Safi sana Baba Joan, songeni mbele zaidi zaidi, tunazidi kuwa nyuma yenu ili kuhakikisha munafika mbali zaidi, Tena Leo najiunganisha na wewe na alama ya kengele kabisa, Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwapa hekima na katika kazi zenu pia, ila Kwa ushauri wa bure musijiinuwe wenyewe, bali mutainuliwa na Mungu na mashabiki wenu na wapenzi wa episode zenu.
Baba joan,unapo wapiga gap wasanii wengine kwenye kaxi zao ni hapa tu, ukiacha kutoa filam kali lakini pia unatoa BACK TO BACK EPISODES, man you do great job joh.
Always watching from Washington DC and never missed any episode and great fun of Madam Vicky our east Africa Kim Kardashian carrying big economy big love ❤❤❤
❤f4dw1dt6 is rwfrcttfh up for feather for a Betty wedding and I will also have a couple of the bible and the kids will not have a question about the school and their family for a couple of days and the solar team is a good man for me as I will have a lot to work in the word of a few more days now but we can see that there are some other options available to help me to use your help to be a part in this is the day that we have our own business to
❤❤❤Nipo pale nasubir uponyaji wa mwalim mgen ❤❤ karibu tusubir pamoja niko na njugu hapa tutatafuna tukisubr😂😂😂😂
Mwalimu mgeni wooow woow !! Nikuwa nawasubili kwa hamu kazi nzuri sana
Keep doing well baba Joan tuko nyuma yako na tunakufwatilia sana
Safi sana Baba Joan, songeni mbele zaidi zaidi, tunazidi kuwa nyuma yenu ili kuhakikisha munafika mbali zaidi, Tena Leo najiunganisha na wewe na alama ya kengele kabisa, Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwapa hekima na katika kazi zenu pia, ila Kwa ushauri wa bure musijiinuwe wenyewe, bali mutainuliwa na Mungu na mashabiki wenu na wapenzi wa episode zenu.
Eeee mungu MB zangu zinakaribia kuisha uponyaji bado
Baba joan,unapo wapiga gap wasanii wengine kwenye kaxi zao ni hapa tu, ukiacha kutoa filam kali lakini pia unatoa BACK TO BACK EPISODES, man you do great job joh.
Yes baana congra kwa kazi mkuu
Kwer ndugu kazi nzuri
Ila ni kama tumeanza kudanganywa bwana.
Picha ilikuwa nzuri sana na ujumbe wake ila mmeanza kutuongopea
mimi mwenyew washaanza kunichanganya
Dear member welcome ❤ tuwatch zote me Leo ndio wakwanza kutoka kenya ❤❤❤❤❤❤
nimekua wa 53 cjachelew ila ni majukum ya kazi ❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza wapi likes zangu wakenya
Kumamaewe,niwakwanzawewe
Waooooo Mwaaaaa jamn hongera fety
Like za teacher mgeni hapa
Kazi nzuri sana bba Joan maua yako 🎉🎉🎉love much from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
jamanimbonavipandevimerushaepisodiya24
Hongera San bab Joan Kwa kaz nzuriii 🎉🎉🎉❤❤❤ nafatilia san
Back to back mwalimu mgeni kiboko sana🔥🔥🔥🔥✅✅
Huyu Binti mwenye rastar yupo fire sooooo pretty girl
Waooo leo nimekawiya kuingiya njo maana napenda sana mwalimu mugeni ❤
Fetiii mtoto kafanana na washabiki wa mwalimu mgeniiii😂😂😂😂😂😂😢😢❤❤
Nice one baba Joan unafanya kai nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
wa Kwanza wapi like zangu
Nice kazi nzuri🎉🎉🎉
One love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kazi nzuri sana
Anaekula wanafunzi nae anabinti pisi kali.kweli ukila kuku wa wenzio miguu huelekea kwako
Baba Joan unajua Sana broo 👏👏
From Kenya 🇰🇪 kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤
Good job 👏 👍 👌 🙌 ❤❤❤nawapenda
Madam vikiy unanisinya mbaya sana kwakuita mwalimu mgeni chizi😢
Mimi nafuatililia Niko sehemu ya 23❤❤😂
Wakwanza Leo kutoka team strong love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🥰🥰🥰🥰🥰team hamam pitie hii like yangu please
Kazi safi Baba Joan
🎉🎉nipeeni likes zangu ni msanii mkuu hapà kutoka Kenya
Good ideas love from Burundi -Zambia may God bless you asante
Tunapenda izi muvi zako unajuwa kweli tunakubali courge sana ulitosha wazo wapi kwa ii naomba unijibu ok asante
Just watching from lamu Kenya
❤napenda sana iyi filam
Leo WA tatu jamani naombeni like na Mimi sijuh zinafaida gani nataka nione😢
Mwalim mgeni na wana🎉🎉🎉❤❤❤
Mtoto wa fety mbn macho yashamng'ara 😂😂😂yuwakaa pia
Watching from qatar yaan likua nangoja kwaham wallai
Jaman huyu dogo anakipaji cha kuimba sana Mungu amsaidie afike mbali
Aiseee unafanha vizir tu Na Mungu akuzidishie baraka.🇲🇿, Moçambique Mueda......
It's good we have been waiting
Hongere🎉 kwa kaz nzur jmn 🎉🎉
Ni Bora kumaliza series kuliko kutoka kwenye uhalisia
Baba Joan ukovizuri mno🎉🎉🎉🎉
Leo nimekuwa wa kwanza kutoka kenya napenda kazi yako
Kazi nzuli nasubili ya 23 24❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waah nmewahi na mm leo😂❤
Mnaweza Sana wadau ❤
Kazi nzuri jamani nawapenda❤❤❤❤
Kazi mzr sana kwaote❤❤❤❤❤❤
Kumbe mulinielewa😂pokeeni maua❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Always watching from Washington DC and never missed any episode and great fun of Madam Vicky our east Africa Kim Kardashian carrying big economy big love ❤❤❤
Baba Joan pona baba uokoe jahaz
Pona baba Joan uzaidie watoto
Unandia moyo sana
Baba Joan Noma kabisa
Nakufata sana Bd 🇧🇮
Uwezo wa kurudisha uhai anao Mungu peke yake, hii michezo ya kujipa uwezo wa mungu ni haraam
wewe baba joan hata ka ni kuingiza ebu pona urudi darasani
Uliwalipa pesa ndogo jmn hawajui kuigizaaaa
Wakwanzaaaa😂
Nakaribia kuanzisha safari ya acting,, hapa itaku .KENYA FT TANZANIA
Nilikuwa nasubiria hii part sana
This Series is on Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤f4dw1dt6 is rwfrcttfh up for feather for a Betty wedding and I will also have a couple of the bible and the kids will not have a question about the school and their family for a couple of days and the solar team is a good man for me as I will have a lot to work in the word of a few more days now but we can see that there are some other options available to help me to use your help to be a part in this is the day that we have our own business to
Live from England
Uyu jamaa kwakweli namkubary sana baba Jon
Nawapenda saana ❤❤❤very good
❤❤❤❤❤ from Kenya mambo yanazidi kuchemka
Nakubal sana mwalimu mgeni
Waooo baba joan nakukubali sana chukua 🌹🌹🌹🌹🎉
Nautabakuliwa😂😂😂 Bora uwende😂😂
Wengne wanacoment kabla hawajaangalia ,ilimradi tu wawe wa kwanza 😂😂😂
Safi sana❤❤❤
Mwamba ntusubile kazi yako njema kinoma nyigine episode kwa wepesi❤❤
Unanifurahisha now baba Joan unatupa vitu kwa wakat Hadi raha♥️❣️❣️❣️
❤
Kazi safi mwalimu mgeni
Congratulations baba Joan
Uwiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂 yn mtoto wa miez mitatu anakaa
Weee hadi mizimu inalia kiasi hiki😂😂😂😂
Endeleaa baba Joan nainjoii sana
Mko vizuri pigen kaz
It's lit.🔥🔥🔥🔥🔥
Tupo nawe unyo kwa unyo🎉👍
Kila m2 leo nkama wakwanza
Big film ✌️
One love form 🇰🇪
Very educative
Kazinzuri🙏🙏🙏
Kwl utamu wa hiii sijui
Kazi nzuri
Waooo shukran sana ❤❤❤
Daaah!!! unapoelekea unazingua mwamba😢😢
Dah nimeumia sana huyu mwanafunzi mwenye mtoto.. wanafunzi jifunzeni hapo.
Mbona majini yenu ayaheleweki silizi mliihanza vizuri ivi munahipeleka mpotampota
Heeeeeh mbona kitoto kimefanana na teacher makingi au vepee😁😁😂😂😂😀😀😁😁😂😂😂
Baba joan ep 21 imelukwa nn mbona siion?
Napenda story zenye uhalisia kwenye jamii kufufuka tena huku veep?
Wow! I really like these video
Mm wa kwanz leo😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅 mtot kazaa mtot ety nae anasomanae daaa hatar
Episode zenyu zinachelewa sana jaribuni kutoa kwa wakati ❤
Kazi NzUri mUngu akubariki sana