🔴LIVE: MAKONDA awaka, anamfyatua MKURUGENZI WA ARUSHA muda huu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 30

  • @lemakhalfan8564
    @lemakhalfan8564 14 дней назад +5

    Chuga ilikua ni muhimu sana kuwa na mkuu wa mkoa kama makonda ivy big up sana makonda sasa tunataka na mbunge makini toka ccm na mkurugenzi pia

  • @AlfredAloyce-wh5nq
    @AlfredAloyce-wh5nq 14 дней назад +2

    Asante muheshimiwa makonda Mungu akupe maisha malefu

  • @user-qx4pc3rx8g
    @user-qx4pc3rx8g 14 дней назад +4

    Huyu jamaa anawawakilisha vzr chuga

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 12 дней назад

    Hapa kazi tu, kazi iendelee. Siku za mwizi ni 40. Mh. Makonda ubarikiwe sana, vilevile tunaomba wakuu wa mikoa wote muige kwa mh Makonda. Huo ni mfano wa kuigwa.

  • @florahlaanyuni8553
    @florahlaanyuni8553 11 дней назад

    Hakika Mheshimiwa Makonda nimefurahi sana kwa hili, yaani vitu straight hakuna kona kona, you deserve that position and more, madudu ni mengi sana na raia wanateseka mno hawana wa kumuambia wala pakukimbilia.

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 14 дней назад +1

    Pokea 💐🌹🌹🥀 yako mapema mzee wangu

  • @dottokulwa7017
    @dottokulwa7017 14 дней назад +1

    Makondaaaa unafaaaa kila nyumbaaa kwa maana ya kila mkoaaa

  • @athumanimhina1869
    @athumanimhina1869 13 дней назад

    Mungu akusimamie mkuu wa mkowa

  • @aliomar9763
    @aliomar9763 14 дней назад +2

    Jamani tunahitaji kuwa na Makonda wengi wenye utendaji wa kweli kama huyu na sio makonda jina

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 14 дней назад

    TATIZO DHARAU... POLEE MH. RC

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 10 дней назад

    Makonda is intelligent!!
    Huyu mfanyabiashara anajitambua pia! Hategemei rushwa na uhusiano kufanya biashara.
    Halmashuri ilifanya wizi kwa makusudi. Kama lingekuwa kosa la kibinadamu, milioni zote 20 zingelipwa kwa jina la The Tanganyika. Kwa nini ziligawanywa kampuni mbili.

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 14 дней назад

    Majizihayo Makonda chapa ndani hao.ded ni mwizi

  • @michaelmasanza2169
    @michaelmasanza2169 12 дней назад

    Nchi inatafunwa na machawa wa Mama na hakuna hatuwa za kuchukuliwa

  • @allykapemba4992
    @allykapemba4992 11 дней назад

    Mamaetu samia wakuu wa mikoa dizaini ya makonda chukuwa na sabaya chomeka ndaniyaserikaliyako nalohilo ni jembe

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 14 дней назад

    Mh. Makonda hamia kwetu

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 14 дней назад +2

    Wakwanza hapa komenti zenu wadau

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 14 дней назад

    Samia aendelee kwa juhudi hizi zinazofanywa na mkuu wa mkoa

  • @merumount5988
    @merumount5988 14 дней назад

    Shida kubwa ipo IKULU mtu ana tuhuma za ubadhirifu na rushwa akaondolewa ukurugenzi alivyotoka serengeti..ni nani anamrudisha tena kuwa mkurugenzi arusha??? That means kuna networks za wizi hadi ikulu sababu wao ndio wanafanya vetting ya wateuliwa..hii nchi itapona kweli?? Very sad, mtu anavaa mapete mikononi kiongozi sijui majini ya kumkinga, ana kitu gani maalum yeye lazima awe mkurugenzi?

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 14 дней назад

    Wakuu wa Mikoa nchi Nzima mnajifunza Nini kutaka Arusha?au mmekaa ofisini mmefunga Tai mnaingia kwenye gari la serikali mnaweka kishoka na kupiga story

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 14 дней назад

    Mzungu yuko Sawa Kabisa Bado kunawezi , iyo ni Sawa na Zenji wezi Walivyo bainika Wamepigwa out .

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 14 дней назад

    Kutoka Serengeti hadi Arusha huyu afukunzwe anatia aibu, tatizo lake akitoka kwenye kikao kama hiki kesho ataitisha kikakoa na waandishi wa habari

  • @DM_15
    @DM_15 14 дней назад

    Nakuombea ubaki kua mkuuwamkoa wa arusha maana hiikazi gombo hakuimudu kabisa

  • @CimonMollel
    @CimonMollel 14 дней назад

    Tulichelewa wapi kukupata mkuu

  • @user-jl4ty3xn7f
    @user-jl4ty3xn7f 13 дней назад

    Tunaomba matokeo ya Takukuru yawe waz ili wananchi tutambue ukweli upo wap

  • @dennisassey6510
    @dennisassey6510 14 дней назад

    Huyu DED aliwahi kuwa DED serengeti akaripotiwa kwa rushwa Magufuli akamkingia kifua.

  • @michaelmasanza2169
    @michaelmasanza2169 12 дней назад

    Takukuru kazi yao kubwa ni nini?kama wanashindwa kudhibiti haya bora ifutwe tu kuliko kutafuna kodi za wananchi.

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 14 дней назад +1

    Big up makonda

  • @shabantptip942
    @shabantptip942 14 дней назад

    99% of the harm is caused in your head, by you and your thoughts.
    1% of the harm is caused by reality, what actually happens and the outcome.
    Most of the time, the problem isn't the problem.
    The way you think about the problem is.

  • @merumount5988
    @merumount5988 14 дней назад

    Mnahangaika na mtu ana godfathers/network TAMISEMI au ikulu hao waliomrudisha...huyu hamsini hata kwa kumtizama tu hana sifa kabisa za kuwa kiongozi hata kwa dakika moja..