Joel am proud of you, toka nilipo kujua 2018 nimejifunza mambo mengi sana kupitia videos na vitabu kama timiza malengo yako, the core gineus na money formula. Ila kunajambo linanitatiza; Ndoto yangu nikua na big producing company, na namshukuru mungu kwahilo nmeshaanza hatua za iyo Ndoto although its at ground level. Shida inakuja pale napokua mwenyewe njia nikitembea hua inanijia picha kiwa mbele zatu wetu wengi niwaka nawambia kitu, na mara nyingine hujikuta nikitoa sauti nikiongea na hao watu( mara nyingi husikia raha) baada ya hiyo hali. Je kati ya Ndoto ya kuwa na kiwanda na iyo hali ipi ni purpose yangu
Ukweli katika yote hayo mwsali 5 nina jibu moja tu la kwamba nafanya nini katka mengine itanibid nianze kuyatafutia majibu asante sana kwa message nzuri brother.
Nashukulu kwakua aponlipo n kwamafunzo nyako na msaada wamungu wetu aliye tuuba ila mm naomba msaana katika swala lakujua nnakitugan cha kipekee ndan yangu
Mimi sifa yangu ya kipekee najiamini sanaaaaa yaani ninaweza kufanya kitu peke yangu namshirikisha MUNGU tu, halafu nashinda watu huwaga wanashangaa sana
Nashukuru naendelea kujifunza sana kupitia video zako. Ila nina swali naomba kujua jinsi nawezq pangilia pesa ktk kuanza biashara japo ni nje na somo la Leo but naomba unisaidie
Sasahivi tunakubali kununua MB Kila siku na kukusikiliza mafuzo na ukaamua kuyaishi basi baadae utaambiwa huyu freemason kumbe MB na kupriti vitabu dunia hii hatariiiiiiiiiiiiii wakati unapata au kusikiliza wanakuona mshamba lakini nasema mungu amekuleta duniani kwa sababu ubarikiwe sana sana
Mimi nataka Kuwa tajiri mkubwa sana kupitia biashra na taaluma yangu nilizaliwa kuwasaidia watu wasiojiweza kupitia taaluma yangu na uwezo wangu kiuchumi ,Nina uwezo wa kufanya biashra as I can tolerate risk ,,napoleekea no ,nataka nikumbukwe Kwa mengi mno mazuri ya kuwasaidia watu wasiojiweza watoke kimaisha
Nimebarikiwa bado cjajijua vzr mm ni nan..nafanya kazi naona siridhiki kwa sbb naona kma nahitaji kitu cha ziada vile..mshahara nao naona haitoshi.. kweli nimefurahi kwa maswali hayo
Nakusomaaa kaka wewe ni ndugu hata sasa nakuona ndotoni ukiwa uniejia na ndotoni kabisa na namba yako ninayooo kaka joel nanauka NAITWA KAZUBA JOSEPH. DUCE
Yaani umenigusa sanakujua nakokwenda nikiwa hapa leo mmh
Asnte kaka kwa somo zurii nakukubali kweri
Ahsante brother
Ubarikiwe
Barikiwa,, MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UZIDI KUTUELIMISHA NA KUTUTOA GIZANI
nashukuru,,kwa elimu nzur but changamoto no nyingi ila Mungu ni mwema
Naanza kuyafanyia kazi
Yes
Ahsante sana mungu akubariki
Balikiwa sana kaka unatutoa gizani kwakweli
Joel am proud of you, toka nilipo kujua 2018 nimejifunza mambo mengi sana kupitia videos na vitabu kama timiza malengo yako, the core gineus na money formula.
Ila kunajambo linanitatiza; Ndoto yangu nikua na big producing company, na namshukuru mungu kwahilo nmeshaanza hatua za iyo Ndoto although its at ground level. Shida inakuja pale napokua mwenyewe njia nikitembea hua inanijia picha kiwa mbele zatu wetu wengi niwaka nawambia kitu, na mara nyingine hujikuta nikitoa sauti nikiongea na hao watu( mara nyingi husikia raha) baada ya hiyo hali. Je kati ya Ndoto ya kuwa na kiwanda na iyo hali ipi ni purpose yangu
Brother Joel mimi cna jibu hata moja tena nimechanganyiwa zaidi nakuomba msaada pa kuanzia. asante
Ahsanteee,, Kwa Kutufungua MACHO
Mr nanauka 🔥
"Haufiki mahali kwa sababu papo , unafika mahali kwa sababu umeweka mipango mikakati ya kufika "
Nimeanza kuziangalia video zako mwaka mmoja na nusu lakini kupitia video zako maendeo yangu yamekuwa mara mahamsini na nilivyokuwa 👏👏👏👏
Balikiwa sana
Nice topic kaka Peter mathias swai Dodoma Tanzania, God bless more , brother, Nanaukaa
Brother umebarikiwa Sana Jamani Mungu akubarikiii Sana
Hakika hayo ni maswali logic sana ambayo ninayafanyia kazi kila iitwayo leo. Barikiwa sana bro
Hongera sana coach Joel naendelea kujifunza 🙏🙏
Mungu akuongoze daima my brother
Ujumbe msuri kiongozi
Ukweli katika yote hayo mwsali 5 nina jibu moja tu la kwamba nafanya nini katka mengine itanibid nianze kuyatafutia majibu asante sana kwa message nzuri brother.
Noted with thanks brother Joel
Nashukulu kwakua aponlipo n kwamafunzo nyako na msaada wamungu wetu aliye tuuba ila mm naomba msaana katika swala lakujua nnakitugan cha kipekee ndan yangu
Asante kwa darasa lako kaka!! Me nimefaulu.
much thanks you bro...Mungu azikidi kukulinda na kukujenga kimwili,kiroho na kiakili uwezi kutupa madini ya afya zetu za akili...
Mungu akueke kaka joel na ubarikiwe
Asante sana my brother from another mother
Mungu aendelee kukusimamia my life coach
Your my life director brother
Ujumbe mzuri sana
i see m at the top,be blessed bro...
Wewe acha maisha ya dunia kumbuka akhera
Ujumbe mzuri sana kwangu Kwa siku ya leo
Kweli kk know
Mimi sifa yangu ya kipekee najiamini sanaaaaa yaani ninaweza kufanya kitu peke yangu namshirikisha MUNGU tu, halafu nashinda watu huwaga wanashangaa sana
My leader
My mentor be blessed 🙏
Somo zuri sana kaka ubarikiwe sana
Naeshim san mawazo yako broo 🇹🇿🇹🇿
Amina
Nashukuru naendelea kujifunza sana kupitia video zako. Ila nina swali naomba kujua jinsi nawezq pangilia pesa ktk kuanza biashara japo ni nje na somo la Leo but naomba unisaidie
Sasahivi tunakubali kununua MB Kila siku na kukusikiliza mafuzo na ukaamua kuyaishi basi baadae utaambiwa huyu freemason kumbe MB na kupriti vitabu dunia hii hatariiiiiiiiiiiiii wakati unapata au kusikiliza wanakuona mshamba lakini nasema mungu amekuleta duniani kwa sababu ubarikiwe sana sana
Mimi nataka Kuwa tajiri mkubwa sana kupitia biashra na taaluma yangu nilizaliwa kuwasaidia watu wasiojiweza kupitia taaluma yangu na uwezo wangu kiuchumi ,Nina uwezo wa kufanya biashra as I can tolerate risk ,,napoleekea no ,nataka nikumbukwe Kwa mengi mno mazuri ya kuwasaidia watu wasiojiweza watoke kimaisha
Umenisaidia sana kwenye mafanikio yangu
Naitwa Christian mwaluseke mwanafunz wa NIT dar lakin sijui mwelekeo
True
Joel
Mimi nahitaji kukumbukwa kama mfanyabiashara mkubwa kwa upande wa utalii , ndani ya nchi na nje ya nchi .
Nimebarikiwa bado cjajijua vzr mm ni nan..nafanya kazi naona siridhiki kwa sbb naona kma nahitaji kitu cha ziada vile..mshahara nao naona haitoshi.. kweli nimefurahi kwa maswali hayo
kaka naweza kupata namba yako kwa maswali zaidi whatsapp au kama una group lako la whatsapp unisaidie kuniunganisha
🙏
Nakusomaaa kaka wewe ni ndugu hata sasa nakuona ndotoni ukiwa uniejia na ndotoni kabisa na namba yako ninayooo kaka joel nanauka NAITWA KAZUBA JOSEPH. DUCE
Ile ofa ya ebooks 10 imenikosa nimeiona muda umekwisha, sijui mtaileta lini tena..?
Sijui naanzia wapi bro.lakini nandoto kubwa ya kujakufanya biashara ndani na nje ya nchi.
🤔🤔😢
Tofauti kati ya purpose na destination ni nini
Mr joel sasa mfano kama unataka kuwa mtu flani na kufanya kitu flani lakini kile kitu si sahihi kwako na hujui kama kile kitu si sahihi nifanyeje?
Msikilize vzr
Asnte kaka kwa somo zurii nakukubali kweri