Magesa anahurumisha😢 najua anajuta tu hangekua na roho mbaya kwa mwalimu mgeni..enyewe majuto ni mjukuu huja baadaye... NAPENDA VYENYE AMEJIKUBALI NA ANAVYOJIRUDI..........NAFATALIA SAANA KUTOKA KENYA.....TEAM BABAJOAN🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwalim mgen kanikumbusha mbali sna hata shulen kwetu alikuwepo mwalim aliyekuwa anapendwa na wanafunzi na kupenda vipaji vya mwanafunzi like kama zote hata kama sio mwalim lakn anasifa za ualim kabisa
Eeeh naona Magesa kakubal kiulain 😂😂😂😂😂Aya xx nasubir hatma ya mwalim Jiran nae bila kusahau kutoa shukran na pongez kwa vipaji vy watt ongeren team BABA JOAN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Patronise hii tamthilia itakua kumbukumbu YAKE usoni na atakuja kukushukuru Sana kama MUNGU atampa upeo WA kufikiria alipo toka NAMUONA mbali Sana dogo❤❤❤
Asante mwalimu mgeeni kwa kwaeleza wanafunzi ya kwamba wakishindwa na shule wasije wakavunjika moyo wajihusishe na vitendo mbovu ila waatumie vipaji vyao mungu amewapa kusukuma maisha,,,hapa nje wengi wana vijikaratasi za Degree na masters na ni wafanya kazi wa wasio na hizo vijikartasi
Nimekuwa wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 NAOMBENI LIKE ZA BABAJOAN TAFADHALINI
Maximum mgeni yuko psi sana wanafunzi wanampenda
Mmasai mmoja tu mwenye anafwatilia hili movie naombeni changu na Mimi like wa wingi
Tanzania mnajua ku act halafu huyo msichana wa tenzi nimemkubali yuko poa nasauti safi ❤❤❤❤💋💋💋💖💖💖💖🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Magesa anahurumisha😢 najua anajuta tu hangekua na roho mbaya kwa mwalimu mgeni..enyewe majuto ni mjukuu huja baadaye... NAPENDA VYENYE AMEJIKUBALI NA ANAVYOJIRUDI..........NAFATALIA SAANA KUTOKA KENYA.....TEAM BABAJOAN🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Likes za mwalimu mgeni hapa jameni❤❤
Leo mm ndio nimekuwa wa kwanza kutoka uku kenya ....nnaomba mnitumie likes zenu❤❤❤❤❤❤
Mwalimu mgeni anatia moyo kweli. Waalimu wangukua kama yeye,wanafunzi wangepita mitihani wao saaaana. ,,PAULL🇰🇪❤❤
Wa kwanza kwa hii part nipe like ata tano zinatosha
Sawa Zita tosha
Mwalim mgen kanikumbusha mbali sna hata shulen kwetu alikuwepo mwalim aliyekuwa anapendwa na wanafunzi na kupenda vipaji vya mwanafunzi like kama zote hata kama sio mwalim lakn anasifa za ualim kabisa
tuzikwe wote baba john❤️❤️ Movie ndan ya Movie🔥💯🔥💯💯💯
Tenzi nzuri kbs vipanji vyenyewe viziriiii sana Rwanda huku tunawapenda nyinyi wa Tanzania
Tunawapenda pia
Patronize anajuwa imba sana zaidi kabisa natumaini atafika mbali sana makofi kwake tafhadali
Wale wakenya tukusanyike hapa, Baba Joan huyu wa utenzi nimetokea kumpenda sana😬🥰🥰🥰❤️
Mimi nampenda kwwli❤
Aaahhh!!! Mwamba patronize anajua kuimba corals imekaa inatakiwa aendelezwe zaidi ana kituu atafika mbari sana apewe maua 🎉🎉🎉🎉🎉 yake❤
Eeeh naona Magesa kakubal kiulain 😂😂😂😂😂Aya xx nasubir hatma ya mwalim Jiran nae bila kusahau kutoa shukran na pongez kwa vipaji vy watt ongeren team BABA JOAN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimejifunza mengi kupitia hii movie ya MWALIMU MGENI 🎉🎉🎉❤❤❤MASHALLAH 🥰 🥰 🥰
Mwalim mgeni aki sawa
@@user-kg9cw5zv9f walhi billah
Ni nzuri sana
Kama Kawa Wa kwanza kutoka Kenya napenda kazi yenu ❤️❤️❤️❤️❤️ nipewe likes
Wakwanza leo from kenya🇰🇪 much love✊✊
❤❤
❤❤❤
Is there anything you can do that I see child support in a Tanzania
❤❤❤❤
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dah patronas kipaj kikubwa san hongera mungu akusaidie ufke mbali mdogo wang 🤲🙏
Watoto wanamupenda sana mwalimu mgeni mary kutuka kenya
Enjoy marry kalibu Tz
Nimechelewa leo😢😢😢.love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI, naitaji ma likes jameni
Urikua wap pakakucherewa
Nimekupa hiyo chukua
Nilishinda mu shooting
Likes za patronizer leo hii❤
Pertronize nakukubali kinoma yani ❤❤much love from kenya 💚❤❤❤
Namkubali patronize kinoma
Much love 💗💗💗 Mwalimu mgeni kwa jinsi unavyofundisha likes kwa wingi
Baba tupeleke mpaka mwisho yaan hii tuleteee hata ep ya 100 tuko pa1 sana na ww mpk tujuwe hatma ya sir making 😂
Aminiaaa at me naxubr ad episodes 300,000,000,000,000
Dah hii movie kali sana aisee Baba joan we noma mzee umenikumbusha ELECTOLYSIS
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 much love ❤
Noma sana nawakilisha kutoka kulasi magoma tanga buradani iendelee naombe like
Nmependa huo wa kufokea dadake keep up my brother am from Malindi , Kenya
Pamj kaka salimiana apo brighthways and l wish them success in their exams it's me Vincent
Wakwaza Léo nipeni liker ❤❤❤❤
Umetisha sana nimrjaribu kua wa kwanza ila no were👊🔥
Upcoming artist from Kenya 🇰🇪 enjoying watching mwalimu mgeni episode 13 thank you
Jamn mwalimu mgen Naku penda bure
Baba Joan wew n mealim maana hata mwandiko mzur
Ni mwalimu by professional
Wow good teacher bunajuwa kabisa walimu Woote wangekua hivo wanafunzi wangeelewa kila somo nawapenda kutoka Burundi
❤❤❤❤ j'aime trop votre série. Je vous suis 5/5 depuis le grand Congo 🇨🇩🇨🇩
Kiukwe nikazuri sana afu mwalimu mugeni kwako ni pigap sana kabisa unatutowa stresse
Wapy like ya patronize na wenzake❤️❤️❤️
Jamani nimechelewa sana leo mnipe hata like zangu 5 tu
Wakwanza From Drc 🇨🇩 nipe like zenu
Congratulations mwalimu mgeni Moja wapo idea ya ufundixhaji💙
Duh min7 views 500 hii noma kazi nzuri Sana❤
Ndonafika kwa mwalimu mugeni ❤
Great job Dad Joan
Mmh kiukweli mwalim mgeni na patronize kwenye igizo hili nawapa bigup mnaweza Mungu awafikishe mbali congratulations
Patronais courage unaimba safii nasauti nzuri ❤❤❤❤❤
Nyiote nawapenda saana
Baba joan naomb account anotumia huyu patronize anajuwa kwelii kuimba anakipajii haswa huyu patronize❤❤❤
❤zasubui wapendwa tunaxhukulu sana🎉 kwaumakini wa mvi hii nimekubali😂 asate sana
From Kenya am here for baba joan🇰🇪🇰🇪
Yaan ni mwendo wakudaka tu hakuna kuchelewa😂😂😂😂❤
Huyu Patronize ana kipaji sauti nayo🎉🎉🎉Mbosso wa kesho💯💯💯
Nakubali your teaching tecknics are very paramount. Congratulations. 🇰🇪
Wote wame tisha hongera zao wanafunzi walioonyesha vipaji vyao
Waste of time
Yaaani Patronize kipaji chake kikuzwe natamani na mie niwe kama yeye🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Never give up 👊
Wa kwanza Leo naomba like zenu
Tunakupenda sana mwalimu mgeni ❤❤❤❤I like this movie from my heart ❤️ good job
A teacher from Kenya,,,,,,,bravoo mwalimu mwenzangu
Leooo nimekuwa wa kwanza naombeniii like zenuuu
Patronise hii tamthilia itakua kumbukumbu YAKE usoni na atakuja kukushukuru Sana kama MUNGU atampa upeo WA kufikiria alipo toka
NAMUONA mbali Sana dogo❤❤❤
Kabisa
Nko APA mombasa na enjoy episode ni nzuri sana...naona kipara kimeamua kuomba msamahaa 😂😂😂
😂😂😂😂😂yo braza wakufokea anapendeza akona talanta aki😅😅😅😅😅 nimeipenda 😅😅
Hakika kanajua kuimba mungu akusaidie utunge vitabu
Mwalimu mgeni umeweza kweli. Unajua kukuza vipaji❤
Huyu patronize asipoimba nachanganyikiwa sana aiseee 🎉🎉🎉🎉🎉
Like the talent in these children...
Fred Mukaria News showing love from Kenya
Wow wow wow mehn am Rayswill from Kenya.wapi like zangu
Asante mwalimu mgeeni kwa kwaeleza wanafunzi ya kwamba wakishindwa na shule wasije wakavunjika moyo wajihusishe na vitendo mbovu ila waatumie vipaji vyao mungu amewapa kusukuma maisha,,,hapa nje wengi wana vijikaratasi za Degree na masters na ni wafanya kazi wa wasio na hizo vijikartasi
Watching from Saudi Arabia Mwalimu mgen uko juu Sana haya team Strong karibuni sima mayai 😂😂😂😂😂waiguru bado kalala
🎉We acha maana wakiamka utasikia kadama
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 15:26 ndagakunze kabsa move ikosoye I love this Congratulation
Nimevutiwa sana na uyo mwanafunz mwenye kipaji cha kutia huruma......from iringa tz...
Natamani kurudi shule.. hongera sana mwalim mgeni kwa taranta uliyopewa na MUNGU 👏👏
Aloo sijawahi kuwa wa kwaza ata nikijitahid bigup wadau
Congratulations baba Joan simama wima usikatee tamaa kwa kuwa duniani twaishi na wanafiki am from Kenya kipindi chako kimenifurahisha mno
Not only from Tanzania by am also watching you from meru Kenya . Much love you Baba Joan
ruclips.net/video/hSSpyiSSBJA/видео.htmlsi=4zssg57nzj-gMyH9
Nairobi hapa mwalimu mgeni ako bie yaani ako sawa saaana anajua kuwaelewa wanafunzi wengine waache wivu watie bidii❤
Jamani hiki kipindi nikizuri sana naomba kiendelee mwaka na zaidi😂🇺🇬🇺🇬
Safi sana mtunzi hasa baba Joan kwa kuwaweka watoto vyema kila kipande katika series hii iko poa sana
Vraiment ce série est très touchant
Toka nilianza kuona sijawai penda magesa Leo nimempenda kabisa
Wakenya tupo wengi sana tupeane like Kwa Ajili yamwalimu mgeni
Kufunza biology kwa kiswahili, daaah balaaa😂😂😂😂 likes za Mwalimu Mgeni❤
Mimi ningesoma hii shule ningepita
Okoaje
WaKenya tupo pia...kutoka part 1 hadi apa part13 like zetuuu
Kazi nzuri Baba Joan naipat nkiwa Saudia 🇸🇦
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 like zangu jameni
Cjachelewa vile❤❤
Patronise yuko vizuri❤❤❤🎉🎉🎉
Hao wanafunzi wana vipaji sana sana... Eeh🙌🙌🙌 watafika mbali sana
Nakupenda kaka mwalimu mgeni hii mifano ya kufundisha sawa kbs
Hii series ina uhalisia sana sana yani hadi nahisi nipo eneo la tukio
Amini usiamini HUYU mwalimu mgeni anacho kifanya ni zaidi ya taaluma Big up kwakee🤜🤛
Wakwanza ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Voce amigo é professor mesmo baba joan. Se todos professores fossem assim os nossos alunos serial bons. Parabens❤❤❤❤
😂😂tunakubali allah aku udumishiekaziyako
😊
Hii ngoma ya Patronize ya Kwenda Studio kabisa isipotee tu kizembe🎉🎉🎉🎉
Umeona kama Mimi aise❤❤❤❤❤
Aseeeh tna hraka sana jamani mbna hvo
@@user-go5cj7um8q Najivunia kuzaliwa Tz🇹🇿 nchi iliyo Barikiwa vipaji mbalimbali
@@user-go5cj7um8q Jamaa tungemchangia hata TSH 1000 hawezi kurecord kweli Kwa idadi tu ya watu 1000?
@@user-jf8vw8pr6n Hao madogo Wana vipaji inatakiwa tusupport vya kwetu Siyo kila siku South Africa,Nigeria na U.S.A tu
Kenya bungoma much love❤❤❤ likes tano
Très intéressant vraiment je vous suis depuis la RD Congo 🇨🇩🇨🇩
ruclips.net/video/vkVJE2FW9vc/видео.htmlsi=XtnHBvvyxTOX9a_F
Mwalimu mgeni Ni mzuri sana❤❤❤❤
Mwenye roho nzuri mwalimu mgeni
I love Tanzanian Education,,, Collins from Kenya
Na mwalimu magesa anakaa kweli mchawi😂😂😂
Much ❤ @ Teacher Mgeni and ua b ❤d student.from Kenya 004 county
Mwalimu mgeni unafundisha vizuri kabisa ,tunakufuata tukiwa Rwanda 🇷🇼
Patronize nyota huyo WASAFI mchukueni! Acting mko sawa sana wa bongo nawakubali.
Huyo mwanafunzi alikua na kilanga sana hadi alikua anamwambia mwalimu basi nimekubali unipe mimba😂😂😂😂
Kwakweli
Lakini kusema ukweli huyu Patronize akoo na kipaji ya uimbaji...sauti yake nyororooooo