WEWE NI ZAIDI YA ELIYA NA MUSA KWASABABU HII | TUMEWAKILISHIWA MAFUNDISHO KIMAKOSA | ASKOFU GWAJIMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 40

  • @japhetymabuya6487
    @japhetymabuya6487 29 дней назад +2

    Mungu Akutunze Sana Jasusi La Mbinguni.

  • @kristofuraha
    @kristofuraha Месяц назад +2

    Umeongea kwa viwango vya Mungu kabisa! Wewe ni baraka sanaaaaa!

  • @AbediKalunda-nf9vc
    @AbediKalunda-nf9vc День назад

    Niko Marekani ninazidi kubarikiwa mno.Mungu akubariki

  • @MbonyingingoEdimo
    @MbonyingingoEdimo Месяц назад +4

    Niko nabarikiwa sana Burundi -Rumonge

  • @IvonyMbwilo
    @IvonyMbwilo 26 дней назад

    Mungu akubariki sana baba

  • @veronicanestory1662
    @veronicanestory1662 Месяц назад +2

    Ameni, ubarikiwe

  • @majaliwakibwama9634
    @majaliwakibwama9634 23 дня назад

    Nipo south Africa nabarikiwa sana

  • @HumvyeFaith
    @HumvyeFaith 6 дней назад

    Ukweli uko kwenye madhabahu ya Mungu wa kweli Jasusi wa mbinguni

  • @AllenKinigu
    @AllenKinigu 5 дней назад +1

    No fear 🙏

  • @banyijumarie
    @banyijumarie 5 дней назад

    Amen amen amen

  • @monicanelisha1299
    @monicanelisha1299 Месяц назад +1

    Hallelujah 🙌

  • @DusesebaSeba
    @DusesebaSeba Месяц назад +1

    Ubarikiwe baba,naangali Nipo msumbiji 🇲🇿

  • @VicentVitus-j6v
    @VicentVitus-j6v Месяц назад +1

    Amen 🙏

  • @Difrnd-t2c
    @Difrnd-t2c Месяц назад +1

    1: Mimi Naomba Sana Nyumbani,
    2:Natoa Sadaka Mtandaoni Nyumbani,
    3:Nimetubu na Kuungama Dhambi Zangu Zote,
    4:Naziishi Amri Kumi Za Mungu,
    5:Ninaishi Kwa Upendo na Kuwafariji Wapitao Kwenye Magumu,
    6: Ninaimba Na Kusifu,
    7:ila Sijaenda kanisani Muda umepita kidogo. Vipi Ninakosa Lolote Kwa Muñgu "

    • @barickmkenda6409
      @barickmkenda6409 Месяц назад +1

      Hebrew 10:25

    • @surajatul732
      @surajatul732 Месяц назад +1

      WAEBRANIA 10:25
      "Wala TUSIACHE KUKUSANYIKA PAMOJA, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia."

    • @osmoonline8460
      @osmoonline8460 22 дня назад

      ila tafuta kanisa lnalofundisha ukweli wote kama lile la tegeta KIBO pale la shuhuda za ukweli maana ukienda kanisa la uongo litakufungia mlango maana watumish wengine wanasama ukwel ILA SIO WOTE. Hata humu youtube wapo waitwwa SHUHUDA ZA UKWELI.
      MATHAYO 23:13
      Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie.

  • @OnesmoCagubeNawadimba
    @OnesmoCagubeNawadimba 21 день назад

    ❤❤❤

  • @MwanaishaMpunga
    @MwanaishaMpunga Месяц назад

    Nimebarikiwa sana

  • @DusesebaSeba
    @DusesebaSeba Месяц назад +1

    Amen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @catherinemuoka1322
    @catherinemuoka1322 Месяц назад

    Amina baba

  • @AdamMdolo-cm6qi
    @AdamMdolo-cm6qi Месяц назад

    Ameeeeeeee

  • @NiyamahoroRichmond-h2o
    @NiyamahoroRichmond-h2o Месяц назад +1

    Amen

  • @josephcharles1757
    @josephcharles1757 Месяц назад +1

    Kuishi kwangu kuwe na maana that is really

  • @NaomiMagoti
    @NaomiMagoti Месяц назад

    Aminaaa

  • @victoriamgaya-s9y
    @victoriamgaya-s9y Месяц назад

    aminaaaa

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Месяц назад +1

    Ameen

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 Месяц назад +1

    🔥🔥🔥🔥🙏🙏

  • @DusesebaSeba
    @DusesebaSeba Месяц назад +1

    Ameeeen

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 Месяц назад +1

  • @NiyamahoroRichmond-h2o
    @NiyamahoroRichmond-h2o Месяц назад +1

    Niko Zambia nina balikiwa sana

  • @WilperMkono-mq6ky
    @WilperMkono-mq6ky 4 дня назад

    Samahani, na
    omb kufahamu Askofu gwajima anapatikana kanisa gani na wapi

  • @MbonyingingoEdimo
    @MbonyingingoEdimo Месяц назад

    Ninakurik ktk jina la Yesu christ

  • @dorickmichael
    @dorickmichael Месяц назад

    Mara nyingi watu wengi wamekuwa wakikalili vifungu vingi na kuwadanganya watu

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 Месяц назад

    Amen

  • @MbonyingingoEdimo
    @MbonyingingoEdimo Месяц назад

    Ninakurik ktk jina la Yesu christ

  • @theresiamhina9714
    @theresiamhina9714 Месяц назад

    Amen

  • @OnesmoCagubeNawadimba
    @OnesmoCagubeNawadimba 21 день назад

    Amina

  • @Selemani-z8d
    @Selemani-z8d 21 час назад

    Amen