MSAFARA MZITO KUTOKEA NYUMBA MPYA YA SH OTHMAN DAR TO TANGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 80

  • @yessraelbajun
    @yessraelbajun 15 дней назад +10

    Unatumotivate kwa kweli ktk kumtegemea Allah subhanahu wataala ukweli wa kumtegemea ktk kila hatua ya maisha yetu

  • @muqbulmuqbul7589
    @muqbulmuqbul7589 15 дней назад +2

    Sheikh Othman, JazakaALLAHu kheiran. Napenda kusikiliza mwaidha yako saana, nikiongoja kila siku kwa hamu na ghamu nikiwa Nairobi. Umetufunza siri mingi shekhe wetu, mungu akulinde. جزاك الله خيرا يا شيخنا.

  • @AminaMichael-s9s
    @AminaMichael-s9s 5 дней назад

    ❤❤❤❤❤ mashaallah shekh mtu wa kazi

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 15 дней назад +4

    Masha Allah lecture, Barak Allah feekom sheikh 🙏🙏🙏

  • @ZahorMwita
    @ZahorMwita 14 дней назад +2

    Maashallah Allah akulinde na kila shari, nasisi Allah atuongoze ktk uchamungu

  • @BahatiIrakoze-z4y
    @BahatiIrakoze-z4y 15 дней назад +6

    Mashaallah shekh wng Allah akuzidishie zaidi na zaidi❤

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 15 дней назад +1

    Mashallah tabarakaallah sheikh wetu Allah akuzidishie na umri mrefu watuelimisha sana na pia watupatia motivation in islamu Allah akupe na mwisho bora Amen yarabilAlmin 🙏.

  • @rajabumuyumbu4586
    @rajabumuyumbu4586 11 дней назад

    Shekh umesema kweli allah akukinge na hasadi

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 14 дней назад +2

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.

  • @rukiaramadhan2117
    @rukiaramadhan2117 14 дней назад +2

    Ma shaa Allah ukimtegemea Allah hukupa makubwa

  • @k.o.n.g8925
    @k.o.n.g8925 15 дней назад +2

    Allahu Akbar. Allah atujalie nasisi wangi tuwe mahafidh Quran 🙏

  • @KuruthumYusuph-u9b
    @KuruthumYusuph-u9b 15 дней назад +3

    Bismillah mashaallah jazaka nllah kher

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 15 дней назад +1

    Mashaallah unatufingua mitaji shekh wangu

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 15 дней назад +11

    ❤❤❤ mansharaa tabarakaa Allah Karim akujalie afya njema bos wangu niombee Dua hata kibanda niwe mchamungu wa sawa nikiwa msumbiji niombee jina langu Ally 🌟 bilali mandwanga nikiwa msumbiji niombee Dua shehe othman Tanzania

  • @FatmaAlabri-lz2cw
    @FatmaAlabri-lz2cw 15 дней назад +3

    Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah
    Ma Shaa Allah

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 14 дней назад +1

    Maa shaa Allah azidi kukutunzia nyumba yako
    Na sisi atupe kama hiyo
    In shaa Allah

  • @alhabibismail3031
    @alhabibismail3031 15 дней назад +3

    MASHALLAH-TABARAKALLAH

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe 15 дней назад +1

    Mashaallaa sheikh wetu

  • @mohamedimuhango4440
    @mohamedimuhango4440 15 дней назад +1

    MashaAllah Sheikh othuman

  • @NawandaMr
    @NawandaMr 15 дней назад

    Mwenyezi mungu akujalie zaidi sheikh wetu na sisi utuombee

  • @RauthaJuma
    @RauthaJuma 15 дней назад +1

    MashaALLAH TabaarakaLLAHA shukran shekhe

  • @yessraelbajun
    @yessraelbajun 15 дней назад +7

    Una tushtua akili zetu ktk utaftaji , kumbe tunapaswa kumtegemea yeye Allah mola mlezi wa kila kitu lkn tumtegemee yy ukweli na tumuamini yy ukweli wa kumuamini
    Allahumma barik

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 14 дней назад

    MASHAALLAH. ALLAH ATUFUNGULIE WAISILAM WOTE DUNIANI

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 14 дней назад

    ماشاء الله تبارك الله، أعيذك بكلمات الله التامة من كل شيطان وهامة ومن كل عين اللامة

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 15 дней назад +1

    😊😊😊 ubarikiwe sheikh nmepona mgongo niliangaka mno.sikai sisimamie silal vzr siinami vzr ila toka nitoke kwny Tiba zako pale bugurun alhamdullah.

    • @AbdillahAli-k6y
      @AbdillahAli-k6y 10 дней назад

      Jamaa yang ulipewa dawa gan hata ukapowa

    • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
      @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 дней назад

      @AbdillahAli-k6y visomo mwez mzm,,,af mkewe alinichanja nakuniwekea glass ya utambi wa moto mgongon likatoka donge la damu sijui nyama Ile,,kuna mafusho na dawa za kupaka nikilala af natawadha maji nayakusanya AF nayaoga.

    • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
      @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 дней назад

      Kaz yake siyo ndogo,,, sheikh wawatu mwachen aenjoy pesa yake.

  • @idanibamuhoze3380
    @idanibamuhoze3380 15 дней назад +1

    Be Blessed 🙌

  • @husnakhalfan796
    @husnakhalfan796 14 дней назад

    Mashallah❤❤ Allah ukujalie afya njema

  • @ZuhuraMbaga-m3e
    @ZuhuraMbaga-m3e 13 дней назад

    Masha Allah!

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 14 дней назад

    Mashaallah tabaraka Allah

  • @jovinlawi2999
    @jovinlawi2999 14 дней назад

    Shee Aki yamungu nakupenda sn we ositaz ❤ nataman ww ndo ungekuwa mume wangu

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 14 дней назад

    ماشاء الله تبارك الله الله يبارك فيكم

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 8 дней назад

    Yani shaikh umenitoa ktk ufukara kwa uwezo wa allah sijawa tajiri lakini alhamdulillah nipo mbali

  • @RumeysaHussein
    @RumeysaHussein 13 дней назад

    Mashaallaah

  • @innocentbyumanine5095
    @innocentbyumanine5095 15 дней назад

    Masha allah tabaraka llah

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid 15 дней назад

    Mashaallha ❤❤

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 14 дней назад

    Maashaallah tabarakallah❤❤❤ Allah akuhifadhi na shari za viumbe vyote. 🤲

  • @KamalKamalshariff
    @KamalKamalshariff 15 дней назад

    Mashaallah,

  • @SumiTanzania-y5o
    @SumiTanzania-y5o 15 дней назад

    MashaAllah

  • @RukundoMustafa-b3m
    @RukundoMustafa-b3m 15 дней назад

    تبارك الله في الدنيا والآخرة

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 14 дней назад

    Mashaallah

  • @HashimHamisi-b7n
    @HashimHamisi-b7n 15 дней назад +2

    She mbona huja malizia biasha 2

  • @UlfaRashid
    @UlfaRashid 15 дней назад +2

    Mashallah

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 15 дней назад +2

    Do!!!

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 15 дней назад

    Sheikh mashene aitaki kutumia nguvu

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 15 дней назад

    Na huo mtasbihi kuuvaa kwenye shingo vipii shekh

  • @hashimukiteleko2614
    @hashimukiteleko2614 15 дней назад

    Katika Wana fuzi wako wa 3 basi juwa na mimi nipo katika Hao wanafuzi wako

  • @khatwabhamid9398
    @khatwabhamid9398 15 дней назад

    Mbona kila mawaidha yako ni kutafuta pesa na dunia je huu ndo usulubu wa qur an na sunna za mtume

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 14 дней назад

      Kwan kuomba kuwa na maisha mazur vibaya?naamin ww mwenyeo ni muhitaj

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 14 дней назад

      Quran ndio iliyotwambia tusisahau sehemu ya Dunia yetu. Ila Dunia hii uipite mapito ya kufika kwa Allah.

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 13 дней назад

      NDIO MFUMO WAKE,NA UELEWA.
      KAMA MASALAF KAZI YAO NI KUNADI BIDAA NA KUKUFURISHA TU....LAKINI KWENYE MAISHA WANATEGEMEA KUFADHILIWA NA MABOS WAO TU

    • @khatwabhamid9398
      @khatwabhamid9398 13 дней назад

      @@SaidHassan-ot3un rudia tena maelezo yangu huyo shekh mawaidha yake mengi anahamasisha dunia tu hali ya kuwa jamii haihitajii kuhamasishwa dunia sbb dunia yenyewe inavutia

    • @khatwabhamid9398
      @khatwabhamid9398 13 дней назад

      @@alwiyiynmission2820 kufadhiliwa si haramu hata wanachuoni wakubwa walikuwa wakifadhiliwa

  • @MsyHfd
    @MsyHfd 15 дней назад +2

    Mashallah

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 15 дней назад

      Masheikh wetu wengine wanamawazo gn cjui. Wao wanalala majumba mazuri tena sio moja. Uone kuna waislam wengi sana lakini hawasaidii. Cjui!

  • @NuruJuma-v4s
    @NuruJuma-v4s 14 дней назад

    Mashaallah

  • @Kumbuka_kifotv
    @Kumbuka_kifotv 14 дней назад

    MASHAALLAH

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 14 дней назад

    Mashaallah

  • @AlhajjiMohammed
    @AlhajjiMohammed 14 дней назад

    Mashallah