa iguse zaidi maisha halishi yawatu mungu awabariki sana

  • @rashididjuma9545
    @rashididjuma9545 2 года назад

    Mushidaji nimungu dada mungu nimushindi wawa riyokuwa namatatizo muombe mungu atakushindiya matatizo

  • @musahtrophy
    @musahtrophy 6 лет назад +1

    Hongera Bahati na mwenzako Jenifer ,kwa ushauri wenu ; kazi nzuri.

  • @sarahbintimasibo7676
    @sarahbintimasibo7676 5 лет назад +4

    I love u all frm kenya bt watching frm saudi😍😍

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 6 лет назад +1

    Movie nzuri sana bibi esta mh anaigiza vizuri sana.

  • @trizahkasidi6508
    @trizahkasidi6508 7 лет назад +2

    Wow very nice movie. Bahati bukuku no mucute sana

  • @sylvesterstephen1531
    @sylvesterstephen1531 6 лет назад

    kazi njema nawaombea Mola awazidishie baraka milele na milele. ujumbe umefike, watu wamwamini Yesu Kristu ni MWOKOZI WA MAISHA YETU.....

  • @BendyesaKabuo-cl2jy
    @BendyesaKabuo-cl2jy Год назад +1

    2023 we still here ❤❤❤🙏🙏

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 6 лет назад +2

    Jamani jamani jenifa pole sana mpendwa kwa yalokukuta ila huyo mamaako duh atakutoa roho mhhhh kuwa na mama kama huyo ni matatizo makubwa ,Mungu akuinue ktk kazi zako dadngu

  • @jennifermakere5139
    @jennifermakere5139 2 года назад

    Hakika hata tukipitia mateso Mungu Yuko kazini tusikate tamaa Wala kuacha wokovu

  • @NeyGillah
    @NeyGillah Месяц назад

    Mimi Naona Kwa mara nyingne 24/10/2024🔥🔥🔥🔥

  • @milkamugomomugenimgomo6824
    @milkamugomomugenimgomo6824 6 лет назад +2

    Bibi vituko kweli hongera nyote

  • @veronicamziray3701
    @veronicamziray3701 8 лет назад +22

    Kazi nzuri sana dada Jennifer nakuombea ufike mbali zaidi, imenihuzunisha na kunipa furaha pia. Mungu Akubariki

  • @ruthkorir6015
    @ruthkorir6015 7 лет назад +12

    waaah ,mvumilivu hula mbivu nmeamini,,heartbreaking,,,inspiring and teaching video ,God bless you jennifer + your team,Amen.

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 6 лет назад +2

    Nice movie, God bless you and continue lifting you sister

  • @johnsinyaro5977
    @johnsinyaro5977 7 лет назад

    jamani bubukuku nakupenda sana may mungu akulinde sana ufike mbali nakupenda sana nyimbo zako zinanifariji moyo wNgu

  • @samsonbanyiyezako3985
    @samsonbanyiyezako3985 Год назад

    Until now on 2023 we still watching this legendary movie we love your work Jennifer i'm ur funs from Burundi

  • @roserichard4564
    @roserichard4564 7 лет назад +6

    Mama kislani kweli, ila kazi nzuri dadaa

  • @joycemapima2989
    @joycemapima2989 2 года назад

    Jamani hmmmmmmmmn huyu bibi hatari sana Jennifer 🤚🤚

  • @delivinammari4519
    @delivinammari4519 6 лет назад

    Nimependa saana Mungu ambariki dada Jenipher

  • @joynekoye2625
    @joynekoye2625 2 года назад +1

    Anytime I imagine of this movie kicheko hunimaliza,the best acting ever!!!

  • @chamblainreuben7431
    @chamblainreuben7431 3 года назад

    Yani me nachek sn peangu Mungu awabaliki sasa dada zangu mzidikupat mafunuo

  • @joycenaipanoi3157
    @joycenaipanoi3157 6 лет назад +5

    Kazi njema kwa waimbaji, mungu wazidishie zaidi

  • @pascaziantukamazina16
    @pascaziantukamazina16 7 лет назад +1

    Thank you l like these movie

  • @celestinewanyonyi20
    @celestinewanyonyi20 5 лет назад

    Mungu awabariki Sana na mafunzo munayotupa kila kujao barikiweni Sana.

  • @zawadyelisante4209
    @zawadyelisante4209 6 лет назад

    asantee dada bahat ume elimisha jamii sana mungu akupe maisha marefu

  • @mercynamusia3644
    @mercynamusia3644 6 лет назад +3

    Movie nzuri sana yenye mafundishi

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 5 лет назад

    Yani iyi filam sicoki kuitazama Mungu awabariki sana

  • @trizychernyavskaya7027
    @trizychernyavskaya7027 6 лет назад

    I thank you very much Jennifer and Bahati.. Very nice movie..

  • @juddyjuddy4701
    @juddyjuddy4701 6 лет назад +4

    Penda mama wewe maigizo yako nyimbo zako zote poa

  • @uhilekatema4535
    @uhilekatema4535 5 лет назад +3

    Magic sound big up bukuku

  • @zaitungalus5600
    @zaitungalus5600 4 года назад

    Bahat umenifurahisha sana

  • @judithmaliceli2668
    @judithmaliceli2668 6 лет назад +3

    mama huyu ni balaa

  • @johnsinyaro5977
    @johnsinyaro5977 7 лет назад +1

    Martha mwaipaja nakupenda sana uko vizuri sana wingu lamungu likufunike kila wakati mwaaaaa

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 7 лет назад +6

    😅😅😅😅huyu bibi n strees🙉🙉 the real thing happening big up all💪💪💪💪good movie

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 лет назад +5

    Nyc movie aki Bukuku nimcute

  • @christopherrajabu410
    @christopherrajabu410 8 лет назад +16

    mungu awabariki kaZi nzuri

  • @tracytracy9277
    @tracytracy9277 8 лет назад +12

    what a movie?nice acting you got..i thought it was a real thing.....kumbe ni acting......congrats and God bless

  • @annexjay4434
    @annexjay4434 5 лет назад +4

    To God be the Glory

  • @nasseralkabbi1130
    @nasseralkabbi1130 6 лет назад +3

    Huyo mama mwisho

  • @felicianboss6953
    @felicianboss6953 Год назад +1

    2023 Tujuane°°🤗🙏

  • @epafrapaul3625
    @epafrapaul3625 7 лет назад +1

    Game nzuri hata ghana na nigeria hawatufikii

  • @PaulLukusa-s6h
    @PaulLukusa-s6h Год назад +1

    ❤itabidi uondoke

  • @jeniverfrancis1562
    @jeniverfrancis1562 7 лет назад +1

    Nakubal sana kaz zako da Jenifer zinanibarik sana

  • @auchacaleb1181
    @auchacaleb1181 7 лет назад +2

    jenifa na bahati nawashukuru xana kwa filam nzur Kama iyo na inawaguza mabint na vijana wanaojigiza kwa ndoa bila kujua umuhim wake,weka iman kwa mungu sabab ye ndie mwenye kila kitu na anajua sabab ya kuweka kila mtu jinz alivyo

  • @rumishamsaki5944
    @rumishamsaki5944 8 лет назад +12

    Nothing is impossible with God ameeen

  • @violaiman4803
    @violaiman4803 6 лет назад

    very nice muvie with a lot of courage

  • @violetbruno9268
    @violetbruno9268 7 лет назад

    mungu awabarik watumish j&b songeni mbele vita bado kubwa lkn tunae mshindi wa washind tunabarikiw na muvi zenu mungu awap maono zaid

  • @felixwafula3530
    @felixwafula3530 7 лет назад +2

    in God​ every thing is possible

  • @bahatidaviddg607
    @bahatidaviddg607 8 лет назад +1

    waooooooooo Bahati Bukuku you are Lion of Jesus king master don't worry

  • @fatimahumphrey374
    @fatimahumphrey374 7 лет назад +1

    may God bless u bahati and mgendi

  • @kangachepebanda4405
    @kangachepebanda4405 2 года назад

    Hsante mungu best move

  • @prettylove7534
    @prettylove7534 6 лет назад +8

    Yesu wangu azidi kuwapa tumaini la moyo

  • @Drtonysheltone
    @Drtonysheltone 5 лет назад

    oya!mi sijaridhika,ao mawifi wangekutana wakue na hand shake,otherwise its powerful,God Works In His Best Time

  • @kisauliwaswa2478
    @kisauliwaswa2478 7 лет назад +1

    this had 4 me and i cant if can not cheng is beta to leav with my family

  • @guersonguerson4405
    @guersonguerson4405 6 лет назад +1

    Nakupenda sana 👍💗💗

  • @akinyililian3330
    @akinyililian3330 6 лет назад

    Mubarikiwe nyote good job

  • @sarahwanjiruwango9307
    @sarahwanjiruwango9307 2 года назад +1

    Glory and Honor to God

  • @consolatamedard9039
    @consolatamedard9039 6 лет назад +1

    Jaman Jenipha mzuri adi rahaa

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 7 лет назад +1

    mashallah movie nzuri sana

  • @rehemakiteto9374
    @rehemakiteto9374 8 лет назад +2

    woow..jenifer you such an actress...looking forward to shooting a movie like you some day

  • @bensonndendya9556
    @bensonndendya9556 6 лет назад +3

    Nitakunyukaaa, duh! Huyo mother,

  • @jacklinelungaho7722
    @jacklinelungaho7722 6 лет назад

    hiyo movie iko juu xana.

  • @gwelinokilumile66
    @gwelinokilumile66 8 лет назад +4

    hongera dada jenifa mungu aku baliki mv nzuri sana

  • @fitinaelias421
    @fitinaelias421 6 лет назад +2

    Filamu bora kabisa imenikumbusha miaka mingi kidogo ambapo niliiangalia kwa mara ya kwanza....nilikuwa shule ya msingi na sasa niko chuo kikuu

  • @phoebemirikwa557
    @phoebemirikwa557 4 года назад

    I don't know how I reached here 😅😅😅😅😍😍😍😍this is so funny and educative movie

  • @happytimes9896
    @happytimes9896 7 лет назад +3

    congragration good one

  • @mbagumusic8690
    @mbagumusic8690 3 года назад

    Nimeikubali

  • @jackieombima2224
    @jackieombima2224 7 лет назад

    Wow what a story si mbarikiwe sana

  • @lynetmatara611
    @lynetmatara611 3 года назад

    still 2021 am here

  • @bendicterchepkemboi3611
    @bendicterchepkemboi3611 6 лет назад

    WAAAUH GREAT MOVIE GREAT LESSON.God is so faithful...

  • @mercynamusia3644
    @mercynamusia3644 6 лет назад +3

    👍✨✨✨
    🎉😊👏😁👏😃🎉
    Congratulations!

  • @kingkimarotv884
    @kingkimarotv884 7 лет назад +5

    HUYU BI KIGALONI ALIKUA WAPI UJANA JAMANIII ...@MOVI NAYO MWONA ANAJUA ANACHOFANYA KWELI KIPAJI HAKINA UZEE HATA UKIACHA KUCHEZA UTAKUA KOCHA...............................

  • @dismasvalentine3104
    @dismasvalentine3104 7 лет назад +2

    Movie nzuri sana dd angu Mungu azidi kuwabariki

  • @inodeculture2759
    @inodeculture2759 7 лет назад +1

    ongera mama kwa kuelimisha jamii

  • @DeejayJulius254
    @DeejayJulius254 6 лет назад

    subra huvuta kheri na mwenda pole hajikwai kamwe, kwa lolote ligumu mola yunawe na yuakwangalia. kweli hii noma kweli.

  • @fdhg47
    @fdhg47 6 лет назад

    Wewe ni zaidi Ya mama

  • @reginarhina6837
    @reginarhina6837 8 лет назад +10

    Thanks Jennifer hii move ni maisha yangu kabisa

  • @pendoernest9444
    @pendoernest9444 6 лет назад +4

    😂😂😂😂huyo bibi noma sana 😂 😂

  • @mutsunishilwatso542
    @mutsunishilwatso542 8 лет назад +11

    very intersting actors. Bahati and mama so cool. God bless Jennifer and Bahati

  • @HildahOkisai
    @HildahOkisai 4 месяца назад

    Wow ❤

  • @triphoniampega7522
    @triphoniampega7522 6 лет назад

    kazi njema bgp sanaaaaaa
    amen

  • @selinaemanuelnyemela6182
    @selinaemanuelnyemela6182 5 лет назад +1

    mama hii movie anaipenda

  • @elizabetheboko2075
    @elizabetheboko2075 6 лет назад

    Hongera imejawa mafunzo

  • @maryanne6326
    @maryanne6326 5 лет назад

    kweli Mama ni mama

  • @carolynemisiati8381
    @carolynemisiati8381 7 лет назад +1

    wooow very nice

  • @charlestz4267
    @charlestz4267 6 лет назад

    Vizuli sana nimeipenda

  • @ibrahimugilya7519
    @ibrahimugilya7519 4 года назад

    Jamani huyooo Bibi kibokoo daaaaah

  • @johnemanuelmalilo7505
    @johnemanuelmalilo7505 7 лет назад +2

    Mungu nimkubwa ubarikiwe milele

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 3 года назад

    Bahati Bukuku 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁😁😁😁😁😁😁