TARIQ KIPEMBA ALIYEMWAGIWA ACID, ASIMULIA UKWELI WAKE MWINGINE BAADA YA JICHO LAKE MOJA KUWEZA KUONA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @fofo_Amigo254
    @fofo_Amigo254 Год назад +130

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 no matter what he's still handsome
    Be strong bro😢

    • @iamwilly3
      @iamwilly3 Год назад +4

      Wamemuonea wivu bwana 😢😭 hii ni wivu kabisa!

  • @queendollie8792
    @queendollie8792 Год назад +100

    Dear Lord i come before you this evening am asking you to please give this young man hope, assurance, peace and faith in you, Lord Jesus umejibu maombi mengi ya watu nakuomba ukamjibu na huyu pia, wewe ni Mungu usiye shindwa, Mungu wa Musa, Abraham na Elijah nakuomba umtie nguvu na furaha kijana huyu, umejidhihirisha kwenye maisha yake kwa kumfanya kua hai inspite of everything he went through basi ukamfanye akutegemee wewe na kila mtu atakaye muona akapate kukuona wewe in Jesus Name Amen🙏

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 11 месяцев назад +4

    We love you Tariq. Maneno yako yanabatiki watu wengi na yanafungua macho wanaojipoteza ufahamu…..wajue Mungu yupo anaona kila kitu na kila mtu atawajibishwa hapa hapa diniani kabla hata ya kwenda ahera. Kila chozi la mnyonge litalipiwa haki

  • @halimamashimba4424
    @halimamashimba4424 Год назад +69

    Maneno yako ya mwisho yameniliza sana kijana 😭😭😭Mungu atakutetea na haki yako haitapotea mwenyezi Mungu akulinde tu sana na azidi kukupa aman ya moyo kama hivyo ulivyoona dah! Una amani mpaka raha, sijawahi ona mwenye haki ameachwa Amina Mungu yupo pamoja nawe ameshakushindia 🙏

    • @SamSung-do9xc
      @SamSung-do9xc Год назад

      Pole sana taliq Allah akusimamie malipo ni hapa hapa nae atalipwa inshallah 😢

    • @mwananganzi
      @mwananganzi Год назад

      Pole sana Tariq Jamani Mungu atakulipa INSHAALAH

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 11 месяцев назад +4

    Tariq nimekusikiliza kwa makini wewe ni mwanaume hasa. Very smart, Jasiri mpenda haki na mwenye busara na hekima. Uko vizuri kichwani na moyoni na uko handsome Mungu akutetee zaidi na zaidi.
    Vita umeshaishinda wala usiogope kitu

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Год назад +2

    Tariq! Baba Pole sana. Mtegemee Allah.
    You will stand on two feet.
    Allah naomba mlipie Tariq wetu kwa kumfedhehesha na kumuadhibu alofanya unyama huu.

  • @xclusivebtz7516
    @xclusivebtz7516 Год назад +88

    I feel his Tears😭😭😭😭 bro May our God of heaven heals and guides you

    • @GraceTemba-nx3mw
      @GraceTemba-nx3mw Год назад

      😭😭😭

    • @melangongo6490
      @melangongo6490 Год назад

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭

    • @mariaokiring1519
      @mariaokiring1519 Год назад

      his mission was to make him suffer alot OMG 😢😢😭😭😭 one thing I know there's God in heaven 😭😭😭😭

  • @Zai-vh7jd
    @Zai-vh7jd Год назад +3

    Pole sana Tariq! Mungu akuponye. Raisi wetu Mama Samia tunaomba ingilia kati hili kijana atendewe haki mhalifu ahukumiwe. Tunakuamini mama kwa huruma yako. Mungu akulinde daima uwasaidue watanzania wanaoonewa na kukosa haki zao kama Tariq.

  • @marylazaro4625
    @marylazaro4625 Год назад +6

    Huwenda aliyemfanyia Hivi yupo anaangalia hii interview ... Kama upo... Muombe Mungu msamaha... Tubu tu! Kisha kamuombe msamaha TARQ

  • @abuuhafsin2224
    @abuuhafsin2224 Год назад +24

    Dah, imeniliza hii, wanadamu tumekuwaje sijui, hv aliyemfanyia haya anajiskiaje sasa. Malipo ni hapa hapa duniani, Allah atawanyoosha tu, Dua zangu mbaya ziko juu Yao.

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 Год назад +1

      anafurahi maana alidhamiria Allah atamlipa😢😢

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Год назад

      Unajua ukiwa na maasi Sana Allah anakuacha hivyo wewe unakuwa na shetani hatua kwa hatua hivyo vitendo unavyovifanya vinatusha maana Allah hakuwekei hofu yeyote na shetani anakusifu kwa ushindi,yaani ni suala la kumuomba Allah asituache katika maisha yetu ni mtihani mzito sana

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 Год назад +72

    Allah kareem,,,you still handsome Tariq,,,,I pray for you broo,, INSHA'ALLAH 👏 and Allah he's with you

    • @musamsawanga9266
      @musamsawanga9266 Год назад +2

      Tatizo atembea na wake za watu(Mario) na jamaa alishaonywa

    • @itNeza
      @itNeza Год назад

      ​@@musamsawanga9266 Jamani na Wao Yani usoni Tuu ? 😢 Ila aliye onja anajua Mashini ilivyo anaweza akarudi tena kulamba asali. 😂

    • @messaabbas739
      @messaabbas739 Год назад +1

      @@musamsawanga9266 ,,alitembea na mke wako ww mbwa ww,,,,,acha makasiriko,,,,,, and next do not comment on me this nonsense,,, better be quiet

    • @sakinamsafiri8660
      @sakinamsafiri8660 Год назад

      Ndio nyie nyie...hovyoooooo

    • @rosemkono
      @rosemkono Год назад +1

      Mungu akusaidie may god bless you 😢😢😢😢😢😢

  • @apynesnzisa5045
    @apynesnzisa5045 Год назад +69

    Kweli mtu hajui kesho yake😢😢Eeeh Mwenyezi mungu tutangulie Kwa Kila jambo... Quick recovery

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Год назад +18

    Kwanza Alhamdllah Rabbllaamin kwa uwezo wake Mwenyeez Mungu kwa kukuwezesha kuona macho ni muhimu sana kabla hujafa hujaumbika dua zetu tunazoomba Allah ndie atakae muhukumu huyo shoga tumchangieni ili akufanyiwe na jicho lingine

  • @fridakakiko1217
    @fridakakiko1217 Год назад +3

    mama samia msaidie huyu kijana inaumiza sana na tuzidi kuomba mungu ampe afya njema

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz Год назад +42

    Alhamdulillah for this stage ... Allah ajarie shifaa inshaAllah ...

    • @atuluvalamo2772
      @atuluvalamo2772 Год назад

      Jamani polesana kaka mungu akutunze akulejeshe kwenye Hali ya kawaida 🙏

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Год назад +3

    Subra iwe nguzo yako Tarqe. Mwenyezi Mungu atakufuta machozi unayolia kipekee. Pole sana,sana ndugu.

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Год назад +29

    Pole sana mdogo Mungu yupo pamoja na ww 😭😭 huyo muhalifu alaaniwe daima

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 6 месяцев назад +2

    Tariq pole sana , Dhuluma lazima ilipwe na ww Allah atakupa faraja huwezi amini

  • @gilbertnyangares7052
    @gilbertnyangares7052 Год назад +17

    I found myself crying, Take easier broo, God has a reason why he restore your sight and He also will give u strength and hope. From Ke

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 11 месяцев назад +2

    Pole sana Tariq usijali mungu wako anakuoenda atakufanyia wepesi. Unonekana kuwa kujana mzuri kabisa mwenye maadili mazuri.
    Usiohope sababu mungu anakuoenda sana

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba Год назад +28

    Kaka yangu Mungu anampango na wewe Rudi Msalabani ,Hata hivyo ulipofikia Ni Neema tu Love you my Brother

    • @HarimahtheAnny
      @HarimahtheAnny Год назад

      Kwer😭😭😭😭🙏🙏🙏

    • @FatmaMbarouk-zp3ev
      @FatmaMbarouk-zp3ev Год назад +3

      Msalaba Tena Allah atamuafu yy ni juu ya kila tunachokijua au kuwahi kukisikia

    • @sharifuahmed8340
      @sharifuahmed8340 Год назад +5

      Msalaba wa nyokwe, wakt uyo muislam na pp yy anamtegemea muumba mbing na ARDHI na alieumba MITUME yte akiwemo yesu wenu

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w Год назад

      ​@@FatmaMbarouk-zp3ev😂😂

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w Год назад

      ​@@sharifuahmed8340 amni

  • @teckie__songsofworship6680
    @teckie__songsofworship6680 Год назад +26

    To everyone watching and reading this may God bless you and your family and may thy Lord protect you from all evil plans and peaceful life be your portion in Jesus Mighty Name Amen 🙏🙏.

  • @PoliticalwithGenZ
    @PoliticalwithGenZ Год назад +45

    Oh lord our savior, please watch over this man and heal him so that people will see your glory through his testimony 😢🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 Год назад +2

    Binadamu tumwogope Mwenyezi Mungu. Ni vema tukaoneana huruma badala ya kufanyiana unyama. Duniani tunapita hapa. Pole sana Tariq Allah Akujalie upone haraka. Mwenyezi Mungu Atakulipa.

  • @savioursimon458
    @savioursimon458 Год назад +26

    Pole sana kaka yangu!! Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa ajili yako!! Mungu wetu ni mwenye haki na atatenda haki kwako!! Mungu ataleta neema na baraka zake utafanikiwa kupata matibabu, utakuwa sawa na utaishi kwa namna Mungu alivyopanga tangu uumbaji wake tumboni mwa mama yako. Nakuombea Mungu akuinulie kila mtu unaemuhitaji katika uponyaji wako wa mwili na hisia. Lawyers, Doctors, Therapists, Financial Help and everything that you need physically and emotionally. In Jesus' Name. Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 Год назад +4

    Polee Sana'a bro
    Watanzaniaa tunakuombeaa uwenamiakaa ming akupewepesiii wa maisha ......

  • @BarakaGwakisa-fv7pd
    @BarakaGwakisa-fv7pd Год назад +6

    Mungu akikupa kilema uwa ana kupa na mwendo pia , fear not brother JESUS IS WITH YOU FOREVER. JUST LOOK ON HIM CAUSE HE'S A CAPABLE GOD.

  • @florencemlay9333
    @florencemlay9333 Год назад +31

    Pole sana kaka yangu, Mwenyez Mungu atakupigania, is not easy at all to be in your situation but nina imani atakupa njia ya kutokea 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @ashajumakivugo4293
    @ashajumakivugo4293 Год назад +17

    i believe whoever did never knew that Allah had bigger plans than him, still strong still handsome nothing has change just scars to remind you who you are bro

  • @nibigirahassina9308
    @nibigirahassina9308 Год назад +4

    Nimefurahi kusikiya unasema alhamdulillah mwenyezi mungu akufanyiye wepesi

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 Год назад +12

    😭😭😭pole Sana Kaka Yesu akuponye Kama alivyomponya kipofu aliyekuwa haoni tangu kuzaliwa kwake na wewe akuponye uweze kupona na kuona tena.

  • @sein.208
    @sein.208 Год назад +9

    SUBHANA ALLAH 😢😢😢
    POLE SANA KAKA. ALLAH AKUZIDISHIE SIHA NJEMA KILA KUKICHA. KILA KITU KINA ASBABU, HALIKUFIKI JAMBO ILA KWA #IDHINI YAKE MOLA...
    ALLAH NI MJUZI ZAIDI.
    UTAPONA BIIDHIN LLAH KAREEM.

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 Год назад +45

    Am so sorry my brother Allah akupe amani ya moyo akfute machungu yako😢 inshaallah utakua sawa kwa uwezo wa mungu

    • @aminaluliho8456
      @aminaluliho8456 Год назад

      Mungu ni mwema talking awo mbwa mung awape adhab za kabli 😂😂😂😂

    • @marosgodfrey2089
      @marosgodfrey2089 Год назад

      @@aminaluliho8456 wq2w

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de Год назад +1

      Hakika maisha haya jmn" ukiona watu wanakuchukia mtaan hama bado mapema Hujui kesho yako" pole Sana kaka angu malipo n hapa hapa dunian

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Год назад

      @@aminaluliho8456 sasa mbona umemaliza nakcheka we nae

    • @ZainaNdijah
      @ZainaNdijah Год назад +1

      Nina uhakika mtu ulomfanyia ukatili huyu kaka huna ani zaidi Sana nakuomba utubu usipofanya hivyo wewe na filia yako yote mtateseka sana gharama na muda maumivu anayoyapata mtalipa lazima mnywee kikombe chake mungu ndo faraja yake pole mdogowangu kikubwa uzima.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Год назад +2

    Pole sana kijana daaaaa. Watu wabaya siku hizii. Wivuuu tuuu wa MAENDELEO

  • @janejonathan9846
    @janejonathan9846 Год назад +3

    Pole sana jaman Tariq Yesu Kristo atakuponya amini tu,ila Mungu atahukumu kwa haki kwaalie kufanyia ukatili huo,hadi umeharibika hivyo jaman binadam tunabadirika sana

  • @ahmedimarusu-rp3bk
    @ahmedimarusu-rp3bk Год назад +18

    😢😢😢😢 dah..mungu ata kusaidia kaka..siku hiz watu ni wengi kuliko binaadamu

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 Год назад +12

    Healing is your potion much love from kenya

  • @SIMONALEX-p4x
    @SIMONALEX-p4x Год назад

    Dah! 😮 Poleh sana Tariq. Be protected and blessed. Naamini utapona na utaona tena na maisha yatasonga tu. Maxwow Artist. Naamini tutaonan a tena.

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 Год назад +35

    Alllah mkubwa. Kwa uwezo wa Allah utaona macho yote amin

  • @janethobadiah8062
    @janethobadiah8062 Год назад +17

    Aiseeee naandika nafuta sina mengi.. Mungu baba wa mbinguni akutetee tu kaka yetu 😭😭😭

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 Год назад +6

    Mungu Baba katika Jina la Yesu Azidi kukupigania.

  • @jacklineernest3155
    @jacklineernest3155 Год назад

    Pole tariq 🫶🏻❤ Mungu yupamoja nawe na tunakuombea urud kama zamani pole broo, Binadam tumekuw wanyama zaid ya shetani loooooh🙌🙌🙌🙌

  • @praisejonas5896
    @praisejonas5896 Год назад +4

    Tarique ushuhuda wako umefanyika Tiba kwenye maisha ya watu wengi na kurudisha hofu ya Mungu kwetu Kama wanadamu, Mungu atakubariki na atakupanya kwasababu yeye ndio aliyekuumba na anakujua
    HAKUNA MTU AMBAYE NI BORA KULIKO MTU MWINGINE INATUFUNDISHA KWAMBA HAKUNA MWENYE HAKI ILA MUNGU.. ❤

  • @najmasaid7057
    @najmasaid7057 Год назад +5

    Nimejikuta nalia na kujiskia homa ktk mwili wangu pole kaka Allah ni muweza wakila Jambo akupe wepesi in'sha'Allah

  • @lyidiamrema7294
    @lyidiamrema7294 Год назад +26

    Mama yetu Samia msaidie huyu kaka nimtanzania pia hakupenda kuwa hivi na aliefanya hivi yupo huru inaumiza sana jaman

  • @rehemasharifu8985
    @rehemasharifu8985 Год назад +3

    Pole sana TARIQ allah atakufanyia wepes utapona hakuna aijuae kesho hata sisi hatujui kesho yetu allah atufanyie wepes

  • @qatarworls1902
    @qatarworls1902 Год назад +14

    Watu ni wanyama
    Aki 😢😢 wivu ni kitu baya sana
    Mungu ni mwema utaendelea na kupokea miujiza
    Mahandui wahaibike but kikulacho kinguoni mwako mungu akulinde popote utakuawepo 🙏🏼

    • @felisterdioniz8113
      @felisterdioniz8113 Год назад

      Sorry my brother God can protect you and forgive brother

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Год назад +1

    Tariq MUNGU ndie mwenye kujua hatima ya kila mtu tnakuombea MUNGU akupe amani ya moyo na Imani juu ya MUNGU omba uzima, kisasi ni juu yake pole sana mdogo wangu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Год назад +49

    Still ur handsome tareq ❤️

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 11 месяцев назад +1

    Tariq Kama mungu mekuwezesha Kufika hapa Salam umeweza kuona tena basi ujue ana makusidi makubwa sana juu yako, Hatakuachia njiani, utapona kabisa na uhahubiri utukufu wake mbele ya umati. Utahubiri amani, uwajibikaji, madhara ya rushwa, visasi, kazi za shetani, upendo nk ikiwa Kama mfano hai. Mungu kujalie ufungue watu macho na mioyo imwelekee mungu wa kweli

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 Год назад +273

    Yesu mnazareti uliyemfufua Lazaro wa Bethania ninakuomba umponye kijana huyu na pia serikali iingilie kati haki itendeke,huyo shoga popote alipo asipate amani moyoni mwake,awe Kama kaini( Mungu na amwekee alama popote anapokwenda asipate amani moyoni wala furaha)

  • @ruthkamau4489
    @ruthkamau4489 Год назад

    Pole sana ndugu wetu jirani kutoka chini TZ...walio kufanyia hawatenda mbali kama hawajalipia..pia neno la mungu limesema malipo ni hapa hapa dunia

  • @mariamzkinogo6775
    @mariamzkinogo6775 Год назад +71

    And he still look handsome and attractive ❤😢😢

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Год назад +5

      Wabaya ndo nyie sasa handsome ya nyokho badala ya kumuombea apone mnaanza ushetani wenu inawezekana ndo nyie wanawake mlotaka mmbadilishe sura kwa kumng'ang'ania kwa uzr wake wamalaya nyie

    • @kingkapessahofficial6716
      @kingkapessahofficial6716 Год назад +5

      Bdo ana confedence god is great

    • @brownie_dee8655
      @brownie_dee8655 Год назад +8

      @@amanimanase8798 umemwelewa vby,amesema ht km walimmwagia acid kuharibu sura yake wamefail coz bado ni mdhur vilevile...

    • @ainsesseverest1136
      @ainsesseverest1136 Год назад

      ​@@amanimanase8798 umemwelewa vibaya ajamanisha hivyo ulivyowaza wewe

    • @BINTIwaKITANGA
      @BINTIwaKITANGA Год назад

      ​@@amanimanase8798 lakini hajasema Kwa ubaya....

  • @ela1543
    @ela1543 Год назад

    He fine like a fine wine, mungu akuponye kaka na aliyekufanyia hivi hatokaa ajue amani yeye na kizazi chake chote.

  • @irenewilfred6072
    @irenewilfred6072 Год назад +59

    Nimechoka kulia kwa Ajili yako Tariq,,, Acha Huyu Mungu tunaemuabudu aseme nao😢

  • @SamiryOmary-yw6se
    @SamiryOmary-yw6se Год назад +7

    Yanii uyu kaka anaongea kwa uchungu kwaninni hawatendi haki jamanii 😢😢daa inauma sana usikate tamaa kakaa angu mungu kila mtu anaruhusu apewe jaribu analoweza kulimudu be strong my brother mungu atakuwa na wewe mbaka mwisho😢

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 Год назад

      Kweli anaongea kwa uchungu sana inauma amemualibia maisha

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 Год назад +7

    Jamani wanasheria wetu mko wapi jamani mtoe msaada .. JUSTICE FOR TARIQ...

    • @amytullah2175
      @amytullah2175 Год назад +1

      Hii ni criminal wanashika wanasheria wa serikali na police dear😢 Yaani imeniuma sana

  • @mariamymariam8116
    @mariamymariam8116 Год назад

    Subhana Allah! Allah akutilie wepesi kakaangu! We bado mzuri tu!

  • @giftibrahim
    @giftibrahim Год назад +13

    Ijumaa yaleo tuna muomba Allah akufanyie wepesi upone inshallah ila tuna muomba Allah kweny ramadhani hii uyu aliokufanyia unyama huuu Allah ampe pigo Mara 3 zaid binadam utu umeisha kabisa ila hapa tz yetu kupata Hak n mtihan snaa ila Allah akufanyie wepes tuko nyuma yako na tutachanga uone tena much love bro❤ ......

    • @husnaabuu8341
      @husnaabuu8341 Год назад

      Allah nimuweza wa yote allah atakujaria utapona

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 11 месяцев назад +1

    Uko sahihi kabisa kaka. Watu tumeweka mbele pesa kuliko utu.
    Pole sana naamini watu pamoja na ushetani wa mioyo yao ujimbe wameupata.

  • @latifamchekenje6718
    @latifamchekenje6718 Год назад +18

    Malipo hapa hapa duniani!!! 😌Mshtakie MUNGU tu,!!!

    • @edjenmakwai2310
      @edjenmakwai2310 Год назад

      Yaani machozi yanakaribia kunitoka jmn tunaomba haki itendeke serikali ifuatilie huyu mtanzania atendewe haki. Yeyote aliyefanya hivi hatoishi kwa amani katika hii dunia

  • @emmanueltemu3606
    @emmanueltemu3606 Год назад

    Pole kaka ,,hakika mungu ni mwema,,binadamu siyo wema ishi na watu vzr

  • @Sham-vj4er
    @Sham-vj4er Год назад +4

    Pole sna Kaka Tariq yote muachie Allah atakulipia kw uyo mwenye amekufanyia ivo pole sna 😢 usisahau kila hatua dua 🤲

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 Год назад +2

    Allah Amekuvusha Kwa hilo Na Atakuvusha na pengine tena Biidhnillah,Bro Msamehe na Nina Imani Allah Amekuandalia Mazuri zaidi Ya Huo Mtihani Aliokupa In Sha Allah.
    Allah Akupe Uzima na Swiha njema Allahumma Amin

  • @sanurahaji5194
    @sanurahaji5194 Год назад +3

    Pole sana Allah akupe shufaa kikubwa kumshukuru mwenyezi mungu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Год назад

    Subhanaallah hujafa hujaumbika mwenyezi mungu ndie anaejuwa kila linalotupata viumbe vyake alhamdulilah rabillamin

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Год назад +4

    Mungu yu pamoja nae. Aamini tu atakuwa sawa na atarejea katika hali yake. Amen 🙏

  • @thaniakassim7687
    @thaniakassim7687 Год назад

    Muachie Mungu...Mungu hukumuyake kubwaa sana subiri uone...polesanaaaa

  • @stanleymartin2943
    @stanleymartin2943 Год назад +9

    Pole sana aisee binadamu sisi ni watu wabaya sana pole pole na pole sana😭😭😭😭

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 Год назад

    Daa inasikitisha sana mwenyez mungu akutendee upone walimwengu sio watu ndio wamefanya dunia ikawa soosehemu salama

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 Год назад +10

    Its sad 😥 may God be with him all the time 👏🙏

  • @abdullahyunus9235
    @abdullahyunus9235 Год назад +1

    Allah akuponye brother Dua zako allah azipokee brother

  • @furahamwakalukwa
    @furahamwakalukwa Год назад +11

    Ndugu yetu na kijana mwenzetu Pole sana tena sana kwa yote yaliyokukuta!!!Naomba niseme tu kuwa Mungu U pamoja nawe Daima,Sasa jiandae kwa ushindi Mkubwa ambao Mungu amekuandalia mbele ya safari yako ya mafanikio.
    Simama na tembea kifua mbele kwani Mungu yupo pamoja nawe Daima.

    • @ashuraissa7044
      @ashuraissa7044 Год назад +1

      Pole Sana Kaka watu wanaroho mbaya Sana mlaaniwe nakizaz chenu mliosababisha ulemav wamwenzenu

    • @mariamantes4203
      @mariamantes4203 Год назад +1

      Am from dubai ur words zimefanya nitokwe na machozi God bless you

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 11 месяцев назад

    Tariq uko smart intelligent and handsome kimwili na safi kiroho usiohope. Hakuna bunadamu aliyekamilika lakini tunauona uzuri wa moyo wako.
    Nkomo wa mungu uko juu yako

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Год назад +4

    Dah wamemtesa huyu kijana walahi si kwa adhabu hii mungu anawaona 😭😭nakuombea upone tariq🤲

  • @enelybukuku6902
    @enelybukuku6902 Год назад

    Pole Sana Kaka yangu,binadamu ni wabaya sana.mungu wa mbinguni aendelee kukulinda na kusimamia ktk Maisha yak.mushukuru mungu walau umeona

  • @GraceTemba-nx3mw
    @GraceTemba-nx3mw Год назад +5

    Mungu simama baba,huyu kaka simjui lakin,Mungu naomba umtoe kabla ya huyu kaka🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭Millard Ayo Mungu akupe maisha marefu na huyu mtangazaji ana busara sana

  • @swalabroecotour
    @swalabroecotour Год назад

    Allah akulinde, akuponye na matatizo haya akubarik na kla la kheri, akulipe na pepo InshaAllah

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Год назад +6

    Mungu asante kwa kujibu maombi ya watanzania. Mungu ni mwema kaka umepona.
    Tufanyie kisasi wewe mfalme wangu dhidi ya hawa watu/ team ya wanyama waliofanya haya.Hakuna usiloweza Mungu wetu😭😭
    Ww ndio Mungu mwenye haki peke yako tunakuomba sana utusaidie kwa hili. Tariq achana na kesi za duniani utaumizwa moyo tu. Acha Mungu pekee atende kaka. Duniani hapa 😭😭😭
    Hata ungetenda nini hukupaswa hii adhabu. Kaka Mungu hatakuacha kamwe
    Pia tujitahidi watanzania wenzangu kwa chochote kumfanyia Tariq wepesi.

  • @lulually4864
    @lulually4864 Год назад

    Pole sana baba angu amini kwamba mungu yupo na huyo aliyekufanyia hvo na yeye atafanyiwa hvo hvo na ndo maana biblia imeandika ukiua Kwa upanga na wewe utauwawa Kwa upanga...Mungu akulinde upone haraka watanzania tuko pamoja na wewe maumivu Yako n maumivu yetu pia

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 Год назад +5

    Allahu Akbar alhamdhulilah Allah qarim😢😢😢😢inshaAllah everything gonna be fine

  • @CastolivingstoneMwakyusa-kt4ff
    @CastolivingstoneMwakyusa-kt4ff Год назад +1

    Daaaah!! Pole xan broo

  • @shazilmohamedi-fw3rm
    @shazilmohamedi-fw3rm Год назад +4

    pole sana kk Mungu akuweke salama nyakat zote

  • @thadeiandrea877
    @thadeiandrea877 Год назад

    Pole sana mwenyezi mungu yumwema kilawakati atakufanyia wepesi utapona

  • @dainesskyando1850
    @dainesskyando1850 Год назад +16

    Pole tarek mungu mkubwa Sana andika namba Apo ya sim mungu mkubwa umepona baba umepona mungu aliye juu ashindwi. Ameeen

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 Год назад

    Mkaka mzuri very smart Wallah binadam hatuna huruma malipo ni hapa hapa dunian Allah atakulipia kaka mzuri 😩😩

  • @glowingspirit606
    @glowingspirit606 Год назад +17

    Very unfair may justice prevail, huyo mtu kifo kisimpate aishi maisha yake yote akilipia aliyomfanyia mwenzake from his|her kids na wazazi wake na kila mtu anaemzunguka nimelaani.

    • @Apelo_GAMER
      @Apelo_GAMER Год назад +4

      Put the children apart hawahusiki kwa malipo ya mzazi wao sio sawa hata Mungu ataepusha hilo watoto n malaika wanazaliwa hawajui lolote iweje wao waje walipe madhambi ya mzazi wao i pray for the innocent child Mungu huyu alie hai asiesinzia hapo aepushe ALAANIWE MUHUSIKA NA YEYOTE ALIEHUSIKA KWA NAMNA YOYOTE JUU YA HILI🙌

  • @phebbyshayo9099
    @phebbyshayo9099 Год назад

    Pole sana kaka..Mungu anaona kila aina ya uovu inayofanyika chini ya jua
    Mungu ameahidi kuwaharibu watenda mabaya wote hivi karibuni..zaburi 37:9,10,11

  • @Moregun619
    @Moregun619 Год назад +23

    😪we love you man.. we pray and hope that you recover from this.
    Utapona kaka yetu🙏🏽
    Eh Mungu mponye kaka huyu..
    my heart is bleeding..
    this was so so cruel 😪

  • @FatumaMwavyema-f2y
    @FatumaMwavyema-f2y Год назад

    InshaAllah Allah atazidi kukufanyia wepesi kwa kila atua

  • @mandajamaly4843
    @mandajamaly4843 Год назад +6

    Du jamaa alikukatiri sana pole sana brother🙏🇹🇿

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 Год назад

    Pole sana .ndugu.malipo ni hapa hapa dunia.uriye mfanyia hivi mwenzio unajiskiaje

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu Год назад +11

    Machozi ya furaha yamenitoka kusikia kaka Tariq kuona nazidi kumuombea kwa mungu azidi kumpigania apone mungu wa mbinguni hashindwi kitu utapona kaka yetu❤

    • @rehemaismail1794
      @rehemaismail1794 Год назад

      Pole sana mungu hatakuponya kwn pk kufika hapo juwa mungu hanakupenda sana,,mungu hakupe subra juu ya afya yako

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 22 дня назад

    Tariq Allah akufanyie wepesi weka namba angalau kukushike mkono pia mama yetu wa royal tours Mama samia tunakuomba umpambanie

  • @LavishHatTV
    @LavishHatTV Год назад +5

    😢😢😢 Daaa It's So Depressing but what I can assure you man #Tariq this perpetrator won't get away with it..god is faithful and trust the process. This is one of the greatest interviews that are so touching...ayo congratulations keep inspiring generation.❤

  • @reganallen9943
    @reganallen9943 Год назад +1

    Mungu azidi kumlinda na kumponya

  • @irenelukumay877
    @irenelukumay877 Год назад +3

    hapo ulikofikiya nikwa neema za mungu usijali kaka tuko pamoja na wewe usijione wa tofauti hakuna kilichoharibika hata kidogo kuwa na amani sisi niwatanzania wenzako tutazidi kukusapoti mungu ni mwema sana kwa hatua uliofikiya inaumiza sana usijali ndugu yetu kaka yetu tunakuombeya kila leo kwa mungu

  • @kenya560
    @kenya560 Год назад +1

    Pole Sana kakaangu. So painful. I know the pain your going through 😢. Huyu Hakimu msenge sana kudadeq zake mbwa. Hii nchi na Rushwa. Hakimu mwenyez Mungu akusamehe tu mbwa wewe

  • @ester283
    @ester283 Год назад +3

    May you be healed in Jesus Name🙏 bado nakuombea na sitaacha🙏 you are going to be fine

  • @kikotimhaicki1846
    @kikotimhaicki1846 Год назад

    Jesus is everything ... But ukimeamin umepona shida zote Amina.. amina