REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 55

  • @user-gc9wb2pv9mallya
    @user-gc9wb2pv9mallya 11 месяцев назад +2

    Ee mungu nisaidiye niifikie kesho yangu na kuiyonaa Ameen 🙏🙏🙏🙏

  • @JonathanBwoma
    @JonathanBwoma Год назад +3

    Mtumishi ubarikiwe kwa mafundisho mazuri sana

  • @gracemonyi7459
    @gracemonyi7459 Месяц назад +2

    Baba unanibariki, leo umebadilisha maisha yangu Kiroho, mungu akulinde.

  • @faustinasanganavukanawangu
    @faustinasanganavukanawangu 16 дней назад

    Ubarikiwe mchungaji

  • @MonicaApamo
    @MonicaApamo 2 месяца назад

    Jamani Mungu akubariki sana kwani umekua sana msahada kwa watu akiwemo na Mimi barikiwa sana mtumishi

  • @calvinmaro9846
    @calvinmaro9846 Год назад +2

    Namuomba sana Mungu anisaidie niweze kuiishi kesho yangu

  • @mwanzajosephine468
    @mwanzajosephine468 Год назад +6

    Ameeeen ,Mungu nipe neeema yakuzudi mno kila sekta niishi kesho yangu

  • @MariselinajohnWilium
    @MariselinajohnWilium 2 месяца назад

    Amen wakt mwengn mtu unafany kazi lakn hmn chochote unabandilika kimaisha😢😢

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 2 месяца назад

    Mungu naomb unijalie kuish keshoo yenye manifaa. Na ubunifu mkubwaa

  • @mwanaidihassan5868
    @mwanaidihassan5868 3 месяца назад

    God is god, leo mchungaji umepiga kwenye roho

  • @ChikwindiChikoswe
    @ChikwindiChikoswe 3 месяца назад

    Ubakiwe mchungaji nipo Zambia lkn na balikiwa sana na maubili yako mungu akulinde sana Yan nimebalikiwa sana

  • @RahelFanuel
    @RahelFanuel 3 месяца назад

    Mungu akupe viwango vikubwa wewe nifaraja sana

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 4 месяца назад

    🙏🙏

  • @monicahJeptoo
    @monicahJeptoo 4 месяца назад

    Mungu nisaidie niufkie kesho yangu

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 Год назад

    Badilisha moyo wangu nianze kiishi kesho

  • @peterfue-sv3nw
    @peterfue-sv3nw 3 месяца назад

    Asante Kwa mafundisho mazurk

  • @FELSTERMOLLEL
    @FELSTERMOLLEL Год назад

    Amen Mchungaji,ila jamani Mimi natamani sana kuwasiliana na Mchungaji na sijui nakupataje Mimi Niko Arusha.

  • @RaphaelMatheka-pg1lx
    @RaphaelMatheka-pg1lx 4 месяца назад

    Amen amen

  • @amanmmbando8413
    @amanmmbando8413 Год назад

    Ameeeen🙏🏾 Naamin nitazid mnooooooo👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @AsavaCharles
    @AsavaCharles Год назад

    Nina barikiwa sana na jumbe zako kila wakati

  • @RahelFanuel
    @RahelFanuel 3 месяца назад

    ❤❤naitamani🎉kesho yangu

  • @estergregory2833
    @estergregory2833 Год назад

    Ameen Mungu anipe neema ya kuzidi mnoo

  • @bethwamweru5291
    @bethwamweru5291 9 месяцев назад

    Mungu nisadie nizidi no katika Jina la Yesu aliye hai

  • @RaymondWilfred-b8u
    @RaymondWilfred-b8u Год назад

    Neno la Mungu Lina nguvu ya kukuvusha katika changamoto unazokumbana nazo maishani

  • @yunisadam8494
    @yunisadam8494 Год назад +1

    😭😭👋👋nitazidi mno Kwa jina la Yesu kirsto nazidiiiiiiiiioooo, Yesu nitazame

  • @bethwamweru5291
    @bethwamweru5291 9 месяцев назад

    Asante mchungaji kwa haha mafunzo,watching from Kenya, GOD BLESS KEEP YOU, SHALOM

  • @lydiatito609
    @lydiatito609 Год назад

    AMEN

  • @RaymondWilfred-b8u
    @RaymondWilfred-b8u Год назад

    Ukitaka kuishi maisha ya amani kwa mkristo ni nyumbani na kanisani

  • @BathshebaNyabika
    @BathshebaNyabika Год назад +1

    Amen and Amen and Amen ❤❤

  • @janemyinga2575
    @janemyinga2575 9 месяцев назад

    Aminaaaa

  • @juliusedwadi
    @juliusedwadi 9 месяцев назад

    👏👏👏Amina mungu akulinde

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 Год назад

    Ameni,
    Tuishi sasa

  • @happyiskaka
    @happyiskaka Год назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ Barikiwa mno BABA YANGU

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 8 месяцев назад

    Amina kubwa

  • @faustinamasaki480
    @faustinamasaki480 Год назад

    Nitazidi mnooo katika jina la Yesu

  • @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt
    @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt Год назад

    Ubarikiwe baba

  • @qatarrarre30
    @qatarrarre30 10 месяцев назад

    Ameeeeeeeeen in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @franksam8581
    @franksam8581 Год назад

    Amen

  • @elinaikemuro9284
    @elinaikemuro9284 Год назад

    Ameeen...Barikiwa mtumishi kwa neno zuri

  • @siyamambali8832
    @siyamambali8832 Год назад

    Amen❤❤❤❤

  • @faustinamasaki480
    @faustinamasaki480 Год назад

    Amina mchungaji

  • @samweldamian8098
    @samweldamian8098 Год назад

    Society of life.
    Amen.

  • @marynangole3793
    @marynangole3793 Год назад

    Yes 👏👏👏 Aman 🙏

  • @neemakiria4416
    @neemakiria4416 Год назад

    Amen Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa somo zuri

  • @abbymagospel6904
    @abbymagospel6904 Год назад

    Ubarikiwe baba mtumish 🙏🏿

  • @EllyLema-xw6nm
    @EllyLema-xw6nm Год назад

    We mungu nami unipe neema ya kuzidi mno kama yakobo

  • @qatarrarre30
    @qatarrarre30 10 месяцев назад

    😅😅🙏🙏

  • @NiceMuro
    @NiceMuro 7 месяцев назад

    EEE mungu nisaidie niweze kufunguka ufahamu wangu niweze kujua nifanye nini kwani sijui la KUFANYA BAADA ya kupata MATATIZO mengi ya kiavya

  • @yunisadam8494
    @yunisadam8494 Год назад

    😭 Jesus hili ndilo haja ya moyo wangu ulivyonipatia hii kaz , usiniache tafadhari

  • @furahamtweve4222
    @furahamtweve4222 Год назад

    Amen nmepokea

    • @GladyLinga-ks4qy
      @GladyLinga-ks4qy Год назад

      Aammmeeennniiii kuanzia Leo naishi kesho.barikiwa baba

  • @IreneIsack-qp9ns
    @IreneIsack-qp9ns Год назад

    Amina

  • @chaulayekonia6137
    @chaulayekonia6137 4 месяца назад

    Amen