Shabiki wenu shakiki tokea Kenya tangia mlipoanza na npo nanyi Sako kwa bako ila natia huruma Sana role anayoicheza mwalimu mgeni sehemu hii ya pili jameni
Olaa watu wangu mm km team strong Leo ndio wa kwanza Niko apa kwa kuwakilisha Wana haman like zangu please love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦n km wapenda mwalimu mgeni mpaka apa usipite bila like
Kwani mpaka mtu awewakwanza ndoanapata like mm nimekuwa wa 39 kucoment naomba like namm team baba joan we are strong💪 kama naww ni mmoja wao gonga like👍
Mwalimu wakike mzuri unakuwa na mambo ya ajabu ajabu kama sio binadamu mpumbafu na nusu acheni watoto wamekubali mwalimu mgeni hata mimi nilimpenda mwalimu mmoja tuu nilipokuwa nasoma nilikuwa namuelewa mpaka sasa
Nawafuatilia sana, yaani hapa Leo acha nikupe maua yenu tu, Kila mmoja kati yenu naona amesimama Kwa nafasi yake. Songeni mbele zaidi ktika haya munayo tufundisha sisi kama wazazi.
Mwalimu ntusubhile ilitakiwa ubadirike uwe na akili kubwa zaidi ukiwa mwehu hivyo hivyo na uwe unaingia darasani unaupiga mwingi na kimombo kama chote yaani 💃
Mchezo mzuri alafu unafunza sana kweli binadamu hatuna imani 😢na wote tunaowaona sio matahira ni hasadi tu ya binadamu 😢😢 hongera sana mwalimu mgeni ❤
Wooow wooow!! Nikuwa nawasubili Kwa hamu kazi nzuri❤🎉🎉🔥
Shabiki wenu shakiki tokea Kenya tangia mlipoanza na npo nanyi Sako kwa bako ila natia huruma Sana role anayoicheza mwalimu mgeni sehemu hii ya pili jameni
Tangu mm nianze ku comment sijawayi pata like ata moja kwl
UMEIONA YANG
Maalim magesa acha roho mbaya..mwaanzishaji huwa haonekani mbaya. Lakini mmalizaji ndio huwa anaonekana mbaya.nikweli si kweli😊😊😮❤
❤❤you nawapenda
Magesa aumbuke mapena nakile kidada chenye matako kinacho mutetea magesa kipakwe maviii mana kinajifanyaa kina kinyaaa❤😢😢hiki nikikutana nacho hatakama ni maigizo nitakilambishaa maviii ya sasaaa😢😢mwalimu mgenii tupo sambambaaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi safi sana nipe like jamani from Mombasa kenya
Olaa watu wangu mm km team strong Leo ndio wa kwanza Niko apa kwa kuwakilisha Wana haman like zangu please love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦n km wapenda mwalimu mgeni mpaka apa usipite bila like
Mm pia kutoka KE
Much love from Kenya , you are doing more than wonderful job, keep it up brother, tuko nyuma Yako kila wakati 🎉🎉🎉
Kwani mpaka mtu awewakwanza ndoanapata like mm nimekuwa wa 39 kucoment naomba like namm team baba joan we are strong💪 kama naww ni mmoja wao gonga like👍
❤❤❤❤❤❤❤❤great job mwalimu mgeni .keep up the good work you are doing to educate the community about loving each other while at work.
Mwalimu wakike mzuri unakuwa na mambo ya ajabu ajabu kama sio binadamu mpumbafu na nusu acheni watoto wamekubali mwalimu mgeni hata mimi nilimpenda mwalimu mmoja tuu nilipokuwa nasoma nilikuwa namuelewa mpaka sasa
Ndugu iyo move tu
Mwisho wko wakaribia magesa,ila vile jiepushe n matatizo yasio kua y lazima,❤❤❤❤nawapenda bure
Mungu atamsaidia atapona
Mwalim mgeni nakubali kazi Yako
Nawafuatilia sana, yaani hapa Leo acha nikupe maua yenu tu, Kila mmoja kati yenu naona amesimama Kwa nafasi yake. Songeni mbele zaidi ktika haya munayo tufundisha sisi kama wazazi.
Mwalimu.Mgeni.hongera.kwa..kupona..huyo.magesa.mchawi.sana.Mungu.Atampiga.fimbo.wewe.nenda.sana.kwenye.maombi.Yesu.Atapambana.nao.kwa.kuwa.wako.wenngi.wasiopenda.kaxi.zako
So much love from Kenya ❤❤❤❤ me wa qwanza
Dah hii movie ni Kali balaa ctaman ata iishe
Magesa anaroho ya shetani mungu atamponya mwalimu mgeni amin
Kabisaa
Kweli
Love much from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤kazi nzuri bba Joan maua yako 🎉🎉🎉
Mwalimu magesa ata shetani anakuogopa mwalimu mugeni atapona tu isha Allah
Dah move ulikuwa nzuri vipande vya mwanzo sasa inavyozidi kwenda mbele unazidi uongo na utoto mwingi sasa mnaharibu
Acheni wivu nimewahi ila huu madam mmmmm hayuko sawa malipo nihapa hapa dunian tu acha tuone mwisho wake
Mimi Leo ndo wa kwanza jaman nataka nione ss
Kama una mwamini mwalimu mgeni likes
Aiiii leo tena mm wa kwanza ❤❤❤❤❤❤naombeni like zenu miee❤❤❤❤
Hawa wapuuzi walimu washenzi mm sikua natambua walimu washezi ka hawa walikua wananiogopa😅
Ipo vzr sana
Love you so much from BURUNDI 🇧🇮💓💗
Naomba tu muimalizie na naombi maana mganga no mchawi😢😂
Love the series ❤❤❤from Kenya
You 🎉
Magesa mbaya San na hiyo sura yake ilivyo kuw ngumu hivyo na roho ni chafu
Anatsha
Màgesa unaroho ya kichawi kbsa aaah wew ht sjuw uko je😢😢 nakupend San asha patronize na mwenzu watatu mungu awabark na muendelee na moyo huo huo ❤❤❤
Mwalimu mgeni on fire
Leo wa Kwanza gonga like kwa weng
Kazi nzuri sna
Yan kwakweli mwalumu magesa urayake inaeda na roho yake ❤❤❤
Naaaaam
Asante @@UmaziKaingu
Uyu madam vicky kiburi kwli na vijiguo vyake hivi😂
Nakubali unyamwezi wako papa John's
Khaa jaman ndo kwanza imeanza lakin watu mmeshajazana kila mtu wa kwanza na mm basi sijachelewa sana😜😜😜
Wakwanza ote leo naomb like zng
rgood work ❤❤❤ mwalimu mgeni fatuma from Kenya
❤❤❤
Hivi waomba comment mnalipwa? Maana sijui kila mtu anaomba like tu. 😢😢😢😢
Utadhan wameigiza wao xaxa😅😅😅😅
Wape tuu' na chukuws hiooo ni bure
.li😮
Nl😅
Unakipaji kaka ongeza muda unatupatia dakika chache
Apone chap chap Magesa anazingua
Mwalimu Mgeni Worldwide 🌹🌹🌹🌹🌹💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥
Hongela 😂ila umefeli kweny viboko
Mm simpendi uyu dada mwenye makalio makubwa sana.uyu maana ayo mavazi ahadi kelo
Asante ni Kwa kazi nzuri
❤❤leo kimemramba magesa
Mwalimu mgeni episode 22 by kesho Ako..tunaingoja
jaman m wa kwanza leo ko naomba like za kutosha
Mwalimu mgeni good work . i love ur work ❤❤❤❤
Nakupenda san mwalim mgen kaz nzuri❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤😅
Mmi siku zot nakuw wamwish❤
Wa ishirini Leo mm
Wakwanza leo naomba like zenu
Kazi nzuri baba Joan Mungu azidi kukuongoza vyema 💖💖
Jamaaneeeeeeeeee wa 98 haya nipeni izo laik nijue pa kuzipeleka
Fast view ❤ from Somalia
Japan huyo mwalimu Ana roho mbaya 😮😮😮
Thenk you director.ila kusichelewe mwalimu mgeni kutowa episode
Mungu atamuponya
Wakwanza kutoka Kenya, wapi like zenu??
Maua yangu
Nakubali
Uyu makalio ni kiherehere Sana na mtakujajuta navuy
Hv jaman mm nikitaka yote hii naipataje 😒😒😒
Mwalimu mgen yupo vzur
naomba sehem ya 22
Kazi nzuli
Dio❤❤❤😂😂mwlimu ukopw unpenda
Watoto
Aki.kenya😅❤❤❤❤❤❤ 9:42
Mwalimu ntusubhile ilitakiwa ubadirike uwe na akili kubwa zaidi ukiwa mwehu hivyo hivyo na uwe unaingia darasani unaupiga mwingi na kimombo kama chote yaani 💃
Big up
Mwarimu mugeni ataponà❤❤❤❤
Mwalimu
Nipo msumbiji nampenda mwalimu mgeni
Kaka unajua sana unakipaji ila shida unachelewa sana kurusha vitu aisee jaribu kuongeza muda kama mwanzo
Nimewahi Leo naombeni like zangu😂❤
Mwalimu mgeni nimekukubali mno tu umefundisha jamii sana na wenye tamaa
Kila siku nachelewa😂😂❤❤❤
Much love from Kenya mambo yanazidi kuchemka
Nahurumia saana mwalimu mgeni😢
Kazi nzuri ila makosa mengne co ya kuchapa mda mwingne ni ushauri tu unatosha
Good job. Congratulations from Kenya
Huyu madam anakera na anaroho ya kichawi
Mwisho waubaya ni aibu we.madam viki acha kihelehele
Mwalim magesa acha roho mbaya sanaaaa na madam vicky pia
Ila baba Joan huyu madam Vick ajitaidi avae uhusika kama mwalimu kweli haya mavazi siyo sahihi,, ila kazi nzuri sanaa
Amevaa hivyo na matendo yake yako kama mavazi yake kuna kitu hpo serikal ikiangalie vyuoni walimu wanapotekea
Kazi njema
Karibu na wa Kwanza wapi like zangu
.magesa shetani kabisa from 🇰🇪
Wa kwanza kabisa leo
Wueeeh hii ni Kali am eager to watch to up to the end ❤❤
Wawo mwalimu mugen l foll u from malawi
Roho mbaya kitakuramba magesa like from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Saf san❤❤❤nawapend san wat wangu
Katika move ambazo ziko vizuri hii ya 2
Joan nakupata vyema sana nikiwa hapa mpanda Katavi TANZANIA
Endeleen kaz njema mung akulinde mwalim mgen
Jmn uyu mwalimu simkubali ana Mambo ya ajabu sana
Mnzur lkn kuingiza haya maigizo munacherewa kwa nn hamutuletei mpaka finally had tusubirie
From Burundi,je vous encourage
Mwalimu magesa anasura ya kuacti ubaya ameweza nmpe like zngu
Kwa kipi