KINAWAKA NDANI YA CCM!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi pamoja na wajumbe wa mashina kutoka katika mitaa ya Dar es Salaam wamefika katika ofisi za CCM mkoa kupinga maamuzi ya Chama ya kuwaengua baadhi ya washindi wa kura za maoni uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera katika uchaguzi wa Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE RUclips Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

Комментарии • 22