KIJANA AMWAGIWA KINACHODAIWA NI TINDIKALI MOSHI, NDUGU WASIMULIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 408

  • @nurukiwia93
    @nurukiwia93 2 года назад +26

    Tariq Tariq handsome boy wetu mteja wetu. Ewe mwenyezimungu sima na mtoto wetu katika Hichi kipindi kigumu. Na utende miujiza katika uponyaji wake. Na Uwape adhabu Kali wahusika wote. Nimelia Sana na kuumia. Pole Sana mtoto wetu.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 года назад +46

    Itakuwa ni mambo ya mapenzi hayo, pole Sana kijana.

  • @juliussilvestar8988
    @juliussilvestar8988 2 года назад +2

    Mwana upo very right mwenye shida Mke. Mimi siwezi kumhukumu mme mwenzangu kisa katembea na Mke wangu hapoo nawacha Mke tena direct talaka moja.Yeye kavunja agano.

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 года назад +52

    Hakuna mtu anastahili kumwagiwa tindikali awe na sura nzuri au sura mbaya. Na hakuna mwenye sura mbaya mbele za Mungu. Wachukuliwe hatua kali.

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 2 года назад +5

    Allah ahidhi macho yako mwanangu in shaa Allah ☝️🤲 na awape subra na uvumilivu wazazi wako my prayers 🙏

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 года назад +11

    Mungu amsaidie apone.nimejikuta naumia sana moyoni iki kitendo alichofanyiwa.Namuachia Mungu ndie akimu wa aki anaona yote..

  • @sabrinahairclinic9744
    @sabrinahairclinic9744 2 года назад +8

    Pole kaka angu wajina wa mwanangu 😭😭😭 mungu akuponye kwa haraka binadam ss atuijui kesho yetu ndio maana mtu unafanya maamzi mangum yakumuumiza mwezio kwa visasi vigum sana jamani tujitaidi kuifikilia kesho yetu 😭😭😭😭😭

  • @superwomen6506
    @superwomen6506 2 года назад +21

    Daaaaah Tariq jamani😢😢😢😢😢Mungu akuponye rafiki yangu😢😢Mungu atakulipia tu

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад +1

    Ee mungu wangu mwingi wa huruma mjaalie kaka tariq arudi kama alivo zaliwa arudi kuwa mzima.amin

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 2 года назад +2

    Ukute ni mapenzi tu maana kaka wa watu Mashallah
    Pole yake mwaya Mungu amfanyie wepesi na akumbuke vizuri mahusiano yake maana wangekuwa majambazi wangempiga akafa

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 года назад +1

    Wanadamu jamani. Eeeh Mungu naomba huyu kiumbe alomuaribu huyu kaka umlipe sawa sawa na alichotenda
    Ubinadamu upo wapi ndugu zangu,kwnn kumfanyia hivi mwenzako

  • @lissadee9009
    @lissadee9009 2 года назад +2

    Mh hii story nimeion kwa mange app Yan uyu Kaka km kweli alikuwa anatembea na uyo mke wa mtu mh pole ake Ila wanaume wazur ndio kuwanogea wake za watu walelew km sio ivyo bas pole ake pia mungu amtie nguvu

  • @neemamwambe4127
    @neemamwambe4127 2 года назад +1

    Duh so sad ,i never expect to see my classmate in this situation.May Allah heal you

  • @joycekimaro6685
    @joycekimaro6685 2 года назад +23

    Huyu jamaa sijui yukooje eti "hapa anapokaa nimemuweka meneja wangu anaitwa Imma" kwanini asikae ndugu yake, Upelelezi ungefanyika kuanzia kwa hao marafiki zake

    • @pamelahezron8326
      @pamelahezron8326 2 года назад

      09p0p0p0

    • @rodjeje5479
      @rodjeje5479 2 года назад +2

      Hata mm sijapenda

    • @sureiamboo
      @sureiamboo 2 года назад

      Yaani 😡

    • @alexjos7625
      @alexjos7625 2 года назад

      Labda nyumba za kampuni ndani ya compound yao...sio nje ya compound ya kampuni

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 года назад +1

      Mungu ataonekaba tu kwao. Kwnn aliwaacha mara wataungana ataenda kucheza pool table. Uchunguzi uanzie hapo pia itakua nzuri

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 года назад

    Subhannahllah pole sana Allah akufanyie wepesi..Allah awaadhibu wote walio fanya unyama huo.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 года назад +11

    Mungu amponye upesi, Mungu akawabainishe waliomfanyia ubaya Tariq mkaka mzuri sana binaadam awana hofu ya mungu ata kidogo 😢😢 ee Mungu utuhurumie

    • @geofray0132
      @geofray0132 2 года назад +1

      Usisahau wanaume bahadhi wako na tabia za kuumiza mabinti kimapenzi, so hujui tabia zake uyo Tariq juu ya hilo ..na binti akiumizwa anakuwa na mahamuzi yake binafsi, ..zingatia hilo,...

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 года назад

      @@geofray0132 hata km hakustahili hii adhabu.

  • @salhasultan7033
    @salhasultan7033 2 года назад +20

    Jaman kijana mzuri kweli binadam wabaya mpaka kumfanyia ivo mwenzako

  • @upendoedward3830
    @upendoedward3830 2 года назад

    Duuh!! Ee mungu jalia watu wako mioyo yenye huruma,, pole Sana kaka mungu akujalie uvumilivu hakika utapona

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 года назад +1

    Pole sana kakawawatu mzuri manshaallah

  • @sharonkimaro2706
    @sharonkimaro2706 2 года назад +1

    Ugua pole sana kaka mzuri wamemuonea wivu kwa uhb wake

  • @audreyirakoze7807
    @audreyirakoze7807 Год назад

    Pole sana Allah atakuponya Amiin🤲🏻🇧🇮

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 года назад +1

    Ni wivu amna kitu ingine mungu amjlie aone. Quick recovery ❤️‍🩹

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 2 года назад +20

    Mungu amponye kijana wawatu mzuri! na nyie mlofanya mtapewa malipo yenu

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 года назад +1

    Mungu atakulipia kwa wakati wake Tunakuombea upone haraka uendelee na majukumu yako Tariq

  • @msaleepita9791
    @msaleepita9791 2 года назад +14

    Hii kwambali naona tatizo mapenzi maana ni handsome sana wanawake wengi hupenda wanaume ma handsome ndo maana wakaamua kumuharibu sura

  • @lorrainegallardolorraine2631
    @lorrainegallardolorraine2631 2 года назад +1

    Very handsome guy aiseee
    Allah ampe shiffa apone haraka

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 года назад +6

    Sehemu nyingi ukiwa na muonekano mzuri utapata watu watakuchukia sana bila sababu. Muonekano mzuri na bahati ni vitu 2 ambavyo vimefanya watu wengi sana wachukiwe bila sababu. Hasa maofisini. Angalia watu wengi wanaochukiwa sana..wengi sana wana muonekano mzuri ay wana bahati ya kuwa na maisha mazuri kuwazidi wenzao. Ila muonekano ni adui namba 1 aisee.😕😒. Inafika mahala watu wanakataa kuongozana na mwenzao au kwenda nae sehemu kwa sababu tu ana mwonekano mzuri

    • @lissadee9009
      @lissadee9009 2 года назад +1

      Inasemekan alikuwa anatembea na mke wa mtu

    • @restitutalucia9009
      @restitutalucia9009 2 года назад

      Hio mpya

    • @pendokileo7882
      @pendokileo7882 2 года назад +1

      Uko right sana...yani hujakosea hata kidogo..yani umeongea ukweli km nakuona

    • @faithjonathan3845
      @faithjonathan3845 2 года назад

      @@lissadee9009🤭duh..mke wa mtu sumu

  • @mommymomm2237
    @mommymomm2237 2 года назад

    Naomba mnipe number ya Tariki jmn Niko ughaibuni aniowe kwa Lillah ntampenda kwa Hali yke jmn inshaallah

  • @Nathly40
    @Nathly40 2 года назад +14

    Anaenda nyumbani halafu hapo hapo ukampigia simu mkutane Amuuz? Hapa ndio kwenye shida! Kwa nini accountant amnyime gari? Kwa nini wewe swahiba wake usimpeleke? Why was he in rush? Lipo jambo!

  • @mkaminyintange3602
    @mkaminyintange3602 2 года назад

    Nimeumia saaanaa pole mungu akufanyie wepesi upone kaka

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 2 года назад

    Binadam binadam binadam hata woga kumharibu mtoto wa Mungu na mwanamke aliyebeba mimb 9mnth??? Hofu yetu kwa Mungu iko wap Mungu wetu yote haya anaona na atahukum kwa haki pole tariq Mungu atakusaidia

  • @hawaomary96
    @hawaomary96 2 года назад +2

    Mzuri jaman kaka wa watu kama hatumii kilevi basi kilevi chake ni mademu hayo itakuwa ni mapenzi tu mungu amponye

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 2 года назад

    Message from USA inauma Sana bro 🙏

  • @brownbryson9293
    @brownbryson9293 2 года назад +4

    Zaburi 1:1 heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki, wala kusimama katika njia ya wakosaji: Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha... Mungu akutie nguvu tariq.

  • @neemah6517
    @neemah6517 2 года назад

    Habar kaka zahuko pore sana kwayare yariyokupata mungu atakusimamia utapona hayo nimapito ya Dunia kaka nitakuja kukuona tukijariwa mwezi 6 pore

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 2 года назад +4

    Daah jamani kijana wa watu handsome kweli Kuna watu hawana huruma pole yake jamani

  • @agnellapius8142
    @agnellapius8142 2 года назад +8

    Mzuri kwa kweli Itakua chanzo ni mapenzi mkaka mzuri hivyo lazima tu

  • @JenniferMaro
    @JenniferMaro Год назад

    Kiukweli imeniuma sana pole best yangu ila binadamu ache roho mbaya 😭😭

  • @vj8313
    @vj8313 2 года назад +6

    😭😭 Mungu Baba , binadamu tumekuwa kama wanyama kah ,hata kama mtu anabifu nae siyo kumfanyia kitendo hicho wangechagua adhabu nyingine mweh hata wangechukua tu vitu vyake mfano sim, hela lakin si kumuharibu na kumuumiza mwili inauma sana.

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 года назад +5

    Huyo jamaa anayehojiwa ambaye alikuwa nae ile siku kwa muda mrefu huyo kuna kitu amedanganya hata sura inaonyesha huyo akamatwe na kwa nini amemuweka mtu hapo nyumbani kwa Tariq

    • @eestermos9933
      @eestermos9933 2 года назад

      Na yule aliemnyima gar aojiwe kwann kamnyima gari mwenzie usiku.

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 года назад

      @@eestermos9933 ndiyo na yule pia ahojiwe sababu mambo hayo huwa yanasababishwa na watu wakaribu sana kwani wanajua kila kitu kuhusu jamaa aliyemwagiwa tindikali

  • @mishination312
    @mishination312 2 года назад +6

    Classmate wang jmn Mungu wangu Mungu amsaidie

  • @consesamallya9763
    @consesamallya9763 2 года назад

    😭😭😭😭du Mungunafanye njia aone tena .binadamu tuna roho mbaya

  • @aishaimam1442
    @aishaimam1442 2 года назад +1

    Daaaaah mkaka anavutia huyu 🥺🥺🥺🥺🥺binaadamu tumekua na roho za wanyama

  • @maryamsaid3297
    @maryamsaid3297 2 года назад +32

    Kwauzuli wahuyukijana halafu wakaiharibusurayake mwanamke anahusikahapa😔

    • @liciouscharles3370
      @liciouscharles3370 2 года назад +2

      Kweny app ya mange kimambi amesema sabab ni mke wa mtu kweli...sasa sijui ni kweli ama ni nn
      Mungu amsaidie apone na asiwe amedhurika pakubwa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад +1

      Maryam Said hata mimi nahisi kwani kama ingekuwa kisa kingine wasingeharibu sura hapo inaonyesha ni wivu wa kuchukuliwa aidha Mke au mchumba. Ila ni kitu cha kinyama na kijinga kwani sjui atamwagia wangapi?.Kama ni kweli inabidi anaegombewa awe makini na aseme ukweli. Inasikitisha sana,Mungu atawabainisha tu hao wahalifu ni kitendo cha unyama uliopitiliza

    • @happymacha9053
      @happymacha9053 2 года назад +2

      Mii pia nimehisi,labla alikuwa anatoka na mke wa mtu alafu mumewe kamfanyia...

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад +1

      @@happymacha9053 Wote tunahisi hivyo kwa kuwa hiyo kumdhuru uso inaonyesha ni kukomolewa ili asitamaniwe tena.

    • @aishaimam1442
      @aishaimam1442 2 года назад +1

      Daaah inawezekana maskin....ila Maryam Tarqi akipona daaah nmeone tu mkaka mzur huyu kwa kweli🤣😍

  • @kitchenwithmanca2261
    @kitchenwithmanca2261 2 года назад +4

    Hawa hawa ndo wachunguzwee yani ukwel utatoka apa mana iko chumba mpka sasa kingekuwa chin ya uangalizii coz kama alifika nyumban na kurud tena tena kwa kuitwa na marafiki bas wachunguzwe wao

  • @neemajordan4750
    @neemajordan4750 2 года назад

    Kuna mambo binadamu tunafanya had shetani anatuogopa😭😭pole Sana Ila kama ni mwanamke ndie chanzo utalaniwa na uzao wako wote nyau wewe😏Ugua pole T wetu, Mungu akuponye utakua sawa🥺🥺

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 года назад +2

    huyu kaka ndio alimfanyia mwenzie kwakweli..mungu tenda maajabu yako kwa haraka..uchu wa pesa jamani hapana

  • @nahimanamayassa8305
    @nahimanamayassa8305 2 года назад +2

    Kijana mzuri kweli😒wanam simamishia dream zake shame😭😭😭

  • @OmyDee
    @OmyDee Год назад

    Mungu amponye kakayangu

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 года назад

    Nimeumia sana kwa kweli Tarik utakuwa sawa kaka

  • @yuliarespis328
    @yuliarespis328 2 года назад +1

    Pole sana classmate Majengo Secondary 2010

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 года назад +5

    Kwanza Poleni sana Tena sana ,ndugu na familia kwa kweli ,Mimi Niko Pemab Kaskazini Njoni niwafanyie dawa hao,hao jamaa watafahamika tuu nimeumia sana kwa kweli poleni sana Mmung atamuwafu kwa kweli

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 года назад +4

    😭😭bora ukutane na wanyama wakali kuliko kukutana na binadamu sasa hv polen ndg / jamaa na marafiki wa tariq ndio mana vichaa wengi sasa hv mitaani watu km hao ni kuwaroga tu wawe machiz km dhambi tutakutana siku ya malipo 😢😢

    • @florahmartin2120
      @florahmartin2120 2 года назад

      Nikweli bro ila ushawahi kukutana na simba kweli??

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 2 года назад +13

    Shida ya Polisi wetu hawawezi kufanya investigation kwa kutumia akili badala yake wataumiza watu na kuwalazimisha wakiri kosa.

    • @neemabright3635
      @neemabright3635 2 года назад +1

      And hiyo Ni kwasababu polisi wetu wengi Ni wataaluma za chini n sijui Kama course za criminalogy au forensic courses wanazijua

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 2 года назад

      kabisa

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад

      Upo sahihi maneno yako ila rushwaaa kk ndio shida

  • @sureiamboo
    @sureiamboo 2 года назад +1

    Hypocrites wote marafiki 😠. Tariq is handsome , too much jealousy is a killer!

  • @subiralyamwaka4361
    @subiralyamwaka4361 2 года назад

    Mungu akufanyie wepesi utapona

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад +1

    .mungu ni mwema kaka

  • @brunokimaro1053
    @brunokimaro1053 2 года назад +24

    Kwa Nini Devi alimnyima gari na akaamua kuchukua bodaboda.Na kama ni rafiki yako na ulimwita kwa Nini usingempeleka anapoenda..haya mlikua wote na hukumpeleka alipokua anaenda,iweje the same time unamtafuta Aje Amoz,sijui Mimiz .mbona stori za kitoto sana aisee..intelijensia inasoma unajua vyema njama na ni watu wa Karibu na kama hujui basi Devi anajua na anahusika

    • @nestorymsacky6838
      @nestorymsacky6838 2 года назад

      Fact

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 года назад +3

      Dawa ya Snitcher ni tindikali? Alisikika mlevi akiuliza 🤔

    • @evelinemsaki2057
      @evelinemsaki2057 2 года назад +3

      Nakubaliana na wewe kabisa walijua Nini wanafanyaga ndiyoo maana wakahama Hama vijiwe huenda wanataka kumzunguka vijana wanaoishi happo Moshi wanna roho chafu sana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 года назад

      Usihukumu ngoja wafanye kwanza uchunguzi

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 года назад +2

      Huyu anajua chanzo Chote Cha tukio hivyo Yeye naye Ndy asaiie polisi

  • @Idafa
    @Idafa 2 года назад +15

    Mimi naangaliaga sana ID discovery channel. Wanaokubali kuhojiwa kwenye news na wapo karibu naye na walikuwa hapo Moshi siku hiyo nao wachunguzwe. Inaweza kuwa kuna mmoja anmuonea wivu au ni mambo ya wanawake. Just saying.

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 2 года назад +1

      Correct kma ni ulaya hao wote wangechukuliwa finger print Kwa uchunguzi

    • @chakubanga8053
      @chakubanga8053 2 года назад +1

      Kweli kabisa

  • @sophiarubambimpala5482
    @sophiarubambimpala5482 2 года назад

    Mkaka mzuri jaman sijui sura yake itakuaje tena, nmeumia sana na wasiwasi kwann alipoondoka huyo rafiki ake alimpigia simu kwann asingesubili yy amwambie amefika nyumbani na kwann rafiki ake alimunyima gari hapo naona kuna kitu kinaendelea nataman mm ndo niwe mpelelezi.

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 2 года назад +12

    huyu NDO MTUHUMIWA WA KWANZA 100% BILAA UBISHIII .....chekii maelezoo hayoo

    • @baysuraoman7910
      @baysuraoman7910 2 года назад +1

      Kabisa my

    • @OmanOman-ky2oo
      @OmanOman-ky2oo 2 года назад +2

      Anajitafuna maneno mungu ndie hakimu

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 2 года назад +4

      Kwanini wamnyime gari, Kwanini, kila saa mara nikamtext, nikampigia simu, mara tukaenda tukakosa parking tukarudi sijui wapi au ni wao baada ya kuondoka na bodaboda wakamfata wakafanya tukio alafu wakahama kijiwe, polisi wangechukua simu za hao vijana wangejua mengi inawezekana anavyowapa mawazo ya biashara atakama akiwapa wanafanikiwa ikawakera kwanini kila siku awe yeye mwenye mawazo?
      Na kwanini ndani ya nyumba yake waweke mtu ambaye si ndugu kwani ndugu zake wanashindwa kuja, wangefanya usafi ila sio kuanza kuishi umo ndani.

  • @goncerhaule1874
    @goncerhaule1874 2 года назад

    Mungu atamponya vizuri. Huyo nae wamwagie hiyo tindikali aone maumivu

  • @claudiangowi9628
    @claudiangowi9628 2 года назад +3

    Mchezo wa tindikali si mzuri jamani khaa. Mungu amponye, japo kila kwenye Moshi Pana Moto, ukweli anaujua mwenyewe.

    • @geofray0132
      @geofray0132 2 года назад

      Ww sasa umeongea point ..ukwel anaujua tu.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 года назад +2

    Dunia hii, Hata Usipomfanyia mtu Ubaya, Utafanyiwa Ubaya Tu.. Ndo Dunia ilipofikia hapa😭😭

  • @akxakalapa8950
    @akxakalapa8950 2 года назад

    Tatizo wanaume siku hz wanatutambiaga sana na mionekano yao sasa na u handsome wote Huo lazima kuna kitu kuhusu mapenz amna kingine

  • @monalisapeter4899
    @monalisapeter4899 2 года назад +2

    Huyu rac cjui kama zina mtosha tulienda kula mapiza mabia yani kula bata kama mchawi vile

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 года назад +7

    Nyinyi mnaojiita marafiki ndo mmemfanyia ushenz .ila karma ipo mtakiona

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 года назад

      Wakati wakifanya huo ushenzi wewe ulikuwepo nyinyi ndio mnaowafungaga watu kwa ushahidi wa uwongo mnafiki mkubwa wewe

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 года назад +12

    Biashara,Mapenzi,Mafanikio Kifedha.....huwa yanaleta shida kinoma.

    • @leylahleylah4599
      @leylahleylah4599 2 года назад +3

      Sana...wivu tu ndiyo chanzo cha kumuharibu mwenzao usoni

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 2 года назад +3

    He is very handsome maskin

  • @anethzephulin2064
    @anethzephulin2064 2 года назад

    Mungu amponye kijana wa watu lakini walomfanyia hivi wasisahau malipo ni papa duniani

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 года назад +9

    Daah mungu amponye!! ila issue km hii iliwai kumtokea rafiki yngu mwaka 2013 alikuwa handsome boy sana ila kupitia uzur wake akawa anachukua hadi wake za watu na mwisho wakamfanyia kama hivi na kuiaribu sura yote!! Jaman wake za watu au wapenz wa watu ni sumu cz watu wana ghalamia

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 года назад

      Ni hatari sana

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 года назад

      @@Mpakauseme sanaa

    • @mwana4599
      @mwana4599 2 года назад

      Ķwani mke huyo ni mtoyo. Hana kosa huyo HB. Mwenye kisa ni huyo mke kwani hajui ameolewa. Hamna justification ya huo undamaged.

    • @pendopendo8871
      @pendopendo8871 2 года назад

      Na alipona na kuona tena au

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 года назад

      @@pendopendo8871 yah alipona na anaona ila sura ndiyo siyo yeye tena cz imearibika sana

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 2 года назад +1

    Mmh!! Kikulacho kinguoni mwako... inaweza kuwa niwatu wake wa karibu mno..ila MUNGU ni mkuu sana tarik yeye pekee anamjua aliye fanya hilo..hiyo vita muachie yeye jaman wanadamu sisi !! MUNGU tusaidie utuepushie na utuweke mbali na hao maadui wanao tuzunguka.. maana kwa macho ya nyama hatuwaoni hatuwajui

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 года назад

    Pole sana brother tariq- Wivu ni mbaya sana

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 года назад

    Mungu amponye Talq

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 года назад

    Mungu amuoloe huyu kijana

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 2 года назад +4

    Msipende kuhukumu mtu jmn cyokila mtu akiwekewa camera ivyo anaweza kuongea mnamuhukumu kisa ana jikanyaga kukaambele ya camera cyo mchezo yy alimwagiwa ndy anajua shida nn uwez jua uwenda walikua wanacheza kamali apo ilo pool table mtu kaliwa au chochote kilitokea

  • @ashaahmed5606
    @ashaahmed5606 2 года назад

    May Allah heal you ...ni Wivu tu ya maendeleo yako

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +6

    Brooooo Tariq nimeumia mno daaaaaaah 😢😢😢😢😢😢😢!!! Mungu atawafanyia k2 kibaya xna nyie mbwa mulofanya huu umyama

  • @kidotitv5527
    @kidotitv5527 2 года назад +4

    Umeniuma sana hii habar😭😭, mungu amponye talqi inshallah 🤲

  • @siafocus7392
    @siafocus7392 2 года назад +1

    Watu wanawivu2 awataki kuona mwenzie kamzidi kitu at mimi yamenikuta naumia sana namuomb mungu amsaidie apone na walik fany hayo mungu atasema nao 😭😭😭😭

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 2 года назад +3

    Tariq mshukuru Mungu na Allah atakulipia kwani hii husda kubwa sana.

  • @prinsecmerryprinsec3059
    @prinsecmerryprinsec3059 2 года назад +1

    Dahhh...God be with u dear

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 года назад +1

    Wanajifanya hawaeleweiii nawao limekuwa tukio jipya lakiinii wao ndio waliomfanyia hiivyoo mwenzaoo...Mungu atalipa maana yeye ndio anajua mioyo yenu sisi tunasikiliza tu

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 года назад +4

    Jamani tuingiwe na huruma ya kuwa kaumia na kadhurika binadamu mwenzetu sio kwa sababu ya sura yake nzuri....
    Naona baadhi ya watu first kinawaumiza sura nzuri second ndo ubinadamu...
    Mchizi amepatwa na matatizo ila embu acheni ujinga wa kuwaingiwa na huruma kwa sababu ya kuangalia ati sura nzuri,najua mtakataa ila maandishi yaongea kwa sauti sana bila kinywa muda mwingine.

    • @monicamagesa8571
      @monicamagesa8571 2 года назад

      Umeongea ukwel, je angekuwa siyo sura wasingeumia, au sura ndiyo inawaumiza zaidi, yaan ingawa hawatakuelewa ila mm nmekuelewa. Watu tuumie na kumuombea ila kwamba angekuwa hana sura nzur bado ni binadam anatakiwa huruma, na hakuna mtu hana sura nzur maana wote tumeumbwa na sura nzur.

  • @happypessa1999
    @happypessa1999 2 года назад

    Mungu amponye daah

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 года назад

    Wapo watu pia wanatishia wenzao kuwamwagia tindikali pindi wanapokosana. Ombi langu kwenu naomba elimu na onyo litolewe kwa Jamii juu ya matumizi ya tindikali.

  • @lusekelocharles9791
    @lusekelocharles9791 2 года назад

    Ndio maana wanasema mke wa mtu ni sumu haya sasa hili nisomo pole but mimi sijui nikwanin hukutaka kupata mwanamke wako ukatulia na kuheshi they way mungu amekubariki...... mnachukiza sana kijingajinga tu mtu unakuja kufanyiwa jambo usilotaraji kabisa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      Na huyo aliyetenda atatendea wangapi? Maana shida ipo kwa Mke au Mpenzi wake mpaka mtu awe na tabia ya kuruka na mwengine inamaana aidha hana penzi yupo kwa sababu ya kitu.Sasa badala ya kudhuru mtu anayetongozwa angejua amdhibiti vipi mpenzi wake au amuache atafute anaempenda kwa dhati. Kwa nini asimdhuru huyo anaetongoza vijana kama ni hivyo?.Kwa hiki alichokifanya sio suluhisho na Mungu atamuumbua .

    • @lusekelocharles9791
      @lusekelocharles9791 2 года назад

      @@leokamil6284 mungu amechoka nae kesi zote ahukumu yeye tu zingine tunahukumiana tu wenyewe angemuua ndio vbaya lakini hiyo ni fundisho kwa amani kuwa unapaswa kushimu mke wa mtu na pia unapaswa kujiheshimu wewe na nafsi yako... wanawake ni dhaifu zaidi pale wanaposhawishiwa so kosa ni la mwanaume siku zote dunian kwani mwanamke tayari alishaumbwa hivyo soo mwanaume tumia akili wapo malaya every where bei chee nenda uko ukapambane sio kuvuruga amani mwisho aman ikakuvuruga wewe sasa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      @@lusekelocharles9791 Nakataa maneno yako au pengine huna nyota ya kupendwa .Tena nimeshangaa kusikia kwa mwanamme mwenzangu kauli hizi inamaana hujawahi kusikia wanawake wanashawishi wanaumme hata kuwanunua ?hiyo ilianza kwa Adam alishawishiwa au hujui?.Hayajakukuta ndio maana kuna wanawake mashetani anakughilibu mpaka unaona sasa nisipo mtimizia ataniona sio mwanamme kamili.zamani wanawake walikua na aibu sio sasa anakwambia kabisa waziwazi na kukuhonga juu.Wake ja watu wanaongoza mpaka kutembea na ma house boy tena wengi niwale wanaojua waumme zao hutembea nje ya ndoa.Jingine nikuulize kwa akili yako unadhani uyo fala atamwagia wangapi? Kwani hiyo ndio dawa ya mke au demu wake kuacha kutongoza vijana?

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 2 года назад +1

    Pole sana kaka mungu akuponye jamani,

  • @wanguiteresia2508
    @wanguiteresia2508 2 года назад +1

    This is so bad and evil..💔💔

  • @UtimbeMasoud-nt5cy
    @UtimbeMasoud-nt5cy Год назад

    Dan nasikitika sana kukuona ivyo pole san

  • @mariecruz921
    @mariecruz921 2 года назад

    Hakuna aliepewa haki ya kuhukumu lakin mke wa mtu sumu,vijana msipinde kutembea na wamama wa watu,,tafuta halali yako uoe na Mungu atakubariki!!

    • @hajraali1205
      @hajraali1205 2 года назад

      Kwani katembea na mke wa mtu?

  • @annasimon6665
    @annasimon6665 2 года назад

    Pole Xna

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 года назад +3

    Jamani mtoto wa mtu mzuri hivyo jamani😭😭😭

  • @veroncawaziri912
    @veroncawaziri912 2 года назад +1

    Jaman mkaka Wawatu mzuri Sana kajaliwa body saut nyie binadam tunaelekea wapi au wenzetu mnaofanya haya matukio mmeshaongea na Mungu kuwa mtaish milele kaka pole Sana Mungu atakuponya 😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 2 года назад

    Mlimuonea wivu kaka wawatu bongo moja lakaka ili apa ili jmn binadam wabaya sijui wamemwaribu sura😭😭😭😭😭ila viumbe ssi moto wetu hauna mpka

  • @anithadalvin6719
    @anithadalvin6719 2 года назад +1

    Huyo Tariq alikuwa anatembea na mke wa mtu , alikanywa lkn hakusikia

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 года назад +9

    Jamani hii roho mbaya tz mbona mmezidi mtu hata kama anamakosa ndokumuadhibu hivi

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 года назад

    Allah angekua anatuadhibu kwa makosa tunayomkosea wallah Dunia isingekuepo Leo hii wanaadam tunakosea kiubinaadam tunaadhibiana hivi dah

  • @anithasanga5388
    @anithasanga5388 2 года назад +4

    Ooh Mungu wangu kaka wawatu mzuri ila binadamu sisi 😭😭😭

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 2 года назад

    Yani Tanzania yetu kuna watu wanarohombaya sana mungu atakuponya mpendwa wetu