MWALIMU MGENI ❤️ /17/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2023
  • #babajoan #school #comedy #lovestory
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 201

  • @mickeymumo11
    @mickeymumo11 7 месяцев назад +7

    Watching from Mombasa Kènya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love Baba Joan alaf muongeze muda kiasi zimekuwa fupi sana💞

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 7 месяцев назад +11

    Wa kwanza love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 please mnipee like

  • @jaydannychawaboy5418
    @jaydannychawaboy5418 7 месяцев назад +6

    Leo nimechelewa ila sio sana yule anaenijua mmmm basi nataka likes 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @christinearegai8092
    @christinearegai8092 7 месяцев назад +5

    Mwalimu makeza anafunzo kutoka sehemu ya kwanza hadi sehemu ya tano maanake twajifunza kwamba kila mja umwonae kacheka nawe basi kuwa makini sana na watu
    A kenyan follower

  • @tomke5953
    @tomke5953 7 месяцев назад +16

    nipeni maua yangu 😂kutoka kenya❤❤ much love baba joan hongera

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 7 месяцев назад +11

    Kazi mzuri sana ila episodes zikiwa fupi sana inazingua ...atleast dak 15

  • @annaki318
    @annaki318 7 месяцев назад +60

    Jamaniii hizi kazi khaaaaaaa😢😢😢😢😢 ni ajabu sana hiii ndio Dunia ya Leo furaha ya mwalimu mgeni inampa tabu Sanaa mwalimu magesa😢😢 ni huzuniiii tupuu😢😢

  • @michaelwafula455
    @michaelwafula455 7 месяцев назад +7

    Much love from Kenya 🇰🇪. We are patiently waiting for the next episode. Please leo nipe ata like juu nimewai

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 7 месяцев назад +7

    Jameni Mimi Leo nimechelewa 😢wapi likes za wamwisho leo😅😅😅😅😅😅😅😅😅lots of love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 7 месяцев назад +10

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI.

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 7 месяцев назад +10

    Much love kwa baba Joan na timu mzima good job 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-yg3hi4zz1t
    @user-yg3hi4zz1t 7 месяцев назад +5

    Naomba namba ya patronize nimliwaze🙈😂

  • @NelcyAfrica
    @NelcyAfrica 7 месяцев назад +13

    Baba Joan vile umeigiza kwa mtindo huo you are very talented ❤❤❤ from Kenya

  • @user-ym3ul9kj2y
    @user-ym3ul9kj2y 6 месяцев назад +1

    Na mwalimu mgeni alivofanya katika filamu anayoyafanya katika filamu ni nzuri sana❤ nimeipenda🎉💖

  • @dominicomari7040
    @dominicomari7040 7 месяцев назад +6

    much lovely baba Joan Mungu hawe nawe nimejifunza mingi kwako

  • @franciscassian
    @franciscassian 7 месяцев назад +5

    Kuna nguvu mbili zinashindana

  • @nishimagizwelambert8113
    @nishimagizwelambert8113 7 месяцев назад +2

    Aksante Bwana Joan, ninaangalia kutoka Burundi 🇧🇮. Ni bitu binafika maishani

  • @AmericoErnestoLucas-tn4dn
    @AmericoErnestoLucas-tn4dn 7 месяцев назад +7

    Watching from Mozambique 🇲🇿.

  • @AsmaahJuma-ki5pn
    @AsmaahJuma-ki5pn 7 месяцев назад +16

    Much love baba joan good job❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @jesusiscomingreceivehimtoday
    @jesusiscomingreceivehimtoday 7 месяцев назад +2

    Baba Joan kazi nzuri kbs ufanyayo. Kigali, Rwanda napenda unyenywkevu wako kbs

  • @Official-Bee
    @Official-Bee 7 месяцев назад +3

    Dakika chache bana, jamani ongezeni zifike ata 15

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 7 месяцев назад +3

    Ooohyeee mwalimu mungeni utakuwa tu sawa

  • @paulinewambo001
    @paulinewambo001 7 месяцев назад +3

    Watching from Nairobi Kenya ❤

  • @Phoebe-rs1wf
    @Phoebe-rs1wf 7 месяцев назад +11

    Only babajoan’s fans will like this comment

  • @jimmyActor-em4fn
    @jimmyActor-em4fn 7 месяцев назад +5

    Much love from Nairobi Kenya

  • @dokorati
    @dokorati 7 месяцев назад +4

    Wakwanza leo form Kenya 🎉

  • @Ibrahdanofficial
    @Ibrahdanofficial 7 месяцев назад +20

    Watching from Nairobi Kenya 🇰🇪 🎉 much love ❤

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz 7 месяцев назад +2

    Hii season isiishe mzee
    noma sana

  • @user-rp5vt2gk6z
    @user-rp5vt2gk6z 7 месяцев назад +4

    Baba Joan pole sana yatapita shaa allah 🎉🎉🎉🎉

  • @user-gt6qt6yu8b
    @user-gt6qt6yu8b 7 месяцев назад +1

    Jaman ukali wa maneno😀kujisaidia ingefaa zaidi

  • @RAJJOHNSONS
    @RAJJOHNSONS 7 месяцев назад +4

    😅😅😅 kaka wwe ndiye ulibaki kanumba siku hzi, kazi nzuri hyo

    • @Maximilian_5TV
      @Maximilian_5TV 7 месяцев назад +1

      Aaah jamani..... Kanumba aendelee kulala pema peponi

    • @RAJJOHNSONS
      @RAJJOHNSONS 7 месяцев назад

      @@Maximilian_5TV kazi yake baba Joan ukweli mmi naikubali

  • @stephaniagondwe6218
    @stephaniagondwe6218 7 месяцев назад +2

    Mwalimu linarohobaya

  • @user-oj7jo2st8v
    @user-oj7jo2st8v 7 месяцев назад +8

    Tupo chap chap❤

  • @RahmaRamadhan-us3kr
    @RahmaRamadhan-us3kr 7 месяцев назад +1

    Daah inanisikitisha jamni mwl mgeni amekuwa chizi furaha ya wanafunzi ni Mwl mgeni Leo wanafunzi wamepoteza matumaini mwl Magesa utaumbuka vibaya Mungu atamponya mwl mgeni 😢😢

  • @ronnybthebigboy
    @ronnybthebigboy 7 месяцев назад +1

    Only 9 minutes 😮😮😮 àaaah... Fupi sana banaaah weka 15 ama 20 bana we wait for long time mbaka kufika mpost

  • @saidmnumba5948
    @saidmnumba5948 7 месяцев назад +1

    Naleoo like zangu nimewai 1000

  • @HafranaSaved
    @HafranaSaved 7 месяцев назад +2

    Wa kwanza Leo naomba like vipenz

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 7 месяцев назад +3

    Baba joan nawapenda nyii watu

  • @MaureenNafula-we6bl
    @MaureenNafula-we6bl 17 дней назад +1

    Baba joan is a good actor God bless you

  • @tobiaswamalwa2667
    @tobiaswamalwa2667 7 месяцев назад

    Watching from +254 much love kwa mwalimu mgeni

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 7 месяцев назад +1

    Nzuli ila kafupi kweli daa😢😢 poleni Sana chapu kwa 18

  • @AngelAngel-wc9hd
    @AngelAngel-wc9hd 7 месяцев назад +9

    Much love baba joan good job❤❤❤❤❤

  • @mobastian5050
    @mobastian5050 7 месяцев назад +1

    Baba Joan Bora uwage chizi tu hvohvo😂😂😂 unapendezaea😂😂😂😂😂😂

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 7 месяцев назад +3

    Wa elfu moja mm😂😂😂

  • @user-ov5bg7mi2o
    @user-ov5bg7mi2o 6 месяцев назад

    Kazi nzuri nimeipenda big up

  • @user-bv5nc9hx8t
    @user-bv5nc9hx8t 7 месяцев назад +2

    Mbona miendelezo inatolewa ya dakika chache saaana wapendwa?

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 7 месяцев назад

    Kazi nzuri sana bba Joan ❤❤❤❤❤

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 2 месяца назад

    Hawa walimu wa kike wameiva KIMAADILI na UNASIHI mzuri kwa wanafunzi wao .

  • @user-zs7co2co9q
    @user-zs7co2co9q 7 месяцев назад

    Uko vizuri san baba Joan keep it up

  • @IvyBonareri-en3ht
    @IvyBonareri-en3ht 7 месяцев назад +2

    Good job baba joan and your group ❤❤❤🎉

  • @user-sw7uv3on5u
    @user-sw7uv3on5u 7 месяцев назад

    Iyo nmeipenda can mwalm mgen natamani ixiwe na mwixho

  • @user-pj8ul5hz8e
    @user-pj8ul5hz8e 7 месяцев назад +1

    Penda sana mwalimu mgeni ntakuja kukusaidia❤

  • @NelyNehema
    @NelyNehema 5 месяцев назад

    Mungu atuurumiye kweli kukuwa mupole ni shida

  • @user-fn6tb3si7m
    @user-fn6tb3si7m 7 месяцев назад +2

    Waoooh hatimaye tena❤❤

  • @user-tv8hx5bx8t
    @user-tv8hx5bx8t 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤ namkubali sana tu brought

  • @silverstarflexrono
    @silverstarflexrono 7 месяцев назад +1

    God bless you babajoani

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 7 месяцев назад +2

    Ilo tumb la fet😂😂😂linachekesha kwa kwel

    • @user-fh6vu2fw8c
      @user-fh6vu2fw8c 7 месяцев назад

      Hahahaha 🤣🤣🤣 lachekesha tena sana😂😂

  • @jafarysoahsoah8530
    @jafarysoahsoah8530 7 месяцев назад +1

    Mapema sana like zangu

  • @MartinSimba-dg5qc
    @MartinSimba-dg5qc Месяц назад

    Mwalimu aliye mfanya mwenzake uchizi apaswi kusaidiwa

  • @joshuakorir2003
    @joshuakorir2003 7 месяцев назад +1

    Mwalimu mgeni wooye

  • @user-ii3rb6uj7g
    @user-ii3rb6uj7g 7 месяцев назад

    Nmependa sana hii movie mnpee like

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 7 месяцев назад

    Nimependa vyenye madam Esther na Vicky vyenye wamechukua nafasi ya kumshauri feti..maana sio waalimu wote hufanya Ivo...pili Baba Joan part ya chizi umecheza 🔥🔥🔥🔥 #teambabajoan

  • @JosephMtui
    @JosephMtui 7 месяцев назад

    Mwalimu mgeni umetisha sana

  • @user-vj5ph8zm7x
    @user-vj5ph8zm7x 7 месяцев назад +1

    Wakwanza mm apa

  • @user-cw5do7bj4b
    @user-cw5do7bj4b 7 месяцев назад

    Mwalimu mgeni na Magesa ongezeni dakika, ni nzuri sana

  • @rosewandera2095
    @rosewandera2095 7 месяцев назад

    Jamani kweli mwalimu mugeni pole sana 😢😢😢😢

  • @RobinsonAmiani-sm9mc
    @RobinsonAmiani-sm9mc 7 месяцев назад

    Kazi nzuri

  • @EthbTailor
    @EthbTailor 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤ noma sana Big up

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 7 месяцев назад

    Haaamimba kama kweli rk yangu🎉 jamani❤

  • @JoyceMkirindi
    @JoyceMkirindi 7 месяцев назад

    gd job baba Joan God be with u

  • @MaombyBeba-ck1gf
    @MaombyBeba-ck1gf 7 месяцев назад +3

    Like zenu hapa❤❤❤❤❤❤

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri ssna ❤❤❤salute 🫡

  • @user-xp1bl9dd7e
    @user-xp1bl9dd7e 7 месяцев назад

    Great job keep it up

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 месяцев назад

    😢😢😢 masikini mwalimu mgeni

  • @user-ub9fd6xy5f
    @user-ub9fd6xy5f 7 месяцев назад

    Jamaniiii! Mmmmhh! Ni hatar sana

  • @Johar903
    @Johar903 7 месяцев назад +1

    Safi sana❤❤❤

  • @menzedickaliera4634
    @menzedickaliera4634 7 месяцев назад

    Nawapenda wote

  • @joelynassarynassary7257
    @joelynassarynassary7257 7 месяцев назад

    Bigg talent Baba Johan🤝🤝

  • @tauhidakhamis1657
    @tauhidakhamis1657 7 месяцев назад

    Dah jamn binadam wabaya hee

  • @user-nz9ej6vr5k
    @user-nz9ej6vr5k 7 месяцев назад

    Watch from kenya ❤❤❤🎉😢😢

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 7 месяцев назад

    Hii series itatamba hata mwaka 2070 km inavyo tafutwa Tamthilia ya Tausi

  • @user-ct3dm7ij8o
    @user-ct3dm7ij8o 7 месяцев назад

    from tz one boy never give up

  • @maryd1538
    @maryd1538 7 месяцев назад +1

    I love team baba joan❤❤❤

  • @user-nh6nt2mf6r
    @user-nh6nt2mf6r 7 месяцев назад

    Nimeipenda asama👏🙏

  • @exaverymakoye6026
    @exaverymakoye6026 7 месяцев назад

    Haya ndo maisha tulionayo sasa katika jamii watu wanatuombea Uhai ili tuishi kwa Mateso😢😢😢

  • @user-ix9kq6ke2m
    @user-ix9kq6ke2m 7 месяцев назад

    🎉🎉🎉sio pow

  • @MariamHasan-sm7gj
    @MariamHasan-sm7gj 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤iko pw lakin Kuna udhun

  • @Nasma-ip8de
    @Nasma-ip8de 7 месяцев назад

    Hatari sana

  • @emmyhayanga9608
    @emmyhayanga9608 2 месяца назад

    Wapo wengi kwenye dunia tunayoishi

  • @user-on7in9tz6e
    @user-on7in9tz6e 7 месяцев назад

    Kazi njema

  • @ayshaaysha3489
    @ayshaaysha3489 7 месяцев назад

    Djamani.mwalimu mgeni.wema.unakuponza 😭😭

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 7 месяцев назад

    Hayo maisha yapo mitaani hata kazini

  • @user-no7ev8he6y
    @user-no7ev8he6y 7 месяцев назад

    Unyama sana

  • @sergesnshimirimana6049
    @sergesnshimirimana6049 7 месяцев назад

    Noma

  • @priscillawanjiru239
    @priscillawanjiru239 Месяц назад

    Mwalimu mgeni kafanya nitie machozi😭😭

  • @PriscaKigawa
    @PriscaKigawa 7 месяцев назад

    Uyu mwanafunzi mwenyekifurushi au mimba afukuzwe Shure t

  • @alfaksadkayombo789
    @alfaksadkayombo789 7 месяцев назад

    Najifunza kitu apa

  • @MartinSimba-dg5qc
    @MartinSimba-dg5qc Месяц назад

    Huyo ni nyoka tena wa summer kali

  • @BrianOdipo-jw6jo
    @BrianOdipo-jw6jo 3 месяца назад

    Watching from Kenya Nairobi much appreciated guys l need your likes

  • @user-bx5yg3if2x
    @user-bx5yg3if2x 4 месяца назад

    Kunya mavi katikati ya soko😂😂😂 ila mpo vizuri sana❤